JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV. KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
Пікірлер: 3
@piusmwakyembe4545Ай бұрын
Huyu vp ne vp
@errydeo8865Ай бұрын
Kumbe wabongo hawajui mpira! Hawajui kwanini Yanga anacheza GAMES za awali na simba hawachezi hizi hatua!! Selection ya CAFCL wanachukua timu tano kubwa in points,michuano timu 10! So hiyo inaonyesha ukubwa wa mashindano,wangechukua michuani yote miwili timu tano za mwanzo ,simba wangecheza game za awali, CAFCL wangechukua kumi, kama shirikisho,Yanga wasingecheza za awali! Na ukiangalia hata Yanga itacheza na Timu ya chini ya RWANDA! Itakua ni muujiza yanga kutolewa na hii timu ya BURUNDI! Wabongo CAFCL na shirikisho ni mashindano tofauti! Ila Shirikisho kuna timu ngumu sana safari hii.tuziombee timu zetu zote..sioni simba nusu fainali kwa usajili huu,most players have no experience
@errydeo8865Ай бұрын
Kwanini simba hawawezi kuongelea mpira bila UCHAWI?