MODESTER mtoto wa Mbarikiwa aomba msamaha

  Рет қаралды 1,708

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Пікірлер: 19
@patrickmathiasnsalanga3401
@patrickmathiasnsalanga3401 2 күн бұрын
Mungu awe pamoja nawe dada modesta, pia Mungu awabariki sana Baba na Mama mchungaji kwa kuwalea watoto wao kwa gharama kubwa kiasi cha kuweza kuzidi kustawi hata katikakati ya changamoto nyingi. Ndugu endeleeni na Mungu kwasababu angalau kwenu tunaanza kuiona picha ya utakatifu. Hongereni sana kwa kupendwa na Mungu.
@danielmwampeta3338
@danielmwampeta3338 18 сағат бұрын
Mungu atusaidie tuzidi kusonga mbele , KWA UJUMLA KURUDI NYUMA MWIKO NJOO TUSONGE MBELE
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 Күн бұрын
Mimi nakuombea dada yangu katika Kristo Yesu na mwalimu wangu kwa mengi,HUZUNI ILETAYO TOBA AMEEEEEEN AMEEEEEEN AMEEEEEEN
@barakahhawu2324
@barakahhawu2324 Күн бұрын
Mti wenye matunda hupigwa mawe. Kushindwa Ni kufa , safari inaendelea Askofu wangu mode ubarikiwe Sana naupenda Sana moyo wako shujaa
@ombendaud5938
@ombendaud5938 Күн бұрын
Baba na mama nawashukuru sana mlitupokea tukiwa tumechoka lkn mioyo yenu yauvumulivu sana.Mimi naomba mtufunze zaidi unyenyekevu ni kweli ya mini ni watakatifu lkn tunadharau sana.Mungu atusaidie sana
@johndavidi2582
@johndavidi2582 2 күн бұрын
Hii ndo toba ya kweli inayotoka moyoni endelea mbele Dada huwa nakubali sana kazi zako
@barakahhawu2324
@barakahhawu2324 Күн бұрын
Mungu awabariki na kuwalinda Sana wazazi wetu Baba na Mama kwa upendo wao
@AlistidiusKagyabukama
@AlistidiusKagyabukama 2 күн бұрын
Ubarkiwe sana mtumishi shetani anawida kitu cha kimungu ulicho nacho na nyuma yako wako watu wengi
@importanzi
@importanzi Күн бұрын
Umalaya tu ndioo mnavyopenda ila sioo kutukuza jina la munguu
@AnethMedison
@AnethMedison 2 күн бұрын
Hongera sana kwa kutubu dada yangu.
@johndavidi2582
@johndavidi2582 2 күн бұрын
Kweli shetani hakuchagulii siraha huko ndo kukua Dada kiroho nakuona kuwa ni shujaa sana kwa tendo hilo
@manfordmkinga4080
@manfordmkinga4080 Күн бұрын
Tatizo nilimtumia sms sifa Hawa wamekuwa maarufu wa mitandao lakini hawana stamina za kiroho kushindana na nguvu za ulimwengu ushauri wangu Mbarikiwa azidi kuwaficha kama Musa alivyofichwa na mzazi wake hata alipokomaa hawa bado ni mchanga sana sana kiroho .
@ombendaud5938
@ombendaud5938 Күн бұрын
Mimi niseme nilikuwa na maumivu makali kurudi nyuma kwako.Lkn Ukishakuwa umesogea na uko karibu na mfalme lakini tazama ulikotoka ulikijaje.Huwa tunajisahau tukifanikiwa na kujua vitu vichache unahisi wengine hawana maana.SISI NI VIUONGO VYA KRISTO KILA MTU ANA UMUHIMU WAKE KWENYE MWILI WA KRISTO.Tukue tuvuke hatua nyingine tujifunze kwa mama Pastor.
@modestapeter2997
@modestapeter2997 Күн бұрын
Pole kwa Maumivu na samahani kwa kuwaona hamna maana kwa vichache tu nilivyokua navijua I'm sorry
@AhaziSimwakwenda
@AhaziSimwakwenda Күн бұрын
Hakuna kitu kibaya kwa huu ulimwengu kama dini na viongozi wake
@petrothegreat2919
@petrothegreat2919 19 сағат бұрын
Kwasababu?
@AhaziSimwakwenda
@AhaziSimwakwenda 11 сағат бұрын
@petrothegreat2919 ndugu yesu mtoto wa peKee wa mungu awafundisha watu kusali ukitaka kusali nenda mahali kajifiche fanya moombi bila hata kubuguzi kiumbe chochote omba muombe huyo mungu anasikia kabla hata ujaomba. Sasa viongozi wetu hawa waongo waongo wanawaaminisha wafuasi wao kuwa omba kwa sauti pigakeleke wakati ni uongo mtupu sasa ivi wamejaa makanisani na vyombo wanawapigiakelele watu na kualibu ngoma za masikio wanasababisha watoto kuwa na matatizi ya afya ya akili swali wakiomba kimya kimya maombi hayafiki minguni
СОБАКА ВЕРНУЛА ТАБАЛАПКИ😱#shorts
00:25
INNA SERG
Рет қаралды 3,9 МЛН
Hoodie gets wicked makeover! 😲
00:47
Justin Flom
Рет қаралды 127 МЛН
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
EVA mash
Рет қаралды 9 МЛН
За кого болели?😂
00:18
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 2,6 МЛН
ALIYECHOMOLEWA KWENYE KIFUSI AELEZEA VIFO ALIVYOAACHA NDANI SHIMO LA GHOROFA.
10:31
CASSIAN AWAPA ONYO WACHUNGAJI HAWA WAKIKE ROS SHABOKA NA NATASHA EV PASCHAL CASSIAN
1:00:45
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 5 М.
Mzee Magembe ,MWAMPOSA na MBARIKIWA wawasha moto na kiberiti kimekubari
9:09
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 1,6 М.
KINA DIAMOND (Paschal Cassian)
7:20
BARAKA
Рет қаралды 8 М.
СОБАКА ВЕРНУЛА ТАБАЛАПКИ😱#shorts
00:25
INNA SERG
Рет қаралды 3,9 МЛН