🅻🅸🆅🅴 MPINA AMWANIKA WAZIRI BASHE AWEKA NYARAKA ZOTE UOZO WIZARANI

  Рет қаралды 63,315

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 412
@mokiaolenaputu7648
@mokiaolenaputu7648 3 ай бұрын
Hongera sana Mheshimiwa Mpina. Hii sasa ndiyo caliber ya Wasukuma tunayoijua
@yusuphkichawele1009
@yusuphkichawele1009 3 ай бұрын
Well presented Mpina anafanya kazi ya wananchi waliomtuma, nipo Chadema ila nampongeza sana Mpina. We need MP like you in this country ✌️✌️✌️✌️
@mussamashaka-sy1vl
@mussamashaka-sy1vl 3 ай бұрын
Maombi ya watanzania juu ya taifa lao,yamefanya upate ujasili wa kuweka wazi mambo hayo,umemaliza kazi yako na Mungu akusimamie pamoja na familia yako na watakaokuunga mkono,Taifa hili ni la Mungu
@PauloMalima
@PauloMalima 2 ай бұрын
Hongera sana mheshimiwa Mpina, kwa kuwa mzalendo mwema wa nchi yetu, kupitia kutatua uongo unaendelea ndani ya serikali yetu kupitia viongozi mbalimbali.... 👏👏
@nuruleonard959
@nuruleonard959 3 ай бұрын
Huyu Ndio kiongozi tunaetaka 👏🏼 Mungu amtunze Mpina
@peterkiswaga2491
@peterkiswaga2491 3 ай бұрын
Tunataka viongozi kama Hawa sio wababaishaji mungu akuongezee maisha marefu mpina
@ednambata9503
@ednambata9503 3 ай бұрын
Nitasimama kwenye maombi yangu kwa ajili ya mpina Mungu akulinde kaka yetu
@CharlesMarupa
@CharlesMarupa 3 ай бұрын
Wewe ni mzalendo wa kweli, hongera sana.
@Alex_M_Ouma97
@Alex_M_Ouma97 3 ай бұрын
Nmeifatilia hii speech mwanzo mwisho, for sure Mungu ndiye akupiganie Mh. Mpina. You deserve respect for this. Huu ni ubadhirifu kabisa, mianya ya upigaji na utakatishaji fedha kabisa yan. Nlikua namuamini sana Bashe ila kumbe nae ni wa hovyo tu.
@dicksonagapity7231
@dicksonagapity7231 3 ай бұрын
Lisu alishaongelea akasema swala la uagizaji sukar n skendo vibali vinatoka ikulu...
@waltergodwin2529
@waltergodwin2529 3 ай бұрын
Bashe alikuaga mtu sana kabla yakua waziri lakini baada ya uwaziri basi tena akajaa kwenye mfumo typically which means sio mzalendo wa kweli.
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 3 ай бұрын
Huo ushahidi waukubali wasiukubali sis tumekuelewa. Jitahidi kijilonda usimwamini hata rafiki yako,Usinywe chochote Bungeni. Usitembee peke yako. Usitembee usiku. Na sisi wananchi ulinzi wa Mungu tunakuombea🙏🏼🙏🏼
@japhetlukumay2778
@japhetlukumay2778 3 ай бұрын
Jembe! Jembeeee! Shoka! Mungu akubariki sana
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 3 ай бұрын
Looh! Mh.Bashe,Bashe Mungu anakuona kijana weye kuhadaa masikini wenye njaa na dhiki mnazotusababishia kwenye utukufu wenu!
@isaackchambo2642
@isaackchambo2642 3 ай бұрын
Hy ndio Sirikali ya CCM
@zedekiajumaluwumba3473
@zedekiajumaluwumba3473 3 ай бұрын
I love how respectful he is while address the issue very detailed, calm and composed. Keep it up Mr Mpina
@errydeo8865
@errydeo8865 3 ай бұрын
The only PERSON mwenye weledi bungeni! Spika atazima! Kwani bashe kapiga mamilioni mangapi kwenye mbolea kwa kuumiza wananchi! Samia ndo anawalinda vibaka wenzie! Shida ya bashe ni kujifanya anajua! Tanzania tuna shida! Wabunge shida,spika ndo usiseme, SAMIA ndo kabsaaa!
@FabianCharles-cv2pm
@FabianCharles-cv2pm Ай бұрын
Asanteee sanaa mkuu wasukuma asiekuelewa hawezi kukuelewa tena ongera sanaaa 🙏🙏
@billgussy6099
@billgussy6099 3 ай бұрын
Hivi wale wabunge wanao mshangilia Bashe bungeni na spika anaye mtetea Bashe kwa nguvu zote wana lengo gani na hii nchi?
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 3 ай бұрын
MKUU WA MAJESHI ALIWAAMBIA, tuna viongozi sio raia wetu, wamepenya mpaka kwenye uwaziri, mmoja wapo ni bashe
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 3 ай бұрын
Bashe Mtanzania
@ShijaMayuma
@ShijaMayuma 3 ай бұрын
Ndg mheshimiwa hongera Sana kwa kuwamlikia wananchi juu ya ukweli mr.mpina
@clemenceparokola
@clemenceparokola 3 ай бұрын
Mpina uko vizuri sana,Mungu aendelee kukutuunza kaka
@muhammadalibhaz1390
@muhammadalibhaz1390 3 ай бұрын
Allah bless luhanga mpina ameen
@frankpeter4178
@frankpeter4178 3 ай бұрын
Hata kama enzi ikiwa na watawala wabaya lakini, kila enzi na nabii wake, hata kama bunge ni moja MUNGU asingeacha kutuma Nabii wa kusema mabaya....😢😢😢
@japhetlukumay2778
@japhetlukumay2778 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana! Umesaidia Rais na bunge kutafakari juu ya hili
@ROBERTMGOGOSI
@ROBERTMGOGOSI 3 ай бұрын
Raisi mwenyewe ni mwizi mbona
@simonmagembe7416
@simonmagembe7416 3 ай бұрын
Mpina ukweli unahitaji gharama ndogo Sana kuutetea kuliko uongo.wewe umemaliza na wananchi tumekuelewa!!
@petermwenda6470
@petermwenda6470 3 ай бұрын
Katika waliomfuata Magufuli kwa moyo wote na wakadumu ni huyu mwamba, yuko peke yake ndani ya bunge hana support
@sarahray4945
@sarahray4945 3 ай бұрын
Nakuunga mkono ndg yangi
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga 3 ай бұрын
Kheeè
@JesuinaBabili
@JesuinaBabili 3 ай бұрын
Hakika, Mungu you pamoja naye
@JesuinaBabili
@JesuinaBabili 3 ай бұрын
Hakika … Mungu yu pamoja naye
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 3 ай бұрын
Hajui sheria kabisa
@ezekielmirambo8704
@ezekielmirambo8704 3 ай бұрын
Wabunge wote wangekuwa kama huyu jamaa tungekuwa mawinguni!
@franciscodabalu1919
@franciscodabalu1919 3 ай бұрын
Hawa ndo viongozi tunaowahitaji katika hil Taifa tunaliwa mnoo big up bro Mpinna.
@iddymbogowogo-yu3gv
@iddymbogowogo-yu3gv 3 ай бұрын
Mpina hakika wewe nikiongozi wa wananchi hongera mungu akutunze
@bobwhite9252
@bobwhite9252 3 ай бұрын
Huyu anaandaliwa kuwa mtu mzito sana...ndomana anajiamin..usifanye mchezo na system
@HassanWasiwasi-lq1kh
@HassanWasiwasi-lq1kh 3 ай бұрын
Point
@alikokibona1583
@alikokibona1583 3 ай бұрын
Nakusubiri Mhe spika.uwe makini na wabunge waliowengi kumzomea mbuge anapochangia jambo bungeni. Wananchi wanafuatilia sana haya mambo.Haki itendeke.
@errydeo8865
@errydeo8865 3 ай бұрын
Hakuna lolote ,wanalindana wote! Sukari ipo kwenye maghara yao! Ni game tu wanacheza!
@yonahmabela75488
@yonahmabela75488 3 ай бұрын
Hivi bado waziri wa kilimo na wasamehe kodi bado hawajajiuzuru? Asante sana mpina Mungu akulinde. Mimi nakukubali sana siku zote.
@sponsor7882
@sponsor7882 3 ай бұрын
Huyu jamaa angeungana na Lissu wachukue Inchi ila awe makini asije pigwa chuma
@anastazialushika
@anastazialushika 3 ай бұрын
Muongeze na makonda yaani tunatoboa mapema sana hii nchi
@eliudbalilemwa439
@eliudbalilemwa439 3 ай бұрын
Nimekusikiliza vizuri uko smart kichwani unafaa sana kuendelea kuwatetea wananchi. Mungu aendelee kuwa mlinzi wako.
@ShijaMpanya
@ShijaMpanya 3 ай бұрын
God bless you mpina upo vzuri bashe achie ngazi
@PartySekemi
@PartySekemi 3 ай бұрын
Hongera sana mhe. mpina usingetoa hadharani wangeenda kumaliza wenyewe kwa kulindana mwishoe aonekane mpina ni muongo
@oscartalljembemgonya3528
@oscartalljembemgonya3528 3 ай бұрын
mh Pina umetutoa watanzania to go to go machoni. Hakika we ni mzalendo wa nchi hii. mwenyezi mungu akulinde.
@sammykateregga6238
@sammykateregga6238 3 ай бұрын
Mimi nampongeza Ndg Mpina kwa sababu ameweka wazi taarifa yake maana angekabidhi kimya tusingejua. Sawa acha inyeshe tuone panapovuja. Tulipigwa ma kitu kizito Ndg Mpina umetuhirumia. Tunapendekeza tuchuje pumba na Mchele
@HarunaKamwelwe-yt6io
@HarunaKamwelwe-yt6io 3 ай бұрын
Kuna uvumi kwamba wakulima walipewa mbolea feki! Uongozi. Unataka uzalendo na kama hoja ya mh Mpina utadhibit in bora wazir Bashe akajiuzulu
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 3 ай бұрын
Watanzania tulipigwa!,Msishangae hata baada ya maelezi yaliyonyooka na yenye vielelezo ya Mh Mpina,waziri asiwajibike Wala asifanywe chochote!,hii Ndiyo Tanzania!
@geey7893
@geey7893 3 ай бұрын
Ulishawahi kusikia Samia anamfukuza Waziri kisa wizi? Nafkiri anakula nao vzuri
@abdallahnkrumah6237
@abdallahnkrumah6237 3 ай бұрын
Hapo lazima Spika wa Bunge ajute sana kuomba ushahidi kutoka kwa Mh Mpina
@geey7893
@geey7893 3 ай бұрын
😂😂😂alijua mpina ni kilaza. Ana masters kasomea nje huyo
@brunobalama6046
@brunobalama6046 3 ай бұрын
😂😂😂​@@geey7893
@errydeo8865
@errydeo8865 3 ай бұрын
Spika anajua ukweli,ni kulinda wizi tu! Hapo bado utasikia ushahidi uliowazi,ataweka kabatini! Nchi ngumu! Mpina asingeongea bungeni bila ushahidi,alijua ushahidi ungeombwa kulingana na KANUNI ZA BUNGE! BASHE NI KAJIZI BALAA!KWENYE MBOLEA KAFANYA HAYA HAYA!
@soplisjoachim5884
@soplisjoachim5884 3 ай бұрын
Kumekucha...... Hiyo ndio freedom of expression
@shanjemanumba6325
@shanjemanumba6325 3 ай бұрын
Kila siku huwa nasema pamoja na uchaguzi wa mwaka 2020 kwa hapa Hayati ametuachia mtu muhimu sana na Mungu aendelee kumlinda na azidi kumpa hekima na busara azidi kupambania Taifa hili
@simonrusigwa3024
@simonrusigwa3024 3 ай бұрын
Sasa watampa tena nafasi? Shida ipo hapo
@KulwaKaduma
@KulwaKaduma 3 ай бұрын
Hawa watu wasio na muonekano wa utanzania wao moja kwa moja si wa kuwapa nafasi za uongozi maana hawana uchungu na nchi na pia hawawezi kuwa na huruma na watanzania halisia walio na hali duni. Na kila mtanzania anapaswa kuwa jasiri kutetea maslahi ya nchi,tuachane na mambo ya woga na uchawa una'cost nchi na kizazi cha Tanzania.
@PatsonMbugh
@PatsonMbugh 3 ай бұрын
Ukweri wake ulimfanya wfukuze uwazili pole mpina
@ombeninnko1800
@ombeninnko1800 3 ай бұрын
Very logical
@edwardmbonika5102
@edwardmbonika5102 3 ай бұрын
Aise wananchi wa kisesa tunawaomba mpina arudi bungenii
@AgnesShiwali
@AgnesShiwali 3 ай бұрын
Kaka mpina big up sana tunaitaji wazalendo na wenye kutetea taifa Kama Hawa watu wamegeuza Tanzania jalala au shamba la bb, nyie viongozi igen mfano jifunzen kupitia mpina kiongoz shupav kiongoz msema kweli, mungu akubarik
@KisigeraKisigera
@KisigeraKisigera 3 ай бұрын
Wewe nimsema kweli wanyonge tunakwamini sana tunakunga mkono
@shabansaidndeseme6973
@shabansaidndeseme6973 3 ай бұрын
Well noted
@HasinaIbrahim-bu5kq
@HasinaIbrahim-bu5kq 3 ай бұрын
Sukuma gang oyeeeeeeeee
@eliudimwakasenga9754
@eliudimwakasenga9754 3 ай бұрын
Mungu akulinde mpina
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 3 ай бұрын
Siku zote serikali ndio imehusika na kukosekana sukari kwa wakubwa kuvipangia viwanda kiwango cha kuzalisha ili wapate mwanya wa kuagiza sukari nje kwa kuwatumia wafanyabiashara wa asili ya kiasia. Ngoja tuone je, taarifa hii nzuri sana ya Mh.Luhaga Mpina itapuuzwa na bunge na serikali au laa!
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 3 ай бұрын
Watakuwa kimyaaaaa maana limegusa wengi sio huyo Bashe tu.
@STEVENRingo-vf7ox
@STEVENRingo-vf7ox 3 ай бұрын
Tupate wapi kama Hawa kumi wangesaidia nchi
@KulwaKaduma
@KulwaKaduma 3 ай бұрын
Hawa watu wasio na muonekano wa utanzania wao moja kwa moja si wa kuwapa nafasi za uongozi maana hawana uchungu na nchi na pia hawawezi kuwa na huruma na watanzania halisia walio na hali duni. Na kila mtanzania anapaswa kuwa jasiri kutetea maslahi ya nchi,tuachane na mambo ya woga na uchawa una'cost nchi na kizazi cha Tanzania.😮
@ktk-ke7mh
@ktk-ke7mh 3 ай бұрын
ngj wakuite mbaguzi
@madengejr
@madengejr 3 ай бұрын
Mpina ndo mbunge pekee anayehitaji mabadiliko ya uwajibikaji na mfumo
@adenmwakalobo760
@adenmwakalobo760 3 ай бұрын
Ninakubaliana na wewe kwa asilimia zote, huku hasa ndiko kuwawakilisha wananchi! Uongo, ulaghai na ubabaishaji vimekithiri miongoni mwa Waandamizi serikalini na dawa ni kuwaumbua kama alivyofanya mh Mpina
@mndambimrinji
@mndambimrinji 3 ай бұрын
CHAMA CHANGU KITAKUWA NA UJASIRI WA KUMRUDISHA ATETEE TENA KITI CHAKE CHA UBUNGE????CCM MNALO JEMBE TAYARI KAZI KWENU WENYEWE
@stellanyamtengera5721
@stellanyamtengera5721 3 ай бұрын
nakukubaliiiii mpinaaa
@LucianSanga-q8j
@LucianSanga-q8j 3 ай бұрын
EEE MWENYEZI MUNGU UMlinde Mpina na Mabaya yasimpate Yawapate Wote wenye nia mbaya na Nchi yetu
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 3 ай бұрын
Kwa kweli Bashe namuona sio mkweli anajona yuko sahihi sana na dharau sio vizuri taifa hili tutalihenga wote na katka umoja wetu tukiwasaidia viongozi wetu lkn Sasa e3eee
@piusrweyemamu3900
@piusrweyemamu3900 3 ай бұрын
Huyu ndie zao la JPM aliesalia na anafanana nae kwa vitu vingi, Nawapenda viongozi wa namna hii🎉🎉🎉
@anatholypole2889
@anatholypole2889 3 ай бұрын
Mh.Mpina,tunaomba pia ulifanyie utafiti na uchunguzi Kwa nini wizara ya Afya inatuelekeza tuendelee kuwa na watoa dawa katka maduka ya Dawa muhimu wakati hawatoi mafunzo yao,towatoe wapi huku hawazalishwi?
@antoniadavid1233
@antoniadavid1233 3 ай бұрын
Yaani mimi alipo sema Bei ya sukari imepanda hadi elfu kumi(10,000) Kwa kilo hapo naiona huo ni uongo mkubwa . Jamaa ni muongo balaa
@KulwaKaduma
@KulwaKaduma 3 ай бұрын
Watanzania kama hawa wenye uzalendo wa dhati kabisa yapaswa kuungwa mkono pale wanapo watetea wananchi na kulinda maslahi ya taifa.
@japhetlukumay2778
@japhetlukumay2778 3 ай бұрын
Pesa za Rushwa wanazokula za wanyonge! Mungu atajibu soon
@JosiaMakali
@JosiaMakali 3 ай бұрын
Baada ya Samia kumalza awamu zake zakuwa Rais nakuomba uchukue form ya kugombea uraisi chap chap na utapita kaama jembe letu lililo tangulia mbele yahaki. Amen
@dicksonmakunja5831
@dicksonmakunja5831 3 ай бұрын
Viongozi wanapatikana kanda ta ziwa tu, tofauti na kanda ya ziwa hao ni wah,,,,,,u,,,,,,niaji taifa tu.
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 3 ай бұрын
Haya mavazi ya Mpina ni ya chama gani? Sio Jeshi la wokovu hawa?
@elgibborpro
@elgibborpro 3 ай бұрын
😅😅😅😅hahahaa
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 ай бұрын
huyu mbunge wetu anaongea mambo yanaumiza sana moyo kwa kweli...sasa viwanda vyetu itakuaje? walau tunamtu ambae wanamuita "REMNANT" kkt nchi yetu anatetea maslai ya wananchi...dunia haipendi wema bali ni Mungu pekee
@shitarupili2006
@shitarupili2006 3 ай бұрын
Keep it up
@BozaDizamile-u1d
@BozaDizamile-u1d 3 ай бұрын
KWANZA BASHE KAUPATAJE UWAZILI NA UBUNGE WAKATI NI MSOMALI. TIPICO? CCM CCM HATALI SANA WAMESHAWAH KUTULETEA WABUNGE HADI WAHINDI CCM NI JANGA LA TAIFA
@KAZILONYANGISA
@KAZILONYANGISA 3 ай бұрын
Amina
@OscarChonya
@OscarChonya 3 ай бұрын
Yani Mpina Mungu akutunze nakukulinda, Rais mpya wabadaye unauchungu napesa zinazopotea
@AgnesShiwali
@AgnesShiwali 3 ай бұрын
Hongera sana kwa Kaz nzur mauwa tumpatie mzalendo na kiongoz mahir
@ntezealoyce7043
@ntezealoyce7043 3 ай бұрын
Kumbe ndo najua Sasa wanasiasa wahongo sana,mwansiasa akisenma Sasa Moja natoka kupima jua,mungu anakuona Bashe unaongea kwa kujiamini sana kumbe muongo sana,mpima wapige spana
@peterkuzenza5007
@peterkuzenza5007 3 ай бұрын
Mbunge makini sana nilibahatika kuwepo kwenye hii press conference na waandishi wa habari ilikua ni nzuri sana coz mpina anapambania masirahi mapana ya taifa
@greysonmatogo4662
@greysonmatogo4662 3 ай бұрын
Bashe kwa heshima na taadhima achia ngazi brother, usimjibu huyu mtu wala usiende kujieleza kwa spika, nzega tutaendelea kukuamini na kukutuma utuwakilishe, huhitaji kuwa waziri wala naibu, unahitaji kuwa Bashe tu inatosha.
@nyembobea7285
@nyembobea7285 3 ай бұрын
Hakuna kujiuzuru kwasababu ya huyu chawa wa matajiri huyu tuseme hakuona mateso ya bei ya sukari kwa wananchi ccm chungeni huyu mbunge
@geey7893
@geey7893 3 ай бұрын
​@@nyembobea7285Research hupingwa Kwa Research. Njoo na taarifa sahihi umshinde sio kuongea Michambo bila ushahidi. Approach ya huyu inahitaji usomi, ukikurupuka anakupigia za uso
@anastaziamathias8861
@anastaziamathias8861 3 ай бұрын
​@@nyembobea7285Bashe mpumbavu Tu aachie ngazi ushahidi huo hapo hadharani apinge tuone
@justusngonyani165
@justusngonyani165 3 ай бұрын
Taka mazuri 2 aliyofanya Bashe.Hata kama angefanya mazuri mengi,hakuhalalishi yeye kudanganya.Uongo ni dhambi, tena ni dalili ya wizi
@naweramadhan3828
@naweramadhan3828 3 ай бұрын
Mwamba yuko vizuri, natamani manyara tungekuwa na mbunge kam huyu, mungu awe nawe jilinde tu wasikudhuru madudu ni mengi sana
@PatrickMaturo
@PatrickMaturo 3 ай бұрын
Hivi kweli kama Mpina anasema kweli mh Bashe alimaanisha nini
@errydeo8865
@errydeo8865 3 ай бұрын
Wizi ,kuna kingine! Mabilioni yeshapigwa! Jua pia,sukari sio kusema wanaoagiza! Ipo kwenye ma godowns yao! Hivi unawaonake!? Ndo maana bashe alisema haijetwa! Ipo
@justusngonyani165
@justusngonyani165 3 ай бұрын
Maelezo ya bashe,yalivutia sana sababu ilikuwa siasa tu.Always whoever tells the best story wins.
@MagidingaBahat
@MagidingaBahat 3 ай бұрын
God bless you my rol model
@geey7893
@geey7893 3 ай бұрын
Bashe kumbe Jizi afu linajidai linajua kujitetea. Amekutana na wasukuma sasa, hawaogopi kitu. Atakoma
@tabithamoroni1639
@tabithamoroni1639 3 ай бұрын
Mwenyewe nilimuunga mkono bashe kwa hotuba yake lakini nikasema ngoja nisikilize upande wa pili, ndo naona madudu ya bashe nimechoks
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 3 ай бұрын
Uko vizuri kaka tunapaswa kukuombea na kukuunga mkono tuache uchama tuseme ukweli ili tuwe huru
@kianda973
@kianda973 3 ай бұрын
Bashe....dah!! Aibu sana. Yaani mimi huwa namkubali sana Bashe kumbe....dah!! Sasa ni mara ngapi tunapigwa?
@dicksonagapity7231
@dicksonagapity7231 3 ай бұрын
Ogopa sana watu waerevu ambao wanaweza kujenga hoja...n atari n sawa na chui waliovaa ngoz ya kondoo
@errydeo8865
@errydeo8865 3 ай бұрын
Ni kwasababu wabongo huwa hamfatilii! Mimi BASHE sijawahi kumkubali! Ni mwizi balaa! KAUMIZA WAKULIMA NA MBOLEA balaa! Ananidhi sana kujifanya mcha Mungu! Ogopa watu waojifanya wanamtaguliza Mungu kama bashe! Madili
@WilsonMtagwaba-h4d
@WilsonMtagwaba-h4d 3 ай бұрын
Safi sana
@deusdeditishengoma4335
@deusdeditishengoma4335 3 ай бұрын
Mpina ni mwamba na kiongozi bora.
@BozaDizamile-u1d
@BozaDizamile-u1d 3 ай бұрын
Mm simshangai Bashe Mm Nawashanga Ccm Mtampaje Uwazari msomari? Tuende mbele Na Kurudi Nyuma Tuache Unafki Bashe Msomari Awezi kua na Uruma Na Watanganyika
@anatholypole2889
@anatholypole2889 3 ай бұрын
Mh,Mungu akusomamie udumu na uendelee kututete
@KulwaKaduma
@KulwaKaduma 3 ай бұрын
Hawa watu wasio na muonekano wa utanzania wao moja kwa moja si wa kuwapa nafasi za uongozi maana hawana uchungu na nchi na pia hawawezi kuwa na huruma na watanzania halisia walio na hali duni.
@JumaaSpareparts
@JumaaSpareparts 3 ай бұрын
*Safi mkuu mungu akutie nguvu
@KUYALAI
@KUYALAI 3 ай бұрын
Asee hii nchi inapigwa bilion mia tano 😢
@saulmwalubunju1076
@saulmwalubunju1076 3 ай бұрын
Point nzuri umesema kuwa ilani ya CCM ni nzuri ila Bashe haendani nayo hapohapo ndo Kuna viongozi weengi sana Hawafuati ilani
@lapelyepota5572
@lapelyepota5572 3 ай бұрын
sukari imetengenezwa brazil february 2024 na kusafirishwa na kufika tanzania ndani ya mwezi
@ghazalghareeb4517
@ghazalghareeb4517 Ай бұрын
MPINAAAA
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 3 ай бұрын
Pikipiki alizosambaza Samia nchi nzima za kumpromoti pesa ametoa wapi zaidi ya madili kama hayo!? Maana si za CCM ni za Samia herself. Rais hawezi kuchukua hatua yeyote wala spika sababu tunajua alichomfanya Ndugai. Wanasiasa karibu wote wanapambania matumbo yao.
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 3 ай бұрын
Wanaziita ati Pikipiki za Samiaa wakati zimepatikana kutokana na rasilimali zetu na kodi yetu na sio kwenye Mshahara wake.
@gwamakamoses6457
@gwamakamoses6457 3 ай бұрын
Ukimsikiliza Bashe utaamini kuwa tumepata mtu mwenye uchungu na wanyonge wa Tanzania, lakini maelezo ya Mhe. Mpina utajua kuwa Bashe alikuwa anafanya sanaa hatari sana kwa watanzania. Maelezo ya Mpina yanajitosheleza na yameshiba takwimu
@errydeo8865
@errydeo8865 3 ай бұрын
Bashe HAJAWAHI KUWA NA UCHUNGU WOWOTE ! KAUMIZA WAKULIMA NA MBOLEA! KANA JEURI KA ZOTE! NI KAJIZI BALAA! SAMIA NDO ANAWALINDA! NA HII HAKUNA HATUA ZOZOTE ZITACHUKULIWA! HApo ilikua inabidi SAMIA amuweke pembeni, spika amuwajibishe! Lkn utasikia UCHUNGUZI UNAFANYIKA! KWANI REPORTS ZA CAG ZIKO WAPI!? mpina kamuanika!
@kisenhawanguzu1144
@kisenhawanguzu1144 3 ай бұрын
Iendelee kunyesha, tuone panapovuja! Hii ni Richmond nyingine iliyochangamka!
@NassoroNassoro-w3n
@NassoroNassoro-w3n 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@johnurio9151
@johnurio9151 3 ай бұрын
Wale mliokuwa mnashangilia bunge la Chama kimoja mmeona? Huyu kaamua kujilipua
@barnabaslushenshe523
@barnabaslushenshe523 3 ай бұрын
HARAFU MAJITU YANARUDI MTAANI KUTUOMBA KURA YAENDELEE KUTUONGOZA...JARIBUNI WATZ KUKUSANYA MAWE MUWE NAYO KARIBU. KUMBE TUNATESWA NA WAKOLONI WEUSI.
@HassanWasiwasi-lq1kh
@HassanWasiwasi-lq1kh 3 ай бұрын
Point
@manethmwiyanja7654
@manethmwiyanja7654 3 ай бұрын
sasa yeye mbunge lazima aseme na kukemea Uongo huo tatizo sisi watanzania tunapenda kudanganywa ndio maana wengine wanakula tu bata nyie muumie tu anayohaki ya kukosoa mnaona ajabu CCM kukosoana nasema na nyie Timu bashe unapewa nini msimtishe Mpina AKA Mpaina endelea mbeleeeeeeeeeeeee pamoja anapewa nini si kazi yako yupo pande gani si kazi yako zingatia hoja zenye nguvu waliyataka wenyewe endeleea mbele mpaka waombe radhi.
@nixonjohnson4908
@nixonjohnson4908 3 ай бұрын
Huyo waziri ahojiwe na kukamatwa
@justusngonyani165
@justusngonyani165 3 ай бұрын
Kutafuta muda kuiombea nchi ni kumkasirisha Mungu.Maombi ya wenye dhambi ni kelele kwa mungu.Shetani anakubali maombi hayo.
@dilludillu2747
@dilludillu2747 3 ай бұрын
Huyu ni mwanzo tu!!!
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 3 ай бұрын
Mkenda alitaka kudhibiti haya mambo wakamtoa.
@simeonmazigo5918
@simeonmazigo5918 3 ай бұрын
Wasema ukweli ktk Inchi hii wanachukiwa sana😢😢😢
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 3 ай бұрын
Take care Mpina wasije wakakupoteza
@hashimjumahassani5268
@hashimjumahassani5268 3 ай бұрын
uyu mwenyewe ni WA uko uko tu....sema wamemtenga sana..alikua anafanya Kaz kwenye ofisi ya makamu wa Rais kabla ya kua mbunge..ambae anaelekea kutimizamiaka kumi mwakani
@sponsor7882
@sponsor7882 3 ай бұрын
True
@anastaziamathias8861
@anastaziamathias8861 3 ай бұрын
​@@hashimjumahassani5268huyu Yuko streit hapindishi kitu wanamjua Sana kina mwiguru yaani huwa haogopi huyu huko bungeni anawalipua Tu
@anatholypole2889
@anatholypole2889 3 ай бұрын
Mh,mpina tunaomba alindwe Ili atusaidie Taifa.
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,3 МЛН
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 107 МЛН
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19
Ruto's choice for Gachagua replacement
21:42
Herman Manyora
Рет қаралды 40 М.
🅻🅸🆅🅴 : JAJI WARIOBA ANAZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI
1:52:50
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,3 МЛН