Mtafiti wa Kilimo kutoka Tari Hombolo, Deogratius Shirima anatufundisha namna bora ya kufanya kilimo cha zao hili ambapo anaeleza kuwa ikiwa mkulima atalima kitaalamu anaweza kupata mpaka mavunoo ya tani 1.3 kwa hekta moja.
Пікірлер: 5
@WelibertPeter2 ай бұрын
Habar nasis tuliopo shin,yanga tutumie mbegu gan
@nurusaid56310 ай бұрын
Kama shamba ni jipya( Virginia land) ipo haja ya kutumi mbolea?
@amanijampion304511 ай бұрын
Duh watafiti mmefanya yenu ila tunakosa wataalam wa shamba kusimamia ufanisi
@geraldnyamita2 ай бұрын
Nipo rorya nitaipataje hii mbegu ya alzeti fupi ni rais kuamia ndege shambani