Rukia tunakujua vizuri ww umezaliwa kilimahewa ni mtoto wa 6 katika familia yenu na ni wapili kutoka mwisho ila pamoja na kuishi na mumeo vizuri napenda kukunasihi pia usimsahau mzee wako mama ni mama hata akiwa rikwama hustahili kumdharau unaonekana una sura nzuri lkn roho yako mbaya juu ya mama ako mzazi jirekebishe