MOTO WAENDELEZA MAJANGA MAREKANI, WATANO WAFARIKI HOLLYWOOD

  Рет қаралды 2,798

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 34
@HadiaOthaman
@HadiaOthaman 4 сағат бұрын
Allah anajeshi lake ...SUBHANA LLAH
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 5 сағат бұрын
Mwenyezi Mungu tuna kuomba uwa peleke moto zaidi majeshi ya marekani uya angamize yote Amina Amina
@hanifa9153
@hanifa9153 5 сағат бұрын
Mwenyezi mungu augawanye moto huo upite kwa mashoga wote uende adi Israeli amina🤲
@YusuphDeo
@YusuphDeo 5 сағат бұрын
Mungu hachezewi na hatowaacha salama we ujinga wao was ndoa za jinsia moja mungu ayateketeze kabisa
@emmanuellupiga
@emmanuellupiga 5 сағат бұрын
watubu hollywood ndo wanatengeneza movie mbaya watubu
@MonicaGeorge-f2h
@MonicaGeorge-f2h 5 сағат бұрын
Yaangamie ayo makafili
@hanifa9153
@hanifa9153 5 сағат бұрын
Mungu ateketeze adi yale mabom yao wanayopeleka Gaza yachanganyikane na huo moto kiwake zaidi😂😂😂
@JosephMasanja-wm5hb
@JosephMasanja-wm5hb 3 сағат бұрын
kwani we ni mgadha
@SaidIssa-tq3yv
@SaidIssa-tq3yv 8 сағат бұрын
Inshallah usizimike mpaka baada ya wiki.
@HajiKhamis-f7p
@HajiKhamis-f7p 6 сағат бұрын
ila kuna watu wana roho mbayaaamh🤔
@hanifa9153
@hanifa9153 5 сағат бұрын
Week ndogo sanaa mwezi kabisa😂😂😂
@shaameshaame9721
@shaameshaame9721 14 сағат бұрын
Iungue yote kwa uwezo wa Allah
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch 10 сағат бұрын
Tunamuomba Mola wetu augeuze moto kule kule Israel kwa Rehema zake Muumba wetu
@MonicaGeorge-f2h
@MonicaGeorge-f2h 5 сағат бұрын
Amin
@MonicaGeorge-f2h
@MonicaGeorge-f2h 5 сағат бұрын
Amin
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 14 сағат бұрын
Marekan yote itachomwa kwa moto kma wasipobadili matendo yao ya kishetani
@MarckMasaki
@MarckMasaki 15 сағат бұрын
Mpaka waache kupeleka silaha izrael,ningependa malekani yote iungue
@HamidJuma-h8w
@HamidJuma-h8w 15 сағат бұрын
Hapo bado Jahannamu ya Mwenye Enzimungu taifa la kishenzi duniani,, haya lipeni kisasi basi kwa Mungu
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 18 сағат бұрын
The army of God...
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 18 сағат бұрын
Hakika
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 18 сағат бұрын
Uwake tu kote ili waache kuingilia vitu vya nchi nyingine! Wapambane na Hali Yao ya sasa
@SymoniVedastus
@SymoniVedastus 16 сағат бұрын
Uwake marekani nzima huu ndio wakati wa mungu tarajia mbingu mpya na nchi mpya
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 14 сағат бұрын
Naomba amerika yote iteketee
@cristinajeremiah2450
@cristinajeremiah2450 12 сағат бұрын
Bwana YESU ingilia Kati warehemu watu wako
@shaameshaame9721
@shaameshaame9721 14 сағат бұрын
Kwan c Wana mitambo ya kuzuia moto ama?
@amournassorsaid7694
@amournassorsaid7694 12 сағат бұрын
Naomba utokee whitehouse
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 12 сағат бұрын
Alahu aqibaru alahu aqibaru mmmhhh
@ramadhansabuni3136
@ramadhansabuni3136 14 сағат бұрын
Malipo huanza hapahapa duniani
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 12 сағат бұрын
Iyo ni mdogo ake sodoma na gomora walah...jaman tubadilike tumludien mungu guys..izo ni hasira za Allah..al jabarii.alahu aqibaru..jamani tubadiliken sio kawaida dunia inakuwa kama jaanam sio kawaida ujue... guys tuachen madhambi tutubuni
@joycemnanka3985
@joycemnanka3985 15 сағат бұрын
Mungu waokoe watu wako marecani
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 14 сағат бұрын
Acha ujinga mungu wauwe magaidi wote wa marekani
@CadiaOnesmo
@CadiaOnesmo 9 сағат бұрын
Wa kwanza ni wale wa gaza​@@swalehemusa4546
@woah.africa99
@woah.africa99 4 сағат бұрын
​@@CadiaOnesmo ww mtumwa gaza sio magaidi ni ardhi yao wanaitetea magaidi ni hao marecani walotesa sana wafrica Mandela mpaka leo wametawala zionist kaua wapalestina wengi ktk ardhi ya warabu gaza ni ardhi yao
Ful Video ☝🏻☝🏻☝🏻
1:01
Arkeolog
Рет қаралды 14 МЛН
🎈🎈🎈😲 #tiktok #shorts
0:28
Byungari 병아리언니
Рет қаралды 4,5 МЛН
-5+3은 뭔가요? 📚 #shorts
0:19
5 분 Tricks
Рет қаралды 13 МЛН
ВЛОГ ДИАНА В ТУРЦИИ
1:31:22
Lady Diana VLOG
Рет қаралды 1,2 МЛН
Apakah Hubungan Sebenar Antara Isr*el Dan I*ran❓Ustaz Auni Mohamed
42:19
NASIHAT USTAZ USTAZAH
Рет қаралды 18 М.
RUSSIA YASHTUKIZA NA KUUA 13 UKRAINE, MAREKANI YATOA MSIMAMO
4:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 9 М.
UJERUMANI, UFARANSA ZAMUONYA TRUMP SAKATA LA KISIWA CHA GREENLAND
5:03
Mwananchi Digital
Рет қаралды 2 М.
Ful Video ☝🏻☝🏻☝🏻
1:01
Arkeolog
Рет қаралды 14 МЛН