Kwa sababu ni kaka Felix Mwenda ndo naisikiliza leo japo wenzangu washasikiliza miaka 3😢 ila sasa inanoga utadhani imetoka leo😂😂😂❤❤❤ nakupenda kaka FM🌺💪🔥🔥🔥
@fatmafatima97673 жыл бұрын
Nimzur sana😁😂😍😍😍😍😋😋😋
@shangwekamando25994 жыл бұрын
Udugu wangu felix Mungu akupe miaka mingi yenye heri na baraka tele na mafanikio yako na ya Familia yako
@sweetymanka48213 жыл бұрын
jaman kwan simuliz mix ilipoteleaga wap 😢😢😢jaman. felix hans
@khadijamohd22993 жыл бұрын
Kaka Felix unasimulia vzr Sana Mungu akaubariki
@elishaedson50424 жыл бұрын
Asante FELEX mwenda na simulizi mix
@eliajohn79252 жыл бұрын
So interesting felix
@ltlmedia84804 жыл бұрын
Hujawai kuniangusha mzee baba keep it up
@asmarajabu50454 жыл бұрын
aigoooooooo....#ni_simulizi_mix__pekee💞💜💓
@lavenalol59444 жыл бұрын
Asante kaka felix simulizi hii zuri sana na nimeipenda lakini itabidi nilale na taa inawaka maana ile ndoto ua chatu duuu, sumbawanga hapana chezea
@rukiaomari49674 жыл бұрын
Nyumb yang mpya sumbawanga 😘😘😍 nakuelewag mm mwenzio kak Felix❤❤
@SimuliziMix4 жыл бұрын
Nakukubali Rukia💜
@happyluka3284 жыл бұрын
Daaah hakika kaz zenu n njemaaa voko yako2 aichosh kusikiliza BG up kaka Felix mwenda
@winfridaphilemon81654 жыл бұрын
Present 🙋🙋 Shukrani brother Felix 💝💖
@SimuliziMix4 жыл бұрын
❤
@sosolyciousjr5763 жыл бұрын
Nzuri
@jznciss95674 жыл бұрын
Yani apa ndo nawapendeaga kila kukicha vitu vizur vizur tu❤️
@tamaraseff.97073 жыл бұрын
Uyu dude ako shwari kusimulia mikasa.hongera felix
@omaryasmah49904 жыл бұрын
Duuuu Asante Ila twasubiri Tina jomoni
@shalmasshalmas71754 жыл бұрын
Jamani mimi simulizi mix bila felix kwangu haidogi😀
@SimuliziMix4 жыл бұрын
Nakupenda💜
@ashrifaabdalla38683 жыл бұрын
Sio www t at mmm hainogi na sijiski kabisaaa km sjaskia saut y filix wang jmn
@ashrifaabdalla38683 жыл бұрын
Napenda simuliz asimulie yy
@happytimpiyian13474 жыл бұрын
Felix barikiwa sana kaka yan mungu akupe afya njema maana unakipaji cha kipekee kwel 🥰🙏
@omarkhalid27663 жыл бұрын
Aisee lete nyengine kama
@sweetaromakitchen81944 жыл бұрын
Number one fan,ngoja ncklz uhondo,mweny jina langu khadeejah
@SimuliziMix4 жыл бұрын
💜
@alexshoo15684 жыл бұрын
asanteni sana simulizi mix kwa simulizi zenu nzuri sana
@ladhiakipala20783 жыл бұрын
Npendga unvsimulia
@thuwaibaabdallah35154 жыл бұрын
Mh mambo ss ya nataka yaanze asante kk felix
@ashuraussein75823 жыл бұрын
Nilikua nakitu ca mwaka siskii simulizi zako braza🤣Asante na enjoy
@aminaomary49474 жыл бұрын
Story tamu sana, tuletee na muendelezo wa siri iliyotesa maisha ya Tina season 2
@jimmymeshack93384 жыл бұрын
Mzee Baba Baba
@SimuliziMix4 жыл бұрын
Mkubwa wangu wa Kazii✌
@jimmymeshack93384 жыл бұрын
umetisha sana mzee baba Hivi ninyi duuuh aise mumeteka hakiri za wengi mzee baba milele pamoja sana ....!!!👏👏💪💪
@khadijamzee27394 жыл бұрын
Mtunzi wa hizi horror stories is super good!!! Zingepata director akatengeza movie ..#maoniyangu
@kigotymeentertainmentkigoy48584 жыл бұрын
Hatuna technology hiyo ila kutunga tunatunga shida zipo kwenye editing
@fivebrothers33664 жыл бұрын
Woooow Safi kaka
@user-ki2tp8wj6w3 жыл бұрын
Nice
@SimuliziMix4 жыл бұрын
Tina Season II inaendelea Baada ya Kuimaliza hii yenye Eps 4 pekee. Tunataraji Itakua ni Weekend Hii.
@zephaniahrugo21114 жыл бұрын
Kaka ahsante na hongereni kwa kazi nzuri mnatufanya tuwe na furaha muda wote...Mungu awape nguvu na maono meng
@mremmrem67544 жыл бұрын
Sawa tunasubiri kwa hamu
@fatumamngumi20694 жыл бұрын
In sha Allah
@umisidi18164 жыл бұрын
Asante sana maan wakati mwengine huwa tumezimia roho tukisikiza simuliz hizi huwa zatufariji
@mremmrem67544 жыл бұрын
@@umisidi1816 haswa mm ndo ninapopata faraja asante sana kaka felix
@franklineshidende42154 жыл бұрын
Hatimaye🤩
@isackisack98334 жыл бұрын
safi sana felix, ila tunaomba siri ya maisha ya tina season 2
@ireenkabana99903 жыл бұрын
Mzee nakubareeee unajua kutunga simliz nzuri
@princessshuu8004 жыл бұрын
Thanks kaka Felix 💓💕👌
@jumahusen29813 жыл бұрын
Daah! Inasikitisha
@espererancesudi76002 жыл бұрын
To be continued
@gullaalex65904 жыл бұрын
Mmmh ii nayo n 🔥🔥🔥
@nibigiramwajuma79254 жыл бұрын
Asante sana felix kwa burundani za simulizi
@foscanekesa80674 жыл бұрын
Asante sana kwa simulizi Nzuri felix ebu niulize season two ya msitu wa gwizulu imo wapi
@mariamshabani11384 жыл бұрын
Asente sana kaka felix
@DestinysChild-nn7ug3 ай бұрын
❤
@saay42734 жыл бұрын
Asante sana
@mwanah36433 жыл бұрын
Thx brother felix mwenda 😘😘
@umisidi18164 жыл бұрын
Asante simuliz mix na anaye tusimulia felix tuko pamoja