Nampongeza sana Makonda kwa kukubali kuhojiwa kwa uwazi namna hiyo.
@MrLemunge15 күн бұрын
Hiyo gia ya kujisafisha hakuna majibu hapo
@straton879716 күн бұрын
Nimependa kitu hiki kilichofanyika, pongezi kwa Mkuu wa mko wa Arusha Mh. Paul Mkonda pamoja na Waandishi wa habari Jambo hili ni jema sana kwani linatupa fursa wananchi kufahamu mambo mazuri yanayofanya na viongozi wetu Waandishi wa habari tusaidieni kuchochea mijadala kama huu.
@iamthefarmerceo231616 күн бұрын
Sasa nimeona namna Kikeke an Zembwela wanajua hii kazi. Tamu sana aisee🎉
@OmmyJames-xn7ji16 күн бұрын
MAKONDA THE GOAT 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@SuleAmber-lw2tx16 күн бұрын
Ila Makonda 🔥🔥 namuombea aje kuwa kiongozi wa juu zaidi siku moja
@NgorongoroConservationArea16 күн бұрын
Safi sana
@StevenCharles-w6t17 күн бұрын
Kaka mukuu wa mkoa wa Arusha unatisha mungu alikuona tupe madini❤❤❤❤❤
@AgathaEmanuel-dv3vp15 күн бұрын
kwisha mkuu 🔥
@PhadoGhuliku17 күн бұрын
Kikeke❤❤❤
@martinsokoi39716 күн бұрын
Huyu jembe hotuba nzuri anatoa kichwani hasomi karatazi anabeba hotuba ❤❤huyu ni kichwa kweri kweli.
@yusufuheri652416 күн бұрын
Asante studio 🎙️🎙️🎙️🎙️
@mussababu562316 күн бұрын
Crown Media hasa kupitia KIKEKE mlijioanga kuuliza Maswali mazuri lakin inaonekana kama huo mkutano ni Igizo la Isidingo lisilokuwa na lengo la kuujulisja Umma taarfa sahihi bali n dodoki la kujtakasa.Makonda namkubali kwa utendaji wake wa ubunifu lakin kwa hili kutokujibu Maswali mahsusi na kuzugazuga inaonekana umewadharau maandishi walioenda kumhoji.Waandishi wa Tz wamekuwa kama wa Media za Kenya watanzania weng wangeerevuka.
@eliasnicolaurobath686413 күн бұрын
Mimi namwomba mungu akuzidishie miaka mingi hapa duniani na upate ulinzi wa malaika wa mungu wakulinde milele ameeeen
@shadrachkamyori991116 күн бұрын
Makonda apelekwe Kigoma jamani
@gekstamina833216 күн бұрын
mtu anasema CCM naipenda then watu wanapiga makofi, kuna shida kubwa sana
@paulombay688417 күн бұрын
Ungekuw wakat wa magu hiyo roho nzur ya jamaa hamna
@AngelJoseph-charllo17 күн бұрын
Hapa ni nYumbani
@paulombay688417 күн бұрын
Hizo haki wakat wa magu ulivowasingizia kesi kina gwajima na mbowe ilikuwaj