Dah Mwenetu humu Umeuwaaa sanaaa, Huku Mwanza Tunafikilia Uimbe na nan Remix, Ngoja tumset Young killer msodoki Aingie humu ndani
@vidox1053 ай бұрын
✈️
@laxmajor3 ай бұрын
Majengo sokoni💯
@Manase_js3 ай бұрын
Daaah nimerudii tena kuskiliza ngoma ya msela kutoka majengo sokoni dodoma
@BoniphaceDonald3 ай бұрын
Malume umeuwaa unatuwakilish vema Dom town
@YooSule3 ай бұрын
Sema Moni uwa anaandika sana kati ya marapa bora ambae nafatilia Sana kazi zake..
@SheinGodfrey3 ай бұрын
Ni muhimu ✌️. 🙌🙌
@FrankMnubi3 ай бұрын
Apo kwenye aviator 😂😂😂 umenigusa tunashenyentwa sana leche nokulonga
@peteremmanuelymatwimatwiem32583 ай бұрын
Kwenye vindege😅😅😅nililikwa laki na nusu aisee kindege nyoko😅😅
@JabirDotto-zb1yd3 ай бұрын
we gone 🌍🚀
@PhilemonKedmon3 ай бұрын
Iv mnaelewa hii ngoma vizur 🙌🙌
@AbdulAlly-p1f3 ай бұрын
Mwamba sana 🔥🔥🔥
@nassonadriana96073 ай бұрын
Majengo Sokoni on top 🤝🤝
@Dee_bugat033 ай бұрын
King Malume 👑
@Heroclassic-gt3fs3 ай бұрын
Papa kichwa kingine beat kali verse Kali
@CharlesMabula-u5o3 ай бұрын
HII NDO CREATIVE SASA 🔥🔥
@ZahoroAman3 ай бұрын
Hii noma sana kaka kwanzia flow,uandishi na beat kal kwa papa
@YouTubefrabujuc3 ай бұрын
Makiniii sana mtaaramuu 💫🫶🏼👊🏼👊🏼👊🏼
@GloryTeu3 ай бұрын
inspector mwangata😂😂😂 wanangu wa dom wanaelewa uyo inspector anaumiza vichwa vya masela wa dom
@publicityzone95833 ай бұрын
Oyaa
@3malis3 ай бұрын
Moni centrozone ❤🔥🔥🔥🔥
@gaddafi_og19663 ай бұрын
Malumeee🤯🤯🤯🤯
@JosephJohn-px1fv3 ай бұрын
Daaah oy domu nguvu moja
@realrzzocmg4853 ай бұрын
Weeeeeweeeeh watoto wa 99 skuizi wanaitwaaa mishangazii😂😂😂😂😂
@jumaamohamed28153 ай бұрын
Ndoo ya Barafu Hennesy Moja Coka nyingi":- Mistari umerudia hii
@JoelIsack-c4q3 ай бұрын
Maelekezo chapter 4 hip hop tujuane kwa like 👍
@Siddhart7-7723 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥boooom idodomyaaa oya kinand kikal bonge la zeze💪🏻💪🏻🔥🔥
@IsackKasanda-u9w3 ай бұрын
Majengo sokon unajuwa baaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Cyduu3 ай бұрын
Chidi angekaa humu 🙌🏾
@moleskomba28173 ай бұрын
wanalusha ndege nawanapuna😅😅😅
@DENISMWAIFWANIofficialquavo3 ай бұрын
watoto wa tisa tisa saiz wanaitwa mishangazi
@toney..3 ай бұрын
Nimeisikiliza mara 8 🍾🍾 mkononi tambara kama bakari mwamnyeto
@justinemalekela52693 ай бұрын
Malumeeeh
@imaniyohana3 ай бұрын
Malume langa igoma Kali mwAha wendelele navyivyo
@saidimohamedligomaligoma17953 ай бұрын
❤❤❤❤❤ Hip hop malume
@swaggerizedninjagoseprocom85233 ай бұрын
Wanangu wanarusha vindege na wana punwa duuuh hahaajaja
@hurumahaule89933 ай бұрын
Wanangu tuliopanga mpango wa pesa hujisahau na kupiga story jinsi walivotunia pesa muda wakiwa hawana pesa🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣🤣
@BarakaRamadhan-e7y3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 noma
@Azakymapuni-es8vn3 ай бұрын
Malumeeee naomba remix ya hili dude kaka
@raheemsaleh143 ай бұрын
Maana ake walikutenga wakaondoka nanule mpango wakapata zimeisha leo wanapiga story na wanasahau waliku sneech , oya vunga wakatae
@richmontana12963 ай бұрын
😅😅😅
@ismailazion78553 ай бұрын
Noma
@deleally.Tz13 ай бұрын
Malume 🙌🏾🔥
@RamadhaniRamadhani-h9v3 ай бұрын
Maelekezo 🔥🔥🔥🔥🔥
@GNP163 ай бұрын
Tukusema yeye mbona zao tunapita nazo😂
@HeisShedrak3 ай бұрын
Hawatuwezi sio tu kwa flow, ata kwa vitu tunavyovuta💨
@tuner_dbide68363 ай бұрын
Malume🔥🔥🔥
@zebedayomshani3 ай бұрын
Kote mbozi,mbeya,chunya 👊👊
@Kingcrowntz9123 ай бұрын
Chikutowa Malimba See Duu Wana We Chilume 🎉🎉🎉🎉🎉
@yrwa3133 ай бұрын
Ye mbeka ayiii
@DSZTV-kn2oh3 ай бұрын
Noma sana malume🔥🔥
@MohamediTawfiq3 ай бұрын
Malumeeee 🔥🙌🏾
@ndumamedia3 ай бұрын
Home Boy 💪💪💪
@BarakaKassian3 ай бұрын
Malume 24 🔥🔥✊
@MajengoKing-uh2wz3 ай бұрын
Ukileta utumbo tunaulia ndiz alaf watt wa dom hatuli ngada..
@kelvinsalehe72333 ай бұрын
Nasubiria REMIX ya hii Ngoma alafu NIKKI MBISHI asikose
@vidox1053 ай бұрын
😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥
@emmanueldaud83713 ай бұрын
Ngomaa kaliii man 🎉
@meshackngaboss12363 ай бұрын
Dom boyZ finest keep representing US mchizi Moni
@dannyceezo82443 ай бұрын
Idodomya to world baby 🇹🇿🌍
@allymohamedi42823 ай бұрын
Daaah Huyu jamaa kama Haland Anawapelekea sana moto wana HipPop Alafu anapoa
@mingajohn65183 ай бұрын
😂😂😂
@johnrichard54823 ай бұрын
Biti ni konyo 🎹🪘 mistari pia ni Bonge la Mbupu💪🔥🔥🔥🔥 Kifupi UMETISHA 👏👏👏 @monicentrozone
@michaelchris3653 ай бұрын
Nomaaa sanaa malumee😂
@GloryTeu3 ай бұрын
tanali ....nkuhungu🎉🎉 dom city
@emmasonanjawe90423 ай бұрын
Wanaifanya wanameza maji Ila sikumoja watasema wewe ni noma zaidi yao🫂🔥🔥🔥👏🇹🇿
@MikazomikaliMikazomikali-mf4wh3 ай бұрын
Zambi zote za huyu producer nipewe mm
@BlackMambaPHD-dj8hg3 ай бұрын
Malumee 👑🎶🚀🚀🚀🚀🚀🚀
@IbrahimDaud-be2tj3 ай бұрын
maluumeeeh, chilihamoongaaah!!
@revvocatusvedastus60083 ай бұрын
MALUME🔥
@Gabbysojer.13 ай бұрын
Kila atakaye Soma Comment hii Leo Mungu Ambariki Awe Na Siku Yenye Bahat leo..Usisahau Kunipa Subscribe 😢😢🙏
@FrankMnubi3 ай бұрын
Hapo kwenye viaita
@patrickkimamba71243 ай бұрын
safi malume.....
@sadacherjeezybon75283 ай бұрын
Appreciate this 🙏 🙌
@nobertmunishi22413 ай бұрын
Tunavimba Ata kwa Passo
@Kissonlinemedia3 ай бұрын
Nilishadodge ule urafiki wa mitungii Mingi.. Idea nyingi huja mezani muda wa makali Kundesa😂 Mwangata msenge sana karusha sana stim za wanangu Dom town.. Malume NI SAUTI YA MTAA... ROOF IKO JUU NICCA
@DullahXella-xb4cz3 ай бұрын
Malume Mpaka waseme hiki nini 🔥🔥🔥🙌
@KenethPatrick-u3r3 ай бұрын
Maana halisi ya mtunzi wa kazi za fasihi na sanaa bonge la creativity kudos🔥 🔥 🔥