MPWA WA MAGUFULI AELEZA ALIVYOFUKUZWA KAZI

  Рет қаралды 27,802

Wasafi Media

Wasafi Media

7 ай бұрын

www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 31
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 7 ай бұрын
Rafiki wa kweli ni mama yako tuu na wanao
@nashonjoel20
@nashonjoel20 7 ай бұрын
Pole Sana Furaha. You are still young. Pambana
@mussabalola3692
@mussabalola3692 7 ай бұрын
Kula nao kunywa nao!! Ila wote wanafiki, Mungu akulinde ujekuwa Rais ulipeze kisasi kwa watoto wao leo unawaona kisha mzee kufariki watoto wao mawaziri wakubwa..
@brownsebastianmwibi5647
@brownsebastianmwibi5647 7 ай бұрын
Umeongea utumbo
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 7 ай бұрын
kabsa tena hata asipoweza kulipa yeye Mungu atawalipa hao wanao uwa wazalendo Mungu yupo bado muda tu
@hassanmichael7068
@hassanmichael7068 7 ай бұрын
Bro ila unatakiwa utambue rafiki wa kweli ni mama ako mzazi na wanao tu binadamu wanafiki sana
@allahisone6386
@allahisone6386 7 ай бұрын
Exactly 💯%🤝
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 7 ай бұрын
Live
@ibrahimzabron4619
@ibrahimzabron4619 7 ай бұрын
Pole sana Furaha!! Lkn Mungu ni WA wote!
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 3 ай бұрын
Ehhh
@mussabalola3692
@mussabalola3692 7 ай бұрын
Je? Kina nani walimuua mzee? Waseme tu.. msema kweli mpenzi wa Mungu..
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 7 ай бұрын
Mtegemee Mungu daima
@andreakulisha5144
@andreakulisha5144 7 ай бұрын
Pole sana Furaha
@user-uq8gp2bx1y
@user-uq8gp2bx1y 7 ай бұрын
Mungu atawalipa
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 7 ай бұрын
Hichi kijamaaaa kiongo
@user-vk5nb4uz6h
@user-vk5nb4uz6h 6 ай бұрын
Maisha ndivyo yalivyo bro, Binadamu unacheka nao ila kesho ukianguka au sehemu iliyokuwa inakupa nguvu ikitoweka hapo ndio utawajua. Mfano hata huyu Mama Diamond anayependwa sasa Ikitokea siku Mwanae akafariki mtakuja kuamini, Hawa wote wanaompenda sasa hivi na kumchekea baadhi Yao watakuwa maadui zake kwa kumsema Mwanaye vibaya, Ila sijaombea hilo limkute Diamond japo ipo siku tunajua tutalipitia hilo. TUISHI NAO KWA AKILI
@SaruNyanda-ho8bk
@SaruNyanda-ho8bk 6 ай бұрын
Pole
@josephinekombo6391
@josephinekombo6391 7 ай бұрын
OMG 😮😮😮
@amanmwalyambi1416
@amanmwalyambi1416 7 ай бұрын
Mlikuwa mnajisikia sana safi
@goddamwakimi5889
@goddamwakimi5889 7 ай бұрын
GOS
@user-yh6we5rv6p
@user-yh6we5rv6p 7 ай бұрын
Braza kwenye maisha chuki visas vipo kikubwa kuangalia mbele
@pci_tanzania
@pci_tanzania 7 ай бұрын
Watu wanaokuwa na ndugu viongozi huwa wanajisikia sana... Pengine tukipata story ya upande wa pili tutajua mengi zaidi kuhusu huyu Bwana
@brownsebastianmwibi5647
@brownsebastianmwibi5647 7 ай бұрын
Ni kweli kabisa. Haiwezi kuwa ghafla hivyo
@marcodaud1005
@marcodaud1005 7 ай бұрын
Huyu jamaa nimesoma nae tangu shule ya msingi hana majigambo, pia nimesoma na mtoto wa mdogo wake magufuli nae hajisikii kabisa
@abdibilali4186
@abdibilali4186 7 ай бұрын
​@@marcodaud1005kweli aisee jamaa alikuja Dar village sio mtu wa kujiona na anasalimia watu na kujishusha yuko POA sana
@hajijumaa4014
@hajijumaa4014 7 ай бұрын
Baba magifuli alipewa simu dodoma na kwa kinywa chake alisema nilinusurika kifo na badae alikuwa Rais Sasa usijali kwa kukosa kibaruwa hujui mungu anakuandaa nani kuwa Mandela usiwe Hitler
@emmanueltillya2017
@emmanueltillya2017 7 ай бұрын
Kwa nini ufukuzwe kama ulikuwa umeajiriwa bila kubebwa na Anko.nenda mahakamani kawashataki waliokufukuza.kama ni mwajiri wako sawaa.shida kazi unayofanya kwa sababu ya mtu fulani ni changamoto,siku huyo aliekuweka hayuko duniani ndipo utaanza kutapatapa.😂
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 7 ай бұрын
sema watanzania akili hua zina uchafu hivi uropokaji sana ukiwa humpendi mtu basi utamsingizia kila tukio ambalo hajalifanya kwanza nikutaarifu magu hakutaka ndugu yake yeyote aingie kwenye siasa hata huyu alionywa sana na akanyanganywa na ubunge ili asiwe kwenye kundi la kuchukiwa na wazeh wezi wa inchi sasa vp ampe cheo wakat alimkataza hata kugombea popote pale unaongea kama kichwan umejaza mavi nasio ubongo
@florencemeza6540
@florencemeza6540 7 ай бұрын
We fala kweli isiseme wanaobebwa sasa fyoooooò
@eliaichraymond1215
@eliaichraymond1215 7 ай бұрын
Dunia ndiyo ilivyo,wanadamu wanakupenda pale unapokuwa na kitu/faida fulani kwao!mm nimexperience hivyo mara nyingi,ukiona mtu anakupenda na kukujali wakati huna kitu cha kumsaidia ujue huyo ni rafiki wa kweli! Wengi ni friends with benefits
@hajijumaa4014
@hajijumaa4014 7 ай бұрын
Baba magifuli alipewa simu dodoma na kwa kinywa chake alisema nilinusurika kifo na badae alikuwa Rais Sasa usijali kwa kukosa kibaruwa hujui mungu anakuandaa nani kuwa Mandela usiwe Hitler
MAGUFULI AMPIGIA MKURUGENZI TAKUKURU LAIVU, AMFUKUZA KAMISHNA WA MKOA!
13:52
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 29 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 41 МЛН
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku, 29 Julai 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,9 М.
LIVE : RAIS DKT. JOHN P. MAGUFULI AKIWA NJIANI KURUDI DAR ES SALAAM
5:25
NAPE ATINGA IKULU/AMUOMBA MSAMAHA RAIS MAGUFULI.
2:58
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 66 М.
Rais Magufuli afanya ziara ya ghafla Wizara ya fedha Nov. 6, 2015
14:29