Uko vzr mrembo wastara pole kwa ajali na pia pole kwa kufiwa na baba la baba marehemu sajuki mungu amuweke mahali pema peponi amen!
@aishaaminaamina387 жыл бұрын
Majibu yako ya upole ni busara yakutosha Ume jibu kwa makini sana love you Wastara your one in a million
@gilbertmasasi90735 жыл бұрын
Aisha Amina Amina
@saunakatauyanawausufanyeni95045 жыл бұрын
Aisha Amina Amina wastara pole sana ila nakupendaga sana
@mauakhamisabdalla59255 жыл бұрын
Aisha Amina Amina mungu amsamehe wasitara
@jamilarajabu75267 жыл бұрын
pole sana my kwa ajali Allah akufanyie wepesi. ...' love you
@mwanahalimamwachili96797 жыл бұрын
Hongera Wastara mwanamke mkakamavu kweli mfano wa kuigwa.Nakupenda sana dadangu.
@zennakailo81067 жыл бұрын
nakapenda San hak dad, mstarabu San mungu Abariki maisha yako ila usife moyo utapat mume km SAJUKI INSHALLAAH MUNGU ATASIKIA KILIO CHAKO🙏
@andrewprince95097 жыл бұрын
nice
@salmaalbarwani26184 жыл бұрын
Kapendeza sana kajuli vry beautiful hongera uwiiiii
@shufaamohammed53574 жыл бұрын
Amiin
@naymah35607 жыл бұрын
Pole my dear hiyo story yako ya ajali kuhusu mguu imenitoa machozi dah! Insha Allah Allah karimu mamy nakupenda buuuree mwenzio hauna maringo yani mwenyeezi mungu akujaalie kila la kheri
@justdee78287 жыл бұрын
mtangazaji unaboa. kwani huwezi kuongea kawaida
@violamosha58027 жыл бұрын
Nakupenda sana Wastara, mpole mkarimu, kila la heri katika maisha yako
@ntungwanayoodette752 Жыл бұрын
Nakupenda sana dada na mwenyezimungu akupe moyo ya shuja ❤❤❤
@mwanaishambili2417 жыл бұрын
Mashaallah da wasitara mazingira yko powa kweli we ni mwanamke mpambanaji ucjali kazi ya mungu haina makoxa iko cku Allah atakuruzuku mume mwema inshaallah apumzike pema sanjuki Amin
@allybakari23257 жыл бұрын
Mwanaisha Mbili Utulivu unatakiwa sana dadaangu
@didaamohsin64406 жыл бұрын
Nakupendaa buree..wastaraa..hongera..mamaa..strong woman.. Napendaga movie zakoo.. Allah amuekee pema..peponii..mumeo..
@pendopeter17903 жыл бұрын
Dada Wastara nakupenda sana, ni mstaarabu sana Mungu akulinde na majaribu ya dunia.
@bettydackman14427 жыл бұрын
Daah,hujafa hujaumbika pole mpnz
@saumuhassan13657 жыл бұрын
Uyu dada nampenda sana, ni mpambanaji na ni mstaarabu sana, nakupenda sana WASTARA
@christinagodfray33376 жыл бұрын
Saumu Hassan
@mishg64835 жыл бұрын
Ww lini unaenda dar
@hawaally50694 жыл бұрын
wastara kwayo Sanaa kaanza kimbindi nazaliwa Mimi ni mezaliwa 14,10,1999
@pillyolsen54377 жыл бұрын
Nakupenda sana wastara bule ww mstarabu sana
@mahamudteo86934 жыл бұрын
hii nimependa sana da wastara ni mstarabu sana mwaaaa
@shamsaismail77077 жыл бұрын
Pole sana dadangu wastara juma nakupenda sana
@salminasalim56307 жыл бұрын
Pole sana Wastara Jamani Allah Azidi kukupigania In Shaa Allah. Zidi kumuomba Allah. And you have to cop with the situation
@tiannealphonce75157 жыл бұрын
Nkupnda sana dada wastara jmniiii mpoleeee mkarimu love uuuuuuu
@leylayusuf4357 жыл бұрын
Mashallah dadaake Allah akulinde nakilalashari naakupe moyo waukarimu kama huo huo mdogo awe rafiki mkubwa rafiki But ww mtangazaji fanya ukikaa mbali nawake zawatu mara wataka kueka mkono juu kama ni mkeo sio vizuri kaa makini sana pumbavu
@sarahmbise85505 жыл бұрын
Pole sana mwaya nakupenda
@witneywilly5 жыл бұрын
Mmh mtangazaj hebu relax kwanza
@TRAVELANDTASTETANZANIA7 жыл бұрын
Napenda kufatilia hichi kipindi.....ni vizuri kujua mastaa wetu maisha wanayoishi ili na sisi tusiogope kutafuta maisha
@berthachacky7977 жыл бұрын
nakupendaga sana dada wastara jaman! unajua kuigiza Kwa hisia!
@zossynguya58987 жыл бұрын
Mpka home nineipenda sana uyu dada anaishima sana
@tumaramadhanghulaam2474 жыл бұрын
Cku wakiingia majambazi kwenye izo nyumba.. Naamini mpaka home watakua wamesababisha so vizuri kwenda majumbani kwa watu ivo mnawatangazia nakazi yao hamuezi jua maadui zao pengine walikua hawapajui kwao
@mwanahamisibunju5835 жыл бұрын
Pore dada wastara mungu akufanyie wepesi katika matafutaji yako ishallah
@edinaedward61437 жыл бұрын
Nakupenda sana dada wastara mwenyezi mungu aendelee kukupigania kwa kila atua unayopiga
@uwinezaaime27285 жыл бұрын
Da Wasta nakupenda kweli yaaniiiii nakukumbukaga vile kwaile movi ya mboni yangu fighting sis
@joycefjaha6104 жыл бұрын
Hongera sn dd one day yes
@bijumakassim36977 жыл бұрын
Pole dada wastara mungu atakupa nguvu inshaallah
@mozakasim11444 жыл бұрын
Nakupenda sana wastara mstaarabu mpambanaji mvumilivu kwa kila hali uliyopitia
@rehemasalim5134 жыл бұрын
Alhmdllah hauku umia uso, ww ni mrembo sana Mungu akupe umri mrefu
@sarapaulo47183 жыл бұрын
Nmempenda alivyosuka
@zainabbakari36037 жыл бұрын
Pole saana Dada wastara utapona kwa uwezo wa Allah nakupenda sanaa wastara juma
@neemamoses95867 жыл бұрын
Zainab Bakari nami nampenda sn, ana heshima, utu ,ukarim, du! Mungu akubarik wastara.
@zainabbakari36037 жыл бұрын
Neema Moses umeonaaee ni mkarim piaa nampenda sana
@yustamakwawa67987 жыл бұрын
Mungu pamoja nawe mdada mkalim wewe
@eddyeddy60717 жыл бұрын
Pole sana wastara
@fridahusen60896 жыл бұрын
uko vizuri mtangazaji
@matthiastraube14987 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akutie nguvu wastara
@lizzyshaban54077 жыл бұрын
hy kaka sijui kAbila gan mbn hana swaga za utngzji jmn
@stephanoidrisa23397 жыл бұрын
Lizzy Shaban swaga zann kwan kaenda kuuza sura au vp
@elizabethmwakalinga32877 жыл бұрын
Wastara huko mpole nakupenda sana!
@lakimdiu25477 жыл бұрын
nampenda wastara sana huwa muelewa
@mariamsaidi76255 жыл бұрын
Wastra mungu akuweke Dada wangu nakupenda sana
@ummulkheirzubeir63207 жыл бұрын
Wastara msaharabu sanaaaa jmn mungu akutangulie
@robinhomesuza92633 жыл бұрын
Daaaa wastara upo vzl
@ashminaabdullah56267 жыл бұрын
HAbiba kweli mwaya .,,pole Allah akipe nafuu
@azizaooo63097 жыл бұрын
wastara mpole masikin mungu akujaalie kheri
@saidahamisi64044 жыл бұрын
ALLAH akupe kilalakheri katka kazi yako
@nzomukundafatuma53647 жыл бұрын
Pole sana mama.love you
@jacklinepaul5647 жыл бұрын
mashaallah Dada angu nakupenda saaaaana jaman
@Pedeshee014 жыл бұрын
Ana chura?
@mamumoh14027 жыл бұрын
lv u Dada wastara
@matthiastraube14987 жыл бұрын
jamani huyu dada nampenda sana anaonekana anabusara
@p.kasongot9797 жыл бұрын
Uyu mtangazaji nampenda bure toka Congo love you ma belle wastara 😍😘😍😍
Nimeyafaham mengi toka kwa Wastara Juma, Ahsante sana....
@verdianasteven3047 жыл бұрын
poe mwaya wastra umepitia majaribu mengi
@scolambilinyi24447 жыл бұрын
huhuhuuhu huy kakaa apana we pole san wastra
@rehemaathumani43517 жыл бұрын
Pole sana dada wastara yote mipango yake mungu
@حواءننن7 жыл бұрын
Hapa huyu mkaka ndio amekaribishwa na soda kuliko kote mungu amoe nguvu huyu mmama
@rachelezekiel11587 жыл бұрын
Kweli mdomo huumba!! Ulijitabiria kifo, pole sana, kuna kitu nimejifunza.
@mutwalesylvie74434 жыл бұрын
Wastara mzuri mpole mashallah
@khadijambuta43607 жыл бұрын
Mashaallah dada mkareem sna 👏
@hjjjhjjbbb71385 жыл бұрын
Nimukarimu sana wastara
@rayyankhalifarayyankhalifa2057 жыл бұрын
Mashallah wastara ni mstarab ila mamy jaribu kujistiriki kichwa utazidi kupendeza penda sana mamy
@aishanjama89717 жыл бұрын
Mashaallah da unasubra sana
@yunusabeid747 жыл бұрын
I love this woman she's very cute and simple...so kind
@najma32687 жыл бұрын
Nakukubali sana sister wastara
@kakajosee3953 жыл бұрын
Ahhh mlinzi kacharuka😃😃
@shukridjibril68484 жыл бұрын
She’s very beautiful 💕🌸
@ifgodsayyes.nobodycansayno17967 жыл бұрын
GOD WITH YOU MADAM WASTARA KUKU MISS NAYO
@maryfelesh91817 жыл бұрын
Lv u mumy god Blesng u
@antiphaskimario9585 жыл бұрын
Pole sana wastala nakupenda sana Dada angu
@rayyankhalifarayyankhalifa2057 жыл бұрын
kaka mbaya kazi una jisogeza km unakubaliana na mm gonga like apa
@mitchamitcha94047 жыл бұрын
Rayyan Khalifa Rayyan Khalifa hahahaha kumbe pia wewe umemuona
@ernowilliam77995 жыл бұрын
Mtangazaji uko vzr xn nakukubali xn Ila unaboa kinouma habadilish shat vipi au ndo maagizo ya mganga wako nn tuambizanee bwan mzee wa globo
@mariamuhamadi26955 жыл бұрын
Rayyan Khalifa Rayyan Khalifa mh
@jacklinethomas37455 жыл бұрын
DADA mstarabu kama jina lake love you wastara
@moodyzanzibar43365 жыл бұрын
Akumbuke tuu kua kuna Mungu
@stevecharlz90325 жыл бұрын
Kati ya wanawake ninao wakubali Ni wastaraa hongera mama
@leikhaomar62435 жыл бұрын
I luv yuh wastara u so beautiful mashaallah
@adijaadija83395 жыл бұрын
Love wastara♥️♥️♥️♥️
@zuhulasaidi95395 жыл бұрын
Umependeza dada Yangu
@bardoniewilass88957 жыл бұрын
I love wastara so much
@prayzoodmaraboy7967 жыл бұрын
Mtangazaji mzuri sana tena mstarabu
@rosemarybenjamin43337 жыл бұрын
Maskin pole saan wastara 😌R.i.p sajuki 😓
@issamsangi2687 жыл бұрын
namkubali sana huyu dada hanaga skendo za kijinga ni jembe la kazi...salut dada angu
@arafarajabu77607 жыл бұрын
pople sana dada , umepitia wakat mgum ila uzid kuomba mungu na rejea kwa allah
@chiddymozart73837 жыл бұрын
wastara hakupenda hii ziara ya ghafla lkn kwa sababu ni wastara alionesha stara zake..nampenda Sana huyu mdada
@angelmmhsankah12347 жыл бұрын
Mtangazaji hana utulivu
@rutembawilliam10476 жыл бұрын
mungi atakusaidia .mungu nimewa sikuzote mama
@rutembawilliam10476 жыл бұрын
jamani
@winfridadavid86364 жыл бұрын
Kabisa
@ayshamahariq66654 жыл бұрын
Pole kwa yote daa
@naimasaid77635 жыл бұрын
Mm mnaniuzi sana mnavyovamia bila ya taarifa, rekebisheni kipindi chenu bhana sio poa hivyo mnavyofanya, halafu hata hamsikii sijui mpoje, ngoja cku muitiwe kelele za wizi ndipo mtakapoacha wajinga nyinyi
@diyaosman89927 жыл бұрын
Samahani hiki kipindi nikizuri sana pia nakipenda lakini mungalichagua wakati mzuri wala siusiku kwasababu usiku niwakati wamapumziko kila mtu hua amejiachia .mkenya nikiwa Qatar love TZ
@hildamsalilwa617 жыл бұрын
Nakupenda bure Dada wastara ktk bongo movie wadada wote wastara ndo wakwanza
@wemakalam94157 жыл бұрын
Umefata habari ama umekujaa kula wewe jamani huyu jamaa anabowa sana
@suleimankiumwa53286 жыл бұрын
Wastara mzur ,ongera sana
@msowanelson54524 жыл бұрын
Uwa mnapanga kwanza ndipo mnaanza au mnaigiza mmjaenda ghafra bwana
@mohamednahid27727 жыл бұрын
Wastara namkubali sana ni mpole
@petermunuve27886 жыл бұрын
Wastara my crush always,frm 254
@danielcosmas94264 жыл бұрын
Jmani huyu Dada nimzur sana
@fatmat68837 жыл бұрын
Brighton wacha hizo tabia za kujiachia nyumba za watu wakati unafanya interview tutakufuta kazi wacha mchezo ww, wastara ni mwanamke jasiri ,nampenda sana maulana ampe maisha marefu inshallah.
@captainswaicomedian84847 жыл бұрын
safi sana irealy love this woman
@radhiamrumi94616 жыл бұрын
Mtangazaji Hilo shati mmm una idhalilisha kapuni yako bhana
@kambahamza73675 жыл бұрын
Pole. Sana. Dada. Yangu. Wastala
@rosemarybenjamin43337 жыл бұрын
Duuu Leo Al hamdulilah umekarbishwa vizur na soda matunda kila ki2 😂😂tofaut na ulikopit🤔🤗😎
@rosemerry95347 жыл бұрын
ndo dawa yake mana saaa nne ya ucku ngoja atakuja kuliwa na mbwa huyo
@bahatimboga56147 жыл бұрын
Rosemary Benjamin 😂😂😂😂😂😂😂
@salhamrishoaish92926 жыл бұрын
kumbe wastara wa moro my😘😘😘haijalishi kabila ila mzaliwa
@hawaamanzi42637 жыл бұрын
Unanifurahishaga sana unapokubaliwa kuingia unafurahi sanaa
@tatut38897 жыл бұрын
Hawa Amanzi tena anajifanya mshamba kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hawaamanzi42637 жыл бұрын
Umeona eee yaani yupo fun kweli mm nampendea hapo tu
@fareda18477 жыл бұрын
Kiukwel mda mlouchagua co mzur kwa7bu ucku mda wa kupumzika jmn badilishen time hii co nzur
@vumielihaki29904 жыл бұрын
Mtangazaji anawenge balaa. Au kapagawa na uzuri wa Sister.
@neemathomas26567 жыл бұрын
mungu azidi kua upande wao dadangu wastara
@nermayohane10467 жыл бұрын
mungu atakupa muime mwema like sajuk
@salmazena19327 жыл бұрын
From Kenya nikiwa Saudi Arabia kipindi nimekipenda