MPYA: NILIKUFA NIKAFUFUKA - 1/10 SIMULIZI ZA MAPENZI BY FELIX MWENDA.

  Рет қаралды 10,326

Simulizi Mix

Simulizi Mix

Күн бұрын

Пікірлер: 78
@Wilfred589
@Wilfred589 2 ай бұрын
Ikishakuwa tu Felix Mwenda mtoto wa kibena lazima niisikilize big u bro
@user-gu9zp7jt8k
@user-gu9zp7jt8k 2 ай бұрын
Ndio nime enjoy Ila Niko mahakamani kushtaki mtunzi wa gobole aje atowe maelezo kama uko pamoja n'a mimi like apa
@NeemaDotto-ss3uc
@NeemaDotto-ss3uc 2 ай бұрын
Kweli Yaani Gobole la Ulithi 😢😢😢
@Pretty22750
@Pretty22750 2 ай бұрын
😂😂😂😂una uhakika utasikilizwa qwa hayo mashtaka yako?
@Dayananyagali4758
@Dayananyagali4758 2 ай бұрын
😅😅😅😅😅 nipo na ww
@abray9808
@abray9808 2 ай бұрын
Mm ntacmamia sheria upande wa waskilizaji
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 2 ай бұрын
😊😊😊
@lonakirao5275
@lonakirao5275 2 ай бұрын
Kitu kipya kabisa ❤❤ shukran sana kaka Felix
@mariamMilha-st3qu
@mariamMilha-st3qu 2 ай бұрын
Kitu na Box wadau kitu kipya Felix 🎉🎉🎉🎉🎉🎉kuhusu kumushitaki mwenye amebana Gobole nikopamoja nawe niko Burindi ntaudhuriya kesho Insha,Allah watupe Gobole❤❤❤❤❤
@user-cq5kd3zi6p
@user-cq5kd3zi6p 2 ай бұрын
Inabid tumshitak mtunzi hatutendea vyema tunatak gobole la urith🎉🎉
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i 2 ай бұрын
Leo wakwanza🎉🎉🎉🙏
@emilyadhiambo4540
@emilyadhiambo4540 2 ай бұрын
Mr Felix mwana wa mwenda ametuletea kitu kipya njooni wadau tujumuike pamoja 🎉🎉
@Feisalmatandula
@Feisalmatandula 2 ай бұрын
Mwenda mwendelezo w muuaji wa kimataifa
@hadiaali5517
@hadiaali5517 2 ай бұрын
Jomoni kumbe hii story inaletwa na kk felix hata isinoge lazima niwrpo❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@tabletennis6296
@tabletennis6296 2 ай бұрын
Felix vip kuhusu gobole la urithi
@mohammedkombo3940
@mohammedkombo3940 2 ай бұрын
Heloooo 😅😅 welcome back
@laveenamuscat4959
@laveenamuscat4959 2 ай бұрын
Ni mwendo wa Kaz tu hapa kaka Asante sana
@RuizJohns
@RuizJohns 2 ай бұрын
Felix mkipata muendelezo wa gobole la urithi mtuletee
@AishaMasali-lw8pc
@AishaMasali-lw8pc 2 ай бұрын
Kitu kipya na felix wetu 😊
@AnastasiaKilonzi
@AnastasiaKilonzi 2 ай бұрын
Shagazi mwisho ❤
@sophiebanga9533
@sophiebanga9533 2 ай бұрын
Ni vizuri kuwa na kk kamavenus mwenye mshimamo wa njia ya ukweli
@user-tq5di6mv9c
@user-tq5di6mv9c 2 ай бұрын
Mungu wangu
@Pretty22750
@Pretty22750 2 ай бұрын
Amefanyaje?😊
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 2 ай бұрын
​@@Pretty22750😊
@user-im3xr5ru7c
@user-im3xr5ru7c 2 ай бұрын
Mashaal asant sana kwasimurinzi ❤🎉🎉🎉😂😢
@user-gj7rb5zd7i
@user-gj7rb5zd7i 2 ай бұрын
Mwendelezo jamani wa muuaji wa kimataifa
@leeheyon
@leeheyon 2 ай бұрын
New Banger😂😂📻. Kak felix ule mzigo wa kafara ya uchawi noma sana fanya Dude lingine part 2 🔥
@twinssauditwinssaudi7248
@twinssauditwinssaudi7248 2 ай бұрын
❤❤❤shu
@AnastasiaKilonzi
@AnastasiaKilonzi 2 ай бұрын
Shagasi mnoma pesa mbele ❤
@user-tb5ly3lq4j
@user-tb5ly3lq4j 2 ай бұрын
na enjoy nikisikiya szuti ya felix mwenda inahamasa yakusikiya history is besties of ladies acha tusikiye history yetu inasemaje
@twinssauditwinssaudi7248
@twinssauditwinssaudi7248 2 ай бұрын
We felix ww et 30 na nnje yalikua 2😂😂😂😂 nimeipenda hiii
@aishatest4451
@aishatest4451 Ай бұрын
wewe kaka mambo nimekumisi sana 👏👏👏👏👏😁😁😁😁😁
@aminamhina9129
@aminamhina9129 2 ай бұрын
Nice
@user-ez6cy4pj8z
@user-ez6cy4pj8z 2 ай бұрын
Thanks Felix
@PilliSaidi
@PilliSaidi 2 ай бұрын
Kitu kipya shukuruni
@AishaOthumani-xq4ec
@AishaOthumani-xq4ec 2 ай бұрын
Hii inaonekana ya kutishaa
@user-kd4cx3rp3m
@user-kd4cx3rp3m 2 ай бұрын
Wa3😂😂
@medinahsamita3981
@medinahsamita3981 2 ай бұрын
Nilikuwa nishangaa mbona filex amenyamaza
@yusravyizigiro1247
@yusravyizigiro1247 2 ай бұрын
❤️❤️❤️❤️😍😍😍😋
@user-yk8em1bh8g
@user-yk8em1bh8g 2 ай бұрын
❤❤❤
@espererancesudi7600
@espererancesudi7600 2 ай бұрын
To be continued
@RamaadhaniMseza
@RamaadhaniMseza 2 ай бұрын
Gobole la urithi akina King maembe hahahahah
@radhiaomary5591
@radhiaomary5591 2 ай бұрын
Jmn GOBOLE la urithi ineishilia wapi😢😢😢😢
@angeldavid4720
@angeldavid4720 2 ай бұрын
Nilikuwa natafut comment hiii
@ataamansi8941
@ataamansi8941 2 ай бұрын
Ili nisikwazike zitafungua simulizi mpaka nione imekamilika, yaani nilikuwa namuheshimu sana Edgar Mbogo maana ni mtunzi mzuri kipaji kikubwa sana, lakini amegeuka kero sana, kama alikua hataki na mgobore wake wa urithi,asingeniharibi bando langu jamani, mpaka likaisha muda wake, hamalizi story, Isipokuwa makini na hii itakatizwa. Nimeshauri waweke vipande virefu hata masaa7-10 tujipimie wenyewe
@AshaHamad-oz4rg
@AshaHamad-oz4rg 2 ай бұрын
Hii ni kaz ya emanuel f kway alietunga davina cc wazee wa kaz tushazioma zooote....sema kwa vile felix anasimulia bc ni utamu tuuu...kway ni kama mbogo hawana baya kwenye utunzi
@user-ih4kw5eb3d
@user-ih4kw5eb3d 2 ай бұрын
Swadakta pengine shangazi anataka kwenda kutupia makombora kwa kwai amtie uchizi ana hauwe kabisa kwakukosewa heshima😂😂😂
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 2 ай бұрын
Wakwanza jamani kwa simulizi mpyaa 🙏🙏🙏❤❤❤❤❤❤ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
@Jimmsuva-be5dc
@Jimmsuva-be5dc 2 ай бұрын
Italia sehemu gani
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 2 ай бұрын
@@Jimmsuva-be5dc Arona karibu ziwa Lago Maggiore 🤣🤣🤣♥️♥️
@Jimmsuva-be5dc
@Jimmsuva-be5dc 2 ай бұрын
@@zenaathumani8144 ahsante sana na tz mkoa gani
@Pretty22750
@Pretty22750 2 ай бұрын
Shangazi wewe ficha tu pesa kwa manyonyo yako afu mwishowe utajua utamuozesha nani😊😊😊 km 🔫 haitakuhusu,afu Felix acha bc utani mtunzi mwenyewe Jina mpaka wa leo umelibana afu unatuambia ni yule wa Davina
@MnyarwandaFulani56
@MnyarwandaFulani56 2 ай бұрын
Hivi gobole la urithi inaendelea ama ndo mwixho
@medinahsamita3981
@medinahsamita3981 2 ай бұрын
Wow 🎉🎉🎉🎉
@medinahsamita3981
@medinahsamita3981 2 ай бұрын
Muendelezo muaji wakimataifa
@nurafedrick378
@nurafedrick378 2 ай бұрын
Iko kwakiaango😂😂😂 pamoja na watatu wa mwisho
@AshaHamad-oz4rg
@AshaHamad-oz4rg 2 ай бұрын
Mwezng mwenywe pia nimeishia sehem ya 10 nyengne sizion kumbe nna wezangu??
@nurafedrick378
@nurafedrick378 2 ай бұрын
Nilijua tuuuu huyuu shangazi ndomwanga kabisaa sasa kwann asimrogee huyo jamaa Wapesa ilimwanae aolewe
@mhabimina4023
@mhabimina4023 2 ай бұрын
🔥🔥🔥👌
@sarasaraz-vn1vl
@sarasaraz-vn1vl 2 ай бұрын
😂watu hampoi
@marionbeatrice7293
@marionbeatrice7293 2 ай бұрын
Meno yake thelethini na nje yalikuwa mbili🤣🤣🤣🤣🤣
@mariamsonia8176
@mariamsonia8176 2 ай бұрын
🎉🎉🎉
@user-tv6ii7pc4z
@user-tv6ii7pc4z 2 ай бұрын
Mtunzi wa Gobole la urithi tunamsubiri mahakamani hapa mbona hafiki😂😂😂😂 🤣🤣🤣🎧🎧🪑🪑🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦❤❤❤
@emilyadhiambo4540
@emilyadhiambo4540 2 ай бұрын
Ila tumemiss gobole la urithi bwana Felix fanyeni kitu
@bintimrope
@bintimrope 2 ай бұрын
Kumbe kuna mambo mpya huku leo???😊
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 2 ай бұрын
Huyu Martin anacheqesha😂 bi haruc anaumwa yey anawaza bajet ya haruc
@AnastasiaKilonzi
@AnastasiaKilonzi 2 ай бұрын
Venas ukweli shagazi yako anataka kiusa dadako Kwa pesa
@aminah9557
@aminah9557 2 ай бұрын
Dhaaa acha niskilize alafu nitarudi ku comment badae nikijua huyu aliekufa alafu akafufuka ni hanse ama ni nn
@user-nr4iq2sq7f
@user-nr4iq2sq7f 2 ай бұрын
Naomba hii isiwe riwaya km Ile iliyoisha 😂😂😂😂😂😂 please hii iwe simulizi
@nurafedrick378
@nurafedrick378 2 ай бұрын
Nahisi nishangazi AMA nihuyoo sijui ndonani anaejivunia pesa nahisi nishangazi mana mwanae kazae injee.pili alikuwa akimkuadia kwahuyoo jamaa wa 666 sasa hawa watu wawili naona ndomefanya hivyoo
@RuizJohns
@RuizJohns 2 ай бұрын
Felix mkipata muendelezo wa gobole la urithi mtuletee
@ygggggg9762
@ygggggg9762 2 ай бұрын
Poleni jamani 😢😢 gobole limeishiwa risasi😂😂😂
@AnnaMelikion
@AnnaMelikion 2 ай бұрын
😂😂😂​@@ygggggg9762
@yusravyizigiro1247
@yusravyizigiro1247 2 ай бұрын
❤️❤️❤️❤️😍😍😍😋
@AshaHamad-oz4rg
@AshaHamad-oz4rg 2 ай бұрын
❤❤❤
@jamilajamal1584
@jamilajamal1584 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤
NILIKUFA NIKAFUFUKA - 2/10 SIMULIZI ZA MAPENZI BY FELIX MWENDA.
1:01:10
MY EX
56:15
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 18 М.
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 20 МЛН
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 44 МЛН
Apple peeling hack
00:37
_vector_
Рет қаралды 37 МЛН
MPYA:  ANGA YA WASHENZI - 1 SIMULIZI YA UPELELEZI NA UJASUSI.
1:03:33
CHOZI LA MNYONGE. SEHEMU YA 01
31:12
SIMULIZI TULIVU
Рет қаралды 2,4 М.
Obinna vs Goons from Kitale.
26:27
Obinna TV Updates
Рет қаралды 62 М.
SUMU YA PENZI | Full Movie
46:38
Adam Leo Studios
Рет қаралды 85 М.
THE DEVIL WORSHIPER (SIRI YA FREEMASONs)
1:57:47
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 33 М.
MPYA: SIMULIZI YA MAPENZI - 1/15 | Season I | BY FELIX MWENDA.
36:07
SIMULIZI FUPI: KAKA BY FELIX MWENDA.
1:34:51
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 14 М.
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 20 МЛН