Ma shaitwani wameshindwa kazi yao ni kuua watoto na Wanawake
@walker-965 ай бұрын
Shida yao hawatokei hadharan ... Ni mashoga hao hamass, kwann wasipigane kuwatetea raia wao huo ni ushamba alafu mnakua mnashabikia ugaidi
@ramadhanhassan52855 ай бұрын
Yamungu mengi natamani sana mpasuko uwepo mkubwa. Mana hawa mashaitwani wanawaonea sana ndugu zetu wapalistina
@festohaule97165 ай бұрын
Jeshi linasema mazunguzo ni Suluhu ..tena wapo front wanajua kira Hatua ni ngumu na hatari sana!!!!
@MasterOil-qm6vw5 ай бұрын
Hoyeeeeeeeeeeeeh hoyeeeeee mashoga wameshindwa vita kwa mara wa pili na droo moja
@mussammanga77915 ай бұрын
Huwezi kuishinda haki. Ukiwa kafiri akili inakuwa finyu. Hebu wajuulize huu ni mwezi wa 8, wanapelekeshwa na watu 20,000/- Akili zao hazitafakar kwamba Hamas si watu wa kawaida pana nguvu za MwenyeziMungu zinafanya kazi? Mifaru, Mibuldoza, Migari, Mindege, Misilaha ya kila aina wingi wa Majeshi, yote si chochote si lolote. Leo wenye ardhi yao ndio wanauwawa, wale wahamiaji waliopandikizwa na UK na Marekani nakuhodhi ardhi za Waphalestine eti ndio binaadamu, washenzi wakubwa MwenyeziMungu atawaangamiza muda sio mrefu. Dalili tunaziona wenyewe kwa wenyewe wanapingana.
@MohamedAhmada-ie7ke5 ай бұрын
Mwez wa 9 huu sio wa 8
@festohaule97165 ай бұрын
Utaangamiza mtu mwenye Mafunzo ya kijeshi na anajua kutumia vyema Silaha sio rahisi kabisa... Nitakuwa mnauwana kira awamu!!!!
@lototoreali76385 ай бұрын
Walikua wanasema jeshi la Israel ni jeshi teule la Mungu.
@HanafiZayumba5 ай бұрын
Mmarekani Sasa anakaa na hesbollah kweli ubabe kwenye Dunia hii unaisha
@mudub0etz5 ай бұрын
Mdhamin(USA) kabanwa na Urusi. Ko mwaka uuuhhh israel n umu t.😂 Fully kujipigia
@ShabaniNuru-o1y5 ай бұрын
Marekani mwaka huu😂.. Hezbollah siyo Hamas ohoooo
@ndukulusudikucho_5 ай бұрын
Mwislam mwepesi Ni yule ambae hajashika silaha au wale ambao kila mwaka hubishana habari ya mwandamo wa mwezi au wanao bishana habari ya Maulid, ushasikia Somalia, Palestine, Chechnya au Afghanistan wanabishana habari Mwandamo au Maulid hahaha kule mawaidha yao Ni bunduki tu yaani ukileta jambo la kuzusha wanakula kichwa hahaha, kwahiyo Mkuu wa Majeshi Yuko sahihi Saaana huwezi pambana na ideology ya Ugaid, utamaliza silaha na Wanajeshi lakini jamaa watakuja tu