Hongera sana kaka ila interview imekua fupi na presenter alitakiwa akupe maswali ya wewe kufunguka zaidi Am sure waziri wetu wa Kilimo atakuona well done 🇹🇿🇹🇿
@helentelemla56237 ай бұрын
Nahitaji mawasiliano yako please
@kulwamussa36122 жыл бұрын
Vijana wanaogopa kulima wanawaza hasala badala yakuwaza wajikomboe vipi kimaisha mjini kwenyewe hawana wanalorifanya tatizo lawatala wanataka mgawane hajibule kilimo niutalam kwamimi nilie zaliwa vijijini nafaham vizuli kilimo chakisasa kinahitaji nini kwanza zaokama hili lazima uandae pesa yakutosha ili kiskupe shida badae iwe lahisi kwako
@rinaldaoman78922 жыл бұрын
Ikuta misuzi ni wapu huko
@danielsimwanza10462 жыл бұрын
Tuonaomba namba zake za simu kwa uzoefu Zaid na sisi tunafanya kilimo Kama yeye ni kikund Cha vijana
@mwinjumaganga29952 жыл бұрын
Kilimo ni pesa wew hapo unetumia Hela nying sana kilima mkono ni kuhangaika tu
@deogratiusyudatadei5658 Жыл бұрын
Mwambie bana shida ya watu huwaga hawasemi ukweli hakuna kitu rahisi ww mm nimelima heka 15 mpaka sasahivi sijaotesha lakin nimesha tumia milion 3 sasa jiuze mpaka nioteshe na ifikie tu kukomaa siyo chini ya milioni 5 hapa sijui Kama kunakupata au kukosa acha mchezo hakuna mtu ambaye hapendi kufanikiwa kilimo nikama mgodi tu wa madini unaweza piga Moto hata miaka 5 nausipate kile unacho hitaji
@athmanndeje34252 жыл бұрын
Which type of irrigation?
@benjaminmushi99942 жыл бұрын
Big up kaka , UNALENGO ZURI SEREKALI IKO WAPI? WAZIRI WA KILIMO NAOMBA UMSAIDIE HUYU MWEKEZAJI HARAKA SANA ...JPM ANGEKUWEPO!!
@pixels_tech2 жыл бұрын
Kipindi cha jpm gunia la mahindi lilifika 12,000/=.huko ndo kumsaidia mkulima?
@J4UPro2 жыл бұрын
Hii mbegu ya ASA mmh mbona Mimi imeniamgusha au ni ASA iPi?
@nathanielsteven2186 Жыл бұрын
Ni wilaya gani hii?embu nijuze nifike hapo tuonane
@christophernyambaza75872 жыл бұрын
Mawasilisho
@focusnyigu38182 жыл бұрын
Mawsiliano yako
@charlesmaige22272 жыл бұрын
Samahan ningependa kuuliza I've hua kunamashine za kupukuchua alizeti
@stephanomoses76942 жыл бұрын
Sidhan. Ila zikuanikwa juan ukigonga mara mbili2 inapukutika chini yote