Nakumbuka mbali sana tv kwa jirani tena ya chogo,mashariti kibao ili uweze kuingia uangalie daah siwezi sahau aisee,mama Asha wa magomeni tanga na family yake ilijua kutunyanyasa 😢
@elisanteshayo3882 Жыл бұрын
For real they are the best but they need more support than before keep well fellas
@johnycavishe5207 Жыл бұрын
Big up Sana 💪 original comed ilkuwa tamu sana
@paulmsape163 Жыл бұрын
safi sn kwa wanaokopesheka
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Kusema kweli mimi miaka hiyo nilikuwa mda wa ZE COMEDY sichezi mbali 2:28 hawa jamaa walikuwa wako vizuri sana 👌👌
@mussakulanga9513 Жыл бұрын
hawa jamaa wameshaanza kujitambua kipindi chao kinapendwa sna watumie fursa hii
@lareineminah1353 Жыл бұрын
Mkooo wakaliiii sanaaa
@dakxirdakxir5897 Жыл бұрын
Mpoki anaongea vidole juu
@thomasraiton7760 Жыл бұрын
Sitasahau nilipata ajali ya baiskeli nikiwahi comedy show.
@jnbteam8803 Жыл бұрын
Leo wakwanza mimi
@godwinmwakibibi274 Жыл бұрын
Maongez tu comedy
@chamyfx9377 Жыл бұрын
Haya😂
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🙏✌️👊.
@jamaliahmadi1383 Жыл бұрын
Mpoki bila Jot hainogi
@bluekenya4825 Жыл бұрын
Bila Joti kundi halikamiliki.
@ashuuuaisha9122 Жыл бұрын
Waliwahi kujibu kuwa joti hakutaka kurudi tena. Yy ana vipindi vyake huko 😂da kiboga
@marrypius576 Жыл бұрын
Umenikumbusha eti da kiboga😂😂😂
@ikungasyamwakitalu6540 Жыл бұрын
Kimbinyiko
@sahirstimajr4394 Жыл бұрын
12/06/2023===10:00 pm
@roseamos2812 Жыл бұрын
Fanyeni tena comedy
@wemakingdaily1462 Жыл бұрын
Mbona wanafanya au huna DSTV?
@zabibuking8704 Жыл бұрын
😂😅
@alexpaul2981 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fmrHnIibmrSciZY pita na hapo ndg yangu utabarikiwa sana