MPYA:MANGE KIMAMBI BILA WOGA AVUJISHA VOICE YA MAREHEMU DIDA ALIVYOKUWA AKIMPA SIRI ZOTE ZA WASAFI,,

  Рет қаралды 46,288

Bongo Choice

Bongo Choice

Күн бұрын

Пікірлер: 49
@umfahad2609
@umfahad2609 2 ай бұрын
Mimi nashangaa huyu Mange mnamwita dada wa taifa. Ni taifa lipi hilo? Lbd taifa la shetani. Anachafua kl mtu. Utadhani yeye amekamilika. Na mbona hakumuongelea alipokua hai. Alikua anamuogopa. Sbb Marehemu mwenyewe alikua jasiri pia. Alikua haigopi. Namuomba ALLAH amsamehe madhambi yake na amlaze mahali pema Duda.🤲💖
@Shuu.A
@Shuu.A 2 ай бұрын
Hao wanaomwita dada wa taifa ndio wale wajinga wenziwe walolaanika kama yeye na ndio wanao msaport kwenye huu ujinga wake ni nguruwe wenziwe tu na watazidi kulaanika wote wanao msaport
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 ай бұрын
Mmmmmmh😢😢😢😢😢jmn,,,usifanye diamond aingie kinyongo ashindwe kumsaidia mtoto wa marehemu kwa ajil ya usenge wako
@humbleshoal
@humbleshoal 2 ай бұрын
Mungu ndio hutoa ridhki, hata asipomsaidia Mungu yupo, uwe kweli au c kweli hayo ya mange, diamond hatoi ridhki
@HafsaShayo-iv5xh
@HafsaShayo-iv5xh 2 ай бұрын
Mange utakufa vibaya sana
@rahmatsumo3274
@rahmatsumo3274 2 ай бұрын
Mbona hakuyasema Dida alipokua hai mange kimabi utakufa vibaya kwa kumsema marehemu vibaya laana tu Allah mange
@KhadijaLukas-s3r
@KhadijaLukas-s3r 2 ай бұрын
tena naomba maiti yake ikatwekatwe vipande kila wajuwe jinsi ya kumuhukumu mbwa huyu kimoja kije hapa kwao tanzania tuwape mbwa wakigawane shetwani huyu mkosa razi wazazi mpaka dunia kwa ujumla maraya mkubwa huyu shenzi kabisa
@joycejackson2320
@joycejackson2320 Ай бұрын
Wewe sio Mungu Acha kuhukumu
@sakinankya6683
@sakinankya6683 2 ай бұрын
Loooh binadamu siyo watu wazuri kabisa. Siyo vizuri kumsema Marehemu mimi naona anatafuta Kiki kupitia marehemu.
@irenesisamo2184
@irenesisamo2184 Ай бұрын
Sasa watu wajifunze kuongea na Mange mambo ya siri
@sallysafisanakijanakazibut1688
@sallysafisanakijanakazibut1688 2 ай бұрын
Jamani km ilikuwa siri kwanini useme sasa sio vizuri
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج Ай бұрын
Ama kwel dunia usimwamini mtu siri yako itunze wewe na mungu usimshirikishe yeyote wapil anayeitwa binadamu.😢😢😢
@Drkitsao
@Drkitsao 25 күн бұрын
Nmekuwa nkitafuta sana hiyo nyimbo kwa background. Unaitwaje ? Nataka kudownload
@Bongochoice1
@Bongochoice1 24 күн бұрын
Curious ft Romy wave - wass
@UmayyaMunisi
@UmayyaMunisi 2 ай бұрын
Huyu dada jmn😢😢😢mtu ashafariki bado kumuandama
@Oman-bh5nu
@Oman-bh5nu 2 ай бұрын
Huyu dada atakuwa sio mzima ki akili
@Stellastella-yi5vu
@Stellastella-yi5vu 2 ай бұрын
Unamsema mtu ambaye hawez kukujibu ?na kashaondoka kweny ulimwengu huu Mungu atusamehe sana Kwa kwel
@sameraamiry3849
@sameraamiry3849 Ай бұрын
Me yote tisa dida nae kupeleka mambo yake ya ndani kuzipeleka kwa mange na urafiki me sikatai
@Magreth-f2j
@Magreth-f2j 2 ай бұрын
Jamani huyu binti kazidi ana ujasili gani wakuwasema marehemu kila anaekufa anajuwa habari zake kama una moyo wa utu unajuwa madhaifu yake mwambie akiwa hai huenda ukamuokoa ina faida gani kutukana kiumbe hakiongei unak
@cettyamandus2929
@cettyamandus2929 2 ай бұрын
Msenge sana
@muzneali4747
@muzneali4747 11 күн бұрын
Mange Acha uwongo HIZO sautu ZIKO WAPI?? Washenzi wote NYIE na wewe unazisoma pia mshenzi KWANI hukuwa na habari nyingine TUSEME HATA sauti ziwepo wangapi wanaigiza sauti?? Msituchoshe kabisa TENA mkome KENGE nyie
@FatumaZuberi-c5l
@FatumaZuberi-c5l 2 ай бұрын
Ebu mpunguzeni daimodi jmn maana nayeye bindamu kazaliqa jmn eeh, mpaka mama dangote ajutie kumleta nasibu duniani kila kukicha daimondi
@Nyaboke-123
@Nyaboke-123 2 ай бұрын
Mange anamsingizia Dida
@HusnaSalum-p1q
@HusnaSalum-p1q 2 ай бұрын
Ila huyu mshenzi yaani
@Bintimrembo-y1v
@Bintimrembo-y1v 2 ай бұрын
Mjaa laana huyo
@AsiaMsenga
@AsiaMsenga 2 ай бұрын
Mtu akishakufa mnàmtajq kwa mabaya shauri yao yatawarudia
@muzneali4747
@muzneali4747 2 ай бұрын
MANGE WEWE NI MCHAWI MWENYEZI MUNGU ANAKUONA HATA TUSEME IWE KWELI HUKUPASWA KUMSEMA DIDA USIFIKIRI ANAVYOFANYA NI VIZURI HIYO NDIO FITNA NA WEWE NI MNAFIKI KAMA UNGEKUWA MKWELI UNGESEMA PALE DIDA ALIPOKUWA HAI KWA TABIA HIYO UTAKUFA BILA WATU
@alanoudalseari7208
@alanoudalseari7208 2 ай бұрын
muache marihem apumzike kwa amani.
@zariadunia6328
@zariadunia6328 2 ай бұрын
Kwa dida inawezekana mana alikuwa anatamaa ya pesa
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 2 ай бұрын
WAONGOOOOOO wakubwaaaa nyiiie ACHENI UCHAWIIII. LOOOOOOOO
@francochami1818
@francochami1818 2 ай бұрын
Ni urafiki wa kinafiki huo ulisubili yampate ya kumpata ndo useme kwa wat kama ulikua unafaham hilo jambo ungemsaidia hadi sasa😅
@umfahad2609
@umfahad2609 2 ай бұрын
Huyu Mange ana laana huyu. Anasema viingozi, Marais, na kl aina ya watu. Mpaka maiti wanawaongelea vibaya. Jamani huyu ni binadamu wa aina gani huyu??? Kesho atasema nini kwa Mungu wake huyu??
@nashnene6326
@nashnene6326 2 ай бұрын
Voice ilovuja ipo wapi?
@WTC492
@WTC492 2 ай бұрын
Kwema Dada! Dada huo wimbo uliopiga kwenye background naupenda sana naomba nifahamishe ni nani kauimba na unaitwaje!
@Bongochoice1
@Bongochoice1 2 ай бұрын
@@WTC492 curious ft romy wave_ wass
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 2 ай бұрын
Yaani huyu mangi sijui analaana gani hata sijui haogopi hata kifo yote hayo ametumwa na mtu amchafue Marehem ili asipate msaada anyway dida haitaji msaada alikuwa amesha jijenga
@Fatma-rv3ms
@Fatma-rv3ms Ай бұрын
😢😢😢
@mozaothman7530
@mozaothman7530 2 ай бұрын
Wewe dada mange mungu anakuona Dida keshafika mbele ya haki kwanini unamzungumza hayo unayoyafanya si vizr
@francochami1818
@francochami1818 2 ай бұрын
Mhuuuh hatuwez jua pengne kuongea kwako uongo ndo ajila yako nawew unayo siku yako kimambi
@othmanmtambo661
@othmanmtambo661 2 ай бұрын
Ukase a chochote maana rubbish
@TeddyMasawe-t5d
@TeddyMasawe-t5d 2 ай бұрын
Mhhhhhh.😂😂😂😂😂
@NuruMbala-d1i
@NuruMbala-d1i 2 ай бұрын
Huyu dad choko
@elizabethmakaranga218
@elizabethmakaranga218 2 ай бұрын
Tunaamini vipi kama kweli Dida anahusika?coz hayupo tena ,tumia akili zako vizuri ,inasaidia nn?hata ukisema
@DavidMajele
@DavidMajele 2 ай бұрын
ivi tunashidwa kumleta mangi kimambi hapa tinzania yani wewe
@FatumaMussa-m5d
@FatumaMussa-m5d 2 ай бұрын
Mange ukifa kifo chako kisijulikane Ata uliko fia na jamaa zako wasione msba wako mbwa wewe
@oman8573
@oman8573 2 ай бұрын
Wewe mange wewe muogop mungu
@aishaomar9621
@aishaomar9621 2 ай бұрын
Wee.mange unaupiuzi mno ushawahi jiuliza sku yako itakuaje ama waona unachokifanya kitakupa faida gani chefyyuuu😢😢
@francochami1818
@francochami1818 2 ай бұрын
Sikuzote mtu mwenye madhaif yake ndo alivo mange kimambi sio mtu wa kuaminika kwa kila maneno ayasemayo
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН