MPAKA HOME KWA KIJANA ALIYEJIUNGA FREEMASON AFICHUA PETE YA FREEMASON ILIVYOYEYUKA KISA LUCIFA

  Рет қаралды 157,549

Maks Media

Maks Media

6 ай бұрын

Пікірлер: 436
@user-uh1zx5cz5i
@user-uh1zx5cz5i 6 ай бұрын
Una shiriki kanisagani,chini ya muchungaji mugani,weka watu wazi Samuel utafauli mission yako in Jesus name Amen
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 6 ай бұрын
Mpeleke kwa Mchj Amaniel katekela ,sababu naye alisema alikuwa huko na alikuwa mchawi, anapatjkana promover tv Mungu amsaidie kijana huyu aokoke 100 percent. AMEN
@mwikalijosephine5178
@mwikalijosephine5178 6 ай бұрын
I cover my self with blood of Jesus christ Amen
@user-vs5yi6sv8r
@user-vs5yi6sv8r 6 ай бұрын
Mmmh
@user-ir3ep3kz2b
@user-ir3ep3kz2b 25 күн бұрын
Nimeyasikia yako mungu atakuruzuku kaka mwenyezi mungu akurinde nashari zawaurimwengu na itwa Asumani nitazidi kuku ombeya Aminq
@susanmusindi4123
@susanmusindi4123 6 ай бұрын
Huyu kijana bado yuko Free maison. Historia yake ina sehemu inazungunzia uongo. Bado anamfanyia lucifer kazi .
@mwaledwardugendo7344
@mwaledwardugendo7344 6 ай бұрын
Hongera sana kwakujitoa na MUNGU-YEHOVA anautajiri kuliko ibilisi mimi huwa naaamini
@zipporahbochaberi2694
@zipporahbochaberi2694 6 ай бұрын
Samwel napenda sana mawaidha yako wanaosema ati samwel muongo basi hao wa hicho chama
@user-ru7hi7cw5u
@user-ru7hi7cw5u 5 ай бұрын
Una akili wewe? Mtafute roho wa Mungu kakufundishe kutofautisha. Wewe mi mmoja wa vipofu vya kiroho.
@hezekiamhapa7395
@hezekiamhapa7395 6 ай бұрын
Samuel Mungu akubariki Sana ! Asante Sana kwa kutufunulia haya ninachokuomba usije ukarudi kule hata akushawishi namna gani usithubutu siku ukirudi anakumaliza hapo hapo Kama Mungu alivyonavyo adui kwake tambua Hali kadhalika wewe Ni adui yake mkuu kwa sasa. Pia ushauri wangu usiwatembelee Sana hao marafiki zako shetani anaweza kuwatumia wakakuwekea hata sumu ili usiendelee kutoa Siri zake kuwa makini na Mimi nitakuombea Mungu akupe ulinzi wake muda wote wasikudhuru
@user-yy3xe8cx8o
@user-yy3xe8cx8o 6 ай бұрын
Kweli umetoka Freemason
@umutoniyvette8637
@umutoniyvette8637 5 ай бұрын
​@@user-yy3xe8cx8ohakuna juk9 ndani sanaaa tena
@bukurumoise5827
@bukurumoise5827 6 ай бұрын
Muongo huyu jama ona sura ngumu kaama ngumi shenzi kwelikweli 😊
@EdwardCharles-sz9hd
@EdwardCharles-sz9hd 5 ай бұрын
Haaaaaaa we jamaa kwamba umeamua umuchane dogo cyo haya mkuu nmekubal
@madinamuzei5520
@madinamuzei5520 3 ай бұрын
I don't know why but I have a strong feeling kwamba Kuna kauongo mahali.
@PipyJanuary
@PipyJanuary 2 ай бұрын
Am with you hawa watu wanamwaribia jina Ezekiel mbona si mwingine kila mtu ni Ezekiel
@VictorineAchieng
@VictorineAchieng 6 ай бұрын
Huyu kaka ajatoka freemason acha kumdanganya Mungu baba yako mwenywe ulimtoa kafala Na uliulizwa ukakataa hbr zako tunazo kutoka Kwa dada yako usitudanganye hapa
@barakamongi
@barakamongi 6 ай бұрын
Oy naona shetani anakulipa uje kutuletea wazimu
@emmanuellikaare1661
@emmanuellikaare1661 6 ай бұрын
Unauwakika
@stivanto8539
@stivanto8539 6 ай бұрын
Ukweli mtupu huyu yupo freemason bado
@silviaingutia2870
@silviaingutia2870 6 ай бұрын
True hajatoma ni kutufunika tu macho
@rinawanjiru6207
@rinawanjiru6207 6 ай бұрын
@@stivanto8539 we do b
@danielaudax6755
@danielaudax6755 6 ай бұрын
uwezi ingia freemason afu eti utoke kizembe acha kudanganya watu kama ni Ivo wengi wangetoka
@gennetdesta6060
@gennetdesta6060 6 ай бұрын
Huyo bado yuko kwa hio chama asiseme huongo
@givenykingtv4780
@givenykingtv4780 4 ай бұрын
Hicho chama saiz kimekuwa cha kawaida sana halafu uongo mwingi sana
@Nyadewaz-dizee
@Nyadewaz-dizee 6 ай бұрын
Huyu kijana aliombewa kanisa Gani? Ni mchungaji Gani alimwombea? Akiwa na mali kama gari na nyumba Bado Ako ndani. He is just doing a Reversed Psychology and he is out to sell a certain Agenda.
@violetnasimiyu8718
@violetnasimiyu8718 6 ай бұрын
Yes you are right.
@stivanto8539
@stivanto8539 6 ай бұрын
Facts
@user-ne2kp2hc5i
@user-ne2kp2hc5i 6 ай бұрын
Kama uyu samueli ashaachana na lucifer kwa nini hapendi kurudisha mali yake ? Samueli sema kweli kama wewe si mutu wa lucifer
@user-ne2kp2hc5i
@user-ne2kp2hc5i 6 ай бұрын
Kama uyu samueli ashaachana na lucifer kwa nini hapendi kurudisha mali yake ? Samueli sema kweli kama wewe si mutu wa lucifer
@rosewilliamson2153
@rosewilliamson2153 6 ай бұрын
Yeye ni agent
@reachelchemtai2604
@reachelchemtai2604 6 ай бұрын
Mimi ni nashukuru sana kwa ushuhuda zuri Sana napenda Sana huyu kijana kwa kupenda mungu kwa roho yake yote
@stivanto8539
@stivanto8539 6 ай бұрын
Kama ni ukweli huyu kaka ashatoka kwenye hiyo chama mbona bado anaficha mambo mengine???? Rudia mungu wewe, uwache uongo
@umutoniyvette8637
@umutoniyvette8637 5 ай бұрын
Uonho mutupu Watu wote ambaho wameamua kuachana n'a shetani Vitu Viote ama utajiri wote una isha shetani Ana kunyaganya kila kitu ulicho kipata kwake Sasa yeye anaongeya kwamba amebaki n'a Mali yote Uyu Ana ongeya uongo
@kuratijumamarwa
@kuratijumamarwa 6 ай бұрын
Tunajifunza kwa kuona , wote waliyojitoa freemason walifilisika wengine wanakuwa na magari yoote yanaanguka mengine yanaungua , huyo bila shaka kuna maoatano na shetani
@pammymoraamoraa6702
@pammymoraamoraa6702 6 ай бұрын
Samuel nikijana mtaratipu sana , anaujumbe mingi ya kutwambia lakini bia anabita Kona kona mingi sana , kuna mambo bado anatuficha, kama mungu ako mbele yako atwambie ukweli bila kusita sita,atoboke atwambie yote ndio tujue hathari zaidi. Ama wenzagu vipi,kamanikusema sema kaka
@MetOrina
@MetOrina 6 ай бұрын
Kabisi😅
@user-rj2bk3hr5r
@user-rj2bk3hr5r 6 ай бұрын
Samweli mm ninazidi kukufatiria kwenye mtandao
@Juliana-gd8ej
@Juliana-gd8ej 6 ай бұрын
Asante kaka,Mungu akubariki unasaidia wengi
@sylivestermwasile4203
@sylivestermwasile4203 6 ай бұрын
Huwezi kuongea vitu vyote hii ni tasisi ya siri kuna vingi haitakiwi uvijue ukisema wanakufatilia kuna sku ukijasahau kidogo wanakuua
@user-ms6lp3ye3g
@user-ms6lp3ye3g 6 ай бұрын
That man is still there
@user-sp2hj4ju4t
@user-sp2hj4ju4t 6 ай бұрын
Professional agent kuweni makini anajichanganya changanya in short ni muongo
@faridahshabani9429
@faridahshabani9429 6 ай бұрын
Kwa mtu ambae amemskiliza kwa umakini kabisa atagundua kua huyu jamaa bado hajatoka.
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 6 ай бұрын
Kuna Kitu Bado sijagundua
@ednamwihava1723
@ednamwihava1723 6 ай бұрын
Hakuna urafiki kwa watu wanaotoleana siri,Samweli amegundua NGUVU ya MUNGU against nguvu ya SHETANI.hivyo amejua shetani ni weak,Shetani mbele ya jina la yesu ni dhaifu,Hivyo mtu akishajua udhaifu wako basi umeisha.Huyu kijana kujua silaha za kumpinga na kumpiga IBILISI.Tangaza injili Samweli mtangaze KRISTO
@susansusanne6157
@susansusanne6157 5 ай бұрын
Hiyo ni kweli kabisa. Bado shetani anamutumikia huu samuel. May the LORD Jesus Christ find the lost if truly they desire to be found, Amen.
@fm.masesi
@fm.masesi 5 ай бұрын
He is still there
@user-oe4dh1he1s
@user-oe4dh1he1s 6 ай бұрын
Wewe unayemhoji na huyo Muongo wote mi kitu kimoja mnatupotezea muda ,wa kufanya mambo ya maana tukae kusikiliza utopolo wako huo. Hovyooo,
@jameswambuku171
@jameswambuku171 6 ай бұрын
kaka nakuliza Rohani akokwalushifa ama kwa mungu
@madpeoplezzzz5121
@madpeoplezzzz5121 6 ай бұрын
Huyuu Jamaa Kaja kutoa siri? au Kaja kututamanisha tujiunge na Chama chake......😅
@nelsonneeson620
@nelsonneeson620 6 ай бұрын
Kaja kuwatamanisha mjiunge huyu hajatoka aisee na anaringia kuwa uko. Hata hao marafiki wanapatkanaje.
@jeannejumanne3054
@jeannejumanne3054 6 ай бұрын
Uyusamweli ajatoka uko anatudanganya mbona wengine wakotoka hua wana chukuliwa malizote imekuaje samweli wamuachie malizake mchunguza sana uyo kijana
@user-uu7db3kg8y
@user-uu7db3kg8y 6 ай бұрын
Samuel mjinga mkubwa bd ajtok freemason we umbwa ushauw bab yak muzaz wacha kudanganya mung
@feihusein
@feihusein 6 ай бұрын
Kaka apo una2danganya huo niongo kabisa yaan we bado ukofrimason ila unataka kujificha
@escapricejordins988
@escapricejordins988 6 ай бұрын
Lakini mbona chuki ya bure kama una akili timamu na ujuzi wa kiroho utajua Kwa kweli anaongea ukweli.hasinge kuwa ametoka hasinge toboa siri.kwani unadhani shetani mtoto wewe...hasingekuwa ametoka hasinge msifia yesu na kuwaimiza mumwabudu mungu.amesema Kwa kinywa chake kwamba yesu ana nguvu sana dhidi ya shetani.
@escapricejordins988
@escapricejordins988 6 ай бұрын
Wewe Wacha chuki.kama yesu mwenyewe ashamsamehe wewe nani?
@user-pd6fh8fy8b
@user-pd6fh8fy8b 5 ай бұрын
Mali ya shetani haiingii kwa kristo,ukiacha shetani ,acha na mali yake,Jehova Halinganishwi, wakristo tuwe macho
@VenanceJoshua-me5mz
@VenanceJoshua-me5mz 6 ай бұрын
Huyu muongo anawadanganya vijana wajiunge huyu bado yupo huko
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 6 ай бұрын
Uyu angaliki nanguvu za Ki frimanson, na mission ya Anatafuta watuu WANADAMU KUWENI MAKINI 😢
@AnnaMtulo-fc5tg
@AnnaMtulo-fc5tg 6 ай бұрын
Safi sana
@lenymutisya9714
@lenymutisya9714 6 ай бұрын
Kweli, unakumbuka alisema Lucifer alimwambia amletee watu wengi kutoka duniani, this young man is on a mission. Jesus grant us divine protection. Jesus, Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus fight all our battles
@susansusanne6157
@susansusanne6157 5 ай бұрын
​@@lenymutisya9714 You have seen well (Jeremiah 1:12) May the LORD Jesus Christ open the blind eyes so that they may see the truth, Amen.
@susansusanne6157
@susansusanne6157 5 ай бұрын
Micheline You are right, huyu kijana bado ni chombo cha shetani. May the LORD Jesus Christ open the blind eyes if they truly desire to see indeed, Amen.
@user-ru7hi7cw5u
@user-ru7hi7cw5u 5 ай бұрын
Hatari sana na bado wajinga wanamtetea akiwapotosha wengine. Akili za watu hutofautiana
@vomalizavomaliza746
@vomalizavomaliza746 6 ай бұрын
Huyu bado huko free mason hache kutanganya watu hili wanjihunge stop that big liar
@jayalain4609
@jayalain4609 6 ай бұрын
Bado yupo freemason 💯💯
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 6 ай бұрын
Kabisa bado argent lkn Kwa sasa anataka kutuamisha kuwa unaweza kuingia na kutoka na mali ukawanazo
@davidtentacion3104
@davidtentacion3104 5 ай бұрын
​@@mashramadhani1989kwahy ni uongo kwamba ukiingia ndo imeisha
@user-dj7tf6se3f
@user-dj7tf6se3f 6 ай бұрын
Hongera kijana Kwa kutoa watu kafara kwajili yakupata money hongera sana mnauwa watu kama kuku mungu anaupamba Kwa nguvu zake na nyinyi mnauwa hongereni jaman freemasons
@user-lr6qv8fv2m
@user-lr6qv8fv2m 6 ай бұрын
Mh! Sijui lakini MUNGU ndiye ajuaye ikiwa nikweli ushuhuda huu uafundisha Sana lakini Kama sikweli basi ndugu watazamaji jifunzeni kitu happy...👆
@user-fs7fe4pq6j
@user-fs7fe4pq6j 6 ай бұрын
Ujatoka bwana uko kwenye holiday tu😂😂😂😂😂
@robertmasai-zz3eu
@robertmasai-zz3eu 6 ай бұрын
Wewe kijana acha kucheza na mungu mungu hawezi kukaa na mali ya shetani hata siku moja laiti kama ugekuwa umejitoa Mali hizo mungu angezipoteza as wewe bd unazo huo uongo
@user-ln7qw3jh7o
@user-ln7qw3jh7o 5 ай бұрын
Mimi hta ameanza kunibo na uongo zake 🤣😭🤣🤣
@lamechnyaundi4303
@lamechnyaundi4303 3 ай бұрын
May God to continue applifting you bro
@user-yb2qk4iz6i
@user-yb2qk4iz6i 5 ай бұрын
Mungu hazihakiwi.naona bado,haujaashe vizuri ,Mali yake igemalizika h
@FrankMchumi
@FrankMchumi 5 ай бұрын
Jaman wapendwa inavyoonesha kuwa ametoka mana anatoa sir nying sana against Lucifer
@user-sr8lc9oz9d
@user-sr8lc9oz9d 5 ай бұрын
Jamaa anatudanganya huyu ndo anatupoteza kabisa😮😮
@fm.masesi
@fm.masesi 5 ай бұрын
Huyu Bado hako huko.
@user-uq7ej9tl9r
@user-uq7ej9tl9r 6 ай бұрын
Hongera sana we kijana mungu akubariki😮😮😮
@kuratijumamarwa
@kuratijumamarwa 6 ай бұрын
Kwanza alidanganya kwamba alikataa kumuua baba yake wakati baba yake alifariki ,
@FloridaSyombua
@FloridaSyombua 6 ай бұрын
Usiongope kutoa ushuhuda iwapo umekombolewa na Yesu,,He has power than the devil,,kwa uhakika jitoe zaidi kwa Mungu
@vitalbwemababunga
@vitalbwemababunga 3 ай бұрын
Frimasoon hayupo ni utapeli na uongo tuu
@pacifiquemuzo7446
@pacifiquemuzo7446 6 ай бұрын
Samuel nimuhongosana yupondani ya freemancons !
@albertmillinga2269
@albertmillinga2269 6 ай бұрын
Nimeanza kuwa na mashaka na hii story maana unajichanganya sana mwanzo wa story ulisema uliishia darasa la Saba sasa umesahau anasema uliishia darasa la nne ni makosa mengi unayafanya bila kujua.
@user-wl4zh8yq7b
@user-wl4zh8yq7b 6 ай бұрын
Hivi huyo Lucifer unayemzungumzia ndo yule yule ambae alikua mbinguni kupigana na kina Gabriel ? Ndo mkae pamoja halafu aseme kama ulikua hutaki kumtoa father ako si ungesema tu 😂 hivi ni kweli we jamaa upo serious au sisi ndo hatukuielewa biblia jmn
@MelodyOndieki
@MelodyOndieki 6 ай бұрын
Ndio huyu moja kweli
@user-vh5fn8fm5y
@user-vh5fn8fm5y 5 ай бұрын
Umedanganya bwana.lutifa.alikutuma.umutafutie wateja waende.kule.minaitaji.niende.huko nipate maisha namimi
@catherinemhagama7505
@catherinemhagama7505 6 ай бұрын
Hujajenga kwa jasho lako Ni jasho la shetani. Ilikuwa masikini hataari ujenge nyumba kusemaje
@damarisnjerunjeru399
@damarisnjerunjeru399 6 ай бұрын
Hongera kaka
@EdifauDeusi
@EdifauDeusi 6 ай бұрын
Pole ndiomana bibliya imeandikwa usitamani Mali yajilani yako maana ujui kaipataje
@SitetiShaly-rs4tn
@SitetiShaly-rs4tn 6 ай бұрын
Huyo kijana bado hajatoka Freemason. Hakuna uhusiano kati ya Giza na nuru. Then anapewa peasa na rafiki ako Freemason na ako tu comfortable. Bado kuna shida kwa Huyo kijana.
@uhakikamedia9759
@uhakikamedia9759 6 ай бұрын
Akili mingi
@Lavieka
@Lavieka 6 ай бұрын
Hakuna ushirikiyano ya Mwanga na Giza. Kwa nini awe na wa shiriki tena?? Na yeye si wao tena??? Jamaani atusaidiye nasi tusi je tuka jaribiwa. Asante
@user-uh1zx5cz5i
@user-uh1zx5cz5i 6 ай бұрын
I rebuke the devil in you in Jesus name, Samuel ajatoka freemason,angalieni anavyo ugoe na ishara za vidole zake ni freemason,anawanasa kupitia mutandao,kamua baba,kasema akumua, I cover all the viewers with the blood of Jesus Christ the son of the living God amen
@user-ld3nh3jr4s
@user-ld3nh3jr4s 6 ай бұрын
Dah uyu ni ela tu anatafta haiwezekani kurudisha pete na kubaki na ela za freemeson
@atanaskalinga4976
@atanaskalinga4976 4 ай бұрын
Hongera mtumishi nimungu tuu amekutoa emen
@user-Eric203
@user-Eric203 5 ай бұрын
Huyu kijana ni muwongo
@user-xo5yv5fm6g
@user-xo5yv5fm6g 6 ай бұрын
Kama kijana katoka freemason. Mwana habari tafadhali tumia neno "aliye kua amejiunga, badala ya 'aliye jiunga" yapendeza MUNGU atukuzwe Amina.
@maulidkarim8762
@maulidkarim8762 6 ай бұрын
Yesu kiboko ya shetani
@nelsonneeson620
@nelsonneeson620 6 ай бұрын
Kunguru na mwewe ni marafiki ???😂😂😂
@emmilyavilia9146
@emmilyavilia9146 5 ай бұрын
Mutu asimpinge mungu anasiri mingi kumuhusu ibirisi maana yeye huja na kuiba kuaribu na kuua maybe aliiba mtoto mdogo ndio amuvundishe kwaaribu na sio mmocha so wacha mungu avichue yalio sirini watu wamutavute mungu kikweli Samuel mungu akuprotect sana umepata ukweli
@AlfredMunna-xd1vk
@AlfredMunna-xd1vk 6 ай бұрын
Wewe kijan huna akili
@LovenessMosha
@LovenessMosha 3 ай бұрын
Unaongea uongo mwingi na Kuna namna unatudanganya juu ya hao wanaojiita watumishi WA MUNGU ili turudishe IMANI kwao, mwongo hatukuamini Wala hatuwaamini hao unaowapigia debe, nimekusikiliza sana hata hueleweki huna maajabu unajichanganya hovyohovyo
@matimfuko641
@matimfuko641 6 ай бұрын
Huyo bado yupo free mason
@user-hh7su5od8n
@user-hh7su5od8n 4 ай бұрын
Kwa ninavyojua wanachama wa lusifa hawezi kumtaja yesu hata wewe hujalitaja jina la yesuu naona bado haujaokoka ila umetafuta njia ya kujipatia pesa kupitia coment zetu .... Kama kweli umeokoka sema yesu kristo wa nazaret aliye haii
@user-mm2vl1df4x
@user-mm2vl1df4x 6 ай бұрын
Sidhani kaa ametoka coz bado anasema Kuna Siri zingine hatoboi😮😮
@user-kn5th2nt9o
@user-kn5th2nt9o 4 ай бұрын
Mi,naona kama ww ni wakala wa lusifa pia,maana umeelekeza na makanisa yenu uanpo patikana, kimtazamo hujatoka,
@agrcem6707
@agrcem6707 5 ай бұрын
Umetoka , na watu wa frimasoni wanakupatia hela na unapokea, na unajuwa zinatoka wapi
@marryngaiza2061
@marryngaiza2061 6 ай бұрын
Nakusihi sana uende nyumbani ukaunganike na familia yako hasa Mama usiendelee kumtia masononeko. Chonde chonde
@shadrackmangu8624
@shadrackmangu8624 6 ай бұрын
Unamjua nn jamaa
@LeviAnthony-ci4vu
@LeviAnthony-ci4vu 5 ай бұрын
Tapeli huyu.Hakuna Freemason Mjinga mjinga kama huyu.Huyu ni Mambo ya WAGANGA wa Jadi ndo yamempa pesa.
@user-hk6ms7vo1h
@user-hk6ms7vo1h 6 ай бұрын
Ww kina punguza Bangi..hizo n story za Jaba huku kenya
@user-vs5yi6sv8r
@user-vs5yi6sv8r 6 ай бұрын
Acha uongo ww umetoka masonic afu una2mia Mali zao au viongozi wako wa dini Wana damu finyu kama Yako au?
@davidmuia6285
@davidmuia6285 6 ай бұрын
Kijana huyu hasemi ukweli.Anadanganya.Bado yuko huko kazi yake ni kupotosha watu.Hii story haina sense.
@StelaVictor-xu3sw
@StelaVictor-xu3sw Ай бұрын
Mungu akubariki
@Firstjunee-uf6qb
@Firstjunee-uf6qb 5 ай бұрын
Huyu anadanganya ndio watu wajue si yeye alimuua babake , nonsense guy,, wewe endelea na freemason kitakuramba broo
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 6 ай бұрын
Mi kiukwel Bado napata ukakasi hapa kwenye kuonana na mungu
@agrcem6707
@agrcem6707 5 ай бұрын
Hajatoka angeshuhudia
@user-mz2wx5dt9v
@user-mz2wx5dt9v 4 ай бұрын
Wapendwa kuweni makini na huyu ni ajenti wa kuzimu mpaka sshv kazi yake ni kuwaunganisha watu na kuzimu kwa kuwashauri waende kawe na kwa Ezekiel ambapo hao wote ni mawakala wa shetani kwahyo angalieni mtu asiwadanganye yesu alituambia mapema mathayo24
@IreneCharo-ft3pq
@IreneCharo-ft3pq 6 ай бұрын
Regesha vitu vya freemason ukuwe huru bila hivyo bado hujatoka my dear nimependa ushuhuda wako 😢😢😢😢
@ss-bw9ef
@ss-bw9ef 6 ай бұрын
Ambiya ulekaka atafute mungu nimi nichristophe kutoka congo
@seiphyahya5353
@seiphyahya5353 6 ай бұрын
Lakini Lord Samwel di bado anampelekea yule Boss LUSFA wao vitoto vichanga ?
@user-nn7ld9ej3b
@user-nn7ld9ej3b 6 ай бұрын
Huyu hajatoka huko ,so long as uko na vitu vya freemason.tena unaonekana mtu.mwenye maringo bado,na and hes hinding alot .
@violetnasimiyu8718
@violetnasimiyu8718 6 ай бұрын
Ni kweli kabisa hajatoka huko yupo kwenye campaign ya kutafuta wafwasi maana free mason ukitoka wanachukua vitu vya kwao.
@stivanto8539
@stivanto8539 6 ай бұрын
Facts he is still a member
@nelsonneeson620
@nelsonneeson620 6 ай бұрын
The guy alikuwa na yupo lakini hadanganyi, now hawajamaa wameamua kujitangaza so wanawachukua watu akili kuwa ni rahsi kujiunga na kutoka pia inawezekana kutoka na mali ukabaki nazo uo niuongo kabsa, haiwezekani mtu kutoka na mali akabaki nazo.
@user-gf7pq7vs5m
@user-gf7pq7vs5m 6 ай бұрын
Hawa matapeli kama matapeli wengine wanajitafutia pesa ili waish vizuri wawaibie watu
@user-qy3zo5dz9w
@user-qy3zo5dz9w 6 ай бұрын
Mungu ndie muamuzi wa yote bado yupo ametoka akuna anaejua zaidi ya mungu wetu halie hai
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 6 ай бұрын
Wewe muongo kenge bado upo ujatoka
@YosiaJackson-wy7fq
@YosiaJackson-wy7fq 2 ай бұрын
Chama cha frimason kama siyo bongo chipowap
@user-qh1ef8iy7w
@user-qh1ef8iy7w 3 ай бұрын
Amina
@user-fi9gn6cm5k
@user-fi9gn6cm5k 6 ай бұрын
Upo good San nimekubal naomb tuonane
@abdallahbalisesa
@abdallahbalisesa 6 ай бұрын
🎉🎉 Achazakoapa jutudanganya ww
@user-sd1ys9ev5f
@user-sd1ys9ev5f 5 ай бұрын
Mbona unawaficha hao watumishi was shetani wafichue kwani bado wewe ni mmoja wao
@navukalunavatanzi6227
@navukalunavatanzi6227 6 ай бұрын
Bado haja toka huyo
@janepherjamson4166
@janepherjamson4166 6 ай бұрын
Tokaaa acha uwongo
@user-ue4or5rc1j
@user-ue4or5rc1j 4 ай бұрын
Kazana ukae kwa mungu muumba mbigu na nchi Safar bado ni mdefu chukua tahadali
@user-ql9wq3zb5h
@user-ql9wq3zb5h 6 ай бұрын
Bado hujasimama kabisa dogo
@FocusMzuma
@FocusMzuma 6 ай бұрын
Inaonekana kweli ametoka maana siri zote nje
@umutoniyvette8637
@umutoniyvette8637 5 ай бұрын
Uongo Hakuna aliye achana n'a shetani N'a uka baki na mali yake Hata kama ulikuwa umefika hali yajuu kihasi gani Shetani Ana jirudishiya bitu yake viote Alafu yeye anasema ametoka afafu amebaki n'a Mali zote Uongo
@user-hw4vw3yn4c
@user-hw4vw3yn4c 6 ай бұрын
Hongera samweli
@sipekato5249
@sipekato5249 6 ай бұрын
Ww n mwanachamaa too pesa zote hizo unazitoa wapi enderea na biashara za lusferr
@user-gl1wd7eh4t
@user-gl1wd7eh4t 5 ай бұрын
Kama bado yuko kwa hiyo chama MUNGU atamnyoosha
@bushkayumba3301
@bushkayumba3301 6 ай бұрын
Na kusalimia, bagui ilikua n'a mana kani?
@user-ks9im3cw1s
@user-ks9im3cw1s 6 ай бұрын
Aaa okey sasa vipi nikujie apa kenya
@OmaryAlly-qm6qj
@OmaryAlly-qm6qj 6 ай бұрын
Ulisema ulinunuaga magari 2 hapahapa bongo
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 19 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 53 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 39 МЛН
ТГК: ЛОГОВО FRIENDS #россия #чатрулетка
0:21
АлексДан
Рет қаралды 9 МЛН
When dad sneezes 😱😵‍💫 LeoNata family #shorts
0:26
LeoNata Family
Рет қаралды 11 МЛН
Ужасное свидание🤯 #стальноймужик #жиза #еда
0:50
SteelMan XXL | Стальной мужик
Рет қаралды 3,1 МЛН
Когда покупки идут не по плану🤯
0:32