Magufuli amefanya Morogoro kuwe karibu sana na Dar. Mungu amsamehe zambi zake. Ni kiongozi bora kuwai kutokea Afrika
@rayisadesigns2646Ай бұрын
Ni kweli mwamba alifanya kazi kubwa hapa Tanzania lakini Gaddafi aliyeisaidia Afrika nzima unamuweka wapi?!
@DavidSemu-gu6wpАй бұрын
Na wamfano.
@isackrichard6356Ай бұрын
Wewe alikusaidia?@@rayisadesigns2646
@karafuunanazi1701Ай бұрын
Heko kwako ndigu Masanja Kungu Kadogosa na timu yako kwa kazi nzuri. Amani upendo umoja na maendeleo kwa mama Tanzania
@zachmaselle6635Ай бұрын
Marehemu JPM alilizungumza kuhusu mabehewa na aliiagiza alisema " isije ijafika reli ikon tayari mabegeqa hakuna* ndipo mkataba wa kununua mabehewa zaidi ya 1000 ukawekwa. Kwa uchspakzi wa watching. Sidhani ingechukua muda wote huu mabehewa kufika. Tunaojichelewrsha ni sisi wenyewe. Tutasingizia vitus binging Virginia. Walaji ni wengi kuliko wachapa kazi.
@skymack.internetАй бұрын
kipande cha kwenda mwanza amutuonyeshi wakandasi kakikishuhulikia
@DavidSemu-gu6wpАй бұрын
Hiyo BRT lot 2 imekamilika muda mrefu tu ila mabasi ndio mpaka desembar jamaa wa Scania wameonyesha mabasi mazuri sana na always magari yao ni durable ila hapa pengine anasubiriwa mchina alete maboksi yake ya mkopo mwaka mmoja tu nusu haya tembei
@mussamussa8181Ай бұрын
Magufuli aliagiza kila kiyu korea ila wappigan wakaamisha ujeruman saiv imekua china...nyie daaaaa RIP JPM
@MgasaEmanoeliАй бұрын
Nadhani huu mradi waachane na wazee Madereva-Wazee Mafundi -Wazee Vijana ndio kila kitu ndio nguzo ya Taifa
@UnitedAfrica-uw9ctАй бұрын
Ukiweka vijana kila sehemu , utaharibu sasa hivi , kuna position za vijana, kuna position , inabidi, wakae watu wenye busara na uzoefu
@ndayakilaАй бұрын
Vijana wako shuleni; wajifunze kwanza.
@SangaadamАй бұрын
Vijana gani hawa wenye haraka ya maisha na tamaa rukuki....Acha Wazee wawafundishe kwanza wata-adapt kidogo kidogo.....
@jeremiaaugustino7187Ай бұрын
Kukata Ticket Madocument mengi sana kwa wazawa
@Patriot_kenyan22 күн бұрын
Wakenya tunaombea hizi trains ziharibike. Mkizubaa tu we will incorporate Rwanda into north corridor SGR
@valerianrwebandiza754Ай бұрын
Maendeleo ya lot 3, 4, 5, & 6. Please, please, please.
@Robert-p7c1kАй бұрын
Documents zote hizo kwa ajili ya ticket ni upuuzi tu. Hii iko Tz tu😂😂😂
@martinmhando2079Ай бұрын
nyimbo kama hizi ni sawa sio akina dimond nyimbo za uchawa tu mama mama wakati hiyo reli imejengwa na kamanda magu😅😅
@IssaRashidiRashidiАй бұрын
Eng. Kadogosa hebu siku moja jaribu kuleta historia ya nchi kiusafiri wa reli. Nakumbuka pale stesheni ya Dar kulikuwa na kichwa kinachotumia makaa ya mawe, nilipata kukiona wakati treni ya Mwakyembe ilipoanza. Jaribuni kukikokota siku moja mkipitishe maeneo ya Dar kwa maonesho. Kama bado kipo. Watu wajue tulikotoka.
@omarybakunda2554Ай бұрын
Hongereni sana.
@AbelnegoPhilimon26 күн бұрын
ILA SPEED YA UJENZI KWENDA MIKOA MINGINE MKO SLOW SANA
@Sheba938Ай бұрын
Napenda hiyo nyimbo sana
@gervasally6979Ай бұрын
Tunaomba serikali baada ya muda fulani waongeze reli ziwe za kupishana..
@donking-d4tАй бұрын
Kwani umeskia hayaezi pishana?
@HappyatHome-bn8wmАй бұрын
nchi inaenda
@EmanuelMuna-w2qАй бұрын
Sasa wewe Ndg. Eng. Kadogosa ni kweli mmetuaibisha sana kwa kujenga jengo la hovyo na la aibu sana kuwa kama makao makuu ya shirika la reli Tanzania (TRC). Kweli hii ni aibu kubwa sana kwa kujenga jengo la TRC lionekanavyo kama ma-container (makasha) ya wezi na maharamia wahamiaji. Hii siyo heshima kwa shirika letu kubwa, nguli, kisiki na kongwe sana hapa Tanzania. Hivyo, sisi watanzania asilia wenye upendo mkubwa na endelevu sana hapa barani afrika tungependa sana kuona jengo jipya kubwa na la kisasa sana litakalokuwa na sifa ya kuwa jengo bora na kubwa sana kuliko jengo la mamlaka ya bandari Tanzania. Kama mmeshindwa kujenga Dodoma, basi sisi tutajenga jengo jipya la makao makuu ya TRC pale mjini Itigi, Singida, Tanzania
@KhalidiMoshiАй бұрын
Mradi wa sgr lot 5 umesimama kazi hakuna huku
@valerianrwebandiza754Ай бұрын
Sasa naelewa kwanini wako kimya. Wanaongelea tu lot 1& 2.
@kisrahcogar8538Ай бұрын
Hawana mikopo 😂😂
@eyezarc1239Ай бұрын
This mega national projects should not be left to be led by these retired old men, there are a lot of young men and women out there who have potential to make positive impact on the project rather than depend on old people with old thinking capabilities…
@mussamussa8181Ай бұрын
Na ndo mana magufuli aliwakomoa kufanya dar dom af akaruka akaenda mwanza alijua utakuja kusimama hui mradi....ila kwa alicho fanya ata wale pesa kias gan wataonganisha wapende wasipende.mana wataona aibu na asilimia wanazo zitajaga...😅😅😅😅
@KhalidiMoshiАй бұрын
@@mussamussa8181 kwel kaka hapo magufuli alitumia akili saana la siivyo ingeishia dodoma tu
@albanymsoffe4002Ай бұрын
Sijaelewa kwani, phase ya tatu siilisha anza kujengwa mnazunguza nini tena????
@benmuberwa2092Ай бұрын
Inaonyesha ujenzi kwa kipande kati ya Makutopora na Tabora umekwama
@HajiKlein-so1rkАй бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🦸👋
@DavidVenance-u9nАй бұрын
Nauliza namna ya kulipia nauli kwa njia ya oneline
@StephenMJohn-hx8guАй бұрын
Mbona kichwa cha habari haieleweki vizuri? Hariri tafadhali 'MAANDALI PA"
@RuthMkorota-y5tАй бұрын
Kabisa.. weledi katika tasnia ya uandishi wa habari ni kama unazidi kupungua. Mwandishi anaandika taarifa anashindwa kuhariri kama yupo sahihi au hayupo sahihi. Hii changamoto inazidi kuwa kubwa.