Ana haki ya kubadilisha katiba ni haki yake na sisi tupo upande wake tupo ngambo yake tunampenda sana ❤❤❤❤❤🎉🎉
@appolinairekulimushi4374Ай бұрын
Pole sana ndugu mtangazaji na shida ume kumbana nao. Mungu asifiwe kwa kuku nusurisha, Mimi naunga mkono ubadilishwaji wa katiba ili tuwe huru kwa inchi yetu. Mimi ni mkaji wa Bukavu
@julienneaboki4105Ай бұрын
Pole sana iyamba lietu un
@RéverendsamyАй бұрын
Siku mingi baba.tulikuwa tume WA kosa.pole Sana Tena Sana.wale waliyo wa nyanganya watapewa pigo kubwa.ni mimi rév tombola Karahu SAMY.tunawaombea.Mungu atawa kirimia NEEMA yake.
@ShabaniBalecarАй бұрын
Nakupata 5/5 hapa uvira ni papa BALECAR SHABANI SELEMANI n'a pole sana kijana wangu
@JosephBasedeke-iv3rfАй бұрын
Ubarikiwe sana ndugu mutangazaji katiba ibadilishwe na chisegeti abaki madarakani sawa. Museveni
@BabesAmisiАй бұрын
Jambo bwana mtangazaji wetu, pole saaana kwa habari hiyo ambayo yakuporwa vifaa vya kazi, kweli tulikuwa tuna anza jiuliza nini aiyendeke kwenye tv, yetu? Pole sana baba, ni BABES AMISI, toka drc, sud kivu, Mwenga! Asante.
@jeandedieubashimbe7187Ай бұрын
Pole Ndugu YETU, asante kwa YESU KRISTO MUNGU WETU
@copermakonga7999Ай бұрын
Ah, pole sana kwa matatizo hiyo imefikia IYAMBA LYETU. Bora uzima. Baba Mungu apewe sifa
@BabesAmisiАй бұрын
Mimi BABES AMISI, naunga Raisi wetu mkono kwaku badiri vipengele vimoja ambao ni vibaya visivyo halali kwa ajili ya inchi yetu, irudishwe kwa Mustari Muzuri, Mungu amubariki!
@DanielMufwaya-ef8eoАй бұрын
Kubadilisha katiba simakosa kila raisi ana mtazamo wake kuhusu inchi kibinafsi nakubali
@MutendelaDanielАй бұрын
Pole mzee wangu nashida
@JeanBaraka-pu5xoАй бұрын
Kongo tungali.nyuma kabisa kuiba vitu vya redio pole sana kongo yetu
@amisiismail9261Ай бұрын
Ibadilishwe sana tena sana
@reface6780Ай бұрын
Asante sana kwa taarifa hiyo
@SeverinBilumbagoАй бұрын
Hii ndiyo bahati tunayo kumpata mtoto wa Inchi halali.Kukosa kubadilisha Katiba,ni kupoteza bahati hiyo.Tunakubali kabisa KATIBA KUBADILISHWA.Huo sio mwisho wa dunia kwa kuwa wengine walifanya hivo na Inchi imebaki tu.Katiba inayo vitu vibaya sana!
@kavirajanine4893Ай бұрын
Hamutaki congo ibadilishwe Na mtusi
@simbabochancegbedabo874Ай бұрын
Katiba ibadilishwe 100/100.
@JacquesMasudi-e1gАй бұрын
Poleni sana, walifanya iyo kazi mbaya Mungu atawalipa tu Niko USA
@nendeamisi2184Ай бұрын
Bilakubadirisha katiba akuna amani Mukongo.
@Aimable-m5oАй бұрын
Ndiyo, nihakika igeuzwe . Naongea kutoka Marekani.
@DanielMufwaya-ef8eoАй бұрын
Pole sana namsiba ila mambo utembea mawili mawili kisha msiba nimafanikio itakuja
@LumooMishikiАй бұрын
Polesana jurnaliste wetukwa magumuya wajambazi ndiyo inchiyetuile,mzee kuhusu katiba ibadilishweyote ikovibayasana jamani, niko goma
@michelkagayoАй бұрын
Jambo mtangazaji nipo bukavu niMichel kwa kweli raïs aba dilishe wale wa opposants wote nivibaraka
@musavulimichel6090Ай бұрын
Tu naku fwata safisana
@ShabaniBalecarАй бұрын
Katibu ibadiliswe ju iko mubaya sana Haïfa kabisa
@KiluluDunia-q9sАй бұрын
Kutoka CANADA Mimi Dunia kilulu ,Ushauri ni huu.kiongozi wetu atajua Mcongomai alisi ni mwenye kupenda mabadiriko, ya katiba.asie ,niyule anae kataa.
@IbrahOtix-gl6psАй бұрын
Mm kwamajina elisha bonaamekawa kubadi Katibà
@pascalbuhendwa2200Ай бұрын
Raisi lazima abadirishe katiba
@amisiblaise9234Ай бұрын
Poleni sana ila Mungu atasaidia njo kwamaana sikuwa na wapata siku hizi pole sn
@christopherkanyalakc8941Ай бұрын
Wap mzee wa habar mbich
@BululuMkambilwa-d6tАй бұрын
Akuna kingine ndani ya Congo bila katiba kubadirisha wale wote wanayo kataa ni wanyarwanda wakongo kwa ngozi wanyarwanda kwa roho asante kwakubadirisha hiyo katiba
@NgongaJosephАй бұрын
Ok jambo Mtangazaji mimi kama mzalendo siwezikubali inci yangu kupewa inci jirani
@LebonBienfaitАй бұрын
Ibadilishwe haraka
@shabantukatembo-rq6bzАй бұрын
Jinalangu katembo shabantu kutoka Uganda katiba ibadilishwe yotee......
Latina ya RDC inapashwa kukerebesha juu ya bipengele mingi binapatiya uwezo ya inchi jiarani kufanya ngisi wanapenda katika udogo yetu, joseph kabange alitumika katiba iyo kwa zaidi mafaa ya Rwanda,unganda ........kwakumaliza inapashwa kukerebesha.
@buselengetekakumbaenos3133Ай бұрын
Katiba ibadilishwe yote kabisa. Tumuhunge RAISI mkono wabembe wote tafadhali . Ni Rev. Buselengete Enos nikiwa Québec Canada
@jumakashindi-dd1bmАй бұрын
Pole bwana tom son Kwa majanga yaliyo kupata, ila tunaomba katiba nilazima ibadilishwe
@MuliraTurbaАй бұрын
Mimi naitwa kwamajina Mulira turba kutoka bkv katiba ibadilishwe kwa sababu hatufadie mali ya inji sawa wanainji
@SamuelKyasesa-r1pАй бұрын
watu wa kabila wanadanya katiba ahikuandikwa na wakongomani bali na wanyarwanda na wazungu kwa faida ya rwanda na uganda na wote wanayo sema ivyo wengi sio wakongomani ila ni wanyarwanda .katiba ibadirishwe.
@mahunoaoci1161Ай бұрын
NI AOCI TOKA UVIRA, KATIBA IGEUZWE VILE VIPENGELE AMBAVYO AVINA FAIDA KWETU. LAKINI RAISI ASIBADIRISHE KATIBA JUU YA KUPATIA BANYARWANDA URAIYA, APANA KABISA !!!
Katiba ibadilishwe kwani kubadilisha Katiba ni kawaida kwa nchi zote. Kwa nini wakongomani wanaona kama ni maajabu ? Wabadilishe ila wasiguse kumuula wakuongoza. Yaani kila rais asizidishe mihula mbili.
@Marcel-b4bАй бұрын
Katiba ibadilishwe vema kabisa rahiya inaweka vema
@JeanBaraka-pu5xoАй бұрын
nakifata kuto finland sauti safikabisa
@NzonziMwanakinАй бұрын
Katiba kubadirishwa nisawa kabasi Nafelix azidi kubaki madarakani mpaka Atakapo choka mana uyu ndo mkongo Mani alisi mzalendo alali
@amisiismail9261Ай бұрын
Unapoteya sana Mzee,ninini mzee
@JEROMEACIBIAA-l8oАй бұрын
Alisha kawiya
@patrickwasesa4495Ай бұрын
katiba yacongo inayo tumika sasa, ibadilishwe
@ShabaniSumaili-b9yАй бұрын
Katiba ibarishwe tu.
@pubgmobile-to4xoАй бұрын
Jambo mtangazaji Kama katiba iliantdikwa nawacongomani kwaiyo tusibadirishe kwasambabu niwacongo kwaiyo walikosea kubanaishi kumajirani basi raisi alishaona tubandirishe
@SamuelKyasesa-r1pАй бұрын
vipengele vibadilishwe na wabunge sawa vital kamere ndio chanjo cha mambo ao yote kila mwaka yupo naye ndiye anasababisha .katiba ibadilishwe
@JEROMEACIBIAA-l8oАй бұрын
Nawale wa bunge waliokua wakati ule wakakubali katiba ya congo ikuwe ya kuoza kamaii ,natafute wote na wafungwe maramoja na kupigwa risasi , hawe baba yangu wa kunizaa wala mdogo , hata huyu jp kabila kabange wote wanastari lisasi
@kidichojohnbandombele4867Ай бұрын
Tuko nyuma raisi wetu
@bungilwaleonard7089Ай бұрын
Sio jibu la kuuliza ni kubadisha tu
@KaputaLundaАй бұрын
Mzee. Wahabarimbichi ekowapii? Uyoni lunda
@ShamukaFororiАй бұрын
Jambo mutangaji nisawa miminiflori kutoka bukvu tupeabarimbince
@juliekats9566Ай бұрын
Jambo mutangazaji katiba ibadilishwe kabisa
@JesseLekuАй бұрын
Kama ichi zingine zinabadisha katiba. Kwa Nini Congo Ina problem kubadilisha ,na kundi la wa Congo man diyo atafanya ,Ayiko tsilombo ndio tafanya yepeke watu Wana ogpa Nini ? Katiba ibadiliswe .toka Aru/Ituri.
@EcaStephaneАй бұрын
Ni lazima katiba ibadilishwe kivyovyote vile rais yupo sahii muula wa kwanza alishindwa kisa mikataba ilio muingiza ikulu ila kwa sasa yupo ikulu kwa nguvu zake mwenyewe kwaiy katiba ibadilishwe kwa namna yoyote ile upinzani awatanya lolote ata wapite mtaani lazima ibadilishwe kwa
@ramadhanijumanne852620 күн бұрын
Kama nihivyo wahaze kujuguza wa Bunge wote
@BahatiKahasha-d5mАй бұрын
Jambo katiba ibandirishwe yote mana kunamakosa mengi usitoshe mutu akipewa urahiya kwanini ayumbishe usalama wainchi
@boscobalukuadulebaluku837Ай бұрын
Ibarishwe yote kabisa.
@ChadraBringАй бұрын
wamwizi wote hawana uruma ya wakongomani wapore balibenyewe baishimungu anaona katiba ibadilishiwe nihaki yarahiya jameni
@RéverendsamyАй бұрын
Kwa Nini isibadilishwe yote ?mimi sioni umuhimu wa hii constitution kuendelea kuweko.
@SwedijaenAmisiАй бұрын
Nafikiri kwanza tungerudisha vijiji vyote vyenye kukaliwa na waasi kisha .njo katiba ifanyiwe marekebisho
@abdenegoharuna5518Ай бұрын
kama lengoyakuyigeuza hainamo ubaguzi wa ukabila amakuwatenga kwa haki igeuzwe.
@YesuniBwana-sv5zdАй бұрын
Rais felix awezi badilisha katiba ni kuchezeya wa congomani. Ni muchezo tu.
@DenisOdilonMungangaSengiАй бұрын
Jambo kuondoa ao kubadirisha vile vopengele vibaya vyote. Waalifu wa kiuchumi wote wafatwe na Steria Hata animaux waziri wa kwanza mustaafu ao raisi mustaafu.
@MunangakayotoAmuriАй бұрын
Katiba ibadikishwe kwani ni mbaya, ni hi katiba njo inayo tuleteya vita.
@EspoirJacksonАй бұрын
Jambo
@SamuelKyasesa-r1pАй бұрын
ibadirishwe tunachoka na vita
@IbrahOtix-gl6psАй бұрын
Yoteibadilishe yote kwani inatupeleka pabaya
@copermakonga7999Ай бұрын
Mbona Mzee WA Habari Mbichi hasikike ?
@amanimanase8799Ай бұрын
Mbona kimya sana habari mbichi zimekufa ?
@SwedijaenAmisiАй бұрын
Mimi ni Amisi swedi ; nakuuliza kubadirisha katiba leo ni vizuri sasa sehemu zenye kukaliwa na waasi itakuwa je? Tumewaachia waasi ?sababu wao wanasema hawatahusika na ubadirishwaji wa katiba