Shida ya Watu wa makabila haya wakipata Pesa kidogo tuu wanaenda kuongeza Mwanamke badala ya kujenga Nyumba na kubadilisha hali ya maisha. yaani Wameweka Ngono mbele kuliko hata maisha mazuri.miaka kibao amefanya kazi huyu Mzee nyumba hana ila muulize ana Wake wangapi ndio utajua Pesa zinakokwenda.
@luckydubebello11318 ай бұрын
lkn iko ivi watanzania wengi sio wanawake ,wanawaanabudu ngono kila saa na madharau mingi haina maana thats y unapata mtu anaenda ulaya na mwishowe anakuja kuishi kimadkini manake aludharau watu wakati ule alikuwa juu ,hio ni kitu hawajui kuwa table do turns upside down
@Danicloud1007 ай бұрын
Ngono iko juu sana…. Uyo mzee Hakuna filamu yake yenye sio ya mapenzi na ma raha na ngono ngono
@Tukujuze7 ай бұрын
Ilimradi kujenga sio sisi tunaoishi kwa mikataba
@josephkiwale3748 ай бұрын
Watu wanaponda kisa Mzee kamtetea mondi,wabongo uchawi mwingi xana🤣😆😆
@salimsatia54988 ай бұрын
Pole sana bwana kigwendu, watu wengi wanafaidika mtandaoni kwa kutumia account kushi
@josephlorri4318 ай бұрын
Huyu wakati fulani alituonyesha magari yake..nyumba kali anayoishi.. aliwahi kugombea ubunge
@alisaidi26208 ай бұрын
Nyinyi wasani huwa nashindwa na kichwa yenu mara munatuonyesha maisha ni mazuri mara ATI maisha ni mbaya😂😂
@carolinenyanchara42398 ай бұрын
Wanatafta Kiki 😢😮
@RevocatusNarsis8 ай бұрын
Pole
@RizikiOmari-w9m7 ай бұрын
Hpa sio kwke huyu itakuw pesa anaplka wp miaka yote hio
@HASSANBAKARI-q9c8 ай бұрын
MNAOMDHIHAKI KINGWENDU BADO HAMJAAMKA NYIE....TENA MMELALA KABISA HAMNA MNACHOKIJUA
@s2kizzySnipers118 ай бұрын
Ndevu kama umetembaza sumaku chiniii siku30 toka tandika adi kalAko😅😅😅😅
@florangido2028 ай бұрын
Pesa unapeleka wapi!!! Tangu niaze kukufahamu inakuwaje huwe hivyo hata ndevu hushindwe kuchana 😂😂😂 Punguza kinachokusababishia Umaskini
@Brunn-mh2bq8 ай бұрын
Ati " huwe" hivyo. Ndevu " hushindwe" kuchana! Nyie watu mko dunia gani? Na wewe ndio huyo huyo kesho utatuambia fulani yuko "apa" nenda "uko"😢 Tz tumekosea wapi yarabi mbona watu wanazidi kupinda hivi. Kweli una smartphone lakini Kiswahili hujui? Na kiingereza ndio hivyo tena. Dah!
@ibrahimaziz71588 ай бұрын
Huyu jamaaa hayupo siriass kabisa ukute yupo kwenye comedy hapo
@abidandastanmaliyatabu13738 ай бұрын
😂😂😂😂 inawezekana
@magdalinekenneth72388 ай бұрын
Hawa ni wachekeshaji wa kitambo sana mbn bado life hii
@user-cg3vf2bl6b7 ай бұрын
Hawa watu wacheshi waonuchukulia Hadi real life Yao kuwa comedy 😂
@husseinhkitambi17018 ай бұрын
Khaa
@musahassan11068 ай бұрын
Shida ya kingwendu abadiliki chili mwenzake amebadilika uchekeshaji wake ni wakitambo
@chimbwara41408 ай бұрын
Sauti hakuna
@sylvestercameo62638 ай бұрын
Hivi unapodai "anapoishi patakutia machozi" una maana gani?
@abdulhafidh77498 ай бұрын
Msenge njaa inamuuma hyo km bata na ndevu zake km askar wa kihindi