Mocco Genius - Mar Gaya (Lyrics Video)

  Рет қаралды 339,097

Mocco Genius

Mocco Genius

Күн бұрын

Пікірлер: 956
@omaryluambano3495
@omaryluambano3495 6 ай бұрын
Mziki mzuri uwa ujifichi kama unakubalina na mimi like apa twende sawa team mziki mzuri 🎧❤️
@salimhsaidi7696
@salimhsaidi7696 Күн бұрын
tunafungua mwaka2025🎉🎉🎉🎉🎉gonga like
@TUTU-g2x
@TUTU-g2x 6 ай бұрын
Kaka mocco, nisiwe muongo huu mwaka hamna nyimbo km hii ww ni bonge la artist unaejua kubadil radha yan bac ni jina 2seme lkn hii ngoma ilitakiwa kuwa 1 on trending 2siwe waongo kaka mpk nacomment namaanisha huwa sicomment ovyo jaman mpen mkono mocco .....🙏🙏🙏
@AziziSalehe
@AziziSalehe 6 ай бұрын
Umeachwa lin kaka😂
@Heisbilluh
@Heisbilluh 6 ай бұрын
​@@AziziSalehe😂😂😂 ukorof TU kuoga aaaah
@GodsonGadsny
@GodsonGadsny 5 ай бұрын
We ni mdada bila ubish😂😂😂😂​@@AziziSalehe
@MFLC-
@MFLC- 6 ай бұрын
Hakika kwa bongo fleva Tanzania ndo inasonga mbele kimataifa❤❤❤❤❤❤
@directorkali5245
@directorkali5245 6 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mohcreative
@mohcreative 6 ай бұрын
Bongo fleva manake ni fleva za bongo km cjakosea
@MFLC-
@MFLC- 5 ай бұрын
Ndio​@@mohcreative
@festonoma
@festonoma 6 ай бұрын
Ngoma yangu pendwa 2024 Aya mayatima wamapenzi km mm gongeni lake 👉👉
@kisapionlineinfochanel720
@kisapionlineinfochanel720 6 ай бұрын
Kama umeikubali nyimbo kama mimi gonga like kwenye comnt hii tujuane
@Chunkie_Bwoy
@Chunkie_Bwoy 6 ай бұрын
Nice
@erivannytz5342
@erivannytz5342 6 ай бұрын
Kama umerudia zaidi ya mara mbilii huuu wimbo tujuane hapaa
@BennyboneBone
@BennyboneBone 5 ай бұрын
Kwanini ulichelewa kuanza music naombeni like wa ajiri ya huyu mwamba🎉
@witnaofficial
@witnaofficial 6 ай бұрын
Uyuu anaimba vizuri kuliko wasanii wa kubwa tz,
@SharifaJames-t5s
@SharifaJames-t5s 6 ай бұрын
😮
@YCBSALOON-ev4wk
@YCBSALOON-ev4wk 6 ай бұрын
Kihindi kidogo ngoma kali broo
@benardsimtowe1719
@benardsimtowe1719 6 ай бұрын
Fundi sema unge ifanyia remx na kiba nyimbo kali sana
@Tcher90
@Tcher90 6 ай бұрын
Angefanya remix na shreya goshal. International is the way.
@abbynendy5237
@abbynendy5237 5 ай бұрын
Hakika iko vyema sana
@VicentSimon-n4p
@VicentSimon-n4p 2 ай бұрын
Kuifanya peke yake ndo imekuwa poa angeingia msanni mwingne pengne angeiharbu
@dr_donye
@dr_donye 6 ай бұрын
Mocco genius kila ngoma ya moto 🔥🔥👑 lazima ukalisheeee
@Chunkie_Bwoy
@Chunkie_Bwoy 6 ай бұрын
Ushaa nena
@gabrielchilango1927
@gabrielchilango1927 6 ай бұрын
Hatari big tune feeling it from 254msa kenya mocco genius mwenyewe
@Tcher90
@Tcher90 6 ай бұрын
Mocco mtu asikuambie haujui…!!! Natamani ungemshirikisha Shreeya Goshal verse 2. India yote ingekukubali. Much love bro from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪.
@VicentSimon-n4p
@VicentSimon-n4p 2 ай бұрын
Kihindi kingekuwa kingi kwenye verse ngoma imeharbika yan alivyoweka maneno machache ya kihind ndo imekuwa poa
@majaliwasidi1293
@majaliwasidi1293 6 ай бұрын
ungemshirikisha mbosso ingeenda snaaa, ngoma kali
@kibudimpoz
@kibudimpoz 6 ай бұрын
Ngoma kali sana sema round hii rmx ufanye na yammy maana anachembe chembe za in🇮🇳
@Majaliwa-lr5sh
@Majaliwa-lr5sh 6 ай бұрын
Mocco genius anajua mpaka anakera,naomba kiba aifanyie challenge ❤
@BlackvoiceOg
@BlackvoiceOg 6 ай бұрын
Chuma kwa moko nipeni like zangu hapa❤️❤️❤️❤️❤️🎉
@enockgogy5458
@enockgogy5458 6 ай бұрын
Ngoma kali sana ira ungeua angekwemo mkuu alikiba mzee wa yooo
@althamdb5501
@althamdb5501 6 ай бұрын
Tushawachoka hao
@Peterpinchez7979
@Peterpinchez7979 6 ай бұрын
Wow bro mocco genius hii nimekubali one love bloody from USA 🇺🇸
@Jk_rules_
@Jk_rules_ 6 ай бұрын
Tamu Sana❤
@AmishaMgalla
@AmishaMgalla 3 күн бұрын
Atali sana kaka unajuwa ngoma kali knooma
@Abraham_official-3
@Abraham_official-3 6 ай бұрын
Nilikuwa nakuchukulia poa sana kwenye music 🎶 sorry kaka. 🙌🙌🙌
@SOS_VILLA
@SOS_VILLA 5 ай бұрын
Me too
@KostantineSwai
@KostantineSwai 5 ай бұрын
Noma kaka kazi kali sana
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 4 ай бұрын
bado ujasema
@MR-SHARK19
@MR-SHARK19 2 ай бұрын
Kabisa kaka jamaa ameuwa kinoma
@HidayaShaibu
@HidayaShaibu 29 күн бұрын
Yani Mimi kama wew hii nyimbo imekuwa pendwa sana kwangu🎉❤
@djhdscratchmaster4110
@djhdscratchmaster4110 Ай бұрын
Melody 100% Instrumental 100% Vocal 100% Kiufupi wimbo ni dope hauna kasoro
@scoladelicious987
@scoladelicious987 6 ай бұрын
Icho kihindi tutaweza kukalili kwel ila uko vzur 🎉🎉
@radhiajafari8355
@radhiajafari8355 14 күн бұрын
Vizuri mpnz mocco❤❤❤❤❤😂 naomba coment zang
@Casshboy_tz
@Casshboy_tz 6 ай бұрын
Mocco ajawai kuniangusha twende kazi likes mara2 mb2❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@Mkubya
@Mkubya 6 ай бұрын
Kazi nzuri kaka kuanzia LEO mm fan wako
@AloyceAdson
@AloyceAdson 4 ай бұрын
Kaka sema mimi nakuomb san kwa mungu ufike mbali sana maana kitu kizuli akijifichi kabis
@JejemingaMinga
@JejemingaMinga 6 ай бұрын
Bahilam wanawake awaogopi moto 🔥🔥nasisi wanaume tiwapeleke moto🔥🔥🔥😱😱
@johnpetro1069
@johnpetro1069 6 ай бұрын
Uko kwenye safari nzuri kijana mwenzangu❤❤❤❤ Good music ❤❤❤❤i really love it
@frankmanyelezi215
@frankmanyelezi215 6 ай бұрын
Nimeludia zaid ya mal tatu hiii nyimbo broo umetisha sana
@allymwilu8089
@allymwilu8089 6 ай бұрын
Mwenye mziki wake fundi kabisa
@uncle_b_vet
@uncle_b_vet 17 күн бұрын
Hii nyimbo nzuri sana sijui kwann naiangalia kila siku 😢😢😢😢
@chidi_don
@chidi_don 6 ай бұрын
Unajua sana 🔥📌
@VicentSimon-n4p
@VicentSimon-n4p 2 ай бұрын
Unaandika broo na unaimba sio poa
@YCBSALOON-ev4wk
@YCBSALOON-ev4wk 6 ай бұрын
Oy broo ngoma Kali
@medicruela
@medicruela Ай бұрын
Kaka nimetoka 2030 kuja kukuambia Amna mziki mtamu Kama huu hapa ulimwenguni ❤umetisha😊
@nanadimpozy7730
@nanadimpozy7730 6 ай бұрын
Ngoma yangu ya mwaka hii hapa kutoka Kwa Moco, hizo zingine gawaneni
@faza4023
@faza4023 3 ай бұрын
Wazee wa nyimbo za kihindi hapa tumefika
@bashlayzer8447
@bashlayzer8447 6 ай бұрын
Moko unajua mpka basii tenaaa nime kuadd kwenye list za wasanii wanao konga moyo wangu❤❤❤
@anuaralmas8620
@anuaralmas8620 6 ай бұрын
doooh❤ alooo linajua bhna ili jmaaa💥
@dexterrockbeats7871
@dexterrockbeats7871 6 ай бұрын
noma sana mdogo wangu kazi nzuri
@Chida
@Chida 6 ай бұрын
Umetishaaaaaa sana mwambaaaaaa
@bernardamandus4122
@bernardamandus4122 6 ай бұрын
Genius ni mmoja tu bongo hii..Ngoma kali Mocco@Music in Blood
@MahonaKennedy
@MahonaKennedy 6 ай бұрын
Moto wa mocco sio kitoto
@frankgerard715
@frankgerard715 6 ай бұрын
AAAAAAH MOUJAA 👆 njoo Kwa comment tu, support MOOOOCCO
@WilleTz-z5o
@WilleTz-z5o 6 ай бұрын
Chukuwa mauwa yako 🔥🔥🔥🫡🫡 unajuwa kaka 🫂🫂
@kevoo_Tz
@kevoo_Tz 6 ай бұрын
Duuuh umefanifany niludie ngoma mala kumi
@paulmoshi
@paulmoshi 5 ай бұрын
Same as me my blood❤
@akidakijazi3371
@akidakijazi3371 6 ай бұрын
Unajikuta sharkhan mdogo angu😂😂🎉
@konimaster5868
@konimaster5868 6 ай бұрын
very emotional,my 1st emotiomal song this year ever.kama unakubal like
@Bakari_motors7
@Bakari_motors7 3 ай бұрын
Hii chuma sio poa❤
@mukrimkhamis678
@mukrimkhamis678 6 ай бұрын
Mocco Genius Genius mocco Gonga likes kma na ww Genius##
@Directorshadeah
@Directorshadeah 6 ай бұрын
Uyu ndio alikua ataki kuimba waka mlazomisha Anza kuimba ila mocco sasa izi ngoma tungezipata wapi tz🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@alexelieza8802
@alexelieza8802 6 ай бұрын
Dah, mocco unanipa mawazo ya kuanza kukufatilia, kichupa🔥🔥👏
@MTone-ql5nn
@MTone-ql5nn 6 ай бұрын
Kaka unajua sana mungu kakubariki by Musa 🎶
@AziziAlly-xc6nm
@AziziAlly-xc6nm 6 ай бұрын
Uyu jamaa anajua sana
@SelestineLoya
@SelestineLoya 6 ай бұрын
Daaaah kali sana
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 6 ай бұрын
Ngoma Kali sana
@BRANDDECCAMUSIC9850
@BRANDDECCAMUSIC9850 2 ай бұрын
Brand Decca from Kenya kazi nzuri kaka ❤❤
@AllyMwarrabhouh-b2o
@AllyMwarrabhouh-b2o 5 ай бұрын
Nyimboo kalii Sana nimesevu yakuitia namb Moja na namba mbili na upande wa sms nyimbo ndo hiii kaliiiii sanaa
@ChumpaMaster
@ChumpaMaster 6 ай бұрын
Mtaalam wa mziki @Mocco Ginius
@donlule7752
@donlule7752 6 ай бұрын
oyaa bado 👑 Kiba atie unyama wake apa ndani ama mwasemaje wana ndugu?
@Patrick-n3j2s
@Patrick-n3j2s 20 күн бұрын
Mmh Hapana bro ..duh Imetixha sanaaa
@chagaboy255
@chagaboy255 6 ай бұрын
Akitoka Jay Melody,uyu Ndio Msanii Wangu wa Pili Kipenzi 💗💗💗💗🔥🔥🔥
@Mkubya
@Mkubya 6 ай бұрын
Ushauri promote huu wimbo vibaya sana kaka, ongea na management vizuri utafika mbali
@stanleyngonyani1441
@stanleyngonyani1441 6 ай бұрын
Ii ngoma kali siju wabongo wanataka nn❤❤❤
@morganmachairi2090
@morganmachairi2090 6 ай бұрын
Hakika huyu ni fundi.nipee likes za mocco
@EsthermsafiriEsthermsafiri07
@EsthermsafiriEsthermsafiri07 28 күн бұрын
nakubali sana iyo nyimbo
@Kibanation99
@Kibanation99 6 ай бұрын
Kali
@dannyb_muzik
@dannyb_muzik Ай бұрын
Nimeipenda...🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenyans in the house,tupige like
@Zuchu11
@Zuchu11 4 ай бұрын
Wimbo wangu wa mda wote.
@LilaFrancis-c8m
@LilaFrancis-c8m 3 ай бұрын
Wimbo wangu pendwa mwaka 2024❤❤❤
@Gbwoyke
@Gbwoyke 6 ай бұрын
Imenikumbusha mpenzi wangu alivyio nifanya ushenzi😭😭😭😭
@DainaNgonda
@DainaNgonda 6 ай бұрын
mocco is trying to show dem artist whos boss...keep it up mamen
@KedyTz
@KedyTz 6 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@khizzer_jr
@khizzer_jr 6 ай бұрын
Remix Yammy ataweza sana Mocco
@theblacktrader101
@theblacktrader101 Ай бұрын
❤❤ from India Pyaar kya huwa
@FaithJones-jjb
@FaithJones-jjb 4 ай бұрын
Kenyan here 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@biasharingo5643
@biasharingo5643 3 ай бұрын
Present🖐️
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 6 ай бұрын
WaBongo sijui kama kuna kitu wanachoshindwa
@AziziSalehe
@AziziSalehe 6 ай бұрын
Mtafute mbosso mpige remix hii kubwa kaka🔥🔥🙌🏼
@magreciousthomas3527
@magreciousthomas3527 3 ай бұрын
Unajua mpk unajua ten❤❤❤🎉🎉
@Dice_tz
@Dice_tz 5 ай бұрын
Duuuh Mocco unajua kaka, uandishi🤌🏾🔥
@Peterngalula-xo1el
@Peterngalula-xo1el 6 ай бұрын
Huyu jamaa Dah!!!!! 😮😮😮😮 Kunamda siamini kama ni yeye asee bonge la nyimbo yani
@mtaalamu_255
@mtaalamu_255 6 ай бұрын
Mziki mzuri sana! 1:20
@KelvinRemmy-hu8vn
@KelvinRemmy-hu8vn 6 ай бұрын
Mocco u r so talented brother 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🌞 hii mar gaya sio poa
@Malandodaudjr
@Malandodaudjr 6 ай бұрын
Nimekubali kaka ni noma sana 🎉 hili goma Kali sana
@AbubakariRamadhani-t1s
@AbubakariRamadhani-t1s 15 күн бұрын
Nakupa maua yako maana nakukubali xan
@KellyKana-q1t
@KellyKana-q1t 3 ай бұрын
Hua nahs kama sio mtanzania jaman kaka mocco anajua na anajua tena daaah kaka basi tu ila MUNGU abariki kazi za mikono yetu atuondolee mikosi unajua sana
@BarakaAllen
@BarakaAllen 6 ай бұрын
Mocco karibu mjini
@ChamaSnake-v4p
@ChamaSnake-v4p Ай бұрын
Nyimbo pendwa❤
@WethaMigoi
@WethaMigoi 6 ай бұрын
Awesomeness ❤❤❤
@FeisalBinfeisal
@FeisalBinfeisal 6 ай бұрын
Mziki mkali sana hu kweli we niginius🎉🎉🎉
@naftalkipngeno4482
@naftalkipngeno4482 6 ай бұрын
nimeungojea Sana huu wimbo kaka
@gervassamweli6141
@gervassamweli6141 3 ай бұрын
Nimeurudia siku nzima nyie mapenzi yanauma sana 😢😢😢❤
@edwardkasmiri5460
@edwardkasmiri5460 6 ай бұрын
Daaaah una balaaaa Mwambaaaa
@sapiinesh1211
@sapiinesh1211 6 ай бұрын
Huyu mwamba mkalii 🔥🔥
@akidakidinilo9616
@akidakidinilo9616 6 ай бұрын
hii ngoma kali sana,hapa ulikaa ukaandika kw ufund wa hali ya juu
@pancrasshirima
@pancrasshirima 5 ай бұрын
Wimbo mzuri hongera
@NussratyHammyqueen
@NussratyHammyqueen 2 ай бұрын
Sichok sikiliza hii ngoma❤
Mocco Genius - Yamenishika (Official Video)
3:20
Mocco Genius
Рет қаралды 396 М.
Whozu - Mii (Official Lyrics Video)
3:14
Whozu
Рет қаралды 926 М.
🎈🎈🎈😲 #tiktok #shorts
0:28
Byungari 병아리언니
Рет қаралды 4,5 МЛН
$1 vs $500,000 Plane Ticket!
12:20
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН
#behindthescenes @CrissaJackson
0:11
Happy Kelli
Рет қаралды 27 МЛН
SLIDE #shortssprintbrasil
0:31
Natan por Aí
Рет қаралды 49 МЛН
Mocco Genius - Sina (Official Video)
3:01
Mocco Genius
Рет қаралды 33 М.
Yammi feat Nandy - Lonely (Visualiser)
3:29
Yammi
Рет қаралды 2,3 МЛН
K2ga - LEO (Official Music Video)
2:54
K2ga
Рет қаралды 331 М.
Marioo - Salio (Track No.7)
3:24
MariooOfficial
Рет қаралды 378 М.
Buki - Ikitokea (Official Lyrics Video)
3:36
Buki tz
Рет қаралды 306 М.
Alikiba feat Jay Melody - Hatari (Visualiser)
3:30
Alikiba
Рет қаралды 1,7 МЛН
Aslam Tz - Hanipendi Tena (Official Music Video)
3:46
Aslam
Рет қаралды 270 М.
Mocco Genius feat Marioo - Mi Nawe (Official Music Video)
2:42
Mocco Genius
Рет қаралды 3,4 МЛН
Mocco Genius feat Alikiba - Mchuchu (Official Music Video)
2:51
Mocco Genius
Рет қаралды 696 М.
Darassa feat Zuchu - Romeo (Visualiser)
3:36
Darassa
Рет қаралды 2,2 МЛН
Kalifarniya- UAQYT (feat Qarakesek)
2:55
Kalifarniya
Рет қаралды 930 М.
Sivchik feat. Badabum - Бадаладушки (КЛИП 2022)
2:25
FLAGMANMUSIC ® | MUSIC COMPANY
Рет қаралды 5 МЛН
Әбдіжаппар Әлқожа - Табайын жолын қалай (cover)
3:01
Әбдіжаппар Әлқожа
Рет қаралды 125 М.
Emkal - Oublie-moi (Clip officiel)
3:00
EmkalVEVO
Рет қаралды 6 МЛН
A Car Trip to My Grandma | D Billions Kids Songs
2:05
D Billions
Рет қаралды 2,3 МЛН
Милана Хаметова & Milana Star - ЛП ( Премьера клипа 2022 )
2:19
Милана Хаметова
Рет қаралды 11 МЛН