Safi sana mlinga. Beting zipigwe marufuku. Serikali waache kukusanya kodi kwenye maisha ya watu. Huku ni kuwatia wananchi umasikini.
@edrickmbilig93496 жыл бұрын
asanteh sana mh yan mambo ya kamali niatali sana
@solomonitv78086 жыл бұрын
Ongera sana Mlinga
@nasrimchopa6786 жыл бұрын
Nakubali hoja zako serikali ifanyie kazi mambo haya.
@jeremiahmacharia45755 жыл бұрын
Mlinga ni kiongozi ..hakika kamali ni tisho..nihatali kwa nchi yeyote
@georgenagabona2036 жыл бұрын
Sawa Mzee baba
@husseinhkitambi17016 жыл бұрын
Huyu jamaa sijawahi kuona akizidisha mda kwenye kuchangia yupo vizuri sana
@vicentkijuu58826 жыл бұрын
kweli kabisa
@gilbertalex16516 жыл бұрын
Mbunge wa Vijana🤝🚴🏿🚴🏿🚴🏿
@matayomasunga65666 жыл бұрын
Kamali hata mm ciipendi kabisa.
@geofreykambota20036 жыл бұрын
kwa hili kweli vijana wanalibika mzee nakupa ongera
@prosperjuma9056 жыл бұрын
Mlinga umetuwakilisha vyema katika hili
@aserasakison9716 жыл бұрын
Uislam kweli ni dini ya haki maana yote haya yameshaelezwa ila watu vichwa ngumu. Itafahamika tu.
@mbelelemakomba86456 жыл бұрын
sawa kabisaa mh mlinga
@patrickmalange72946 жыл бұрын
nmekupenda bure kuligundua hilo
@mbumbulicomedians32866 жыл бұрын
sidhani kama kamali inafaida yoyote mwilini, safi sana mbunge
@celinamassawa81476 жыл бұрын
Asante Kaka hata biblia imekataza ni kosa
@mahmoudukusso44886 жыл бұрын
Qur'an 5:90 Hakika ya pombe,kamare,ramli na kuabudia asiye kuwa mwenyezi mungu ni matendo ya sheitani jiepusheni nayo
@shekhekassim64026 жыл бұрын
Kamari bahati nasibu ya Taifa .......Ela ilishalaaniwa kwenye maandiko tokea kale kwenye maandiko
@allymkamba94166 жыл бұрын
Kweri mwishimiwa wambiye kamari Aram
@jasminrashidi41636 жыл бұрын
Kweli kabisa umeongea point mdogo wangu
@saudanikwelibbyjmaneno.kun73726 жыл бұрын
safi. sana. ujumbe. mzuli. kamali mbaya
@njunwafrank1896 жыл бұрын
Mh ukovizuri point zako ila jua kuwa wajinga ndowaliwaoo,hakuna anaelazimisha MTU kushiriki kamari ni hiarii watu wanapenda maisha rahisi bila kufikri tuache kuirahum serikali
@yassindeffu886 жыл бұрын
Yani mimi huwo mchezo unavonikera mno sasahivi kila steshen nikamari tu zinatangazwa
@focustz44086 жыл бұрын
kila mchezo serekali uwa inasaini ndio unakuwepo mnazani tatu mzuka na biko awalipi condi eeee wanalipa kweli
@zaliaathuman6726 жыл бұрын
kama yupo aliyewahi kushinda nà kunufaika ajitokeze hapa ili tujue kama kweli wanalipa hayo mamilioni au ni utapeli tu kwa vijana wetu!!?
@danieldaud41386 жыл бұрын
good mlinga
@danieldaud41386 жыл бұрын
good
@rashidipembe50316 жыл бұрын
ZALIA ATHUMAN mm apa nimeshinda
@kalolomashuhuli98236 жыл бұрын
Yani wewe
@mbumbulicomedians32866 жыл бұрын
sidhani kama kamali inafaida yoyote mwilini, safi sana mbunge