MKE WA MBARIKIWA ANAONGEA BAADA YA MBARIKIWA KUHUKUMIWA MIAKA 3 JELA

  Рет қаралды 32,326

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Пікірлер: 188
@SimonRamadhan-l3m
@SimonRamadhan-l3m Жыл бұрын
Nampenda sana mtumishi wa mungu mbarikiwa Anafanya kazi ya mungu katika ile kweli
@mengindegeya2780
@mengindegeya2780 Жыл бұрын
Hizi ni siku za mwisho yale aliyo tabiri yesu ni dhahiri tunayaona kwa macho. Sasa wapendwa nidhahiri imefika mda wA kumuabudu yesu huku umewekewa bunduki mdomoni hivo wasafiri wa yesu tuwe macho na yesu atusaidie amina.poleni sana kikosi kazi cha injili mungu yupo pamoja nanyi nasi pia tupo nyuma kwa maombi .
@mkalawaefraimmkalawa552
@mkalawaefraimmkalawa552 Жыл бұрын
💘😤Akibaki zaidi ya siku 18 Jueni kwamba mungu anahaja watu wa magerezani kimfumo wa maisha atayumba kwaMungu kuta noga yule nimtumishi na ni mwamba Mungu anakazi nae🕴️.
@veronicaalfred235
@veronicaalfred235 Жыл бұрын
Pole sana dada angu na MUNGU akukumbatie, ila naomba usitetereke, pia muombee rehema kwa matukano aliyokua anatukana, MUNGU amsamehe, funga sasa maombi ya cku 3 uone jins MUNGU atakakavowajibu haraka na kuwaaibisha watesi wenu, Mungu atawafedhehesha na kuwatahayarisha hao wabaya wenu
@estherjonas8466
@estherjonas8466 Жыл бұрын
Mama Mungu aendele kukupa ujasili kwa kila hatua pamoja na watu wa Mungu hapo kanisani.
@rachelmwamaja1422
@rachelmwamaja1422 Жыл бұрын
Poleni sana, likini maandiko yanasema mtapita kwenye moto lakini miali ya moto haita waunguza, mtapita kwenye maji lakini maji hayatawagharikisha. Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, msaada utakao onekana tele wakati wa mateso. Amani ya kristo Yesu we nanyi.
@michaelpatrick9137
@michaelpatrick9137 Жыл бұрын
Poleni Sana watu wa Mungu, Mungu wetu ni mwema atawashindia
@johnurio1900
@johnurio1900 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉 mungu yupo na wewe mama , Mungu aendelee kukupa uhai ,mungu ndio ajuae mateso yako Asante mungu
@estherjonas8466
@estherjonas8466 Жыл бұрын
Maumivu Ya kila binadamu kwa Machngu haya tuamini kwamba tutavuka na Bb Yetu ❤❤❤❤
@maryposian6185
@maryposian6185 Жыл бұрын
Mathayo 5:11-12 Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenena kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu. Furahini na kushangilia kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni, kwa maana ndivyo walivyowaudhi manabii waliokuwa kabla yenu.
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 Жыл бұрын
Pole mama mbarikiwa tuko pamoja, mungu akutue nguvu
@michaelmshighati8432
@michaelmshighati8432 Жыл бұрын
Niwakati Wa Uamsho Tanzania Msiogope nyinyi ndiyo Mnaenda kuzaa Kanisa hai Tanzania Uovu umedhidi sana Tanzania kazi aliyofanya Mbarikiwa ndiyo injili hai nawaambia Uamsho hauwezi kutokea bila Adha dhiki na vita vya KIROHO is Time for Revival Tanzania.
@alexmatt9504
@alexmatt9504 Жыл бұрын
Poleni sana msisikitike sana kwa sababu Mwenyezi Mungu ndiye hakimu wa kweli na punde atatoa hukumu yake.
@leonardjamson-tb4jj
@leonardjamson-tb4jj Жыл бұрын
Mungu afanye jambo kwa hili mungu fanya kitu dunia ishangae kwa mtumishi wako mbarikiwa
@BenedictMponzi
@BenedictMponzi Жыл бұрын
Naamini wafungwa watabadilika Sana na mwamini mbalikiwa wameenda kumpatia ukuu zaidi
@MariamLuvanda-h9r
@MariamLuvanda-h9r Жыл бұрын
Amina mama
@yamungumbarikiwamwakipesil401
@yamungumbarikiwamwakipesil401 Жыл бұрын
Mungu na awalipe zaidi sawasawa na Ubaya wa mioyo yao zaidi niseme bado hawajashinda , JUSTICE IS COMING TANZANIA na WAOVU NA WAPOTEE TANZANIA , Mungu tazama dhuruma na UONEZI HUU usinyamanze, fanya jambo waovu wajue kumbe uovu wa aina yoyote sio FASHION,
@HENRYMATHIAS-h7e
@HENRYMATHIAS-h7e Жыл бұрын
Tunaona enjili inaendelea Mungu atulinde🎉
@NorbethJosphath-hm1zb
@NorbethJosphath-hm1zb Жыл бұрын
Asante mama endelea Mungu yupo pamoja
@helbertsoneka2008
@helbertsoneka2008 Жыл бұрын
Wewe ni shujaa sana, Mungu akutie nguvu, lakini hakuna siri itakayositirika milele ipo siku yooote yatakuwa wazi, shalom
@emmanuelbonifacekayombo329
@emmanuelbonifacekayombo329 Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu mama barikiwa pole
@leonardjamson-tb4jj
@leonardjamson-tb4jj Жыл бұрын
Inauma sana daaaaa! mungu afanye kitu kwa taifa hili yani mtumishi wa mungu aache kuhudumia watu wa mungu matokeo yake anaenda sehemu ambayo hana hatia mungu afanye jambo
@RachelRachel-zx6dx
@RachelRachel-zx6dx Жыл бұрын
Mama pole sana Mungu yupo pamoja nanyi hakika
@selemsigala4771
@selemsigala4771 Жыл бұрын
Mungu awatie nguvu sana watu wa Mungu tunapiga magoti kwa Mungu alihai aende akafungue minyololo yote iliofungwa dhidi ya Mtumishi wa Mungu Damu ya Yesu ikatawale katika kilanjia anayopitia Mtumishi wako na ukamfanye kua huru 🙏
@DenisNyamle
@DenisNyamle Жыл бұрын
Mungu wetu alie hai hajalala,wasubiri ghadhabu ya Mungu itakapowaka juu yahao watesi
@bonabonala5559
@bonabonala5559 Жыл бұрын
wewe samia hutowamariza wakristo hata ukimfunga maisha tupo wengi sana hatukupendi kwa ubaguzi wako kama idi amini dada samia umeshindwa tayari hapo uripo wewe ni mwizi wa mali za tanganyika wapende kina shekh tuone mwisho wako 2025 tena kabla yake ameeni
@gideanjohnlukwaro7981
@gideanjohnlukwaro7981 Жыл бұрын
DADA MUNGU. AKUBARIKI SANA UNATUFUNDISHA UJASIRI TUSIOKUWA NAO. MUNGU AKUBARIKI. SHIKA ZAMU YA MBARIKIWA MUNGU HATA WAACHA. NURU HUFUKUZA GIZA
@PaulAbbakar
@PaulAbbakar Жыл бұрын
Mungu wetu ni mkuu mbarikiwa amepelekwa magereza kafuata mtu kule muda unakuja ambao mungu atajitukuza
@bizjon5543
@bizjon5543 Жыл бұрын
Mungu azidi kuwapa nguvu na mupambaniye ukweli Mungu atajibu.
@masterkey536
@masterkey536 Жыл бұрын
Poleni MUNGU yu nanyi
@catherinegimbika1545
@catherinegimbika1545 Жыл бұрын
Hongereni kwa kupigania haki, Mungu awakumbuke
@abdallahmkubwa1796
@abdallahmkubwa1796 Жыл бұрын
Nyie wapumbavu sana munachokoza serekali kwa kumtegemea yesu, pumbavu sana Nyie.
@mohsixtus7048
@mohsixtus7048 Жыл бұрын
Mungu akusamehe
@danieliwilsongurty
@danieliwilsongurty Жыл бұрын
Poleni sanaaa Mungu aliyesimama kwa Paulo na Sila yeye atafanya jambo ya baba zetu wa Kiriho, kama kuna faini kwenye sheria walikuwa wanamfunga si basi kwa ajili ya hiyo, TENA HUDUMA YA MUNGU wamekosea wacha wawashe moto wa MUNGU hawaijui
@upendomoto5752
@upendomoto5752 Жыл бұрын
Mungu Baba simama mwenyewe mdani yahilo gereza Mnyime kiongozi wetu usingizi Kama ulivyofanya majora ya shedraki meshaki na Abednego ,fanya upesi Mungu usichelewe,
@claudiamndele
@claudiamndele Жыл бұрын
Mungu atamsimamia mbarikiwa Kama jina lake
@fortunatashirima-mh2fx
@fortunatashirima-mh2fx Жыл бұрын
Poleni sana na mungu awatie ngufu ili muyashinde hayo majaribu mnayo yapitia
@djcrucial-lp9ol
@djcrucial-lp9ol Жыл бұрын
mbalikiwa ni yusufu aliyeyopo gerezan lazimaa atoke na utukufu🙏🙏🙏
@estherjonas8466
@estherjonas8466 Жыл бұрын
Ulinzi wa Mungu upo alipo Mm Mungu akupe ulinzi na Maombi yaendele
@happyiskaka
@happyiskaka Жыл бұрын
Mbarikiwe Sana MUNGU awape NGUVU. Na huko aliko MUNGU YUPO PAmoja nae wafungwa wote wataokoka. MUNGU amuhifadhi SALAMA
@Byondorujulika17
@Byondorujulika17 Жыл бұрын
Mungu yupo, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸.
@DanielAbass-po3vl
@DanielAbass-po3vl Жыл бұрын
Kamushika mungu kwelikweli na mungu Yuko pamoja nae mbalikiwa
@EmanuelmussaEmanuelmussakamand
@EmanuelmussaEmanuelmussakamand Жыл бұрын
Mwachen akatangaze injil huko magerezan akikamilisha injili mungu atamuokoa
@chachamwita4687
@chachamwita4687 Жыл бұрын
Mbarikiwa must be the hero
@hoseaemanuel3528
@hoseaemanuel3528 Жыл бұрын
Kikubwa tuache siasa makanisani tukemeee maovu ya serikali lkntusifanye siasa kanisani watumish wa mungu wengi saiz wanafanya sana sias😊
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 Жыл бұрын
Amina
@joycemanegabe9154
@joycemanegabe9154 Жыл бұрын
Mungu kweli simama kuhusu jambo hili mbaya la kuwafunga wasio na hatiya yoyote ❤❤😭😭😭😭
@msafirimfyagichi5942
@msafirimfyagichi5942 Жыл бұрын
Poleni sana Mungu yupo
@MamaDani-mi9km
@MamaDani-mi9km Жыл бұрын
Mungu Yu pamoja nanyi
@isaacgetmaih2063
@isaacgetmaih2063 Жыл бұрын
Kufungwa kwa mutumishi mbalikiwa mungu anataka akahubili jela Ila nawafungwa wapone kwasababu yesu khrist ata ludi sasaivi so tusilie twende tuombe kwamungu yeye nimuweza wayoyote
@jacksonsilvery3599
@jacksonsilvery3599 Жыл бұрын
HII ilikuwa ni ibada kanisani?
@philimonfredinandi6662
@philimonfredinandi6662 Жыл бұрын
Mungu Akupe wepesi Mama shujaa simamia imala usiogo6
@africachildfoundationmissi8029
@africachildfoundationmissi8029 Жыл бұрын
Poleni sana watumishi , ila tunaamini kabisa Sheria itasimama upande wake na atakuwa huru, rufaa ni haki yake na atakuwa huru soon
@estherjonas8466
@estherjonas8466 Жыл бұрын
Mungu tunaomba na kumuombea Bb yetu Mbarikiwa Mungu yupo nawe popote.
@jacksonsilvery3599
@jacksonsilvery3599 Жыл бұрын
KWANI kufungwa ni jambo jipya kwa mtu wa Mungu?atuwakilishe huko aliko.
@Commentsplus
@Commentsplus Жыл бұрын
sema nimeanza kuwelewa sema mshauri mbarikiwa aache kiburi
@henryngumba5634
@henryngumba5634 Жыл бұрын
Walipo muua Yesu walizani wameshinda lakini badala yake injili yaendelea sana tena kwa nguvu zaidi. Mungu awatiye nguvu kikosi kazi.
@aloyce6583
@aloyce6583 Жыл бұрын
Kosa lake ni nini?
@rafikiwayesu7814
@rafikiwayesu7814 Жыл бұрын
Mungu wa Mbarikiwa ni mkuu Sana atatoka sio mda Naamini.
@anthonybenedict5444
@anthonybenedict5444 Жыл бұрын
Hakika ndivyo ninavyoamini pia
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q Жыл бұрын
Ila ukiwa unaingilia mamlaka iliyopo jua ujiandae mateso. Yohana mbatizaji yalimpata yakumpata. Elia yalimpata yakumpata. Lazima ujifunge mshipi. Ukiingilia mamlaka kupata mateso lazima hata kufa utakufa . Mimi nafikiri mzame kiroho zaidi maana vita vyetu siyo vyakimwili ni vya kiroho.
@MariamMhapa
@MariamMhapa Жыл бұрын
Wayahud walio muua yesu akisema kwel akifufua na kuponya mpaka sasa wapo kwakwel Dunia imeisha
@Commentsplus
@Commentsplus Жыл бұрын
Mhubiri 8 (Biblia Takatifu) ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯ ¹¹ Kwa sababu hukumu juu ya tendo baya haitekelezwi upesi, mioyo ya wanadamu huthibitishwa ndani yao ili kutenda mabaya. ¹² Ajapokuwa mwenye dhambi amefanya maovu mara mia, akazidisha siku zake; lakini hata hivyo najua hakika ya kwamba itakuwa heri kwao wamchao Mungu, wenye kicho mbele zake; … ¹⁴ Kuna ubatili unaofanyika juu ya nchi, kwamba wako wenye haki nao wapatilizwa kama kwa kazi yao waovu; tena wako waovu, nao wapatilizwa kama kwa kazi yao wenye haki. Nami nikasema ya kuwa hayo nayo ni ubatili. … ¹⁷ basi, niliiona kazi yote ya Mungu, ya kuwa haitafutikani na mwanadamu kazi inayofanyika chini ya jua; kwa sababu mwanadamu na akijisumbua kadiri awezavyo kuitafuta, hata hivyo hataiona; naam, zaidi ya hayo, mwenye hekima ajapodhania ya kuwa ataijua, lakini yeye hataweza kuiona.
@simontamba2189
@simontamba2189 Жыл бұрын
Hata KRISTO ALiuliwa bila kosa Jeremea ALIFUNGWA Joseph ALIFUNGWA bila kosa Mungu yupo Naye nasi tupo Naye
@DeboraNdubula
@DeboraNdubula Жыл бұрын
Mimi sikupi pole mpaka hapo wewe ni mwanamke shujaa wa nyakati za mwisho.umenikumbusha mwaka mmoja nilikinywea kikombe hicho, tulikamatiwa kanisani tukawekwa lumande siku 3 tukapelekwa jela tulikaa siku kumi.baada ya siku hizo 10 yesu kristo alitutoa kwa kishindo. jipe moyo mkuu kristo yesu yuko upande wako.
@adammjomba5814
@adammjomba5814 Жыл бұрын
Mommy wa mchungaji fungeni kwa siku 7 huku mkiomba na kumlilia bwana wa majeshi atajibu maombi, yenu na mbarikiwa atakua free amini amini nina miambia mji asipo ulinda Bwana alindae akesha Bure. .mtumishi Mommy endelea kufundisha na kukemea maovu..usirudi Nyuma
@RamadhaniRamadhani-yd4hq
@RamadhaniRamadhani-yd4hq Жыл бұрын
Yawezekana mungu ameruhusu mbarikiwa aende kukomboa wafungwa
@mahengeOmbeni
@mahengeOmbeni Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu
@Chrishenryson-beats
@Chrishenryson-beats Жыл бұрын
Mbarikiwa akawaubirie huko huko. Mungu yu wetu sote. Tanzania inaelekw kupata ukombozi
@saulmwalubunju1076
@saulmwalubunju1076 Жыл бұрын
Pole sana familia ya mchungaji nami pia nimesononeka akili yangu ipo mbali sana SASA niululize swali mafaridayo masadukayo na waandishi wale wa enzi za Yesu Leo hii ni akina nani ?
@erickmahay3411
@erickmahay3411 Жыл бұрын
Muovu yuko tayari kumtetea shoga lakini sio mwenye haki,MUNGU wa mbinguni awe nanyi pamoja na Mtumishi Mwakipesile
@happybello4635
@happybello4635 Жыл бұрын
Poleni
@sadallahbataza1906
@sadallahbataza1906 Жыл бұрын
Amina nahakika mbarikiwa atashinda gerezani si kitu paulo na sila nao walifungwa leo ni mashujaa
@EliasMaduka-r5r
@EliasMaduka-r5r Жыл бұрын
Tuko nyuma yenu tunawaombea sana, na tunaamini mapenzi ya MUNGU yatatimia, hii nimbinu ya kuudhofisha ukristo lakini hawatafanikiwa, mfalme cosintantin alijaribu hakuweza hata hawa hawataweza, kwani mwanzirishi wake ananguvu zote za kujitetea.
@WilibertDaniel
@WilibertDaniel Жыл бұрын
Poleni Sana watu wa mungu Bwana Yesu awe faraja yenu .
@NellyMadeni-yv6fd
@NellyMadeni-yv6fd Жыл бұрын
Namsindikiza Mbarikiwa na Bahati Bukuku nakutegemea Mungu wangu
@MalaikaHome
@MalaikaHome Жыл бұрын
Mungu na udhihirishe nguvu zako
@hubman6780
@hubman6780 Жыл бұрын
Aliehukumu au aliesababisha haya waombe Rehema sana sana.Utulivu hauwekwi Kwa njia hii
@tanzanitetv
@tanzanitetv Жыл бұрын
Suguye hakusajiri kanisa mbona hakufungwa? Kanisa lilifungiwa hadi aliposajiri kanisa,hii ya mbarikiwa ni mpya sana
@MalaikaHome
@MalaikaHome Жыл бұрын
Paulo na sira🤔🤔🤔🤔
@lwitikokayange9501
@lwitikokayange9501 Жыл бұрын
Mbarikiwa anakwenda kubarikiwa zaidi
@mkalawaefraimmkalawa552
@mkalawaefraimmkalawa552 Жыл бұрын
Mungu atamwacha siku 18 hiyo miaka 3 atabaki nayo hakimu nyieamwaminini Mungu pia msihuzunike wala msiumie mioyoni mwenu
@didaschikutu6402
@didaschikutu6402 Жыл бұрын
BWANA na amuhifadhi!!! Lakini Tanzania yetu hata Kwa kufanya hayo lakini BWANA atatuinua wengine!!! Me najuwa watu wa MUNGU hatutavumilia kuogopa vita!! Vita vitapigwa Lakini wajue UOVU utakemewaaa!!!!
@didaschikutu6402
@didaschikutu6402 Жыл бұрын
Anayesafiri bila ya YESU vitisho na vikwazo vya njian hatafika salama Lakini Kwa yule anayesafiri na YESU vitisho na vikwazo vya njian hataogopaa!!! Tuwe pamoja piga saaana vita vyema mbinguni tufikee saalamaa!!!
@AgnessChambo-mx6rd
@AgnessChambo-mx6rd Жыл бұрын
Siku walipomhukumu Danieli maadui walifurahi hawakujua mpango wa Mungu kumbe hata simba walimtii Mungu simba waliingia katika maombi ya kufunga aa Danieli hakuliwa na simba akatoka mzima nyie acheni Mungu ahukumu mwenyewe . Mbarikiwa wewe ni shujaa nenda baba kaihubiri kweli ya Mungu ndo wakati wako
@samwelinjogolo6082
@samwelinjogolo6082 Жыл бұрын
Kwani selikali yasasa haitaki kukosolewa hatawakifanya utumbo namna gani hawataki kukosolewa NAAMINI MUNGU ANAEMTUMIKIA BABA MBALIKIWA ATAWADHIBU WOTE WALIO HUSIKA NAHILI
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Жыл бұрын
Pole sana
@FrolaNgonepo
@FrolaNgonepo Жыл бұрын
Moto niuleule kazamwendo ivar sula yambarikiwA
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 Жыл бұрын
Yaani watu wote wataokoka gerezani. Na Mungu ambariki
@mshanimatrida7139
@mshanimatrida7139 Жыл бұрын
Poleni Mungu yupo na anaona yote Kwa wakati atajibu
@JohnNyasi-xb7sy
@JohnNyasi-xb7sy Жыл бұрын
Mama shupavu piga injili awo kondoo watunze amina
@felisterandrew8741
@felisterandrew8741 Жыл бұрын
Utawala wa shetani saiz tunaendeshwa na Shetani Mungu atuokoe.
@IvoFransis
@IvoFransis Жыл бұрын
Maumivu yenu MUNGU anamsikiliza na kuyaona. Mungu na awahukumu kwa hekima ya kimungu. Wao waacheni wahukumu kidunia Ila MUNGU ni mwenye haki😢😢
@MariamMhapa
@MariamMhapa Жыл бұрын
Hiv hawo waliomfunga mbarikiwa kwakusema kwel wanajitambua kwel
@FidiaMlowe
@FidiaMlowe Жыл бұрын
nikweli inauma. lakini mbelezamngu kunajambo ninakwennda kutokea ambalo niutukufu mbelezamngu Amina
@happyiskaka
@happyiskaka Жыл бұрын
Ninakupenda mno mamayangu Salome mwampeta wew ni shujaa na jasiri mno MUNGU anakupigania hakika ni MUNGU Kwa HAPO unapopita ni MUNGU ni MUNGU. Upo Wakati WA kujiliwa kwenu
@mshanimatrida7139
@mshanimatrida7139 Жыл бұрын
poleni Mungu awakumbuke kila saa na kila dakika
@clemenceparokola
@clemenceparokola Жыл бұрын
Mungu atakuvusha mama mbarikiwa tunakuombea
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
👊✌️👍.
@indalesiohenery6124
@indalesiohenery6124 Жыл бұрын
MUNGU niwapekee Sana , mawazoyeke hayachunguziki kumshambulia mtumishi wa MUNGU nisawa nakuupiga teke mchokoo
@philimonfredinandi6662
@philimonfredinandi6662 Жыл бұрын
pole sana pole sana
@zablonnyanda6095
@zablonnyanda6095 Жыл бұрын
Yaani hao wamechemka, huo ni mpango wa Mungu jamaa akaliamshe dude hukohoko jela. Si huko pia kuna watu??
@samwelinjogolo6082
@samwelinjogolo6082 Жыл бұрын
Jamani mungu awatie nguvu, sana sana
@GladnessKaaya
@GladnessKaaya Жыл бұрын
Yuda alipo msaliti Yesu akua salama alienda kujinyonga
@philimonfredinandi6662
@philimonfredinandi6662 Жыл бұрын
Mungu awasimamie na amulinde huko aliko
Afisa ajikuta matatani mbele ya Dkt. Gwajima
7:22
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 84 М.
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
Mbarikiwa ahoji Goodluck kuchoma moto gari alilopewa na Geordev. Amewahi au amechelewa?
23:30
MWANAMKE USITAFUTE DADA WA KAZI MREMBO KULIKO WEWE UTAJUTA "PASTOR MGOGO
27:50
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 159 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: MASHAKA YA MAISHA
1:03:55
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 35 М.
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН