Baba ipm nakupenda sana, mafunzo yako ni tumaini na mwanga mkubwa haswa kwa mtu kaa mimi niko chini kimaisha. Mungu akubariki kwa roho safi na uwazi
@chosenfrank42862 ай бұрын
Amen Baba
@MTUWAMUNGU3-7-157 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AmanziAmanzihamadi2 ай бұрын
Amen baba
@veroniquepeter6432 ай бұрын
Aminaaa baba
@TafutaPesa-b9k2 ай бұрын
Baba Mimi ninashida ushauri wako ni mnzuri sana nafanya kazi lakini sion mafanikio yote miaka saba sion mafanikio yote
@KashindiRubeniRuvunira-kc3et2 ай бұрын
Ndugu Pasteur natamani kupata namba yako ya WhatsApp ili nipate kukupasha tatizo yangu.Nakushiriki pamoja kiroho.
@jeremiamsuya18202 ай бұрын
Ipm baba ninakuku balisana baba mungu akupe umri mrefu baba ilababa nngehtani nipate nafas tuzungumze baba nitakupataj
@faustinefabian73182 ай бұрын
Nenda siku ya jumamos asubuh, anakuwepo mpaka saa nane mchana, panda magari ya Tegeta shuka mbuyuni wambie bodaboda wambie unakokwenda watakupeleka mpaka mlangoni, utaonana na mfalme.
@ndayikezaoscar34672 ай бұрын
UONGO: kwani wote tukitoa kafara tutafanikiwa??? Wapo watu wametoa kafara sana na bado wako vilevile. WAJINGA NDIO WATAFUATA
@msemakweli2432 ай бұрын
Wewe dada huyo unamuita mtumishi wa mungu kwasababu anakupa kazi kwenye channel yake au maana hata kukuelekeza kwa mungu kashindwa wewe hapo ulipo ni chukizo kwa mungu kwa kuvaa mavazi ya kiume badilika kesho ni mbaya yesu anaporudi kukomesha ufalme wa shetani na watumwa wake wakina IPM,mwamposa, devi na wengine