😅😅majina ya marafiki wa kiume ni msela,mshikaji, Man.......mengine nisaidieni na nyie na likes juu acha Na mm leo niombe hizo likes nione km nitapewa nawapenda watu wangu ❤❤🎉🎉🎉🎉
@rahmamct25 күн бұрын
Gobole ndio umeikatisha tena jaman
@user-rc3om5hs9i25 күн бұрын
❤❤❤🙏 asante leo tunae mamaetu🇹🇿🇹🇿 mpenz wasmuliz mix pitsha likes🏃
@lonakirao527525 күн бұрын
Wale wakuchelewa ndo natinga mjengoni natumai mko salama wadau wenzangu wasimulizi mix ❤❤ kitu kimya kabisa hadi raha 😘 kaka Felix nyuma ya kipaza sauti❤
@zenaathumani814425 күн бұрын
Numero uno asante sana Felix kwa simulizi mpyaa 🙏🙏🙏❤❤❤❤❤❤ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
Woyooooo asant sana Felix kutukumbuka na siye 🎉🎉🎉🎉😂
@zenaathumani814425 күн бұрын
🌹🌹🌹🥰
@PilliSaidi25 күн бұрын
Kitu kipya shukuruni frelix Mwenda
@khadijasayeed338125 күн бұрын
simulizi tamuuu❤🎉
@jamilajamal158421 күн бұрын
Wawooooo Felix❤❤❤❤❤
@nurafedrick37825 күн бұрын
Mm pia nilijua tuuuu anapigia babe wake kumbe jina tuuu🖐😁😁😁😁😁😁😁😁
@irenecherotich497525 күн бұрын
Thanks for dah new simulix bro felex ❤
@zenaathumani814425 күн бұрын
🌹🌹🥰
@user-or6eo6qj8b25 күн бұрын
Kitu kipyaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AishaOthumani-xq4ec25 күн бұрын
Nzurii sana 😊
@SHIJA_25 күн бұрын
hongera sana bwana Hans masleen
@Feisalmatandula25 күн бұрын
Wale wakichawi🎉🎉🎉🎉
@hasamsaid457825 күн бұрын
Kitu kipya 🎉🎉🎉🎉ahsnt simulizi mix ❤❤
@aminamhina912925 күн бұрын
Nice
@simongshayo467825 күн бұрын
Mwika Mamsera Rombo kote huko ni nyumbani hatimaye story imepitia kitaa chetu
@SimuliziMix22 күн бұрын
Na sasa upo huko ama?
@EmmanuelElemba-zp9vr25 күн бұрын
Kitu kipya hicho na kaka felix mwenda😂😂, kaka felix ww ni mtaalamu sana wa kusimulia yan, Nakukubal ile kinoma yan One day nitakutumia hata 10k ya maji 😅😅😅
@kassimkibwe461416 күн бұрын
Unachonifurahisha Mjukuu wangu F Mwenda, unapoiga misemezano ya wahusika, unapoiga maongezi na sauti😂😂😂😂😂😂😂😂😂