Asante sana kwa chanel hii kutupa injili ilio sahihi wakati wote bila mbwembwe yoyote injili ya kweli ya mtumishi Moses kulole tunaomba sana iandikwe na sehemu ulipo fanyika huo mkutano
@lulanjamd38862 күн бұрын
Hakika moses kulola alikuwa mtumishi mzuri sana wa Mungu wetu na Bwana Yesu Kristo.
@TalitaGoima2 ай бұрын
Injili iende mbele kweli tunabarikiwa sana kwa chakula unavyotulisha wanao kupitia chanel hii
@ivonaevarista46542 ай бұрын
Jamani mwaka huo ndo nililetwa duniani asante YESU KRISTO
@BillMesso2 ай бұрын
MUNGU nipe mwisho mwema.. mtumishi moses kulola yupo paradiso . Wapendwa tupambane katika njia hii iliyo nyembamba ili tufike jimbo la paradiso MBINGUNI...AMEN
@LylianeBauma2 ай бұрын
Kweli yupo paradiso tupambani Mungu nipe mwisho muzuri
@BillMesso2 ай бұрын
@@LylianeBauma kumbe unamfahamu aisee vzr sana , ningependa nikufahamu kama hutojali.
@IsraeliMbaigwa2 ай бұрын
Ameen
@LylianeBauma2 ай бұрын
@@BillMesso yes Nina mufahamu niliyasikiliza mahubiri yake kitambo sana naitwa Liliane
@BillMesso2 ай бұрын
@@LylianeBauma upo wapi liliane??
@FurahiniSanga-i4h2 ай бұрын
Amina injili inaishi bado ila babu umelala lalasalama pumzika salama tutaonana asubuhi inakuja
@nelluhebron4567Ай бұрын
Namuona rafik ake mzee Mwaisabila pemben🙏
@MtuwaMunguNyalukeАй бұрын
Ameeee
@willygidion34042 ай бұрын
Mungu wa mbinguni nisamehe nimekukosea mara kwa mara na ninastahili adhabu yako, Nisamehe Mungu wangu
@benardsiwaluka2 ай бұрын
Ameeeen Mtumishi iwe hivo
@PrinceMbwana-i5o2 ай бұрын
ameni ameni ameni
@lowassaloitore4774Ай бұрын
Amen, Mimi pia Yesu Kristo Anisamehe Dhambi Zangu..
@Jackline-ki7zl28 күн бұрын
MUNGU hasomi msg . Tubu kweli . Na uyaache yote ,amen
@lowassaloitore477428 күн бұрын
@@Jackline-ki7zl Wewe umeyaacha yote??... Roho Ni Neno, Ukishuhudia Dhambi Zako Ulizozifanya Kwa Watu Na Kutubu Kwa Moyo Wa Dhati Kwa Kristo Yesu, Hakika Atakusamehe..
@DavidBrowndonАй бұрын
Amen
@AmonSimfukwe-t7r2 ай бұрын
kwel mungu atuongoze
@AgredaMoyo2 ай бұрын
Mungu nipe neema hiii
@benardsiwaluka2 ай бұрын
Ameeeen
@Nerialulambo2 ай бұрын
Injili isioghoshiwa ndio hiz na ni adimu kwa zama za leo.Jina la Yesu litukuzwe
@danieljumapili10182 ай бұрын
Injili iende mbele
@cosmasmilanzi71172 ай бұрын
YA KALE DHAHABU!
@ivonaevarista46542 ай бұрын
Kabisa
@ShaloMasofa2 ай бұрын
Injili halisi
@MillenMlay2 ай бұрын
Hiv mwakasege ndo alimpokea huyu au walikuwa wote wanapiga injili?..maana 1997 Nina miaka mi4 ..
@CharlesMbunda-og5tn2 ай бұрын
Mwakasege ni mtoto kbs wa kiroho kwa huyu Mzee. Tena aliokoka kwenye mkutano wake!!!
@adkajisi45362 ай бұрын
@@CharlesMbunda-og5tn kumbe na Bishop Zachary Kakobe pia