Sehemu ya Pili ya MREMBO KIPOFU iko Bure kabisa SmixApp kudownload SmixApp bofya hapa play.google.com/store/apps/details?id=com.smixapp.epublish
@rehemarehema11453 жыл бұрын
Vp bikira ya bibi harusi sehemu ya tatu apa youtube mbn mwatulenga
@MishiJuma-vn6lm3 жыл бұрын
@@rehemarehema1145 dasangu mjona zipo zote hadi mwisho
@immaniamma62383 жыл бұрын
Ooooooooooooiiooooooiooioo9oooo
@immaniamma62383 жыл бұрын
@@MishiJuma-vn6lm aipo sehem ya3
@sherrymamakeboiz22563 жыл бұрын
Ndio huyo captain wa sauti from Simulizimix...felix
@ashredyashredy92833 жыл бұрын
Weweeee moto mwingine huu hapa jmn kelele kwa simulizi mix,edgar mbogo na Felix ❤
@hffvchgff15933 жыл бұрын
Asanti Sana kaka felix,,nipo Bamba kwa Bamba,,funzo uneza ishi na jambazi na hujui,,kipofu mrembo duh,, wazazi wa rehema watauwawa sasa,, asanti Sana kaka felix
Napenda sana usimuliaji wako kaka felix,,,asanteni sana simuliz mix kwa simuliz zenu nzur
@hasamsaid40833 жыл бұрын
Waoo😊😊 AHSNT sana bro EDGAR kaka Felix saut ya dhahabu leo tupo na MREMBO KIPOFU safi sana kaka tupo pamoja 💃🔥🔥
@kimzymamy65943 жыл бұрын
Asntee snaa simulizi mix pamoja na mtu wng felix🥰🔥🔥🔥👌
@hebronsdaughter16613 жыл бұрын
Hii nayo yaanza na 🔥🔥🔥hongereni sana wana simulizi mix
@husnashindano11923 жыл бұрын
Mungu wangu weeeeee mbona nimechelewa na simu nimekuwa nayo mkononi jaman 😔😔ahsant Sana Simulizimix ✌️ ✌️✌️ ✌️ ✌️ 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@pilikhamis29243 жыл бұрын
Jamani we maashaallaah hongereni sana wa tunzi na wasi muliz hakika mko vzr sana mung awabarki sana mko.vzr haswa
@aminaemmy94143 жыл бұрын
Mm wangapi yaani hahaha acha nipate mariam mieeee
@chinchillahjohn25583 жыл бұрын
Mambo ndo kama haya huhuhu braza Felix na simulizi mix mollah awape uzima na afya, dua zangu
@nibigiramwajuma79253 жыл бұрын
Asante sana felix mwenda na mkali wetu edgar mbogo kwa kitu kipya mbarikiwe sana
@surealfredkabasa45183 жыл бұрын
Mremboooooooo........!!
@winfridaphilemon81653 жыл бұрын
Shukrani kwa simulizi mpya 💓 Imeanza na 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kweli kweli 🤝👌👌
@maryambakari48583 жыл бұрын
Woooooooyoooooo nimefurahi sana shukran sana felix nakupenda bure
@themagadir3 жыл бұрын
Simulizi ikisimuliwa na mwanangu Felix! Hebu nitulie nisije muhusudu mimi mwenyewe... May Allah curse any evil eye towards you. Ameen
@tauhidasheha11183 жыл бұрын
Bikira ya bibi harusi vipi jamanii
@user-qg2sw9bj2i3 жыл бұрын
Ukijibiwa kunywa soda nakuja kulipa
@fatmas73383 жыл бұрын
Tau najua una hamu ya kujua kama mona kama kaliwa na kitumbua au bado 😀😀😀😀😀
@johnkerrysibomana90623 жыл бұрын
Inawezekana huyu Tensia ni Binti yake Jensen na Tina,maana naona amerithi upiganaji
@KhadijaKhadija-uc2uw3 жыл бұрын
Hahahaha
@Allyjunior43933 жыл бұрын
Nakubali mzigo mwengine huu
@ebasombaraymond94753 жыл бұрын
Hii ni story ambayo imenigusa sana
@cheupeomarijasho7483 жыл бұрын
Kelele moja kwa smix weuweeeeee felix 🔥🔥🔥🔥
@mercyelijah71703 жыл бұрын
Wow! !! shukran sana kwa kitu kipya
@ummubilaalfatma85292 жыл бұрын
Mashaa Allaah...Mashaa...Allaah...kusema la ukweli...mtu akifatilia kwa makini...mtu yuwapata somo la kimaisha.
@tauhidasheha11183 жыл бұрын
Ahsante edgar na felix wake, hadithi tam hii balaa nishaisoma yote lkn na hapa siwezi kuikosa na hasa kwa msimulizi wangu pendwa Felix, Eddy hajawahi kuwa na kazi mbovu, salute kwako broo
@cosmasdaudgwemela60465 ай бұрын
Ukweli edga mbonga hajawahi kuniangusha kwenye uandishi wake hasa akishika Felix mwenda Huwa napenda pia anasimulia Kwa hisia kweli
@shuubinty14473 жыл бұрын
😂😂😂Ebu niulize tu jmn uyu EDGAR mwenyeji wa songea eee maan simulizi zake zote ni songea tu🏃♀️
@asiakinia93443 жыл бұрын
Namm nilitaka kujua ilo maana cmulizi zootee songea tu 😂😂😂😂😂
@KhadijaKhadija-uc2uw3 жыл бұрын
Nahisi wa huko
@mudyrashid91613 жыл бұрын
Itakuwa ndio kwao huko!!
@salimalaquimane26403 жыл бұрын
Kwan kuna shida gan sie wa kunyumba bhana
@maryamevarista94733 жыл бұрын
Baba mavoic ndani ya smix felix mwenda 💯💯💯😍🔥
@mkataumebenard21953 жыл бұрын
Nimeipenda nimdau wamuda mlefu sana
@salimalaquimane30772 жыл бұрын
Nme irudia tena so Amazing
@marthajohn91202 жыл бұрын
Shukrani sana kwa simulizi mpya
@bingwa40393 жыл бұрын
Bombambili songea ndonapo tokea ,
@ngowasaidi13653 жыл бұрын
Mambo tayari kumekuchaa 👏👏👏👏🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
@zaqiamhando65222 жыл бұрын
Kwani kuirudia sh ngapiii😄hii simuliz ni kibokooo
@nellymwangilwa42883 жыл бұрын
Nimemshangaa Felix Sana Ile simulizi ya yasinta waniliza alitia huruma sana kweli Felix masauti nimekusalute
@raphaelmganga3743 жыл бұрын
Wewe kaka felix wewe usicheze na kiapo cha damu ule ulikuwa motoo wa kuotea mbali bwana Jensen.
@khaijajumanne13173 жыл бұрын
Nimeipend San jaman
@marobawambura573 жыл бұрын
Hongera mbogo
@davidadabanzi7583 жыл бұрын
Shukrani sana kwa iyi kitu
@devothadesdely39303 жыл бұрын
Story zote uwe unasimulia wew
@ahmedhamisi-jc2hs Жыл бұрын
Yes nice one
@ummusulaish55863 жыл бұрын
Asanten kwa kutujali na kutuwekea kitu kipya 🤩🤩🤩
@umisidi18163 жыл бұрын
Tumefika asante simuliz mix
@buguzazuberi39963 жыл бұрын
Aisee hii simulizi niliidharau kwa hio heading yke.....kumbe bomba hivii big up edger mzee wa vitumbua.
@asiakinia93443 жыл бұрын
Broo edga mbogo ujawai kutuangusha kabisa ktk kz yako na mzee baba Felix mwenda tu naanza safari yetu mdg mdg 😂😂😂💃💃💃
@mamakebritney9663 жыл бұрын
Fundi wa simulizi karejea 🔥🔥🔥🔥
@fatmass61253 жыл бұрын
Kwa Mara nyengine Tena tuko pamoja👍
@KhadijaKhadija-uc2uw3 жыл бұрын
Nilivoona mrembo kipofu nilijuwa imerudiwa kumbe jina ni moja ila mambo ndan tofaut
@elishaedson50423 жыл бұрын
Haiji kutokea mtu yoyote awashinde
@Amanaoman3 жыл бұрын
Kitu kipyaa 🙏🙏🔥
@bahatihassan1723 жыл бұрын
Shukulani kaka ake mungu akubaliki sana oooo yoooooo mwakahutu nikunenepa
@fatmafuraha79243 жыл бұрын
Shukran simulizi mix Edgar Mbogo Na Mzee wa Masauti 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@zawadyabdalah28353 жыл бұрын
Weweeeee
@emillianacyprian44073 жыл бұрын
Simulizimix mko vzur sana ad nataman kuwa mwanasanaa jmn🤓🤓🤓
@kasamsetiger69313 жыл бұрын
😆😆😆unavituko eti ndugu ugali akibaki nyuma😆😆😆😆😆🔥🔥🔥
@bbrsssaad1282 Жыл бұрын
Yani mm hua nazirudia tu mana ni tamu sana
@latifahjamal29993 жыл бұрын
Pamoja broo felix 😘
@fatmas73383 жыл бұрын
Upo ww
@mudyrashid91613 жыл бұрын
Nakuona!!
@latifahjamal29993 жыл бұрын
@@fatmas7338 nipo kipenzi 😘
@latifahjamal29993 жыл бұрын
@@mudyrashid9161 😀😀 shikamoo bamkwe..
@mudyrashid91613 жыл бұрын
@@latifahjamal2999 Mariaba mzima lakini??
@dannyelias3823 жыл бұрын
Hapo sas 🔥🔥🔥
@latifahjamal29993 жыл бұрын
😉😉
@dannyelias3823 жыл бұрын
@@latifahjamal2999 nimeku wai dear
@latifahjamal29993 жыл бұрын
@@dannyelias382 naona 😆😆
@ziadaonesmo56963 жыл бұрын
Dah huu ni 🔥🔥🔥🔥🔥 mwingine
@mwanaishayusufumwanaishado67353 жыл бұрын
Felix unapenda Songea sijui ndo kwenu au ndo sehemu ambayo umekalili vijiji 😁😁😁
@zahrababygarl15683 жыл бұрын
Mtunzi ndo anatunga 😂😂😂😂Felix ye anapenda mbagala
@ummusulaish55863 жыл бұрын
Pamoja sana kaka Tuko pamoja sana
@echawekab379611 ай бұрын
Imenibidi nirudie kusikiliza
@rahimasaid36743 жыл бұрын
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Seraphinembila19943 жыл бұрын
Tuko pamoja kutoka 🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧 Manchester
@zawadyabdalah28353 жыл бұрын
Tensia kafanana na Jensen 🧐
@shangwekamando25993 жыл бұрын
Nilipitwa huko bomba mbili felix anapapenda
@shangwekamando25993 жыл бұрын
Halafu edgar mbogo Ach Sifa kila.siku tu utamu
@saay42733 жыл бұрын
Asanteeniiii sana
@mwagotimwanamvua58833 жыл бұрын
Mambo ni fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@user-ki2tp8wj6w3 жыл бұрын
Nice
@ammarsaid90523 жыл бұрын
👍👌
@jessicanaome353 жыл бұрын
Kiukweli Hadithi hii inapendeza lakini inaonekana ina uchungu
@Ddk1893 жыл бұрын
big up sanaaaaaaaaaaaaa my brother
@kasamsetiger69313 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@issaomary88363 жыл бұрын
Iko poa kk simuliz
@rahmamfinanga72322 жыл бұрын
🤸🏋️🏋️🏋️
@salmakea77973 жыл бұрын
Yani nimedhani ni kiapo cha damu daah asanteni sana
@bnussrahlimsantah37303 жыл бұрын
Haya twendeni nayo
@rizikiali3423 жыл бұрын
Nimechelewa kukometi jaman asanten wapenz wangu
@surealfredkabasa45183 жыл бұрын
Kwani mama chaudele hajafka huku jamani.....!?
@hasinaali47613 жыл бұрын
Kumekucha simulixi mix edi hoyee felx hoyee
@abdalahasssni47593 жыл бұрын
Asante
@stellanjoka40943 жыл бұрын
On it 🔥🔥🔥🔥
@saay42733 жыл бұрын
huhuhuhuhuhuhu watu wamelalaaaa
@zubydazad76463 жыл бұрын
Hatar sn
@salmepoul44523 жыл бұрын
Tupo pamoja kk felix
@mwajumatwalib2603 жыл бұрын
Shukran
@geraldtheboxingcoach3 жыл бұрын
Simulizi poa sana
@geraldtheboxingcoach3 жыл бұрын
Lkn malizien bikra ya bibi harusi
@ummukulthumameir69923 жыл бұрын
Wooow
@user-jk5ir4ke3z3 жыл бұрын
Mh masikin asanteni sana
@saay42733 жыл бұрын
wakwanzaaaaaaaaaaaaa
@ayshachondo90903 жыл бұрын
Napend sana simuliz zako
@Winniequinepretty-wm7rr11 ай бұрын
😢😢
@mwadiabakari2563 жыл бұрын
💓💓
@sarahsarah49193 жыл бұрын
Asateni Sana simlizi mix
@salhakristina94343 жыл бұрын
Asante simulizi mix
@latifahjamal29993 жыл бұрын
Jensen kuja sasa. Umenifunza kupambana na mimi leo nimekuja kulipa kisasi 😂😂😂😂
@fatmas73383 жыл бұрын
Kwaio unataka kutwambia huyu mwanamke ni ww
@jamilashabani85803 жыл бұрын
Haaaa Jensen katokeaa mara mbili eeh kama kisona alivyotokeaa katika simlizi mbili eeeh. Amaaaaa
@latifahjamal29993 жыл бұрын
@@fatmas7338 katika simulizi kali kama hizi lazima kuwe na team 😂 ndio mimi huyo. 🤪 Jensen amekua afande kwa sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣