dada ika nakuelewa sana, niliwahi futa video 2 ambazo nime edt tayari, niliumwa aisee, pole na hongera sana
@ikamalle14 күн бұрын
Hahaha Asante dear 🥰
@lilianestephanie788113 күн бұрын
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@richardrichope352811 күн бұрын
😂❤
@SifaJasitin14 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ireneshayo14477 күн бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@user-wq2jf6zq5r14 күн бұрын
Nainjoy sn ika plz natamani upike chapat na chchct kile kitambo sn nimemiss tu mwaya❤
@sarahwilson58622 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊
@loitengia421714 күн бұрын
Vyombo vya usiku unaviachaje mpka asubuhi 😮😮
@ikamalle14 күн бұрын
Nikimaliza kula sirudi kuosha vyombo wala sirudi kufanya kazi za jikoni zozote... (ni mimi tuu)
@jacklinenziku486514 күн бұрын
@@ikamallehata mimi nikila sihangaiki tena
@SifaJasitin14 күн бұрын
Watu wanajifanya wasaf mi mwenyewe nikishakula Cha usku napumzika @@jacklinenziku4865
@w.a.m.b.u.i177614 күн бұрын
Sio kila mtu anakuaga na utaratibu mmoja...ata mm nikishapika, huwa naoga kisha nakula, nawatch kidogo nalala...sirudi kufanya chochote tena...so kila mtu na utaratibu wake na sioni kama kuna shida hapo!