MOSHI TENA: MADIWANI WAMKATAA MKURUGENZI WAO, WATAKA AONDOLEWE HARAKA SANA - "ANATUDHARAU"

  Рет қаралды 16,796

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

MOSHI TENA: MADIWANI WAMKATAA MKURUGENZI WAO, WATAKA AONDOLEWE HARAKA SANA - "ANATUDHARAU"
Madiwani 41 Kati ya 42 wa halmashauri ya wilaya ya Moshi wakiongozwa na mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Morice Makoyi, wameandika barua na kujaza fomu maalum ya kueleza kuwa hawana imani na mkurugenzi wa Halimashauri hiyo, Castol Msigala, na kuipeleka barua hiyo kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, wakiiomba serikali Kuu kufanya maamuzi ya kumuondoa mkurugenzi huyo.
Wakizungumza na waandishi wa habari, madiwani hao wamesema mkurugenzi huyo ni kiburi, Mtata na asiyependa kushauriwa muda mwingi anatumia kuwagawa watumishi na Madiwani badala ya kuwaunganisha.
"Mkurugenzi ana mambo ya kitoto anaweza akachukua clip ya video akanitumia amemrekodi diwani au mpo kwenye kikao mnajadili maendeleo diwani anarekodi sauti anamtumia na yeye anakutumia tena wewe ni utoto kabisa, watumishi walimu na madaktari hawakai kwenye vituo vyao vya kazi kila siku anawasumbua Halmashauri sijui wanafanya kazi saa ngapi, amekuwa ni mtu anayefanya mambo bila kushirikisha vikao anajiamulia mambo yake mwenyewe.
"Tulikuwa na ujenzi wa hospitali ya wilaya, mkurugenzi akatukwamisha anasema hatuna fedha wakati kuna MILIONI 500 za kuanza nazo lakini yeye anakwamisha" Amesema Morice Makoyi, Mwenyekiti wa Halmashauri.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 44
@nevackkadege6389
@nevackkadege6389 2 жыл бұрын
Shida kila mmoja wao hapo anataka madaraka ya juu ...achenii tamaa hayo ni maswala ya kukaaa ofisinii na kuyajenga
@josephlyimo6968
@josephlyimo6968 2 жыл бұрын
Mnajitafunawenyewe
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula Жыл бұрын
Kilimanjzo na Srusha mna matatizo sana
@jan6703
@jan6703 Жыл бұрын
Mtangazaji mzuri sana lakini acha hilo neno VIUNGA unalopenda kutumia mara kwa mara. Maana ya viunga ni maeneo ya nje ya mji, eneo lenye miti ya aina mbalimbali na pia ni aina ya samaki. Huwezi kuwa na viunga vya mahakama au viunga vya ofisi ya mkuu wa mkoa. Please usitupotoshe. Unatangaza vizuri sana kwa hiyo kuwa SAHIHI pia.🙏🙏
@munguhashindwijambo2681
@munguhashindwijambo2681 2 жыл бұрын
Sema kimeumana,
@nicolauselias9084
@nicolauselias9084 4 ай бұрын
Uchu. Wa madaraka mwisho wake hauwi mzuri
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 Жыл бұрын
Jamani halmashsuri ya Moshi inahitaji uongozi km huu wananchi tunataabika na mengi esp uchumi, sasa halmashauri inapambana na ukrititimba hebu tamisemi malizeni haya mambo ni aibu tuu.mtumishi analipwa na serikali lakini awe tena mungu mtu
@rwakyenderajulius3861
@rwakyenderajulius3861 Жыл бұрын
Walisema wapinzani wanachelewesha maendeleo,Leo wako peke yao vipi tena?
@eliankya3272
@eliankya3272 2 жыл бұрын
Hapo kazibiti dili zao yale yale ya meya wa moshi wakamtengenezea mpaka kashfa ya ushoga
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 2 жыл бұрын
Muonyeni tu
@azizamvungi926
@azizamvungi926 Жыл бұрын
Acheni tamaa mwenyezi mungu hapendi..mtaziacha hata zikiwa Mali kiasi gani
@salomemchewa5187
@salomemchewa5187 2 жыл бұрын
Kabeni, wasichezee pesa.
@rwakyenderajulius3861
@rwakyenderajulius3861 Жыл бұрын
Maandamano?
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 Жыл бұрын
Dhuluma haijawahi kumwacha mtu slm mliingiaje ?
@marymanoni5536
@marymanoni5536 Жыл бұрын
Yani nyie mlishachanganyikiwa nyie wenyewe mnajikataa je viongozi wenu mtawakubari
@goodlucktarimo5222
@goodlucktarimo5222 2 жыл бұрын
Hii ndo shida ya kupata udiwan wa mchongo baba yenu kafa lazima mgombania madarakaa
@omaryabunwas9937
@omaryabunwas9937 2 жыл бұрын
Na wewe atakufa babako hata wewe utakufa nyau ww
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 Жыл бұрын
Haya yote ni kutokana na uteuzi wa kujuana, tunaiomba serikali ibadili mfumo, mkurugenzi ateuliwe kwa unaratibu wa usaili(interview) pia iwe kwa mkataba,bila hivo matatizo hatoisha, halmashauri zote ni tatizo
@mgawerevocatus8582
@mgawerevocatus8582 2 жыл бұрын
Ukabila...ukabila ....ukabila Unawasumbua Kilimanjaro
@adammbuba7230
@adammbuba7230 2 жыл бұрын
Kama hataki kuendana na nyinyi mchomoeni, huyo DED NI jizi kabsa
@aronatv47
@aronatv47 2 жыл бұрын
Lema aliwaambia mtawatoa mtabaki wenyewe. Mtatsndikama subirini Si mlisema Ushindi wa Kishindo sasa Mioyo ya watu ndio Inadhihirik sasa awamu ile Watu walikuwa na woga SAS hivi Kila MTU ana Uhuru wa kufanya lakee na Badoo tutaona Mengi mwaka.Huuu..
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 жыл бұрын
We Arona Digital hamna cha lema wala nini hapo ugomvi ni upigaji...mafisadi wanajitanua...acha tu Mungu anawaona😭😭
@abdulaziz703
@abdulaziz703 2 жыл бұрын
Hawa wazee wa Kaskazini ndio wanakwamisha maendeleo. Huyu mzee anaelalamika ni wazi kuna anachotazamia kwenye huo uongozi. Huwezi kusema mkurugenzi ni 'one man show ' kama ameshirikisha wenyeviti kutafuta eneo la kujenga hsptl.
@bongonews6542
@bongonews6542 2 жыл бұрын
Nyie hamuwajui wachaga hao ni chadema magu alifoc ushind nw hayupo mbowe katoka lazma wote watapisha maadui zake
@nickmoshi8243
@nickmoshi8243 2 жыл бұрын
nawaunga mkono, huyo jamaa ni ngetwa kabisa
@bongo39
@bongo39 10 ай бұрын
Nyie watu vipi kila mtu mnamtoa kasoro huyu hafai huyu hivi wacheni ukoloni wenu wacha watu wafanye kazi nyie madiwani ndio wapigaji wakubwa
@josephnjella4919
@josephnjella4919 2 жыл бұрын
Wapo wengi kazi imeanza
@maghanighanichali9519
@maghanighanichali9519 2 жыл бұрын
Wachaga wanamtaka wa kabila lao .nawajuaga sana hawa jamaa.
@lekumolukumay6832
@lekumolukumay6832 2 жыл бұрын
Swala LA uchaga weka pembeni sikiliza hoja ya madiwani yaan MTU akwishe miradi useme maswala ya ukabila
@maghanighanichali9519
@maghanighanichali9519 2 жыл бұрын
@@lekumolukumay6832 Hatujasikia kama mlimpa onyo mara ngapi
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Жыл бұрын
Hapana SII kweli wanataka ukweli siyo kwamba wanamtaka mchagga una Yako tunahitaji mtu mwelewa WA kutenda haki
@antonyvallerian1718
@antonyvallerian1718 2 жыл бұрын
Madiwan gani nyie mmejaa fitina na hila kama weu....kwendraaaa
@mbuyaelyaoni6266
@mbuyaelyaoni6266 Жыл бұрын
Wanataka majengo ya kisasa ya kudumu. Ghorofa ndo Safi kabisa. Hakuna kuogopa nyau. Watu wote Hao sio wajinga. Na majengo ya hovyo hovyo Moshi ni mwiko.
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 2 жыл бұрын
..
@emilianchibinda82
@emilianchibinda82 Жыл бұрын
We we unayeongea hivi halmashauri hizi ni za wakurugenzi?
@jesuittemba663
@jesuittemba663 2 жыл бұрын
ushamba
@emilianchibinda82
@emilianchibinda82 Жыл бұрын
Hivi madiwani wanapoongea kwenye vyombo vya habari wengine tunajifunza nini?
@stephensmbwambosenkondo797
@stephensmbwambosenkondo797 2 жыл бұрын
Watumishi wa moshi DC wame kua wakilalamika Hata malipo ya haki kisheria Kama likizo na transfer mkurugenzi amekua haruhusu Mengi watumishi wamekaa kimya
@Hamy1109
@Hamy1109 2 жыл бұрын
Hatutaki mashoga wawe na nafasi yoyote ndani ya Serikali yetu
@adammbuba7230
@adammbuba7230 2 жыл бұрын
Nitoe wito kwa maDED wote nchini ebu wasikilizeni madiwani
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 2 жыл бұрын
Wakurugenzi wengi WA Rais magufuli walichukuliwa kutoka mtaani kwa hiyo ni shida sio huko tu halmashauri nyingi zipo hivyo ni hovyo kabisa
@westmanmoses541
@westmanmoses541 2 жыл бұрын
Uteuzi wa nafasi za ukurugenzi wa halmashauri wangekuwa wanateuliwa kutoka nafasi za MA-WEO
@emmanuelsimon545
@emmanuelsimon545 2 жыл бұрын
Mama alipoingia katoa wakuu wa wilaya na wakurugenzi huyu alimuweka yeye inaonekana hujui hata usemalo
1❤️
00:17
Nonomen ノノメン
Рет қаралды 13 МЛН
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 24 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 11 МЛН
1❤️
00:17
Nonomen ノノメン
Рет қаралды 13 МЛН