FURAHA DOMINIC: MJOMBA wa JPM ALIYEMPIGA CHINI GWAJIMA KAWE AFUNGUKA - "NIMEPATA MATESO MENGI SANA"

  Рет қаралды 38,685

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 64
@malimanyanja562
@malimanyanja562 2 жыл бұрын
Naona uzalendo ndani Yako kijana furaha wanadam niwepesi kukosoa kuliko kujenga sisi watanzania wazalendo tunakuombea mungu akutangulie uje uwe kiongozi wetu tz
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 жыл бұрын
Yuko vizuri mno
@josephinekombo6391
@josephinekombo6391 Жыл бұрын
We people of kawe we are waiting for you to be our MP, remember that GOD loves you so much ❤
@victoreleonardmdee9158
@victoreleonardmdee9158 2 жыл бұрын
Big up kijana yupo makini sana kujibu maswali Maoni yangu aongeze bidii kujielimisha zaidi kwa kusoma na kupata takwimu zitamuweka vizuri kwa siku zijazo.
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Tunaomba ukafanye kazi nzuri kama Anko Magufuli 🙏
@ramadhanabas4455
@ramadhanabas4455 2 жыл бұрын
Rekebisheni kichwa Cha habari. Hayati Magufuli ndiye mjomba wa ndugu Furaha, na siyo kwamba Furaha ni mjomba wa Hayati Magufuli. Ndugu Furaha ni mpwa wa hayati Magufuli.
@mburawambulanga3500
@mburawambulanga3500 2 жыл бұрын
Naomba uanachama wa Umoja party kadi no 100
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 жыл бұрын
Ila mjomba ake hakusema nileteeni Furaha alisema nileteeni Gwajima na wabongo wanavyokubali kupangwa waliingia kati ya mstari
@paveayoonlinetv616
@paveayoonlinetv616 2 жыл бұрын
Hakika FURAHA DOMINIKI anaupiga Mwingii sana, amejibu majibu sawa.
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 2 жыл бұрын
This Guy ni mara 100 Bora zaidi ya Jamaa ambae Yuko Kawe Kwa Sasa.. Nimekubaliii🔥🔥🔥 Bro Usikate Tamaa, Twende Mbele🔥🔥
@bloodofjesus7542
@bloodofjesus7542 2 жыл бұрын
😭😭😭😭 furaha Ulisem ukwel leo unageuka unajibu ki siasa zungu anauliza maswali konki konki lkn ww unajibu mayai mayai Mungu akusaidie
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 2 жыл бұрын
Wagombea 178? Jimbo Moja🤣🤣🤣
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 2 жыл бұрын
Tunaomba uige Tabia ya mjomba wako utafika mbalii mjomba wako alikua mwambaaaa kwelikweli
@thomasjohn3499
@thomasjohn3499 2 жыл бұрын
Zungu swali lako la kwanza ni nzuri sana.
@modetheo5182
@modetheo5182 2 жыл бұрын
Umoja Part
@paveayoonlinetv616
@paveayoonlinetv616 2 жыл бұрын
Hakika FURAHA DOMINIKI umejibu vema sana, amenena mengi, mazuri.
@waytvtz2549
@waytvtz2549 2 жыл бұрын
Kilichokubeba dogo kwa wakati ule ni kwa vile watu walijua wew ni mjomba wa Rais magufuli siyo kwamba eti ulikuwa na sera kuzid hao mia Sabin na sita k
@piusmoses5615
@piusmoses5615 2 жыл бұрын
Furaha sijakuelewa kabisa leo naona kama umeishaanza kuingiwa na unafiki fulani sijui unatafuta uteuzi ebu jarifu kufuata misimamo ya mjomba wako acha uoga kaka amini kwa kile unachokisimamia sio kua kinyonga
@mwambarock2562
@mwambarock2562 2 жыл бұрын
Kuhusu #katibampya huyu #fulaha haijui ...na Kama ana ijuwa basi amepiga chenga ya mwili ...na kuhusu #halimamde lazima fulaha ampe heshima yake ..asimuchukulie powa. Mpaka halima ana nyofolewa kawe ilikuwa kwa mkono wa magufuli na thani fulaha ana lijuwa hilo ... kwahiyo halima mde apewe heshima yake.....#ACT#CCM#CHADEMA#......((((mna kela munao jipendekeza .))kwa samia kwa masilahi yenu ...#wasafitv#katiba
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 жыл бұрын
Ila JPM alikuokoa, maana walitaka kukuuwa
@paul1985ization
@paul1985ization 2 жыл бұрын
Una logic but una element 100% za kibaguzi. Wapinzani pia ni Watanzania na wapo kwa mujibu wa Sheria.
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 жыл бұрын
Bora ilikuwa hivyo..Hukupitishwa..Zungu Hongera sana una Maswali sahihi na Konk...ila Mpwa mtu ana akili sana anajua kujua Kupangua na kujenga hoja.
@abdulsinga2464
@abdulsinga2464 2 жыл бұрын
Huyu kilaza hajui siasa kabisa...zungu umembana sehem nzuri sana...huyo kichaka...👺👺👺
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 Жыл бұрын
Sasa ukilaza unatoka wapi kwani chuki hapo inatoka wapi kwanini binadamu mpo hivi
@winnesakara6957
@winnesakara6957 2 жыл бұрын
Asante
@paveayoonlinetv616
@paveayoonlinetv616 2 жыл бұрын
wapo watu wengi wanaonewa sana,
@abubakarimaguo5717
@abubakarimaguo5717 2 жыл бұрын
Nimependezwa na mada zote na kipindi kizima is hot
@faridamwandenuka8631
@faridamwandenuka8631 2 жыл бұрын
Nadhani ni "Mpwa" na si mjomba
@athumanimhanga2053
@athumanimhanga2053 2 жыл бұрын
hana maana kama hataki tume huru
@malimanyanja562
@malimanyanja562 2 жыл бұрын
Tunamitazamo tofauti usitake wote tue namtazamo wako ww.Unapo sema hana maana unataka awe kwenyemtazamo wako ww nikitu kisicho wezekani
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 2 жыл бұрын
Furaha Dominic Anapinga yale aliyoongea mwaka Jana Star tv? Au anadhani Internet inasahau?
@watchmewatchyou9
@watchmewatchyou9 2 жыл бұрын
maongezi ya leo ya kibwege tu sio kama yale ya last time.... bora msinge rudia maana sijui mmerudia ili iweje ... leo nyote mna ekti tu
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 2 жыл бұрын
Sijui kwanini Wanaccm wachache hawapendi Katiba Mpya na tume huru. Na kwanini WanaKatiba Pendekezwa
@elymollel
@elymollel 2 жыл бұрын
Inatamkwa Birmingham ..
@raymatunda5207
@raymatunda5207 2 жыл бұрын
Leo ndio nimelewa kwanini mpwa wako alikukata. Maendeleo ayanachama
@bloodofjesus7542
@bloodofjesus7542 2 жыл бұрын
Hapo kwenye ukupe nimekuelewa
@mussahuyya7775
@mussahuyya7775 2 жыл бұрын
Huyu hata hajui anachokieleza zaidi sana ni unafiki
@paveayoonlinetv616
@paveayoonlinetv616 2 жыл бұрын
Wanaojipendekeza ni wabayaaa
@kazkaz1943
@kazkaz1943 2 жыл бұрын
Mahojiano yaliyotoka moyon ni yale aliyofanya na startv hii kina zungu mmechemka ni kama mmerudia alaf akawa anaficha na kusahihisha hisia zake alozoongea startv, kwa ambay hakuona mahojiano yale haya atayaona ni mazur ila kwa tulioona ile interview tunasema hii tumepigwa tena tumepigwa pakubwaa, kule alisema alienda kumuomba magufuli baraka za kugombea akamkatalia huku kasema hakumuomba ni kama alikua anajitekenya tu
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 жыл бұрын
Hayo ya Star tv yaache huko huko acha twende na haya haya anayoficha
@ambakisyemwakinunu2002
@ambakisyemwakinunu2002 2 жыл бұрын
@@angellomarcel5677 😂😂😂😂😂😂
@allybulushi624
@allybulushi624 2 жыл бұрын
siyo Irani ni ilani
@paveayoonlinetv616
@paveayoonlinetv616 2 жыл бұрын
Tume huru ni mahitaji ya wananchi....Kenya wanatume huru na katiba mpya na matatizo yako pale pale..... Tujenge Taifa letu
@nicotv4162
@nicotv4162 2 жыл бұрын
Furaha! Kuna sehemu nakupa 100%, ila tume huru ni bora zaid ikawepo , hata huyu mama samia ikiwepo tume huru 2025 harudi! Kwa sababu mpaka sasa wananchi hatumkubal kwa sabab tulimchagua magufuli ila yeye alipitia hapo na katiba ikampa ushindi wa mezan baada ya mpendwa wetu John kutuacha! Hivyo tunaomba tume huru ili huyu asirudi tena! Maana hana uzalendo kabisa, hayupo kwaajili ya wanyonge!!
@jumaamartin7929
@jumaamartin7929 2 жыл бұрын
Raisi samia uteuzi
@kashindisimon5265
@kashindisimon5265 2 жыл бұрын
Sera zako!?????ama Sera za chama!????
@bloodofjesus7542
@bloodofjesus7542 2 жыл бұрын
Ameshakula Sumu ya kikwete maswali anayo ulizwa ni tofauti na furaha aliyefanya interview iliyopita
@bloodofjesus7542
@bloodofjesus7542 2 жыл бұрын
Sikuelewa mwanzo ila nilivyomaliza interview nimekuelewa
@edwinmbelle4207
@edwinmbelle4207 2 жыл бұрын
Kwa kupitia mahojiano na furaha nauliza hii niawamu ya ngapi ? na inatekeza ilani ipi ? Kuuliza sio !! uhinga
@benderarulenge2477
@benderarulenge2477 2 жыл бұрын
Kumbe upinzani ni adui au,kwani wapinzani hawalipi Kodi?,maendeleo hayana chama hao wote walikuwa wanalipa kodi
@victoreleonardmdee9158
@victoreleonardmdee9158 2 жыл бұрын
Hapo kwenye Katiba Mpya na Tume Huru sikuungi mkono Tz Bila kutengeneza taasisi imara hatuwezi kusonga mbele Taasisi imara zinapatikana kwa kuwa na Katiba Mpya Hayo ni maoni yangu kama Mwananchi wa Tz
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 жыл бұрын
2025 ni giza, hayupo wa kumpa kura
@ramadhaniomarishauri9905
@ramadhaniomarishauri9905 2 жыл бұрын
Huyo mpumbavu hajui hata maana ya tume huru, ukina mwanasiasa anaingiza Mungu ukae mkao wa kula., huo ni mwiba
@katibampya8442
@katibampya8442 2 жыл бұрын
Wandishi mmeshindwa kumhoji huyo mkolomije vizuri, yani haoni umuhimu wa tume huru wala katiba na mnamuacha aendelee kupotosha.
@malimanyanja562
@malimanyanja562 2 жыл бұрын
Kupotosha nini jifunze kueshim mtazamo wa mtu ayo nimawazo Yako ww.usizani kila mtu anaweza kama ww
@samniza1763
@samniza1763 2 жыл бұрын
Bila tume huru na Katiba mmedoda!!!
@hamadyasin7429
@hamadyasin7429 2 жыл бұрын
Punguzen lugha za mtaani. msiseme kukatwa kichwa
@ip_header
@ip_header 2 жыл бұрын
Usjali kijana 2025 utapita kwasababu uwezo unao
@ezekielmatinya8314
@ezekielmatinya8314 2 жыл бұрын
Huyu Bado kabisa
@blessbaysa5561
@blessbaysa5561 2 жыл бұрын
Huyu jamaa ni genuas kama mjomb wake
@subayayusuph9240
@subayayusuph9240 2 жыл бұрын
Ni Ilani kaka na sio Irani
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 жыл бұрын
JPM TUTAENDELEA KUMKUMBUKA DAIMA
Evren'in 13.7 Milyar Yıllık Hikayesi.. Dünyanın Oluşumu..
3:42:53
HT Bilim Tarih Felsefe
Рет қаралды 4,6 МЛН
Teke Tek Özel / Dinler Tarihi- Kürşat Demirci / 21 Şubat 2010
3:42:20
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Teke Tek Özel - 1 Şubat 2009
3:48:07
Habertürk
Рет қаралды 2,9 МЛН
Türk toplumu bilime mesafeli mi? | Teke Tek Bilim - 20 Mart 2023
3:04:07
Öteki Gündem - Hz. Peygamber'in Hayatı ve Medine / 3 Nisan 2015
3:50:09
🔴#LIVE: JANA NA LEO NDANI YA WASAFI FM (30/12/2024)
1:01:17
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 М.