“Prof Ndalichako si ungekuwa Waziri wa masifuri?” -Mbunge Goodluck Mlinga

  Рет қаралды 365,431

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Goodluck Mlinga ambaye ni Mbunge wa Ulanga ni miongoni mwa Wabunge ambao siku zote wakisimama kuchangia Bungeni hawakosi kuacha headline, sasa leo alisimama kuchangia mapendekezo ya taarifa mbili zilizowasilishwa Bungeni ikiwemo taarifa ya kamati ya kudumu ya maendeleo ya jamii pamoja na taarifa ya kudumu ya Bunge kuhusu masuala ya UKIMWI. Sasa leo kashauri Bora Rais Magufuli ateue Waziri wa elimu ambaye hajasoma kabisa.

Пікірлер: 410
@annastephen50
@annastephen50 7 жыл бұрын
hongera mbunge umeongea jambo la msingi sana wewe ni mtetezi wa wanyonge naomba uliyoyaongea kwa uwezo wa Mungu yawaguse watu na yatekelezwe.
@pauldeogratias1037
@pauldeogratias1037 7 жыл бұрын
GOODLUCK UMEONGEA VITU VYA MSING SANAA NA SERIKARI ISPO YAFANYIA MTAONA ZAIDI YA HAPO.MAANA WALIMU WAMEKUWA WATU KUDHARILILISHWA
@kapolesyaba3133
@kapolesyaba3133 7 жыл бұрын
Mlingaaaa! duuuuh! nimecheka sana leo,,,, HONGERA kwa mtazamo na kuwa muwazi.
@juliuskitomari3057
@juliuskitomari3057 7 жыл бұрын
umesema vizuri sana kaka,kwa kweli umefanya wajibu wako kama Mbunge,hayo ndiyo mambo anatakiwa mbunge kuyasema bungeni
@MusaNgao
@MusaNgao 7 жыл бұрын
Asante mkuu umeniwakilisha kwa kile nlichokiona. Unastahili pongezi ya nguvu
@sophiaclemence6076
@sophiaclemence6076 7 жыл бұрын
Angalau Mh.Mlinga leo umeongea point sana kaka..Daah
@ayubusanga3796
@ayubusanga3796 7 жыл бұрын
Sasa hivi mlinga upo kitaifa zaidi, yaan upo vizuri sana dah!
@christinarobhi8263
@christinarobhi8263 7 жыл бұрын
Safi sana 👍👍👍🔥 ufaulu wa mwanafunzi n mwalim hakuna kingine wazir big up sana n kwel unachokisema on point
@lovenessgoodluck3486
@lovenessgoodluck3486 7 жыл бұрын
👏👏👏👍bora ccm muamke mana ccm imepoteza muelekeo
@ibrahimayoubdhahabu984
@ibrahimayoubdhahabu984 7 жыл бұрын
Gooood!!! Uchangie hivyo hivyo sempre.
@martinempuya5974
@martinempuya5974 7 жыл бұрын
Mh... Mlinga mm huwa nakuelewaga sana, wasemee Basi na walimu wa Sanaa waliotelekezwa mtaani toka 2015
@anitangao3135
@anitangao3135 7 жыл бұрын
safii sana mwambiee
@waboreshajitv4808
@waboreshajitv4808 7 жыл бұрын
Martine Mpuya watoto wengi zamani waliuziwa mithihani sasa hapa Nazi, pia hatutaki vyeti feki. Hugo Mlinga afikiri
@waboreshajitv4808
@waboreshajitv4808 7 жыл бұрын
Sasa hivi wanatumia akili zao kwamwendo huo akuna vyeti feki
@ibrahimsamson8097
@ibrahimsamson8097 7 жыл бұрын
kiukweli umeongea maneno ya Hekima sana mheshimiwa
@halimahashim7828
@halimahashim7828 7 жыл бұрын
ni kweli ama jokking tu
@naominyende2141
@naominyende2141 7 жыл бұрын
Guuud! Unaongea point tyuuuuu👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏.
@shekhekassim6402
@shekhekassim6402 7 жыл бұрын
Shukrani zetu katika hilo ela serikali itatoa pamba masikioni
@jumamakuri9176
@jumamakuri9176 7 жыл бұрын
Hongera brother, kwa kuliona hilo. Maziro ni mengi hadi primary achana na sekondari. Bora nyie mnazo hizo semina, kwa mwalimu hicho kitu hakipo. Walishakisahau. Ng'ombe anakamuliwa bila kulishwa mwisho atakamuliwa damu badala ya maziwa.
@marymarwa8428
@marymarwa8428 7 жыл бұрын
Hongera kaka umeongea vizuri ndalichako simama na shule za serikari sana!
@ameyzayumba5628
@ameyzayumba5628 7 жыл бұрын
Mheshimiwa amenena haswaaa asante kwa kututetea baba
@Blackie_blackie9327
@Blackie_blackie9327 7 жыл бұрын
Aswaaaaa!!anatutia hasira sana toka tunasoma....kila siku kubadili Grade.😯😯😯
@saidimtenda82
@saidimtenda82 7 жыл бұрын
Walimu wamekosa watetezi kwa Mara ya kwanza Tz mbunge ametumia muda wake kutetea walimu lkn cha kushangaza wabunge wengne wanacheka, Allah akupe maisha marefu hakuna marefu yasiyo na ncha.
@kizitoleons6291
@kizitoleons6291 7 жыл бұрын
Hongera sana Mlinga umewakilisha vizuri sana wananchi wako
@josephernest155
@josephernest155 7 жыл бұрын
Hongera wabunge wachache sisiemu mnaojitambua
@dullahoroond5241
@dullahoroond5241 3 жыл бұрын
Umeongea point .umeongea na umeona waziri mzigo. Kama kunawaziri mzigo ndalichako mzigo na hatoshelezi kabisaa katika nafasi hiyo. Alistahi awe mwalimu mkuu wa Shule ya Sekindari
@divinemwakapina4059
@divinemwakapina4059 7 жыл бұрын
Hongera naona Leo nimekuelewa.
@agnizzonzengo3093
@agnizzonzengo3093 7 жыл бұрын
we we jamaa nomasana njoo uwe mubunge wetu saluti kwako
@fatmashaban5557
@fatmashaban5557 5 жыл бұрын
Walim wnzangu gonga like hapa
@mercykimuto9882
@mercykimuto9882 7 жыл бұрын
Fact mheshimiwa umeongea Kama mtanzania
@wilbardmussa8232
@wilbardmussa8232 7 жыл бұрын
Ahsante sana Mbunge Wa ulanga safi sana
@emmanuelmwampashe8278
@emmanuelmwampashe8278 7 жыл бұрын
Mlinga Na bashe kwa wabunge wa upande wa ccm mnatambua nini kimewapeleka bungeni hongeleni sana.
@eliasjillanga999
@eliasjillanga999 7 жыл бұрын
Hapo Leo umeongea Mlinga tunaonewa sana
@amishadykiswaga1077
@amishadykiswaga1077 7 жыл бұрын
point mkuu uko vizuri sana
@festomeshack8581
@festomeshack8581 7 жыл бұрын
Uko sawa mh. Mlinga
@giovannygracious3434
@giovannygracious3434 7 жыл бұрын
mlinga nakupendaga bureee mie si unajua eeee!!! walimu wanakaaga kama makomandoooo
@emmyrobert820
@emmyrobert820 7 жыл бұрын
Yani point nzuri xana leo
@oscarmwambonja4417
@oscarmwambonja4417 7 жыл бұрын
Umezungumza Hoja Nzuri #Mlinga.
@josephmwakabungu8385
@josephmwakabungu8385 7 жыл бұрын
Leo Leo Leo umeongea mambo ya msingi tangu umeingia bungeni.Ushauri wangu kwako,jitambue ww ni kijana uliyepata nafasi hii kubwa na ya heshima simama kama kijana mwenyewe dhamira ya dhati kbsa kutetea vijana wa nchi yako.Utumie ujana wako bungeni kwa hoja mzito ukiwawakilisha vijana wa nchi hii.Acha na miongozo ya kuwapotezea mwenzio point,wangalie akina Zitto,walikuwa vijana wadogo kama ww walipoingia bungeni mpk sasa wamekulia bungeni wamekomaa kisiasa wanazo hoja zenye nguvu zilizo shiba zinazomfanya mtu asimama na jambo llte analofanya ili asikilize nn Zitto amebeba kwa ajili ya nchi yake.Wapi wengi Upendo Peneza n.k jifunze kutumia ujana wako vzr ndani bunge uweke ALAMA ktk nchi yako.Leo tunazungumza hbr vzr za Mwl.J.K Nyerere ktk ujana wake angekuwa kama hivyo na mizaha yako bungeni ninaamini ktk ulimwengu wa siasa tusingemfahamu hata kdg .Lkn machachari yake yalianzia Tabora Sec.Sch.Mpk Leo hayupo lkn Mwl kaacha ALAMA,Walikuwepo akina Edward Moringe Sokoine wameacha ALAMA ktk Taifa lao,akina Deo Filikunjombe wanabeba mioyoni mwao mambo ya msingi.Deo alikuwa ni kijana bungeni jifunze kwao lkn bado tunakumbuka dhamira yake kwa vijana na Taifa lake.Dhamana hii uliyopewa nitumie vzr nitumie vzr nitumie vzr.
@gililwise
@gililwise 3 жыл бұрын
Yaani umesema ukweli kabisa Mungu akuinue.
@kennedyjaramba9693
@kennedyjaramba9693 7 жыл бұрын
ukweli mtupu, muna bunge bora watanzaini wezangu ,God will expose corrupt leaders...................
@fadhilisanga911
@fadhilisanga911 7 жыл бұрын
Nimekupenda bule mlinga
@gihokoramachotta3228
@gihokoramachotta3228 7 жыл бұрын
Goodluck Leo nimekukubali.Kipindi kingine waeleze walivyodanganya Taifa kuwa wangepandisha walimu madaraja badala yake wakapokonya walimu madaraja ya 2015 na kuwafanya wapande 2018 ili walimu hao wasilipwe madai ya nyuma.Kwa hiyo hakuna Mwl yeyote aliyepandishwa cheo.Tunaumia sana rohoni.
@floraaloyce6442
@floraaloyce6442 2 жыл бұрын
Safi sana
@festomambwe5131
@festomambwe5131 7 жыл бұрын
Safi Sana nakubari kwa leo ungekuwa na busara za namna hii ya kutetea si kuponda cdm nitakuelewa
@seanthomson7005
@seanthomson7005 7 жыл бұрын
safi sana, keep it up
@jacklinekchawele3700
@jacklinekchawele3700 7 жыл бұрын
safi sana Mlinga!...leo nmekukubali umeongea point!...hahahahaaaa....eti wazir wa masifuri!..
@khamisalirashid5174
@khamisalirashid5174 7 жыл бұрын
This is a very SMART piece of analysis by MP Mlinga.
@WACOPALECOM
@WACOPALECOM 7 жыл бұрын
Leo umetoa point za kutosha safi sana
@pettermollel2531
@pettermollel2531 7 жыл бұрын
Jamni, sante kaka, ndalichako ikuguse basi...., uonefuuu kweli me nimeonewa
@aggreydominickmagombana9388
@aggreydominickmagombana9388 7 жыл бұрын
lelu guyowera sana mtuwa hongera .
@silyadamian5708
@silyadamian5708 7 жыл бұрын
nice, halafu huwez linganixha private na govrnmnt, ety xhule kumi bora badala ya private kivyake na government matokeo yake, Mtoto wa serkal anakula upepo xhule anarudi om wakti private wankula kitabu na mxoxi xhule.........
@aloycesilayo2939
@aloycesilayo2939 7 жыл бұрын
Leo nimekuelewa sana
@hassaniswedy2737
@hassaniswedy2737 7 жыл бұрын
Leo umeongea points
@frankmorgan174
@frankmorgan174 7 жыл бұрын
we genous mzee mbunge fundi
@saidndimbwa4976
@saidndimbwa4976 7 жыл бұрын
Mheshimiwa Mlinga hii ni fact...
@jamesmwasambili381
@jamesmwasambili381 7 жыл бұрын
Katika muda wote ambao nimepata kukusikia Mh Goodluck,leo umekua serious,suala la elimu liko wazi tunazidi kuporomoka,maslahi ya walimu hayatazamwi,mazingira ya kazi hayashawishi,tukitaka kutafuta suluhu ni lazima tutafute tulipoangukia,ni mpaka tutakapoamua kuwasikiliza walimu mahitaji yao ndipo elimu itarejea,inauma sana shule zilizokua zinafanya vizuri sasa zinazidi kuporomoka siku hadi siku.Wapi Mzumbe,Kilakala,Ilboru,Kibaha,Mirambo,Iyunga,Mbeya Day,Tabora Boys/Girls,Loleza,Minaki,Pugu,Ifunda n.k,inasikitisha sana,imebaki historia Top 10 hakuna,Top 100 shule nne tu za serikali.......Hongera sana Mlinga leo nimekusoma,.......Walimu wanaishi kama makomandoo ha ha ha haaaaa,inauma sana
@lucianodeo4103
@lucianodeo4103 7 жыл бұрын
High voltage message
@officialpangaboymtotowamam8014
@officialpangaboymtotowamam8014 5 жыл бұрын
Sana nimekuelewa mubunge
@gidyonmshani5259
@gidyonmshani5259 3 жыл бұрын
Wewe ni mzarendo wakweli na nchi yako, Bg up sana
@mabulamlimbu3177
@mabulamlimbu3177 7 жыл бұрын
mungu akubaliki ndugu
@innocentinnosent4413
@innocentinnosent4413 7 жыл бұрын
Imekaa vzr
@maxmilian9966
@maxmilian9966 7 жыл бұрын
inatakiwa uwe unongea vitu mhimu kama hivi good
@burhanisadik4994
@burhanisadik4994 7 жыл бұрын
kweli kaka,elimu ya Tz inasikitisha sana.
@thomasabwana9627
@thomasabwana9627 7 жыл бұрын
Point nzuri xana mbunge
@amosludutu2352
@amosludutu2352 7 жыл бұрын
that is the point ubarikiwe
@nyanjiramajanjara5432
@nyanjiramajanjara5432 7 жыл бұрын
Mungu akubariki
@mzeewaodds.3745
@mzeewaodds.3745 7 жыл бұрын
Jamaa anaongea kama anachekesha lakini very true points...
@ibratanzania1328
@ibratanzania1328 7 жыл бұрын
Point Tupuuuuuu Bro Mlinga
@kastuliisdory2785
@kastuliisdory2785 7 жыл бұрын
Ibra-Da Husler
@anitakatawa9163
@anitakatawa9163 7 жыл бұрын
Hongera sana Leo umenifurahisha sana mhesjimiwa
@merrymelkiory4654
@merrymelkiory4654 6 жыл бұрын
Umenena sana,hongera
@bensonthobias8401
@bensonthobias8401 7 жыл бұрын
nimekubali
@mlawatv7508
@mlawatv7508 7 жыл бұрын
saaaaf ,msukuma Leo umenena points
@mwansitymbaruku1159
@mwansitymbaruku1159 6 жыл бұрын
leo umeongea point san yaan kweli kabisa ndyo
@ozilrutebuka9659
@ozilrutebuka9659 7 жыл бұрын
Exactly point'"
@farajagoodluck7557
@farajagoodluck7557 7 жыл бұрын
Leo umeongea kwa kweli
@bensonchristopher8163
@bensonchristopher8163 7 жыл бұрын
Umeongea point muhimu sana kumbe unaakili kaka
@anthonyluhumbika4693
@anthonyluhumbika4693 7 жыл бұрын
Hahaha!,umeongea point tupu.Big up mlinga.
@lamecksylvester8399
@lamecksylvester8399 7 жыл бұрын
Jamaa ameongea point sana
@isaackbm1935
@isaackbm1935 7 жыл бұрын
Asnt mlinga👏👏👏
@suzanmaswatu3814
@suzanmaswatu3814 7 жыл бұрын
Toka uwe mbuge leo ndio umeongea point
@josephvicent7278
@josephvicent7278 7 жыл бұрын
Leo umeongea point sana
@mgayamgaya
@mgayamgaya 7 жыл бұрын
Leo umeongea point,
@omarymwigula5479
@omarymwigula5479 7 жыл бұрын
Kumbe mlinga km mnara wa simu Wakati mwingine unakaa sawa hongera kw leo
@bonabonala7685
@bonabonala7685 7 жыл бұрын
Hapo point ccm mkiwa hivi tutawakubali
@davidbalele8770
@davidbalele8770 7 жыл бұрын
Hongera
@psterinishayo4270
@psterinishayo4270 7 жыл бұрын
Good speech ila angalia utachuzwa na wenzio huwa.hatakagi kuambiwa ukweli
@humphreynestory1005
@humphreynestory1005 2 жыл бұрын
Hapo sawa
@jestamkumbwa9780
@jestamkumbwa9780 6 жыл бұрын
mungu atusaidie tulomaliza vyuo maana hali ya ndalichako so yenyewe
@laurentthomas8851
@laurentthomas8851 7 жыл бұрын
nzi akiacha ujinga anaweza kutengeneza asali
@sangapaul8530
@sangapaul8530 7 жыл бұрын
baba leo umenifurahisha wewe n 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@boniphacejoseph3389
@boniphacejoseph3389 7 жыл бұрын
Toka nikujue leo ndio umekuwa mbunge. Umeongea point kbs japo siipend CCM lkn tunahitaji wabunge kama hawa msiangalie uchama. Big up comedian Mringa 😂
@kelvinwilliam5145
@kelvinwilliam5145 7 жыл бұрын
Fact mzeeeeee😍😍😍😍😍😍
@cathymosha9652
@cathymosha9652 7 жыл бұрын
Km sio CCM vile nice point
@mvughamramba1804
@mvughamramba1804 7 жыл бұрын
Mbona ya kawaida tu haya, maana kama ni utekelezaji wake labda baragumu likilia, na wafu wakifufuliwa ndipo ziro, na madai yatakaponishia hapo
@dangote2554
@dangote2554 7 жыл бұрын
Safi sana aisee
@irmgardsamia1827
@irmgardsamia1827 7 жыл бұрын
Leo mzee umeongea point!
@snoda8056
@snoda8056 3 жыл бұрын
Leo kaupiga Mwingi
@mnyongalugata7080
@mnyongalugata7080 4 жыл бұрын
congratulation goodlucl
@pilycotar8448
@pilycotar8448 7 жыл бұрын
Kiukweli leo umejitahidi tunataka wabunge wote wa ccm muongee point kutetea maslahi ya wanyonge
@yohanakananika3586
@yohanakananika3586 7 жыл бұрын
Nice
@gezaulole7988
@gezaulole7988 7 жыл бұрын
Binafsi namkubali sana mlinga huwa anaongea km comedy flan ila huwa anaongea point sana
@ngailofabiana1501
@ngailofabiana1501 7 жыл бұрын
Nimekupenda bureeeeee!
@siamollel9725
@siamollel9725 7 жыл бұрын
Leo umejitahi kaka
@jamesjjoseph5908
@jamesjjoseph5908 7 жыл бұрын
Nimeipenda
@rahimmaumba4504
@rahimmaumba4504 7 жыл бұрын
Safii nimekuelewa vizriii....
@jumanneelias8005
@jumanneelias8005 7 жыл бұрын
Good point MH
@mcmpoma2593
@mcmpoma2593 7 жыл бұрын
Mlinga nakukubali ulanga oyee
@edwinmtega4612
@edwinmtega4612 7 жыл бұрын
Mungu yu Mwema
'Uliskia wapi?': Mbunge Seleman Bungara (Bwege) funny compilation
3:00
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
MrishoMpoto
Рет қаралды 226 М.
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Halima Mdee Vs Goodluck Mlinga Bungeni
21:52
Millard Ayo
Рет қаралды 720 М.
Prof Kabudi awarudisha wabunge shuleni kwa muda
25:42
Mwananchi Digital
Рет қаралды 308 М.
Mkasi | S14E03 with Mohammed Dewji Extended version
35:56
MkasiTV
Рет қаралды 1 МЛН
Sh Xassan Al Waajidi Maxa Lagu Heystey Marku Laha Qabilta Sh Xassaan Abu Salmaan
22:08
imam shafici media قناة الإمام الشافعي
Рет қаралды 63 М.
ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO
17:08
Global TV Online
Рет қаралды 561 М.
Sikia Mapovu ya Mbunge Ally Kessy kwa Wazanzibari!
5:13
Global TV Online
Рет қаралды 80 М.
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН