Hongera rais wetu samia mbeya hatukudai bara bara njia nne zilianza kupigiwa kelele toka kipindi cha rais kikwete. Namkumbuka mbunge sugu na mbunge viti maalumu merri mwanjelwa kipind kile cha kikwete walivyokuwa wanazipigania hizo barabara njia toka kwa kikwete maraisi wote hawakitekeleza huu mradi lkn mama tena mwanamke ndiye umeweza na mbunge wetu tulia mumeweza kweli wanawake mnaweza
@fredmwaipopo33876 ай бұрын
Asante kwa Tarrifa atakama sio kwa udani sana,naomba kwa undani
@mathiasmathiasjoseph17326 ай бұрын
Asahnt sana kwa tarifa
@tonyaron11946 ай бұрын
Tunashukuru kwa kutuletea hiyo Taarifa wengine tupo mbali na jiji letu tunapenda kujua maendeleo ya mradi huo maana ni muhimu sn hiyo barabara kwa faida ya Wana Mbeya ili waepukane na ajali zisizo za lazima, lkn pia ni kufanya mji wetu upendeze maana ni jiji lkn haufanani na majiji mengine nchini
@alenyema5 ай бұрын
Ila serikali mmmh badala barabara ianzie Airport wameamua ianzie ifisi.., sasa km 1 Kufika airport
@godlistenmnkeni24544 ай бұрын
Barabara ya njia nne inaanza Igawa mpaka Tunduma. Hicho kipande cha mjini wanakiharakisha kwa ajili ya uchaguzi
@alenyema4 ай бұрын
@@godlistenmnkeni2454 wakitengeneza ya igawa ti Tunduma aisee safari itakuwa nzuri mno