MR HOUSE AJIBU SAKATA LAKUITWA YEYE FREE MASON JE NIKWELI MR HOUSE NI FREE MASON?

  Рет қаралды 2,229

Sanuka Media

Sanuka Media

Күн бұрын

#dotomagari #issatambuu #nyumbazakisasa

Пікірлер: 27
@danyhas8947
@danyhas8947 Ай бұрын
Ukisimama na lailahaila llah utafanikiwa nimependa sana ❤❤
@Maryam-j1d6u
@Maryam-j1d6u 4 ай бұрын
Brother huyo msimseme sana yaani huyo nguvu zake mwenyewevmpambanaji sana tena sana anafaa kuigwa kwa utendaji wake wa kupambania maisha na mungu umuzdishie zaidi maana ajituma kutwa na majumba ya watu hongera sana kaka Ang ❤️❤️❤️💘
@mohammedymohammedy5161
@mohammedymohammedy5161 4 ай бұрын
Somo Baraka laah fikha!unaenda vizuri ila usionyeshe mafanikio yako kuna husda kama ulivyosema zingatia hilo Somo
@victorterry227
@victorterry227 4 ай бұрын
Big up ma home boy
@LailaLaila-kg2qd
@LailaLaila-kg2qd 4 ай бұрын
Mh jmn msituchafulie fundi wetu
@cheetahtz6566
@cheetahtz6566 4 ай бұрын
Top 🎉
@Beatrice55-h4l
@Beatrice55-h4l 4 ай бұрын
Kijana anajituma sana mimi binafsi namkubali sana. Chapa kazi hachana nao hao
@NahirSaid-wj6ux
@NahirSaid-wj6ux 4 ай бұрын
Tunakupenda nko dubai nitakutafuta.
@asa121amenahtanakshfrombur5
@asa121amenahtanakshfrombur5 3 ай бұрын
Tunakusapoti mungu mbele
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 4 ай бұрын
Jamaa anapambana sana
@Majambo_Duniani_Tv
@Majambo_Duniani_Tv 4 ай бұрын
Jamaa anapamban sana acheni usenge babu...
@fanni-ck6do
@fanni-ck6do 4 ай бұрын
HE IS HARD WORKING BUT HIZO ALAMA SIO NZURI NI HARAMU
@tiffahjuma1970
@tiffahjuma1970 4 ай бұрын
Ila iman yngu mbn km hainipi km huyu Mr House frimason 😢
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Күн бұрын
Huyu kaka anajituma bwana acheni ufyetele
@Latifa123Latifa12
@Latifa123Latifa12 3 ай бұрын
Ukiwa na mafanikio lazima uonekane mchawi
@Yusufu940
@Yusufu940 4 ай бұрын
😮bro wanakuzushia mabaya sio watu wachezi wezako Wana wivu
@avelinafurahaoisso5491
@avelinafurahaoisso5491 4 ай бұрын
Freemason wametoa wapi hela?wananjaa kama wenginee😏
@CondoRamadhancondo
@CondoRamadhancondo 4 ай бұрын
Aa uyo jamaa mpambanaji namkumbuka alishauza chapati apa malamba mwisho
@Yusufu940
@Yusufu940 4 ай бұрын
Kwa nn kaka Una weka numba Iyo na namba sura mara tatu ww mtoto waki Islam kwa nn usiweke Izo na logo ya Kazi tu baba Iyo apo Africa awa Amini futa Kazi inakwenda baba
@HaidariAlly
@HaidariAlly 4 ай бұрын
Babu achana nao hao wewe pambana tu vijiba vya roho hao
@Latifa123Latifa12
@Latifa123Latifa12 3 ай бұрын
Anapambana huyo
@ابوذر-د8ك
@ابوذر-د8ك 4 ай бұрын
Mambo mengine kama sisi waislam tunatakiwa kujiepusha nayo kwamfano Kama hilo fuvu na hizo sita sita kuna kauli ya mtume sw amesema tujiepushe na shubuhati na shubuhati humpeleka mtu moton
@zainabmohamed51
@zainabmohamed51 4 ай бұрын
Unapokua muaminifu mambo yako yanaenda vizuri uaminifu ndio ngao kubwa dili anazofanya ni kubwa ila watu hawaoni
@aishaomar3298
@aishaomar3298 Ай бұрын
Unataka kumpigisha aibiwe
@emmanuelmmbaga5209
@emmanuelmmbaga5209 4 ай бұрын
Hapo huwez mdanganya mwerevu.... Logo with 666 without meaning.... Huyo kajiunga bila shaka, 100% hali ni ngumu sana, nyakat hiz za mwisho, huwez pata kwa ulahis hivyo mali kwa miez 6.. Watu nyakat hiz wanahangaik sana, wanaenda KOKOTE IL tu wapate mali.
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Күн бұрын
Acha ushetani mbwa wewe
@Latifa123Latifa12
@Latifa123Latifa12 3 ай бұрын
Mwambie had makande
Beyond the Debate | Dr. Zakir Naik | 142
3:14:33
بودكاست بدون ورق
Рет қаралды 1,2 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 46 МЛН
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
Quiet Night: Deep Sleep Music with Black Screen - Fall Asleep with Ambient Music
3:05:46
UI/UX Course | UI/UX Free Course | UI/UX Training | Intellipaat
3:34:54
سورة البقرة كاملة رقية للبيت, علاج للسحر - القارئ علاء عقل Sourate Al-Baqara
3:52:00
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 46 МЛН