Рет қаралды 888,723
Karibu utazame wimbo MOYO ULIOPONDEKA, Utunzi wake Paul Mike Msoka
Mtunzi ameutunga wimbo huu kwa ajili ya kumlilia Mungu na kumuomba ampiganie na kumshindia katika magumu mbalimbali anayokutana nayo katika safari ya maisha yake. Yawezekana nawe mtazamaji unapitia magumu mbalimbali katika safari ya maisha yako. Wimbo huu ukuimarishe na ukutie nguvu ili uzidi kusonga mbele pasipo kukata tamaa.
#ChemchemiYaFaraja #NikushukurujeBwana #NiKwaNeema #JinaLakoMaria #NizungushieBaraka