Maneno kuntu ya Mh. Filikunjombe akiongea Bungeni bila woga, R. I. P Shujaa wetu DAIMA TUTAKUKUMBUKA 😭😭😭
Пікірлер: 47
@user-jz6dd8cj8s9 ай бұрын
Mungu inapaswa apuruni wasio wazi kuliendesha taifa hili, tubaki na watu kama hawa, alikuwa mwamba na muwazi kabiiiisaaa
@theodorymwalongo75099 ай бұрын
Mungu ailaze pema peponi mpendwa wetu Deo Haule. Nakukumbuka ukiwa mwanafunzi pale Matola Seminary- Njombe. You were aggressive kumbe yalikuwa ni maandalizi ya kuwa mpiganaji wetu.
@user-mc9dv4fu1r3 ай бұрын
RIP Deo Filikinjombe
@EvaristoMtweve-ui1eoАй бұрын
Nakukumbuka sana mwamba
@daudysanga84929 ай бұрын
Dar aisee kichwa sana kilikuwa upumzike kwa amani mwamba
@user-hj5hu8mg9y4 ай бұрын
Du kaka hotuba yko ni njema sana,
@stmedia22974 ай бұрын
Asante
@dicksonkilupa22589 ай бұрын
Filikunjombe hukuwahi kuwaangusha wa Tanzania bali ulituwakilisha vema.
@pastorgodwinchengula78488 ай бұрын
Huyu jamaa angekutana na Chuma Magufuli aisee kungenoga sana
@shabaniathumani17899 ай бұрын
Hiki ni chanzo Cha kifo Cha huyu mwamba wananchi tujitambue jamani
@hamudshabani78019 ай бұрын
Huyu ndo miongoni mwa watu muhimu waliousema ukweli rest in peace deo
@ZuberiNasibu-jm8rq Жыл бұрын
Hilo lilikuwa jembe la ludewa vizuri havidumu
@anithawidambe75438 ай бұрын
JAMANI TUNAKUKUMBUKA SANA ULIKUWA JEMBE LINALOKATA PANDE ZOTE.