Namtuma mtu kutoka Morogoro anakutumia elfu 50000. Pole sana tuombe watu wazidi kukuhurumia Asante na wewe mwandishi unavyozidi kumtembelea ndio watu nao unatia moyo was kumkumbuka huyu mgonjwa na kumsaidia ubarikiwe
@najmaulaya88192 жыл бұрын
Ubarikiwe sAna kaka
@TheSalma19992 жыл бұрын
Asante sana Mungu awazidishie amina
@catherinekihengu24202 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana
@najuf80212 жыл бұрын
Alhamdulilah namshukuru Allah kwa afya nauzima anaonijalia kila siku pia Allah awafanyie wepesi woote wanaopitia maradh namitihani mbali mbali
@kiri58072 жыл бұрын
Allahumma Amin
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Amyn🤲
@jazeerajuma50142 жыл бұрын
Aamin thumma aamin
@husnab27652 жыл бұрын
Amin🤲
@omarmuya48192 жыл бұрын
Amiin
@zainabubalama88692 жыл бұрын
Pole Sana kaka angu usikate tamaa mtangulize sana Mungu. Tunawaxhukuru wote mliomchangia Huyu Kaka Mungu wazidixhie palipopungua pia tunawaxhukuru sana Maximum TV kwakutuletea Mrejexho MUNGU awabariki sana Zahir na team yako 🙏🙏
@mwajumashabaninakupendasan52652 жыл бұрын
Pole sana kakangu munguatakuafu dusinapesa ningekuchangia ilanakuombea dua sana
@janemuthoni7232 жыл бұрын
Waaa aki mwanaume mzuri tu handsome anakosa family ya kumsaidia,wanawake wengine sio wa ndoa ni wa kuolewa na pesa za watu
@reginamanyangu7258 Жыл бұрын
Mungu ampe wepes
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Yani hapo alipo angekuamtu anaishinae hapo asingekua na mawazoya kuziidi Allah akufanyiewepesi kaka utapona lnshaallah. ........ Ndugu jamani ebu muoneeni huruma nduguyenu mnarohogani nyie vibaya Mungu anawaona na atawalipa lnshaallah
@sabihahamadi22872 жыл бұрын
Mtihani pole kaka yetu mwenyezi mungu atakuwafu ishaallah
@ummySheikh722 жыл бұрын
Huyu ni mgonjwa kweli, ila mambo yake ni ya gharaama saana. Mama samia msaidie huyu kaka sisi wanao hatuna
@ayoublamesi63472 жыл бұрын
Pole kaka.mtangulize mungu utapona .Ila naomba nikushauli unapoendea na matibabu ya hosipitali nakushauli nenda kanisani kwa mtumishi mwamposa ukaombewe wengi wamepona Kule kaka
@shuwanaliloka3816 Жыл бұрын
Pole sana.
@florarwegerera80252 жыл бұрын
Pole kaka, jitaidi kupunguza mawazo hiyo hali inasababishwa pia na msongo wa mawazo
@saidasimba99792 жыл бұрын
Nmh pole sana
@floranceluqman29512 жыл бұрын
Hivi kwanini ndugu waliamua kukaa mbali na huyu kaka wa watu jaman watu tunajisahau sana yaani ndugu wa damu wanakutenga kama hawakujui eeeh Mungu mponye huyu kaka wa watu
@husnab27652 жыл бұрын
Familia zetu za saiv kwma huna kitu hawakujui
@floranceluqman29512 жыл бұрын
@@husnab2765 Daah Mungu aninusuru na hiyo roho ila binafsi siwezi mwacha ndugu yangu ateseke mwenyewe bila kumsaidia
@pendoyese44522 жыл бұрын
Pole Sana kakaangu mungu akupiganie
@aishashaibu47722 жыл бұрын
Pole sana kaka mungu ataleta kher
@wemamanikana97912 жыл бұрын
Pole sana, ila huyu nadhani anahitaji maombi, ingawa anaenda hospital lakini angeenda kuombewa kanisani
@margarethsaramaki3966 Жыл бұрын
Mimi nitacheck na binti yangu ili aweze kumpeleka kwa Nabii S S Rolinga yuko Mbezi Beach unapanda Bus inayoelekea Tegeta na unateremka njia ya Panda ya Africana na unachukua boda boda na ni elf 1 mpaka Kanisa la Omega utapona kwani amini tu Yesu ni Mwema Fanya hivyo kaka yangu.
@Glorytv51112 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukufungua upone
@fatmamansour6762 жыл бұрын
Nikweli sukar lazima utaenda chooni sana
@azizamohamed76922 жыл бұрын
Pole kk Mungu atakusaidia utapona punguza mawazo
@aishaamwalimu28872 жыл бұрын
Pole Kaka Mungu atakufanyia wepesi.
@fatmamansour6762 жыл бұрын
Jama'i kama huwezi kumpa msaada lsimpigue kumuambia maneno ya kuuliza huyu anatakiwa apate utulivu sana maradhi alonayo mtihani mmi binafsi 'ajiona nipo na sukar niko na mawazo mda wote sijui hanatokea wapi najikuta tu na hasira na mawazo
@najmaulaya88192 жыл бұрын
Allah.awape shifaa
@beatricebeatrice4992 жыл бұрын
Hy kaka angepelekwa Kwa pastor Ezekiel Mombasa Kenya amini kaka zahir angepona
@ruqaiamohammed3452 жыл бұрын
Mmh 🚶♀️🚶♀️🚶♀️
@aishaissa25122 жыл бұрын
Mungu ni mwema utapona inshallah 🤲
@munirashughuli6182 жыл бұрын
Allah Kareem 🤲
@fauziyaomar7090 Жыл бұрын
Inshallah utapoa
@zenasaidy65262 жыл бұрын
Pole Sana Kaka ila punguza ulaji wa vitu vya sukar acha kumtumia asali
@heyumi23402 жыл бұрын
asali haina shida nayo pia nidawa iĺa ty asile vyakula vyenye mafuta kabisa hata wali apike boko boko asiweke mafuta
@zenasaidy65262 жыл бұрын
@@heyumi2340 asali na n dawa ila kwa baadh ya magonjwa baadh inaongeza kama kisukar
@heyumi23402 жыл бұрын
@@zenasaidy6526 sawa
@خديجةالمعمري-ج2س2 жыл бұрын
Nyinyi ndugu zake na watt wake msaidieni baba enu muoneeni huruma babaenu mgonjwa
@elizabethmukeba25282 жыл бұрын
Kaka pole wende kwa kuhani na mwalimu Musa Richard Mwacha kimara temboni atapokea uponyaji kwa bure bila malipo hakuna kinacho shinda kwa yesu
@lliliannyangoma7019 Жыл бұрын
Kweli kabisaa
@petriciajohn12452 жыл бұрын
Kansa mbaya huponi lkn mungu akupe uwezo wa kuishi
@gracedonald3852 жыл бұрын
Kabisa mie nimezika mama
@mwanaishaali53382 жыл бұрын
Kansa ni mbaya lakin ikujulikana mapema Yapona
@janemuthoni7232 жыл бұрын
Sickle cell,na hiya Rheukemia haiponi lkn zingine za pona ila Mungu amsaidie 😢
@najuf80212 жыл бұрын
Dah pole yake mungu atamsaidia
@maryammuhammad25532 жыл бұрын
Kaka zairi naomba unitumie namba yauyo kaka mm Niko Dubai samahani lakini 🤲🙏😭😭🇹🇿🛩
@faridamohamed46772 жыл бұрын
Angalie clip ya nyuma aliweka namba zake mpendwa
@zeinabbachu83632 жыл бұрын
Number c Iko hapo unakuja saa yote ya airtell money