Yaan mm nyimbo za midundo ya hv zinanikosha moyo 🎉🎉🎉
@lio281834 ай бұрын
Kompa Love hiyo(zouk flani hivi ndani yake ila ina vionjo vingi)
@Halimazuberi-v8k4 ай бұрын
Sikiliza pia nyimbo ya loynizer ft lodymusic inaitwa utanishikuru😅
@cuteliciacutelicia39684 ай бұрын
😂😂😂nilijua nimimi tu😂😂 ivi hii miondoko wanaiitaje? Ndio compa au zuku? Napenda sana
@lio281834 ай бұрын
@@cuteliciacutelicia3968 hii ni kompa love(ni zouk ambayo ina vionjo vya kutoka visiwa vya Haiti)
@Swahili144 ай бұрын
Km Zawadi ya Zuchu💥🙌🏿 @@cuteliciacutelicia3968
@MFLC-4 ай бұрын
Anamkubali Whozu gonga like hapa ni 🔥 let's do this now
@LudovickThobias-kd7ni20 күн бұрын
Whozu mim mpenzi wa Rumba Sana Ila hii nyimbo imetulia Sana big up Sana whozuuuuuuuuu
@AllanKabuga-k2d4 ай бұрын
Nakukubal xana my brother whozu.
@tuppahpremium4 ай бұрын
Mashairi mazuriiii, Melody kariii, beat kariiii ILA ILA .... NYIMBO INAMUHITAJI MARIO AU J MELODY. WHOOZE UMEUWA #NIPINGE MIMI NANI#
@RoonyMwachideu4 ай бұрын
Eehh wapige remix
@JaimeNyari12 күн бұрын
Great work bro wa nyumbani 👍
@sembojwamaterial84094 ай бұрын
Asifiwe producer kwa malimba alotandikaaa..saluuuuuuteeee"
@ElizabethMgeni-jo5vl3 ай бұрын
Siku hizi whozu kaacha kuimba zile nyimbo zake za zaman anaimba za kutulia adi raha🎉🎉🎉😊
@Allistar-20244 ай бұрын
Weweeeeeeee goma Kali kinoma
@ActorManAyb4 ай бұрын
Pacha wangu ni wamoto one of the best song kuwah kutokea hii bongo
@olivierbarutwanayo59624 ай бұрын
Drama-T juu unajua kuwapatia mfano watu 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@Dusenge-TV4 ай бұрын
I know right 😂kumbe Burundi tunaibwa!?🤔yaani nimeshangaaa!
@olivierbarutwanayo59624 ай бұрын
@@Dusenge-TV ntidutamba twirorera
@alphonsesakindi4 ай бұрын
That’s what I was about to say , totally 100% video couple past.
@MaajabuMayaka4 ай бұрын
We mpuuz huu wimbo umetulia san...hauna kelel maneno yanasikika vzr
@mosesthuranira65534 ай бұрын
nimerudia huyu wimbo mara 10× thanks my brother woozu full Respect bloody keep doing such a good music kwa ufa leo nimepiga kelele hadi jirani ame call 911 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 best song of this sweet august 💖
@ismailgerald83394 ай бұрын
Nimependa aliyepiga instruments imekaa powa sana
@dozeboy2544 ай бұрын
nimekubali sana mwanangu whozu
@ZuhuAthuman-hd9qf4 ай бұрын
Kutoka kijijini,mtaani,mkoani kwetu tumekubaliana huyu wimbo ni wataifa ukitoa comasava master piece
@JosephatHaule-rw8xn4 ай бұрын
Ngomali whozu nakufatilia toka unatoa crip za comed
@moneLy6ix9inecode4 ай бұрын
Ata mm
@AhmedkhamishajiKhamis21 сағат бұрын
🎉🎉❤❤❤❤ni kweli unavuta moyo
@nassirmaulid74302 ай бұрын
Hatari Sana whozu unajuwa kinom ❤
@SDM2024-z4s3 ай бұрын
sema kaka whozu unajua sana aisee..
@ChidoManzolaАй бұрын
hii ngoma kali kumamaqeeeee yani ingetakiwa iwe na mzigo wakutosha wa views asee
@Itskeyzmusic4 ай бұрын
WHOZU🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥👑 KAMA INAIKUBALI HII SOUND WEKA MAKOPA KOPA
@Emmeneya5 күн бұрын
Beautiful song. Much love from Kenya
@KristinaPaul-h7fАй бұрын
Huu wimbo mzuri sana
@JonasRbt-ob3jy4 ай бұрын
Drama T keep it up umeinspired wengi...mpaka na whozu
@Jackson-n2c4 ай бұрын
Lakini wimbo wa whozu ni wa moto sana....and that's what matters....
@yeezyyamal4 ай бұрын
All the way from 254...anguka hapa😊
@zuhuramshana-tl1eb4 ай бұрын
Auna mpinzanii chibaba safiiii
@MaryMkopi-j8z19 күн бұрын
Yan huu wimboo acha2 nisiri yamoyo kwaninavyo upenda❤❤
@RamadhanMohamedHussein29 күн бұрын
hongera sana mangi
@nelsonondego98142 ай бұрын
Ngoma ngozi sanaaaaa moto bin fire
@LebahatiLaizer-b4q2 ай бұрын
Ngoma Kali sana brothers ❤❤
@marosproduction014 ай бұрын
Creativity Kutoka Kwa Drama T From Burundi 🇧🇮 Kosho
@AmaniPerez4 ай бұрын
Drake- Falling Back (2022)
@Ntakirutimanaange-f1t4 ай бұрын
😂😂
@Marry-u8m4 ай бұрын
Huu wimbo una FAA harusi aki🎉🎉🎉❤❤🇰🇪
@michaelelias2373 ай бұрын
Sema whozu hii ngoma yako Mii nimeyelewa sana
@ThomasMbigili2 ай бұрын
Siamin ni wozu au macho yang ametisha
@rosemsafiri75683 ай бұрын
❤nyimbo imetulia hii Hadi raha whozu kakua jamn sasa
@chagaboy2554 ай бұрын
Bonge la Video💗🔥🔥🔥.Mnipe Like zangu kma Mchaga wa Kwanza Ku Comment 😂
@irdidierciza93944 ай бұрын
Video kakopi kwa msanii wa Burundi, Drama T
@cyrilkimath11464 ай бұрын
Nice work from whozu ngoma kali sana
@djmediake4 ай бұрын
Hallelujah nampenda huyu❤. Kazi safii
@SinzobatohanaJacques4 ай бұрын
Kosho n'y dramat🇧🇮🇧🇮🇧🇮 umekopi kwake kwa msani wa Burundi aise bongo mumeanza kukopi music ya Burundi mumeishiwa pakuiga hadi mmevamia nchi yangu 🇧🇮🇧🇮🇧🇮😂😂😂😂
@FatmaThuma3 ай бұрын
Namkubali sana hyu mtu 🎉❤❤
@JaneLebayo2 ай бұрын
huu ni wimbo wa kunifungia mwaka nimeupenda mpka basi🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@ApendekiItongwa4 ай бұрын
Team wozou tuna jua sana
@ANITHABahathi-z7h9 күн бұрын
Nakukubali sana
@IgiranezavanExpensiveBoy4 ай бұрын
Ulimkopi Drama T from Bdi kwa mziki wake maarufu #koshoo hiyo video nikopi 100% Babykiller my boy you got em U from on other planet
@fortuneirashoboye53474 ай бұрын
Our fav becomes their inspiration😂
@sanchostylist...97194 ай бұрын
Uyo Drama alicopy kw Drake - Falling back 2022
@vampirbinju3674 ай бұрын
mzk mzur mbon monz wko anachepuka huko cc tumenyamaza tu😂😂😂
@rainohazard24534 ай бұрын
Ukiimbaga ivi unauwa sana amapiano tupa kule
@JaybrandetzАй бұрын
Aujawai kukosea kaka kazi nzuli
@jean-claudegowelle69104 ай бұрын
Tunatoka kweny amapianoo tunazama kwenye kompaaa mdogo mdogoooo nice song...
@JohariJuma-uw6vf3 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana❤
@MauBecca4 ай бұрын
Melody nzur mzee saf sana
@ShadyaRamadhan-q7n4 ай бұрын
Shout out to you my broo whozu i love you and i support you too big up broo ongeza likes kama unakubali ngoma hii
@asiaasia10693 ай бұрын
Whozzu we ni mchizi wetu😂😂😂 na unafanya vizuri❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@InnocentByamasu4 ай бұрын
Wanake munajuwa kuimba, tena munasauti ya uvuto❤musikuwe najiacha nyuma
@zitongwang62784 ай бұрын
Beautiful art work 🤸🤸✌️✌️✌️✌️ let love lead ...PERIOD ✌️✌️✌️✌️
@AmaniSembeo-c7s4 ай бұрын
Noma sana
@issataslima98464 ай бұрын
bong la ngoma kaka kazana Tena hapa ndio tunafurahia mziki mzuuri
@TerezaTereza-dh4lx4 ай бұрын
Hii Ngoma umetua whozu respect 🫡🫡🫡🫡🫡💯❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️k nzr bro
@HamisiNgeruko3 ай бұрын
Hii ngoma nimeisikiriza Kama mala 50 ikanipotea hesabu nitafika asubuhi kwa kuisikiriza,mungu angenipa mamlaka ya kugawa pesa nadhani leo zote ningekupa wewe acha wafe njaa siku moja sio mbaya,
@KataiMuhono4 ай бұрын
Naishi south Africa lakin ni mtanzania nakukubali sana brother nice song nice melodies nice picture ❤❤❤❤❤❤
@ChingaKenboy-fz8yr4 ай бұрын
ZOMBI,LIZZER kazi safi sana CHIBABA umeuwa hii ngoma 🎉🎉🎉
@HidayaBakari-c3s3 ай бұрын
Umetisha baba maua yako chukuaaaaaaaa🥀🥀🥀🥀🥀🥀
@emmanuelhayghaimo39694 ай бұрын
Hongera sana homeboy G boy from katesh. Nakuangalia kupitia UTV
@ErickyTz-ku7dt4 ай бұрын
Daaaa siamini Leo nmkua wa kwnza
@StanleyDaud-nm9ku4 ай бұрын
Goma Kali kinyama one love
@STEVANNY-164 ай бұрын
Ngoma nzuri hiyo🎉 achana na mapiano
@Montanha046Ай бұрын
Huu wimbo naukubarii kama wewe ni team❤❤❤❤
@Montanha046Ай бұрын
❤❤❤
@saleh99972 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana
@EllyvadiazTz4 ай бұрын
Kaliiii sanaaaa hiii whozu
@Renatus214 ай бұрын
Umetisha sana brother whozu
@kitute4 ай бұрын
Kuna namna huwa namfuatilia whozu aisee. Huyu ukiondoa comedy anajua sana
@ecklandchamungwana90414 ай бұрын
Mzee hiyo nyimbo inahitaji mdada akae hapo kama Yammi itakua Kali sana
@SesiliaHwaya-m1q3 ай бұрын
Waoooooh nyimbo Kali sana ih❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@aliibrahim4583 ай бұрын
Sana boy whozu
@FarajaSamwel-o9c2 ай бұрын
Wimbo wa mshangazi
@5googleuuu7274 ай бұрын
Ngoma kali hongera sana brother achana na mapiano
@LevyMaltino4 ай бұрын
Noma hii ,,weka like yako hapa🔥🔥🔥🔥💯
@JumaSela-y6s4 ай бұрын
Nyimbo kali sna hii
@olivazaituni24404 ай бұрын
Jamaa akitulia anakua tishiooo
@angelrichard8994 ай бұрын
Nyimbo za wozu Huwa xizikubali lakini huu wimbo kiboko jmn nimeupenda mpk xio vizurii ❤❤❤❤