Congratulations my pastor,ushuuda Mkubwa, tena mzuri🎉🎉🎉🎉
@carolinemuli-ht4zx3 ай бұрын
Mungu amempa Lilian mume ana upendo wa kikristo zaidi
@emmanueljohn40183 ай бұрын
mi si master sema amina aaaaaah nimekuelewa Prophet inshort ukweli wako ni somo kwetu
@FananaSalumu3 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu mimi mwenyewe nilikua mwislam nina changa moto sana kwa mme wangu
@ukhtyrayyan78843 ай бұрын
Ulikua muislam kwaiyo ushatoka kwauislam kwaiyo ilo kafiri litakalokuowa hautapata matatizo wacha ufisadi tangu mwazo wee mwenyewe hujitambui
@nurumohammed13103 ай бұрын
Changa moto ndio ikakufanya uritady innaliilah waina ilahi rajuuni 😭😭
@kadhyanassor50463 ай бұрын
Ndo maana Allah akasema atatujaribu ....na hayo ni moja wapo ya majaribio ni kufudhu au kufeli...
@amiriforjesus86893 ай бұрын
MWAYA DADA MUNGU AKUTIE NGUVU KATIKA JINA LA YESU KRISTO
@amiriforjesus86893 ай бұрын
MIMI MWENYEWE NIMEOKOKA KUTOKA UISRAM NAMUONA MUNGU WA KWERI ARIYE UMBA MBINGU NA ICHI NAMUONA KWAKWER
@selevasiamahinja5543 ай бұрын
Amina mchungaji ulikotoka ndiko tulikotoka .Mungu ni mkuu sana .
@trophywilson72113 ай бұрын
Kumbe Nguvu inaanza kupungua Pepo linavamia Pole pole,Hapo tunapata Kitu
@gracekagoma32313 ай бұрын
Huyo ni mfanya biashara ktka jina la Yesu. Hana tofauti na yule Mkongo kiboko ya wachawi😮
@trophywilson72113 ай бұрын
Ndiyoo tunaelewa saana Lets go
@ernestsinje97003 ай бұрын
Inakusaidia nini?kuwaza hivyo?
@MtanganyikaTanganyika3 ай бұрын
Barikiwa kaka
@Sheba46513 ай бұрын
Mpeni hela ale anenepe....
@nurumohammed13103 ай бұрын
@@Sheba4651 hahaaaa
@kenedygeorge2553 ай бұрын
IPM Sauti yako ni ya uimbaji pia I think uachie gospel songs nakuambia zitaenda mbali sana
@CityGang-q1rАй бұрын
❤❤❤
@pastorprospermlembasayunip5003 ай бұрын
Prophet unachekesha sana, nimependa sana.
@rashidmaulid73123 ай бұрын
Kuna na vipande ktk clip hii vilitakiwa vikatwe kutokana na heshima aliyonayo Mchungaji.All in all nimekuwa nikimfuatilia sana na namwomba Mungu Amuongoze ktk njia Yake.
@Yangaone-h8j3 ай бұрын
yaa nikweli kabisa
@sein.2083 ай бұрын
Amiiiiiiiiiiin yaa Rabby
@trophywilson72113 ай бұрын
Hana Heshima yeyote Bure tu
@julianapeason62542 ай бұрын
@@trophywilson7211 tatizo binadamu wa leo hawataki kusema ukweli, wanataka wamsifie mtu hata kama nyendo zake zinaonekana wazi sio sw kulingana na nafasi yake
@emmanueljohn40183 ай бұрын
africa ni shida unaweza mwambia i love u mpaka kuku(Noted)
@julianapeason62543 ай бұрын
kufanikiwa sio kuwa na pesa, ni kuwa na afya njema, amani, upendo wa kweli, uvumilivu na kusameheana. Uvumilivu una malipo yake kuliko chochote kile, subra ina malipo yake,thats all abt success
@merymusa93763 ай бұрын
Sasa utakula nn
@julianapeason62543 ай бұрын
@@merymusa9376 Mungu hajawah mnyima mtu chakula. Unachotakiwa ni kula unachopata sio unachotaka au unachotamani moyo
@marymm31863 ай бұрын
aaaaaah, nakubari mucungaji,we musema ukweli kabisa,na tunakupenda sana
@Laizer33 ай бұрын
Endelea kula maharage kila siku.😅
@julianapeason62542 ай бұрын
@@Laizer3 wewe bado unawaza tumbo, tamaa ya vyakula ndio inawapeleka watu hadi kutoa kafara za damu, jua kwamba wakati mwenzio amelala akicheua vipaja vya kuku huku akililiwa na damu za mama na baba yake, kuna alielala kwa kunywa maji lakini ana furaha ya hali ya juu. Wewe usile maharage kula nyama utengeneze magonjwa na uue wazazi wako wote illuminati atakufurahisha
@MarySteven-h8c3 ай бұрын
Kweli kabisa mtumishi wa mungu ubarikiwe sana
@besttrendingcovers18383 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@redemptajerry54462 ай бұрын
mkwe na mimi nakusikiliza mtu wa Mungu ..
@nurumohammed13103 ай бұрын
Huyu mchungaji anarafudhi kama muislam kama vile kupitia madrasa mashallha
@fatmazullu49333 ай бұрын
Kwani hujasikiliza vizuri nawee?
@OfficialA836403 ай бұрын
Muislam huyo kasoma madrasa juzuu 30 ipo kichwani kaenda kutafuta maisha tu ipo siku Allah atamridisha nyumbani In'shaallah
@Sheba46513 ай бұрын
@@OfficialA83640Ati kutafuta maisha😂😂😂 Anakula za wajinga, ila hela hiyo siku akirudi Uislamu hizo hela hauzitaki, hairuhusiwi kua janja janja kuwapiga wajinga hela
@cuthbertmwaibella50313 ай бұрын
alikua mwislam
@cuthbertmwaibella50313 ай бұрын
@OfficialA836hawesi kurudi huyu40
@kenedygeorge2553 ай бұрын
Aise hii video naomba iende viral iko na ucheshi mzuri sana . hakuna kufichana 🤣😂
@jimmymafufu73943 ай бұрын
Mwamba IPM respect nimependa mahojiano songa mbele nigga tumechelewa sana
@JoyceNowara3 ай бұрын
Mungu ni mwaminifu kweli
@emmanueljohn40183 ай бұрын
nimeipenda iyo
@uwezawamungumkuu.amaniafrika3 ай бұрын
Wanaume mwenye akili timamu kabisa atajiua kisa mwanamke tena uliyo mkuta hata bikira alisha poteza na kupita na wengine na uenda hata kazalishwa na wengine. Akili matope. Siwezi kamwe. Leo ukifa anaolewa tena hata asubiri 40 azipiti .Alafu watoto wako wanateseka. Wanaume jitambueni. Asante.
@peacemwesiga3 ай бұрын
Ipm ni mwema anahuruma sana Mungu akubariki na uzao wako
@joycekambuga62863 ай бұрын
Mtumishi uko vizuri unaongea ukweli mtupu.
@JoyceNowara3 ай бұрын
Nampenda sana huyo Mtumishi nikifika Tz nitamtembelea
@lilianmungure83743 ай бұрын
Mungu ni mkuu sana,hongera mtumishi
@EliakimEnock3 ай бұрын
Mwambieni IPM katika siku alizo nifurahisha japo kaniacha hoi kweli kweli
@emmanueljohn40183 ай бұрын
ka star wa picha la kiindi aaaaaah govinda ......aisee nitakuja kanisani kwako siku moja itakayofaa
@zenasmjema40503 ай бұрын
Umekua mkweli sana 🙏
@AgnesKalinga-ku5se3 ай бұрын
WAISLAMU ACHENI UBINAFSI MUNGU SIO WENU PEKEE, MNAJIONA SANA WATAKATIFU MTASHANGAA SANA YESU ATAKAPOREJEA CJUI NYUSO ZENYU MTAZIFICHA WAPI OLEWENU😞😞🙄🙄🙄
@mamachris68113 ай бұрын
Huko Arusha sala tano wameua mtoto na vitu vingi vimepatikana humo 😏😏😏😏
@SamiraMakame-w9c3 ай бұрын
Kiama kitakapofika nanyie mtaona ukweli ipi dini ya haki.
@mamachris68113 ай бұрын
@@SamiraMakame-w9c haya ngoja tusubiri 😆
@khamisomar56593 ай бұрын
Isome biblia vzr utafute kwa kina je yehova ni nani na yesu ni nani?!
@JoyceNowara3 ай бұрын
Barikiwa sana kwa kumsifia mkeo
@Noorabdulrahman-x1d3 ай бұрын
Innalilah waina ilayhi rajiun
@emmanueljohn40183 ай бұрын
kweli kabisa mtu wako unapomwona unajua toka ndani na si vinginevyo
@carolinemuli-ht4zx3 ай бұрын
Waaaa 😂😂😂😂😂😂😂IPM
@JoyceNowara3 ай бұрын
Kweli kabisa mimi mwenyewe ni Nabii nimekaa kwa ndoto ya mateso miaka 20 na zaidi na Kweli ni likosea maisha
@BarnabaBuhoma3 ай бұрын
Ulikosea wapi?
@nurumohammed13103 ай бұрын
Hahahaaaa mchungaji ww mmmmh
@marryrudovicky38473 ай бұрын
Nakuona mtumishi ata sisi bado tupo Mungu anatupigania
@Maerys-xm8xt3 ай бұрын
Mchungaji, mtihani!
@aidanjeremia42413 ай бұрын
Ila IPM nimecheka sana maana upo seriously na humung'unyi maneno
@edinalihedule76093 ай бұрын
Mungu wangu mbona kalio😂😂
@emmanueljohn40183 ай бұрын
Maono thats right Prophet
@swahilitherapytv38463 ай бұрын
Alitokewa na shetani, akadanganyika kuwacha Uislamu.
Kumbe ulikua muislamu inalillah wainaillah rajiuni ndomana upo vizrui ukieongea ila umertand subhanallah kaka anagu dini yaki niuslam
@nurumohammed13103 ай бұрын
Daaah ww umenifungua macho nilikuwa najiuliza huyu mbona kama muislam kama kaenda madrasa vile kumbe alikuwa muislam subhanallah
@MtanganyikaTanganyika3 ай бұрын
Mtume alikua mfanyabiashara wa watumwa ambao waliitwa waiisilamu hakuna dini ya haki
@Sheba46513 ай бұрын
@@MtanganyikaTanganyikaUna andiko, mimi nijuavyo watu weusi mmepewa imani kwa njia ya utumwa. Waefeso 6:5
@mossyfimbo35773 ай бұрын
Ndugu yangu Imani inakuja kwa kusikia na si kuona hakuna aliyeona tumekua tukisikia izo Imani kutokea kwa wazazi wetu na kufundishwa na hizi Imani sijui kwa Africa kama imefika miaka mia 2 au mitatu sidhani lakini wazazi wa nyuma huko tukirudi nyuma waliamini Mungu yupo lakini wakiamini vitu fulani fulani sasa warabu walivyokuja na biashara zao za watumwa wakaleta Uislam na Wazungu na walivyokuja kuchukua watumwa nao wakaleta Ukristo mpenzi wangu Hakuna aliyeshuhudia si wazazi wetu na kila aendae harudi tunaishi kwa kusoma Hadithi hatukushuhudia bali tunaamini Mungu yupo lakini Imani kila mtu Ishimu alichoamini mwenzio tuishi kwa upendo Mungu anatunyeshea mvua woote kila mtu sawa alivyojaliwa bahati mbaya kila aendae harudi kutuletea salam Mungu Mwenyezi aliyetuumba woote ni wake hebu tuache hizo ubaguzi yeye atubagui woote ni wake kila mtu asubiri siku hiyo mpenzi wangu tutajua huko huko mbi chi ipi na mbivu ipi lakini hapa chini ya jua kila mtu Amini vyake Imani ni kitu very sensitive Dear tuache hizo
@MwanaishaShattry3 ай бұрын
Shokamoo ni salam tu sio adabu.
@ukhtyrayyan78843 ай бұрын
Shikamoo ni adabu tu salam ni kuamkinaa kwa mamkizi mema aliyoyataka Allah nayo nikisema Asalam Alaykum warahmatullah wabarakatuh vipi
@nurumohammed13103 ай бұрын
@@ukhtyrayyan7884shikamoo ililetwa na watumwa wanakusudia kusema shika moyo wangu mimi ni mtumwa wako
@bonita3293 ай бұрын
😂😂😂😂😅
@edinalihedule76093 ай бұрын
Mbona kikwapa🙄
@emmanueljohn40183 ай бұрын
YUKO SAWA
@mushumbaeric49163 ай бұрын
Anayevumilia ni maskini tajili anaamua mke akimzingua anaua na yeye anakufa