MKE WA TUNDU LISSU AWALIZA WATU, AELEZEA YALIYOMKUTA KWA MIAKA MITATU YA KUUGUZA

  Рет қаралды 92,809

Chadema Media TV

Chadema Media TV

Күн бұрын

#ChademaMedia #Chadema

Пікірлер: 103
@atiliogisanganga3964
@atiliogisanganga3964 4 жыл бұрын
Mama wa kazi uko vizuri wewe ni mke mwema Mungu akupe moyo huohuo wa hekima sisi hatuwaachi .tunakwenda na lisu tutamaliza na lisu
@musarichard2934
@musarichard2934 4 жыл бұрын
Wapo wanaombeza Lissu,but if not today..it's tomorrow!..he must be the greatest leader!
@madukaj.j.6999
@madukaj.j.6999 4 жыл бұрын
Hapo ndo mwisho Mkubwa.
@messiasulleydidy2585
@messiasulleydidy2585 4 жыл бұрын
For sure
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 4 жыл бұрын
and eloquent too, but not sure if he will take over this country
@shukranisekaga9609
@shukranisekaga9609 4 жыл бұрын
Mwanamke jasiri sana ww, nakupenda sana first lady! Unaosha!
@jacobmayalla5698
@jacobmayalla5698 4 жыл бұрын
Pole Malkia wa Tanzania,Umepambana Sana,hakika unafaa kuwa Malkia na ninaamini,Utamshauri vizuri Mfalme!!!!?
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 5 ай бұрын
Malikia gan au malkia wa manyumbu? Hahahaaaaa keeeenge
@ULUMBIADAM
@ULUMBIADAM 4 ай бұрын
K,wewe
@AnjelicaBayyone
@AnjelicaBayyone 19 күн бұрын
Mungu ni mwema sana kwa Familia yenu msikate tamaa
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 4 жыл бұрын
Mamma yetu wa Tz aliye tuuguzia kipenzi chetu Mhe Tundu Lisu Mungu akupe baraka zaid kwa mahaba makubwa zaid juu ya Rais wetu Mhe Tundu Lisu ❤❤❤❤❤
@nuhuhatibu1617
@nuhuhatibu1617 4 жыл бұрын
Yaani huyu mama kaongea kwa hisia sana na anaumia sana pole sana mama kwani hakuna mwanadam yeyote yule ambaye anaweza maumivu haya ila tumuachie MUNGU ndio ambaye atahukumu eee MWENZI MUNGU NAOMBA MWISHO MWEMA NISIJE NIKAWA MIONGONI MWA WATU WABAYA🤲🏻🤲🏻🤲🏻🙏🏻
@MagdarenaLunyalula
@MagdarenaLunyalula 8 ай бұрын
Mungu mi mwamifu hakika hamtagarikishwa mungu atawalinfa
@rebecashumbi3450
@rebecashumbi3450 Жыл бұрын
Jina la Yesu lilimuokoa mmeo nawashauri mpokeeni Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yenu tulimuombea mweshimiwa poleni Yesu yuko kazini tuliomba kuokoka ni vizuri mpeni YESU maisha yeni mama pole poleni sana
@johnsonmarick45
@johnsonmarick45 4 жыл бұрын
She a real strong 💪 woman💃👩, Much blessing to you mom.
@hassansamo6823
@hassansamo6823 4 жыл бұрын
Tunaomba mola lissu afanikiwe insha allah
@amanijoel3924
@amanijoel3924 4 жыл бұрын
It wasn’t easy.... it’s not easy ..... we still have long way to go but there is a hope . Through the cloudy ⛅️ I can see an open window ... penye nia pana NJIA ....watching & following you from the 🇺🇸 But Tanzania 🇹🇿 is my home
@simonfundi3609
@simonfundi3609 4 жыл бұрын
Asante sana First Lady wetu
@dorahy1579
@dorahy1579 4 жыл бұрын
Mnajua mlichokoza boss wenu. Mnataka Italia kwa kufanya ujanja ujanja muonewe huruma na mambo yote mlipanga wenyewe. Mnadanganya bongo lala siyo werevu. Mnajuliakana mipango yenu. Tamaa bin Tamaa
@simonfundi3609
@simonfundi3609 4 жыл бұрын
Dorah Y huruma za Mungu zinatutosha hatuitaji izo za maccm
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 4 жыл бұрын
Hongera sana my wifi love u.
@FilbertKalembe-fy4oq
@FilbertKalembe-fy4oq 4 ай бұрын
Duu mungu yupo msjaribu ni sehemu ya binadamu waliofanya haya mungu anawaona
@osodowilberforce
@osodowilberforce 4 ай бұрын
Madam Lissu,we love you.Pole sana.
@murugaisaya6681
@murugaisaya6681 4 жыл бұрын
It's painful hongera sana mama we shujaaa
@santosclassic9935
@santosclassic9935 4 жыл бұрын
Unatetea wanyonge saf kabisa
@simonmdulla8051
@simonmdulla8051 Жыл бұрын
Mungu.akutie.nguvu.mama.endelea.kua.hivyo.
@santosclassic9935
@santosclassic9935 4 жыл бұрын
Rais wetu lissu 🙏 umeshapita
@katwigayona8041
@katwigayona8041 4 жыл бұрын
Dua za kuku
@jevinjacob5439
@jevinjacob5439 4 жыл бұрын
Katwiga Yona kwan ww nani.. paka uone ina shindikan... mbn mlimuombea afe lkn ni mzima wa afya... nyie wajinga tu tutawaonyesha
@wennybarny168
@wennybarny168 3 ай бұрын
Poleni sana
@jonathanmundeda9714
@jonathanmundeda9714 Жыл бұрын
Pole sana na familia yako mama
@ombenipenieli1432
@ombenipenieli1432 Жыл бұрын
Mama usiwashukuru watu,mshukuru Mungu aliemshindia na kumuepusha na kifo
@faustinendama2304
@faustinendama2304 4 жыл бұрын
Pole sana
@sebastiankessy1015
@sebastiankessy1015 4 жыл бұрын
Dah pole Kwa Yaliyo kukuta
@shebymnazi3530
@shebymnazi3530 4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu atalipa kwa yote aliyofanyiwa kiumbe chake tundu lisu tunaamini ivyo
@ayoubabdull1265
@ayoubabdull1265 4 жыл бұрын
Mara pah'Antipasu ikulu ....yaan kuna watu sijui wataenda kuishi nchi ipi maan mzik wake hapatosh ...
@izackhongoli4017
@izackhongoli4017 4 жыл бұрын
apo ukubali ukatae akipta lisu nakuingia ikulu vita inaanza amini nakwambia
@joramkimario2666
@joramkimario2666 4 жыл бұрын
We endelea kuota na otakaaposhwa ukiamka ukafungue milango ya ikulu
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl 2 ай бұрын
Hiiiiiiii tutawakojolea mdomoni hao mubwaa
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 4 жыл бұрын
Aliyempiga risasi ipo siku. Mungu ni mwema na muadilifu, hasahau, hali, hanywi, anampururia. Ipo siku yake
@drtobias_
@drtobias_ 4 жыл бұрын
Chadema Tunaomba SERA JAMANI
@mcjogopah8513
@mcjogopah8513 4 жыл бұрын
Kwani Lazima, uje huku ambako hakuna Sera? Au wewe ndie wale wasiojulikana?
@drtobias_
@drtobias_ 4 жыл бұрын
@@mcjogopah8513 ndugu yangu tusigombane ,sijasema hivyo kwa Nia mbaya,Hii Ni hamu tu ya kumwona Lissu akiwa IKULU
@zacijoe3772
@zacijoe3772 4 жыл бұрын
Mbona Lisu kamwaga sera au umekuwa kipofu
@Omarimakuka
@Omarimakuka 22 күн бұрын
Hana cha maana
@clemencekaogo8826
@clemencekaogo8826 4 жыл бұрын
Inauma sana Kwa binadamu kumfanya mwenzako kama mnyama wa polini mungu atawalipa Kwa yote
@amosmoses7800
@amosmoses7800 4 жыл бұрын
Mheshimiwa mimi kula yangu utaipata iwapo tu utajibu masuali yangu haya - Kwavile wewe ni msema kweli. Na unadai unamuogopa Mungu : ___ 1. Uliahidi milioni 50 kila kijiji. Je! Ututajie kijiji Angalau kiMoja ulizowapelekea. 2. Utuambie hizo ndege. Ni nani alieizinisha ununuzi? Na zimenunuliwa kwa Kiasi gani. Na hadi muda huu zimeingiza faida Kiasi gani. Utuambie sababu za kuzuiliwa ndege zetu mala kwa Mala zikienda nje. Mbona zinaMADENI $ 133 milioni ? Utuambie wanaozipanda hizo ndege ni akina nani? 3. Utuambie Uwanja wa Chato wa kiMataifa ulijengwa kwa Kiasi gani. Nani alieizinisha . Na hela ya ujenzi imetoka wapi? Na kwanini Uwanja huo ujengwa kijijini CHATO ? 4. Utuambie zile Trilioni 1.5 mfuko wa hazina ya selikali zimepotea wapi? Au zimetumika vipi ? Na kwanini Ukamtumbua CAG Mzee Musa Asadi? 5. Mh.Laisi Utuambie kwanini vyombo vyako vya Dola vimeshindwa kuwatambua Na kuwakamata " KIKUNDI CHA WATU WASIOJULIKANA " .? kilichokuwa kinawanyonga Laia zako. Wengine kutekwa. Wengine kupigwa lisasi. Kama bado kipo inchini . Unawakikishiaje laia zako usalama wao? Ili Mo Dewji aondokwe Na hofu. 6. Utuambie wale " mafisadi wawili wa ccm " walioekeza nje ya inchi. Uliwachukulia hatua gani? Mbona hatukukuona ukifatilia miHela yao iyo kwenye Account za nje ya inchi? 7. Mh. Laisi unapoongelea COLONA. Kila kwenye kampeni zako. ivi ni Wapinzani ndio walioileta ? Na Je ! Imeondoka kwa Nguvu za mungu wa Chato au Mungu Mkuu wa mbinguni baada ya maombi yaliofanywa kanisani Na misikitini? 8.Mh Laisi ulidai uchaguzi huu utakuwa wa haki Na hulu. Mbona tayali tunaona wagombea wengi tu wa ccm Na wale wa upinzani wakienguliwa ? 9. Mh.Laisi uliahidi Utajenga mashule na MaHospitali hadi wilayani. Ni hospitali ipi iliojengwa hadi muda huu? 10. Mh.Laisi ulisema inchi yetu ni tajili sana. Mbona laia wako wanaishi maisha duni. Hela haionekani. ? Tunaowaona wakifaidika ni vigogo vya ccm / vigogo vya selikali na watu wa usalama taifa. Wanaozi kujenga majumba ya kifahali kila sehemu Bila ya wasiwasi. 11. Kwanini unawatumia wasanii kwenye kampeni zako zote.? Utuambie hiyo mikataba uliofanya na wasanii. .wanalipwa na hela za nani? KULA YANGU MHESHIMIWA NI KWAKO. UKINIJIBU VISUALI VYANGU IVO. BWANA YESU ASIFIWE ! CCM OYEEE !!
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Mkulya sura mbaya shapeless
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 10 ай бұрын
Lakini amesema ubavu wangu , kwani nisawa kweli nani hapo ndie ubavu wa mwenzake kati ya lisu na mkewe?
@fredreckmwakalinga3475
@fredreckmwakalinga3475 4 жыл бұрын
Wapinzani hasa chadema na Act kama mtawachekea hii Tume ya ccm watawatesa sana lakini ngumi jiwe ndo itaondoa huu upumbavu ya mungu mtu
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 4 жыл бұрын
Inasikitisha
@octavianadolph4577
@octavianadolph4577 4 жыл бұрын
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
RIP LISSU
@dorahy1579
@dorahy1579 4 жыл бұрын
Mmmmh, nao wanalia hawana wa kulilia
@mashannapapaaa9582
@mashannapapaaa9582 9 ай бұрын
Safisana
@deodatusideostusi627
@deodatusideostusi627 4 жыл бұрын
Baba I
@endwardntandu3736
@endwardntandu3736 4 ай бұрын
Mnafiki kama mumeo hats ubalozi was nyumba kumi hapati
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 5 ай бұрын
Huwa nacheka sana nikiwaona waigizaji kama huyu mama! Ulijichelewesha sana kuolewa na chozi anayepinga kila kitu! Hiv mtawaambukiza na watoto ujinga kama huo mlionao poleni sana!
@mussamapesa5632
@mussamapesa5632 4 жыл бұрын
Tutamuomba magufuli ampe kazi mumeo ili na ww upate utulivu maana unaonekana mumeo anakutesa sana
@zainabuselemani6709
@zainabuselemani6709 4 жыл бұрын
akil huna kwan maguful ni mung
@agnesskisima8214
@agnesskisima8214 4 жыл бұрын
Unakichaaaa Cha mbwaaaas
@denismakono197
@denismakono197 4 жыл бұрын
Kwan tunaomba history ya maisha yako umekufa au mwanga Sera unishawish lakin najua rais anajulikana in magufuli upo mama
@mohdhassan8763
@mohdhassan8763 4 жыл бұрын
wovu wakumwa jiji kazienu mbropa nganda
@jevinjacob5439
@jevinjacob5439 4 жыл бұрын
Ww acha kuongea kama mtu unae kosa hoja... kwan hujui nani ndy msema sera saiv wa chama...😂😂😂😂😂😂😂😂😂 tatizo watu wa sisim sio smart kbs mnafanya mambo kwa mazoea
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 4 жыл бұрын
Sera sera tunataka......... sio kuomba huruma........
@hijakisoro5376
@hijakisoro5376 4 жыл бұрын
Sera na hamani broo kua care
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 4 жыл бұрын
kweli
@johnsonmarick45
@johnsonmarick45 4 жыл бұрын
Wewe utampa huruma, au sifa
@jevinjacob5439
@jevinjacob5439 4 жыл бұрын
Yan watu wa sisim bhn.. 😂😂😂😂 nyie mizik ndy sera sera..😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mm ww hata siku chekei nakutukan ww ni mjinga na utoke kweny ujinga... au umetuma... sasa kwa taarifa yako hakuna mtu anaongea sera saiv tofauti na MGOMBEA URAIS BASI NA SIO MTU MWNGN FALA WW
@admaumsengi4230
@admaumsengi4230 4 жыл бұрын
Wewe ni kamanda, wewe ni malkia wa nguvu
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 4 жыл бұрын
Magufuli anatuletea upumbavu was kitoto lazima aondoke. Kwa kutuletea vitendo vya kihuni akili zake taahira kutumia shooting act no good
@yusufuvea5311
@yusufuvea5311 4 жыл бұрын
Utaondoka ww na mamazako Magufuli ndiye wa Tz maumbwa nyie
@katwigayona8041
@katwigayona8041 4 жыл бұрын
Eti aondoke ,,wewe ni kagonjwa ka akili
@jevinjacob5439
@jevinjacob5439 4 жыл бұрын
yusufu vea ndy umemaliza hapo.... mjinga mkubwa ww kwani yy nani paka asiondoke huyo magufuli yan amefanya nn toka aingike au kuongeza DENI LA TAIFA KAPA WATT HATUZA ZAA TUNATAKIWA KULIPA
@yusufuvea5311
@yusufuvea5311 4 жыл бұрын
@@jevinjacob5439 kwani ww tangu uzaliwe umefanya nn mpaka ulipo unakua kama shoga bhana,, kwani we ni kipofu huoni si aliyoyafanya
@jevinjacob5439
@jevinjacob5439 4 жыл бұрын
yusufu vea mashoga wanatambuana aise... mm sijaona kila kitu huwa kina fanywa hvy hvy na marais wote toka uhuru na hata wakoloni walifanya
@subiraabeid588
@subiraabeid588 4 жыл бұрын
Pole sana mama lakini lisu kula yangu simpi
@bakariamour6024
@bakariamour6024 4 жыл бұрын
Kwa iyo hutaki kujua habari za risasi daa we kweli ni fisiam
@bensonzabroni1809
@bensonzabroni1809 4 жыл бұрын
Tunaweza kushinda but kama hatutaeleza lengo la kugombea tutashindwa tunahitaji sera sasa
@HamzaHeri
@HamzaHeri 3 ай бұрын
WEWE MBONA UNAUSO KAMA UNA PULIZA MOTO ALIPIGWA RISASI KWA SABABU YA KUTAKA KUTU SHAWI TUOWANE WANA UME KWA WANAUME NA WANAWAKE 2 KAMA NA WEWE NI MOJA WAO BASI MTAKAASANA BASI TAFUTE KAZI NYINGINE ZA KUFANYA AO NJOONI HUKU MIRERENI TUCHIMBE MADINI BLOCK C ASANTE SANA FATA USHAURI WANGU
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Sura mbaya ya kikulya
@yusufuvea5311
@yusufuvea5311 4 жыл бұрын
Sera hamna kila siku risasi risasi,,, mmekwisha nyie
@jamhurramadhan3707
@jamhurramadhan3707 4 жыл бұрын
Hiyo nihadis yk tukiruhusu kila moja aimuliye majaribu aliyo pitia sijuw na atakuwa rais mana kila moja atakua na matatizo makubwa zaid
@hassannanji3564
@hassannanji3564 4 жыл бұрын
Leteni sera sio kila siku kuhubiria kupingwa risasi.hizi stori zinachosha.You think you are going to win election by using this agenda.it's nonsense.absurd.I believe JPM will emerge winner by 85 percent of votes before 10.00 am
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 4 жыл бұрын
Ubavu wa risas tunajua sasa mwagen sera story nying za nn
@bakariamour6024
@bakariamour6024 4 жыл бұрын
Ata kupigwa risasi pia ni sera tena kubwa
@nebartmuyagala9545
@nebartmuyagala9545 4 жыл бұрын
Historia tulishaisikia tupe sera mama baada yakufikilia kuchukua hii inchi pamoja nakua nindoto ya mchana
@kibwanaMAlly
@kibwanaMAlly 4 жыл бұрын
Inahusiana nanin sasa .
@jevinjacob5439
@jevinjacob5439 4 жыл бұрын
Kwan ww unatutakia nn... mbn wambea watu wa sisim, hofu yenu mnajua kuwa mnatetea uwovu... labla ni kwambie tu umasikin hauondoki kwa kujifangany sisi wenyw.... sisim imefanya nn kweny hii nchi toka 59 hakuna ambacho tuna jivunia ni kizur sio umeme, barabara, maji na biashara.. usiongee kwa ushabiki mjinga ww
@jandpelectronics363
@jandpelectronics363 4 жыл бұрын
SIMLIJIFANYA MTAANDAMANA KUDAI HAKI ZENU KUTEULIWA WALIOFYEKWA NDIPO MUANZE KAMPENI !!!!MBONA HAMUANDAMANIIIIIII??????
@gizakazeno1688
@gizakazeno1688 4 жыл бұрын
Alijifanya mjanja anajua sheria kumuwekea mwamba pingamizi ya kugombea urais,,, sasa watu wakaona isiwe tabu wakamwaga mbga kabisaa fyekelea mbali wagombea ubnge na madiwani...anatafuta jina kupitia jina la mwamba jpm
@mwanasaid6177
@mwanasaid6177 4 жыл бұрын
Sasa habari za risasi sisi za nini?
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 4 жыл бұрын
Kama baba yako ingelikuwaje . Magufuli hafai akili zake taahira mpumbavu was kuileta mafundisho ya shooting act mjinga mwizi bustard
@mwanasaid6177
@mwanasaid6177 4 жыл бұрын
@@abdulrahmansalim9773 mpumbavu mwenyew mbwa wewe habari za magufuli zimekujaje hapa?kwanza unaanzaje kumtukana kiongozi wa nchi? Ww ipo siku mdomo utakuponza
@agustinopaulo3650
@agustinopaulo3650 4 жыл бұрын
Mweshimiwa lisu umesahau wapi nchi yetu ina rasmali nying sana ikiwemo madini y aina nying,hifadhi ya wanyam, maziwa, na megineo mengi vya kuingiza kipato serikali unashidwa nini kusema kila mtanzania aliyefikishwa umri wa miak18 anastahili kila mwish w mwezi apate fungu fulan y hela kweny hudum y benk ili kila mtanzania a enjoy matunda y nchi yake hii ni sehem moja wapo y kupunguza umaskin nchin kwa asilimia kubwa san
@hassansamo6823
@hassansamo6823 4 жыл бұрын
Jiulize senge ww
@brunomirambi8792
@brunomirambi8792 4 жыл бұрын
What's WOMEN?? _Is way organising men
@adenadolph1951
@adenadolph1951 4 жыл бұрын
Magufuli rais asubuhi na mapema kabisa atatangazwa,NGARA CCM NGARA.....JPM 4 ALL 2020
@masala8099
@masala8099 4 жыл бұрын
Masnichi Kama ww mtaumbuka tu
@festolukumay1217
@festolukumay1217 4 жыл бұрын
ngara ndio nini
EXCLUSIVE: MKEWE LISSU AFUNGUKA, NGUMU KUAMINI (PART 1)
26:26
Mwananchi Digital
Рет қаралды 186 М.
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,1 МЛН
World‘s Strongest Man VS Apple
01:00
Browney
Рет қаралды 66 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 81 МЛН
JOHN PAMBALU MAVAA RAIS SAMIA KWA KAUNZA NA MSTARI KWENYE BIBLIA
7:02
Chadema Media TV
Рет қаралды 32 М.
Robert Greene: A Process for Finding & Achieving Your Unique Purpose
3:11:18
Andrew Huberman
Рет қаралды 13 МЛН
Samia AMCHANA "Tundu Lissu" UKWELI Bila KUKWEPESHA!
33:37
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 229 М.
Tundu Lissu Amjibu Fatma Karume Sakata la "Ubaguzi"
16:37
The Chanzo
Рет қаралды 159 М.
Democracy Policy Panel - 2024 GSPP Annual Conference and Alumni Gathering
1:19:39
Goldman School of Public Policy
Рет қаралды 2,2 М.
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,1 МЛН