MPINA AWAPA MANENO YA BUSARA NA HEKIMA WANAFUNZI

  Рет қаралды 127

Nelson Munema

Nelson Munema

24 күн бұрын

Mbunge wa Jimbo la Kisesa Mkoani Simiyu Luhaga Mpina amewataka Wanafunzi wote nchini kutumia akili zao kwenye Masomo na kuachana na vishawishi vya kiduniani kwani urithi wa Tanzania unategemea vijana wenye maarifa ,Ujuzi ,Nidhamu na heshia sambamba na kusoma vizuri
Taarifa na Nelson Munema.....
Mbunge Mpina ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye maafali ya kwanza ya Shule ya St Therese Mapinga Bagamoyo Mkoani Pwani ambapo amesema wanafunzi wanapaswa kufahamu wazazi wanatumia pesa na rasilimali zao kwaaajili yao hivyo ji jukumu la msingi kuhakikisha wanasoma kwa bidi bila kuchagua masomo ili nchi ipate wataalamu wa kutosha kwenye sekta mbalimbali
Naye Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Sister Luthi Silayo amesema mwelekeo wa Serikali wa kuwa na wataalamu wengi wa Sayansi utasaidia kukidhi mahitaji ya Tanzania ya viwanda

Пікірлер
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 11 МЛН
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
怎么能插队呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:12
火影忍者一家
Рет қаралды 45 МЛН
MANENO MAZITO YA MPOTO YAMGUSA RAIS SAMIA, AMSHUKURU KWA DHATI
8:13
Mpina asimamishwa kuhudhuria vikao 15 vya Bunge
3:51
Mwananchi Digital
Рет қаралды 2,3 М.
ZITTO - "SAJUKI Alinikutanisha na RUGE, Sitasahau"
5:58
Global TV Online
Рет қаралды 13 М.
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 11 МЛН