MKE WA MR BLUE "BLUE ZAMANI ALIKUWA HOT KAMA DIAMOND PLATNUMZ IVI SASA,WANAWAKE WALIKUWA WANAMPENDA"

  Рет қаралды 100,876

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 59
@ankalmzito254
@ankalmzito254 Жыл бұрын
Leo ndio namuona shemeji yatu vizuri 🇰🇪🇰🇪....
@mamalange2277
@mamalange2277 11 ай бұрын
Aisee twende mbele turudi nyuma jama ana wife mkali. Wamependezeana
@simbaedouardo8499
@simbaedouardo8499 Жыл бұрын
Wakwanza mimi eeeehh
@GeraldSwai-ty1hr
@GeraldSwai-ty1hr Жыл бұрын
Hongera sana Mr Blue
@bosssalum1037
@bosssalum1037 Жыл бұрын
Daaa na mdumu milele mwanamke jasir sana
@Joshuafaston-j5k
@Joshuafaston-j5k 10 ай бұрын
Bigp sana broo mdogowako apa hostazz machips
@sashoright6496
@sashoright6496 Жыл бұрын
Dada mtu alidah❤
@bakariabdallah8702
@bakariabdallah8702 Жыл бұрын
nyumba nane mwanang bizzy kweli tajiri daah aloo
@Jaydenkulali
@Jaydenkulali Жыл бұрын
mama mmoja, baba tofauti! tuelewane
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 11 ай бұрын
Haijalishi na haikuhusu
@allahisone6386
@allahisone6386 11 ай бұрын
​ 😅😅
@yohanakananika3586
@yohanakananika3586 8 ай бұрын
Unataka nini hapo 😂😂
@ruhamakajiba5147
@ruhamakajiba5147 Жыл бұрын
Jamaa hajui kuuliza maswali kbsa
@michaelfovo2948
@michaelfovo2948 10 ай бұрын
Jamaa alikua na mkewe na Naj pia kwa pamoja katisha
@singidaone5628
@singidaone5628 Жыл бұрын
Mr blue salute bro
@GivenTobago
@GivenTobago Жыл бұрын
mke wa mr blue is a wife material
@Nominated207
@Nominated207 Жыл бұрын
Yani mpaka leo Mr blue ni dogo bado 😂😂😂
@yahyaally-gy7lz
@yahyaally-gy7lz 11 ай бұрын
😂😀😀bro kazngua
@aiseesijui6736
@aiseesijui6736 10 ай бұрын
huyu kuma hafai kuwa presenter maana kila siku interview zake hazinaga maswali yanayoeleweka, kiufupi hajawai kuwa na interview yenye mvuto, yenye mpangilio wa maswali, jifunze kuandaa topic na maswali ya kumhoji msanii au mtu yeyote kabla hujamwita au kumfuata. jifunze kwa interview za Millard Ayo au nenda shule ,unatumaliziaga MBs mpumbavu wewe. wote tunaosema huyu jamaa interview zake nyingi huwa anawashobokea wasanii halafu hana cha kuwahoji anaishia kujiongelesha tu gonga likes hapa
@mussajackson783
@mussajackson783 Жыл бұрын
Nyumba 8 sababu ya mziki hata hawaringi
@AsiaKadogo
@AsiaKadogo Жыл бұрын
Kina sisi Banda 2 2navimba
@allahisone6386
@allahisone6386 11 ай бұрын
​ . Dah Hatareee 🤦
@annaepmack7270
@annaepmack7270 11 ай бұрын
Hongeren jmn ❤
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 11 ай бұрын
Hii ndio maana ya "MC mkali anastahili demu mkali"😂
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 Жыл бұрын
Mr. Blue Salute bro
@saidabdalla8996
@saidabdalla8996 10 ай бұрын
Mr.ajampanga mkewe hajiamini kuongea
@Talentedbigboss
@Talentedbigboss Жыл бұрын
Mr blue is the top rapper in Africa I respect you brother every genius knows you are giant rapper in Africa 💯
@Jaydenkulali
@Jaydenkulali Жыл бұрын
Ni rapper mzuri sana lakini siyo bora barani Africa! Tusidanganyane!
@saididodi3988
@saididodi3988 11 ай бұрын
Mr bluu bado dogo sana
@otienojohn372
@otienojohn372 11 ай бұрын
mboga 7
@sullehtz9327
@sullehtz9327 Жыл бұрын
MR BLUE ✊
@moudys
@moudys Жыл бұрын
Mr blue rangi mbili
@donmahela2412
@donmahela2412 Жыл бұрын
Nakubar
@jeffhard5773
@jeffhard5773 Жыл бұрын
Mtangazaji unazingua ujajipanga maswali yako hayana content
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 Жыл бұрын
Mtangazaji hana content katika maswali
@enocksilungwepondajr9707
@enocksilungwepondajr9707 Жыл бұрын
Mtangazaji jinga
@othumanomari1589
@othumanomari1589 11 ай бұрын
✌️✌️
@hariethmatungwa9293
@hariethmatungwa9293 11 ай бұрын
Pete za mr bluu😂
@itsjustagame4178
@itsjustagame4178 11 ай бұрын
Diamond sio hot,pesa tu...
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 11 ай бұрын
Hayo maoni yako wewe Simba la masimba Dangote
@MaldyMaldwex
@MaldyMaldwex 11 ай бұрын
Izo ela zimekujaje sasa
@itsjustagame4178
@itsjustagame4178 11 ай бұрын
@@MaldyMaldwex ww cheza na kuabudu shetani...
@mahmoodmohammed1679
@mahmoodmohammed1679 Жыл бұрын
"...yani Mr blue kipindi kile alikua HOT🔥 kama diamond wa sasa ivi...."😂...yani mke unaongeaje ivi mbele ya mume wako,Kwa hiyo unamuona diamond ni hot kuliko Mr blue ambae ni mumeo,wa sasa😂dah mi swezi ambiwa ivo😂
@dahero160
@dahero160 Жыл бұрын
Ameongea ukweli bhn
@mahmoodmohammed1679
@mahmoodmohammed1679 Жыл бұрын
@@dahero160 ni ukweli ila sio kitu kizuri kusema ivo mbele ya mume wake wewe dem wako akikwambia Mondi ni hot Sana utafeel vp😂
@dahero160
@dahero160 Жыл бұрын
Inategemea kmtja kwnye nni 😂
@giressentumwa6906
@giressentumwa6906 Жыл бұрын
Ameongeleya hilo kuhusiana na nini??? Kuhusiana na maisha ambayo mumewe alianza ishi enzi hizo yaani kubadili wanawake kiolela. Sijuwe mkewe amekoseya wapi kusema hivo. Yaani amemusaidiya mumewe kubadili maisha na kujipanga vizuri. Hapo kuna ubaya gani???
@Jowelia
@Jowelia Жыл бұрын
Si ukweli sasa😂😂😂😂😂
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
diamond ft chidi BENZ  nalia na mengi
4:34
Abbasbarsella
Рет қаралды 74 М.
Mapoz Behind the scene Part one (1)
12:47
Diamond Platnumz
Рет қаралды 687 М.
Salama Na MR BLUE SE6 EP69 KHERI PART 1 SendTip MPESA LIPA NO 5578460
25:09
Mr Blue asimulia alivyokutana na mke wake kwa mara ya kwanza club ya usiku
11:45
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН