I Use to watch this Man "Kingwendu" during my childhood times, Indeed He is Great Comedian And Role Model to Many Keep Going Kingwendu, Watching From +254(Kenya)
@JumanneNwitaro6 ай бұрын
Hongera sana mzee kingwendu mwenyezi mungu akutangulie kwa kila hatua, na uishi maisha marefu.
@t.n.98682 жыл бұрын
So calm, composed and knowledgeable. Great man
@innocentwakenge11702 жыл бұрын
Mimi namkubali sana mzee kingwendu
@LucasPoul7 ай бұрын
Kingwendu hapo nimekuelewa sanaa nikupambana kama mwanaumee. Nimekupa big up
Kama ulimuon kingwendu kajiramba mdomo kabla yakuongeya gonga like😂😂. Frm zanzbr
@harelimanapascal9486 ай бұрын
Nampenda sana msekesaji kingwendu sijui nitamuonaje hata Sina uwezo wa kufika hapo lakini akija hapa kama Kigali nawezaenda kukuona.naitwa Pascal nipo Rwanda
@felikpetro19433 жыл бұрын
Yaani nkimcheki uyu jamaa najisikia kucheka kwa kweli yaani huyu jamaa kuigiza ndo kipawa chake kabisaaa big up sana Kingwendu
@bimkubwamohd32542 жыл бұрын
Ahsante karibu pemba kwa wasanii wadogo
@jacksonotiende86342 жыл бұрын
I really like this man kingwendu he is a greate comedian
@RashidiPablo6 ай бұрын
Vraiment kingwendu mon homologue mois aussi je suis Rashidi simbi de la RDC
@danielmacharia59453 жыл бұрын
Kishtobe🤣🤣 Mungu akulinde msanii mbabe sana,congrats Kingwendu for your good job.
@abdulisike83202 жыл бұрын
Hongera kingwend kwa kazi nzur mungu akupe mguvu kila inapoiywa leo
@yerikomandela49633 жыл бұрын
Yes kingwendu I appreciate u for what u a doing
@jasminejojo32852 жыл бұрын
I like the way you give yo clients time without interapting, so professional Bigup gal💪
@gabrielorkipirei88292 жыл бұрын
Well
@johnsonthuva1880 Жыл бұрын
Mzee kingwendu amekuwa fun wangu sana nilipokuwa mdogo..nilikuwa natoroka shule nakimbilia banda la video kuitazama filamu
@aminaramdan32833 жыл бұрын
Kigwendu Unamaliza shule mie ndio mwaka nilio zaliwa🥰😍
Wow his a gentle man,ataki mtoto wa inje asiitwe malaya,I love that part👌,may GOD continue to bless you with your beautiful wife and kids😍💖more love from🇰🇪🇰🇪
@leonidasbuntu7892 жыл бұрын
Kingwendu mzee wa raha duniani.
@luluwillium13647 ай бұрын
😂
@atanasjuma4333 жыл бұрын
mm nakumbuka tukio lako kingwendu ulimpiga teke la mdomoni yule mshikaji aliyemsaidia mkeo kumrudisha nyumbani pale kigogo
@safarishamba-i2e2 ай бұрын
Mzee hongera sana wengi tumetoka huko
@danielmwangi90263 жыл бұрын
Kingewendu my favourite EA comedian
@salehannah41363 жыл бұрын
We love you so much from drc/Kinshasa
@zadokasaph55613 жыл бұрын
Kingwendu uko juu Mungu na akulinde
@suluoarjun27672 жыл бұрын
Nimemuelewa kingwendu ninaomba sapot mimi naigiza
@Masaipeter7568 ай бұрын
Rafiki yangu mkubwa baba nakuenzi
@namirihamisi38993 жыл бұрын
Mwanangu mziwanda nakupenda kwa kuchimbuwa vya kale shukran sana kazi iendelee.
@fatumantirampeba81863 жыл бұрын
Hakikingwenduanacekecha
@ashrafseif94603 жыл бұрын
Kingwendu tunamkubali sasa kwanin uweke nyumba isiyoyake?
@wandiaflorence77123 жыл бұрын
I like the guy humble funny person.
@helmandidas7152 жыл бұрын
Aa tuna toka mbali hongera kingwendu
@bigjohndeliveranceworship66062 жыл бұрын
Love you so much mtangazaji unajua sana wewe moto
@joleal79412 жыл бұрын
Kingwendu mtubwetuuu onger kwa kaz zako
@harounngelya51153 жыл бұрын
Kama umesikia mtaaa wa matombo gonga like
@emmazacky57423 жыл бұрын
Mtombo
@kisurangusa5543 жыл бұрын
Inaonekana watu wa mtaa huo wanapiga bakora za uhakika?
@StephanoMoses7 ай бұрын
Mtaa wa mtombanino
@francismomo70677 ай бұрын
Ahsante sna we toto mziwanda
@millicentouma20713 жыл бұрын
Napenda Sana uigizaji wako kingwendu,usanii wako mzuri Sana,wewe na majuto I'll leave to remember you,
Kingwendu uko vizuri hasa. Asante sana kwa usanii wako.
@titorodrick81632 жыл бұрын
Baada ya mahojiano tuna htaji kuona huo mjengo wa kwnye kava,,,Maana mmezid wandish kupamba ujinga ,,yy kalidhika na har yke ninyi Mna m edi mjengo ,,so poa , pamoja sana ngwendulile
@abdullramadhanii6262 жыл бұрын
kingwendu hana nyumba nzuri hivyo nyumba yake iko kwakisauti bondenii
@japhetrobert17282 жыл бұрын
Unajua mzee baba !
@mage53713 жыл бұрын
Siku kingwedu akichana nywele mje mnistue😁😁
@Carolina-sm5zt9 ай бұрын
Big up Kingwendu
@mwelimazozo Жыл бұрын
Kweli kingwendu anapigaga show kijijin tunamuonaga live
@harelimanapascal9486 ай бұрын
Napenda sauti yake kama mtoto kbs njoo hapa Rwanda mkuu