MWANZO MWISHO KIBANO CHA MAKONDA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI / NI UTATA MAMBO MAGUMU ALIYO JIBU

  Рет қаралды 24,440

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 57
@JumaHusseni-f2n
@JumaHusseni-f2n 24 күн бұрын
Kaka makonda mungu akuongoze kwenye haki simamia haki na endelea kumueka mungu mbele mbele zaida na zaidi nakupenda kwakazili
@goodlucksizya
@goodlucksizya Ай бұрын
Ww nikichwa Cha Tanzania Mungu akupe hekima namaarifa akupe hafya , pia nakutabiria ukuu wa nchi miaka ijayo, Mungu akutunze 👏👏👏👏♥️♥️♥️♥️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😍
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v Ай бұрын
Makonda nikibokoooo! Anakichwa kikubwa Sana, anawawza wauliza maswali Kama wadogo zake makonda nikiboko
@DavidMollel-n9v
@DavidMollel-n9v Ай бұрын
Kabisa pokeaa maua Yako kwa kuona hilo🎉🎉🎉🎉
@franciskarangwa6554
@franciskarangwa6554 16 күн бұрын
Brother Makonda is a very good public Servant [> Even US whom are Not Tanzanians we admire this young guy!!!! His soooooo good in Public administration And a very very very Good political Carder】From the bottom of my Heart >>may The almighty God keep you Safe!!!
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 Ай бұрын
Makonda Mungu azidi kukulinda🎉🎉❤❤
@DonasianPatrick
@DonasianPatrick Ай бұрын
Mungu akubariki sana Makonda, namuomba Mungu atuongezee kina Makonda wavitendo siyo wa jina
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 Ай бұрын
Makonda wewe ni nuru inayongara kigazi na mfano wa kuigwa ❤❤🎉
@jamessumuni1364
@jamessumuni1364 28 күн бұрын
Nimefurahi unajibu Kwa akili kubwa Mh. Makonda....hongera Mungu akulinde
@KopiscoIsaya
@KopiscoIsaya 23 күн бұрын
Makonda I love your Leadership God bless you at all.
@eliasnicolaurobath6864
@eliasnicolaurobath6864 Ай бұрын
Kitu chochote kizuri huwa kinapata mitihani sasa makonda ni kitu kizuri mungu akulinde kwa shari zote hapa duniani
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v Ай бұрын
Makonda nikichwa nizaid ya jaji mkuu
@prof.normanking5722
@prof.normanking5722 22 күн бұрын
Paul, my young brother, congratulations on the well-made responses. Hongera sana
@BarakaLemway
@BarakaLemway 29 күн бұрын
kutokuwepo kwetu hakukubadili utimilifu wa maandiko kuzaliwa kwa yesu wa nazareti kule bethelehemu miaka 2000 iliyopita, kutokuwepo kwetu hakukuzuia kuishi na kuteswa hata kufa kwake wala hakukumzuia yule mwenye haki wa Mungu Mnazareti Yesu, kufufuka siku ya tatu kutoka kwa wafu na sasa kumjua yule mtu wa Amani kama maandiko yanenavyo na kumwamini mito ya maji yaliyo hai(Roho Wa Mtakatifu) inatoka ndani yao wamfanyao kuwa Kristo na Bwana wao katika moyo safi Hakika wataitwa Heri. Makonda Jifiche kwa Kristo wa Mungu nawe utaitwa Heri kwa utukufu wa jina la Bwana.
@hkdarmys
@hkdarmys Ай бұрын
Mhe godbless you upo vizuri keep moving kazi iendelee
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t 14 күн бұрын
Makonda is only the leader of majority powers in our days without doubt...
@athumanimhina1869
@athumanimhina1869 Ай бұрын
Hongera makonda kwa kujibu maswali mengi ya maendeleo bila kuangalia karatasi
@kartelgizemc1590
@kartelgizemc1590 26 күн бұрын
Mimi na makonda damu damu,,, is good leader in Tanzania
@robertmrindoko4038
@robertmrindoko4038 Ай бұрын
Anae jua ni Mungu bn acha tuishi tu
@DMAMEDIA-KKKT
@DMAMEDIA-KKKT 20 күн бұрын
Mungu ni zaidi ya mwamadamu
@patrickjulius1327
@patrickjulius1327 Ай бұрын
Mungu akusaidie
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t 14 күн бұрын
Haki zabinadamu hadikumusahihisha Mungu? Kazi ya.Mungu haina makosahiyonikweli siyo ndoto alichokiumbaMungu..nihalali Mungu hanamusaidiziyoyote walawanaofagilia ushoga hizonishidazao zakiuchimi namaalifayaomachache yanakikomo ikifikiahali yakujaribu kumusahihisha Mungu lazimadunia ishituke hasakama waafrikatungenguwa tunajitambua hiliswala laushoga lisingepita kiurahisi hivi naaminihivyo elimizetu.maalifahayayakutisha yako chini yaMungu maalifahasa ya sayansikwabinadamu yanaukomo. Wanahalakati hasa wajitafakari baadhi yamatamishi ambayo huwawanalipukatu kutamuka kanakwamba wao waliisha fikakwenyembingu yasaba wakawaona viumbewahukowanasemajekuhusuviumbe wahuko wanasemaji juu yauumbajiwa Mungu.
@boychidu
@boychidu 26 күн бұрын
Always I appreciate you sir MAKONDA TUSIPOTEZE MDA SABABU YA KULINDA CHEO
@robertsuna
@robertsuna 29 күн бұрын
Nikiifanyia analysis hii video naweza zua balaa kubwa sana.
@EliasMoyo-g3p
@EliasMoyo-g3p 25 күн бұрын
Yaani makonda usiogope mungu yupo pamoja nawe ata wajaribu je kukuchafulia jina iyo itawashinda tu wew mungu kukulete badala ya magufuli usiogope kabisa nakuakikishia kua mungu yupo pamoja nawe ni kwamba tu Kaa makini na watu unaekaa nao maan binadamu ni wale wale wanarubunika araka sana sababu wengine kwaajili ya Tamaa ya pesa
@HatibuSozi
@HatibuSozi Ай бұрын
Kama hukusika mungu ndio anajua zaidi na kama umehisika majibu tutayapata hapa hapa duniani mana mungu wetu ni muweza wa Kila kitu
@josephndabila9923
@josephndabila9923 15 күн бұрын
Ubariwe makonda
@shirimashirima
@shirimashirima 17 күн бұрын
Mkuu no kukata tamaa
@BahatiChristian-si4ri
@BahatiChristian-si4ri 26 күн бұрын
Makonda ra isi mutarajiwa huyo uposawa mungu akulinde
@TheKaswahili
@TheKaswahili 20 күн бұрын
Majibu konki KABISAAAAA
@IZACKMBATA-dp7cg
@IZACKMBATA-dp7cg 24 күн бұрын
@TheKaswahili
@TheKaswahili 20 күн бұрын
aaaaaaah, hata kama hakuna muonekano si hata macho ni majibu ya matokeo ?
@pendogiz806
@pendogiz806 26 күн бұрын
Yaani Mungu wambinguni niwa ajabu ukisoma bibria samweli wa 1 15:1_35 njinsi Mungu ariagisa sauli akateketeze watu wario kua wakizuwia wa Israeli kutika ejiputa akaenda akaharibu haribu baada yakufanya hivyo samweli akaja akamarizia warivyo agizwa na mungu wakafanya kiunyume yaani ichi hata uwe bawatu wabaya Kuna baathi ya watu wema wazuri ambao wanafasha kazi wario rumwa na Mungu bira taama ya city wanatowa haki yaani hutu Baba makonda naye yupo Kama samweli Mungu wambinguni endelee kumuinuwa nakumufanya daraja watu wengi wapite kwake wakioolea na kufanya mazuri bira kupenda ya dunia
@pendogiz806
@pendogiz806 26 күн бұрын
Atakae pata muda asome samweli wa kwanza 15:1-35
@wilonjabikey8274
@wilonjabikey8274 18 күн бұрын
Makonda ndo Raisi ajaye
@edsonndyetabula6621
@edsonndyetabula6621 23 күн бұрын
Sasa pale kuna kibano gani?
@EtiminSadallah
@EtiminSadallah 9 сағат бұрын
Wandishi wa habali jifunzeni kutengeneza maswali kuludia ludia maswali
@robertmrindoko4038
@robertmrindoko4038 28 күн бұрын
Hao waseng wa mwisho wamewekwa bn kosa waulize maswali wanaleta siasa 😂😂 daah
@hadijasalmini
@hadijasalmini 11 күн бұрын
Nyie waandishi wa habari muulizeni huyo pauro makonda yeye akiwa mkuu wa mkoa wa dar alikwenda kuwanyanganya pesa za kigeni dar magomeni mapipa katika duka la ranger bu re de chenge swali yeye alipata wapi nguvu za kwenda kuingilia biashara ya mtu mwenye leseni na taasisi za fedha zipo benki kuu wapo na hizo pesa makonda alizipeleka wapi
@JumaHusseni-f2n
@JumaHusseni-f2n 24 күн бұрын
Kiujula mimi nakukubari mapungufu nimaumbile yabinadamu
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 22 күн бұрын
Mfamaji haachi kutapatapa. Mwacheni tu atape atape.
@YasserSuleiman-s5y
@YasserSuleiman-s5y 22 күн бұрын
Kaka nakuombea uwe rais wa tz kura zote tunakupa
@daudntanga2717
@daudntanga2717 29 күн бұрын
Nafasi Yako makonda nakuja uijenge mpya
@Yasinmalua-m9w
@Yasinmalua-m9w Ай бұрын
Tatizo makofi ni mengi kwenye upepo kuliko ukwel penye haki ya wananchii ila makonda ni janjq mahana siasq ni mchezo mchafu
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 23 күн бұрын
Kama wewe ungekuwa umepigwa wewe ni vibaya kwenda kuchukuwa gari lako? Unajua kujipanga na maneno kwa sababu ulihusika majibu uliyaweka tangu ulipokuwa unakubali kwenda kuhusika na kitendo cha kumuuwa Lissu. Kwahiyo kujibu Lissu ni lahisi sana.
@TunuAdam-gc9rc
@TunuAdam-gc9rc 8 күн бұрын
Jmn kama amehusika basi mhende mkatoe hushahid achen kulalamik ovyo
@lucasnyahega
@lucasnyahega Ай бұрын
Makonda ushawajua watanzania ni wahivyo endelea kuwadanganya
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v Ай бұрын
Makonda nikichwa Tanzania hakuna
@nickoemily8267
@nickoemily8267 Ай бұрын
Makonda yukovizuri sana,kipenzi Cha watanzania,Mwenyezi Mungu akulinde,akuepushe na Kila ubaya!
@kyaro5945
@kyaro5945 Ай бұрын
Makonda, acha ubazazi. Ulihusika kumpiga risasi Lisu.
@Stewart-l6t
@Stewart-l6t Ай бұрын
Toa ushahidi maana inawezekana unajua
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v Ай бұрын
Kumbe wewe unaomba lisu alipigwa? Lisu hakupigwa Ila atengeneza tukio kwaajili yakumtoa au kumharibia magufuki aonekane anaua wapinzani
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v Ай бұрын
Ukitaka kujua angalia mguu wakulipa umepigwa lkn Gari lilitobolewa kudhoto
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v Ай бұрын
Lisu mhuni pamoja na dereva wake walitengeneza tukio lakujitoboa nakutoboa gari
@JumaHusseni-f2n
@JumaHusseni-f2n 24 күн бұрын
Kaka makonda mungu akuongoze kwenye haki simamia haki na endelea kumueka mungu mbele mbele zaida na zaidi nakupenda kwakazili nzuli
LIVE; TAARIFA KUBWA KUTOKA KWA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI
1:14:37
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
Lissu Akijibu Maswali Magumu ya Waandishi Baada ya Kutangaza Nia
2:00:06
RIPOTI YA MIEZI 6 YA Mhe.PAUL MAKONDA MKUU WA MKOA WA ARUSHA
1:32:26