Рет қаралды 9,414
Asiposikia alie ambiwa kosa linakuwa lake ila asipo ambiwa anaekosea kosa linakuwa la wote maana madhara ya kosa lake yataikumba jamii nzima...
Hii nadharia Sheikh Msellem ameizungumza kwa mapana katika Darsa hili lililo fanyika vikokotoni Zanzibar kwa kuiunganisha na visa mbalimbali katika kipindi cha mitume.