MKULIMA:Nimelima "VITUNGUU EKARI 1 NIKAPATA GUNIA 70" Nategemea zaidi ya million 20

  Рет қаралды 18,295

RUBABA TV

RUBABA TV

3 жыл бұрын

MKULIMA:Nimelima "VITUNGUU EKARI 1 NIKAPATA GUNIA 70" Nategemea million 20
Kama wewe ni mfatiliaji wa mambo ya kilimo, bila shaka utakua unafahamu kwa sasa
zao la vitunguu limepanda bei sokoni. kwani katika maeneo mengi kilo 1 ilikua inauzwa
shilling elfu 1 na sasa sehemu nyingi inauzwa hadi shillingi elfu 2.
hii ni kutokana na sababu kwamba maeneo mengi ni msimu wa mvua kubwa,
na kama tunavyo fahamu nikwamba vitunguu havifanyi vizuri katika msimu wa mvua kubwa.
hivyo imepelekea bei ya vitunguu kupanda bei na gunia linaweza kufika hadi shiling laki 2.
leo nilipata fursa ya kuzungumza kwa njia sms na moja kati ya wadau wetu hapa rubaba tv,
ambae pia kwa muda amekua akilima vitunguu. na yeye kwa msimu huu alilima ekari moja ya
vitunguu ambayo amefanikiwa kupata zaidi ya gunia 70 kwa makadirio. ambapo yeye anasema kwa
hali iliyopo sokoni kwa sasa anategemea kupata zaidi ya milioni 20.
kuna baadhi ya vitu ambavyo alivizungumza na nikaona nivyema niweze kushare na wewe pia kama
ni mkulima wa vitunguu au unapenda kufanya kilimo hiki uweze kujifunza kutoka kwake.
1. Mwanzoni alikua akilima eneo kubwa sana, ambalo lilikua likitesa na kutumia gharama nyingi
na mwisho wa siku alipata hasara, baada ya kugundua aliamua kuacha na kulima ekari moja tuu.
na kwa mujibu wake haikumpa presha sana na aliweza kumudu gharama.
2. Mwanzoni alikua akituma pesa bila kufika shambani, na mara kadhaa amekua akitapeliwa au kukuta
pesa aliyotuma haiendani na kazi iliyofanywa. msimu huu alikua mfatliaji na anashangaa mambo yote
yalienda kama yalivyo pangwa.
3. mwishoni alisema anashukuru kwa sababu ameweza kuvuna msimu mzuri, mwanzoni alikua anapata magunia
machache na kuishia kuuza kwa bei ndogo, sababu wengi walikua wamelima.
CONTACT US
EMAIL: RUBABAIMANI@GMAIL.COM
PHONE: +255(0) 764148221
SUBSCRIBE KUJIFUNZA MENGI ZAIDI
CONTACT US
EMAIL: RUBABAIMANI@GMAIL.COM
PHONE: +255(0) 764148221
SUBSCRIBE KUJIFUNZA MENGI ZAIDI

Пікірлер: 22
@Emmanuelpaul-ro1up
@Emmanuelpaul-ro1up 5 күн бұрын
Napenda sana
@humphreyngallawa5630
@humphreyngallawa5630 2 жыл бұрын
tupeni njia bora za upandaji na utunzaji,sio porojo zako
@patriceondengsendo3674
@patriceondengsendo3674 5 ай бұрын
Kilimo Cha vitunguu vunahitaji ardhi ya aina Gani? Na ni Kipindi gani unatakiwa kupanda. Msimu wa kilimo Cha masika inawezekana ukalima kitunguu.
@mussamwakinyasa5378
@mussamwakinyasa5378 2 жыл бұрын
Nataman napenda Sana kilimo
@sanemagumba-yw7vv
@sanemagumba-yw7vv Жыл бұрын
Mbegu nzuri ya kitunguu ni ipi
@MartinMusyenze
@MartinMusyenze Ай бұрын
Ni ukweli imepanda
@TEACHER.CLEOPHAS
@TEACHER.CLEOPHAS 2 жыл бұрын
Good subject matter.
@RubabaTv
@RubabaTv 2 жыл бұрын
Thanks and welcome
@mwashurutiselemani749
@mwashurutiselemani749 3 жыл бұрын
Morogoro gunia moja tsh.40000. Boss anakuja shambani anavuna yeye baada ya kukulipa wewe mkulima
@ReginaMasalu-hk8ho
@ReginaMasalu-hk8ho 2 ай бұрын
Msimu uliopita kilosa kitunguu kilipanda bei sana
@user-eh4pb9cp4i
@user-eh4pb9cp4i 8 ай бұрын
Ni msimu gani ambapo kitunguu huwa na bei
@sanemagumba-yw7vv
@sanemagumba-yw7vv Жыл бұрын
Msimu mzuri wa kulima vitunguu maji ni ipi?
@godymussa1919
@godymussa1919 2 жыл бұрын
300000
@GodsonJohn-ys3xn
@GodsonJohn-ys3xn 6 ай бұрын
Kwasasa Arusha ni 280000
@dynahdavid2295
@dynahdavid2295 2 ай бұрын
Kwa sasa arusha vitunguu vina bei gan
@kassongokittapa7762
@kassongokittapa7762 2 жыл бұрын
Hizo 20M anazipataje?
@MaryamRajab-of7dj
@MaryamRajab-of7dj 3 ай бұрын
Mm natak namba zako nikuulize maswali kw utulivu WhatsApp tafadhali.
@RubabaTv
@RubabaTv 3 ай бұрын
0764 148 221
@mainakinuthia5000
@mainakinuthia5000 2 жыл бұрын
Hae
@RubabaTv
@RubabaTv 2 жыл бұрын
Karibu
@kassongokittapa7762
@kassongokittapa7762 2 жыл бұрын
Kwani Gunia la kitunguu lina kilo ngapi? Kama ni kilo 100 na bei 1000 kwa kilo, kwa magunia 70 si ni shilingi 7,000,000 tu?
@allymagati949
@allymagati949 2 жыл бұрын
gunia la kitunguu halizid kilo 50 ni sawa
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 77 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 70 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 8 МЛН
EXCLUSIVE: MASHAMBA YA MSTAAFU MIZENGO PINDA NI GUMZO!
26:20
Global TV Online
Рет қаралды 304 М.
Africa Red F1 - Kitunguu kinachokomaa mapema na Huhifadhika kwa Muda Mrefu #tanzania
2:07
Syngenta Africa & Middle East Vegetable Seeds
Рет қаралды 4,2 М.
Jukwaa la Wakulima : Zao la Vitunguu "Channel Ten"
23:18
Channel ten
Рет қаралды 22 М.
Mansuet Mlacha - Mkulima wa vitunguu kutoka Same, Kilimanjaro
9:29
ANSAF - Agricultural Non State Actors Forum
Рет қаралды 32 М.
JUKWAA LA WAKULIMA - PAMPU ZA MAJI ZA NISHATI YA JUA 03.06.2018
25:40
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 77 МЛН