SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@atukuzwelameck48692 жыл бұрын
Huyu jamaa alitesa sana, silalidhani mungu ni mjombake, ahahahahah 🤣💔🙌, na bado mbwa huyoooo🤣
@abelimtui61802 жыл бұрын
Sabaya pole sana siasa za tz
@ericsangasa98722 жыл бұрын
Mwandishi upo vizuri kwa maelezo yako unafanya kazi nzuri sana
@mariakibwana37002 жыл бұрын
Je wajua,wale waliompelekea Yesu mwanamke waliosema ni mzinzi. Unajua Yesu aliinama akaandika chini. Anaejiona kuwa mwema na hajawahi tenda kosa awe wa kwanza kurusha jiwe. Ukiwa kiongozi lzm uwe na maamuzi magumu. Kama aliwakosea yatosha.!!!
@maligeltabatholomeo81282 жыл бұрын
Dah!! MUNGU TENDA MUUJIZA MUOKOE SABAYA
@zulfasaeed74452 жыл бұрын
Duuuuh bado huyu kaka jmn hayajaisha tuu duuuh mungu msaidie yarab 😭😭🙏🙏
@alphoncembasa5922 жыл бұрын
Balaaa . Ngoja na yeye aonje kama alivyoonjesha wenzake
@happykimaya66312 жыл бұрын
Hakuna marefu yasiyo na mwisho. Ipo siku utakuwa huru kaka yangu. MUNGU awe mtetezi wako!
@gabrieldoseti57292 жыл бұрын
Sabaya inatakiwa ufungwe maana ulikua Jambazi mkuu
@moreenmichaelmichael10792 жыл бұрын
Mhhh usihukumu kabla haujahukumiwa,kumbuka hata ww syo mkamilifu
@mosesndahani33152 жыл бұрын
Mimi naamini kunasiku watu wote walioongoza nchi kwa mtindo wa Sabaya ipo siku watalipa
@ibrahimngonyani97042 жыл бұрын
Mungu akutangulie sabaya
@hadijauledi69952 жыл бұрын
Mungu msaidie huyu sabaya kama kweli alitenda mabaya msamehe hii dunia tunapita nadhani kisha jifunza jela kubaya mungu msaadie muheshimiwa mama yetu kipenzi msaidie hatorudia tena kisha koma mwenyez mungu mfanyie wepesi atoke jela 😭😭😭😭😭
@kennedyombewa79742 жыл бұрын
Akomae huko huko jela kwa maovu yake, hana nafasi uraiani muhuni huyo
@aishaissa25122 жыл бұрын
Jamani huyo sabaya ndo mtenda makosa nchi nzima kwanini msimsamehe tu watenda makosa niwengi mbona
@welcometoeat1652 жыл бұрын
Kuna jitu liko nyuma ya haya mambo Yan anamkomesha
@wilhardtarimo3862 жыл бұрын
Wakati yeye akidhulumu watu hakua anajua malipo ni hapa hapa duniani
@lucybahatisha11792 жыл бұрын
Hakuna kosa lisilo samehewa jamani muachieni andelee na maisha yake sisi pia ni wenye zambi sioni haja ya kumtesa hivi kwakweli
@gaspermollel95522 жыл бұрын
Kweli nimeamini kuwa cheo ni zamana 😀😀😀😀
@COMPASSIONMEDIA2 жыл бұрын
SABAYA TUMUOMBEE. MUNGU ANA MPANGO NAE MUHIMU JAPO WENGI MNAMUONA KAMA MUOVU KUPITA WATU WOTE. MUNGU AKIMTAZAMA ANAMUONA KAMA CHOMBO KINACHOFAA SANA.
@felixhaule70712 жыл бұрын
Amechoka hatari sana,Jela sio kuzuri,hakika All Goes Around Comes Around!!
@zuhuramuyinga59532 жыл бұрын
Mwandishi akili kubwa sana.Huchoki kumsikiliza.
@johnmalembo64642 жыл бұрын
Hivi kama mmewaachia wale mafisadi.......mnashindwaje kumwachia kiongozi huyu... Mungu ni. Mungu sabaya vumilia wakati utakuja Tena wa kushika mpini tutajua la kufanya... Iwe heri Kwa Tz
@rithakuyala99512 жыл бұрын
Pole sana SABAYA Mungu simamia hii kesi 🥲🥲🙏🙏
@cheiknamouna20582 жыл бұрын
Iweje akose ya kulipa mawakili kwani hakuweka akiba zile pesa zote au alipelekea mkuu wake wa kazi 🤣🤣🤣🙌
Bado kabisa hajapata adhabu inaupmstahili kwa maovu aliyotendea wengine. Matehemu afufuke amtetee
@anicetphilip99872 жыл бұрын
Wamepania kumuua huyu ndugu so sad kwa kweli
@lucianagodson4372 жыл бұрын
Eeeh Mwenyezi Mungu mpiganie Sabaya
@alphoncembasa5922 жыл бұрын
Kuna ambao mnamuomba Mungu amsaidie na Kuna wale ambao wanamuomba Mungu kanuni za Mbunguni zifuate haki
@masturasudi73942 жыл бұрын
Wamwachie bwana
@jamesjoseph68252 жыл бұрын
Kutoka atatoka, lakini ajifunze kuwa Mungu hajaribiwi!! Alijaa dharau na kiburi, watu waliteswa kwa maagizo yake, watu walikatwa hadi vidole, shamba la mbowe liliharibiwa. All in All amrudie Mungu na atubu!! Nasi tunamuombea maana hata biblia inasema patana na nduguyo kabla hajakufikisha korokoroni
@mgayagesimba22382 жыл бұрын
Yani mimi sina la kusema tofaut na hili. E mungu epusha mabaya kwa wole wote wenye nia mbaya na SABAYA
@mariavianeypeter29912 жыл бұрын
Tumwombee mpendwa naona huruma jaman
@antonyvallerian17182 жыл бұрын
Yaan huyu mungu ipo siku atakujibia
@emmanuelimaliti41662 жыл бұрын
Pole sana sabaya
@epifaniamilinga28482 жыл бұрын
Sabaya,Mungu yupo.endelea kumwamini.hata kama umetenda dhambi ya namna gani.Naamin utashinda.wanaokuombea in wengi sanaa.
@neemaloy8892 жыл бұрын
Mungu msaidie lengai nakuomba sana Mungu
@valerianabechamu17202 жыл бұрын
Ee, Mungu Ingilia kati maisha ya Sabaya Mungu Mtetee mpigania Ili Aweze kutoka katika kipindi hiki kigumu
@mariavianeypeter29912 жыл бұрын
Kweli mpendwa naomba tumwombee, kwani hakuna mwanadamu asiye na mapungufu,Mungu amsaidie naona huruma jaman basi tu
@bobjulieoneheartband2 жыл бұрын
Mnamjua Mungu Ama Mnamsikia Tuuu???
@ufugajiwetu77822 жыл бұрын
Duh
@georgewambura76952 жыл бұрын
Lema alimwambia sabaya usimtegemee mtu, sababu kuna siku hatakuwepo
@jamessichimata362 жыл бұрын
MUNGU anawaona nawambia wote tupo chini ya jua.
@rosekuriyo71882 жыл бұрын
pole xan kk yang, mweny hak ataixh kwa iman
@dianajohn69312 жыл бұрын
Aaachiwe Tu Jamani
@yacobmaningo8252 жыл бұрын
Poale sana ndugu olesabaya mungu akujalie akutete sn,
@aloycemacha98942 жыл бұрын
Mungu hatetei muhalifu
@mamapeace67302 жыл бұрын
Jamani vipi mbona mnasahau mema yake viongozi hakuna zuli hata moja wa kati wautumshi wake
@kilakadenic92152 жыл бұрын
mazur yake amesha yatumia wakati yupo madarakan saiz ni zamu ya kuyatumikia mabaya yake
@COMPASSIONMEDIA2 жыл бұрын
WATU KAMA HAWA HUWAGA WANAKUJA KUWA VIONGOZI WAZURI SANA WATETEA WANYONGE BAADAYE. ANGALIA VIONGOZI WENGI WALIOTETEA WANYONGE, UTAONA WALIPITISHWA KWANZA KWENYE MAFUNZO ILI WAANDALIWE KUONGOZA WATU.
@josephmalisa29872 жыл бұрын
Duuuh kweli ashaadhibishwa sana
@alphoncembasa5922 жыл бұрын
Muda mwingine inafanyikia hivi Ili kutoa funzo kwa viongozi wengine wasije tumia madaraka Yao vibaya
@antonyvallerian17182 жыл бұрын
Mimi sielewi sheria ila nataka kujua ni kwann mstakiwa mmoja aondolewe kwenye shauri la rufaa ya Dpp
@COMPASSIONMEDIA2 жыл бұрын
SIKU MOJA HUENDA SABAYA NDIYE ATAKAYEKUWA RAIS WA NCHI. NAMFANANISHA KAMA YUSUPH KIPINDI CHA PHARAOH
@bobjulieoneheartband2 жыл бұрын
Umelogwaaaaa??? NCHI IPII??? Muwe mnachunguza vitu
@amanestomihi25992 жыл бұрын
Labda rais wa majambazi
@munarjafu98862 жыл бұрын
Right JPM angekuwa hii sizani kama sabaya angetendewa mungu yupo
@amanestomihi25992 жыл бұрын
Kutesa kwa zamu
@manasekabusha71802 жыл бұрын
dah noma sana tusiye mjuwa atatenda tusiyo yajuwa
@roseafrael752 жыл бұрын
Kuna wanaomuonea huruma sabaya kuna wanaombeza pia,, ila ukweli ni kwamba anatumikia makosa aliyoyatenda tuache sheria ifate mkondo wake kila mmoja atalipa kwa madhambi aliyoyatenda na malipo ni hapa hapa duniani. Nafkiri wanaotumia madaraka vibaya wanazidi kujifunza kupitia sabaya.
@yohanatulito11822 жыл бұрын
Dunia ndogo sanna 😏
@ufugajiwetu77822 жыл бұрын
Mwandishi msomi nice
@mugishamajeba96282 жыл бұрын
mi nashauri aturie tu wamufunge
@mariamzirojuma21572 жыл бұрын
Walamba asali wapo kazini. Mungu atusaidie
@mariosigala87602 жыл бұрын
Tunapaswa kufahm kua Akili zetu zinapoishia ndipo MUNGU anajitwalia Utukufu wake ,
@vumilialeonardi1092 жыл бұрын
Mh,sabaya kua na amani utashinda MUNGU yupo
@lidyakisoka33462 жыл бұрын
Kuteseka kwa zamu
@hichayasin72442 жыл бұрын
DUUU!! DHAMBI MBAYAAAA!!!!!!...
@veronicabwamukuru12652 жыл бұрын
Dunia hii, tutakufa vifo vibaya sana
@noelbryson78402 жыл бұрын
Wewe na nani?
@mtzhalisi22322 жыл бұрын
@@noelbryson7840 🤣🤣🤣🤣🤣
@erickchitumbi13082 жыл бұрын
Vita inaelekea mwishoni.ushindi upo
@nyabahailani31692 жыл бұрын
Mshahara wa dhambiii majibu mauti ila wangemwacha tu aje afie kwao
@marcokaroje89802 жыл бұрын
Wanachelewesha angekuwa mangelepa kama alivyowawaisha wengine wakati ule ubabe wake
@athumani66552 жыл бұрын
Hela zimeishaa tayriii
@rogersiddy2 жыл бұрын
Mpunga umekata sio??🤣🤣
@noelbryson78402 жыл бұрын
Kwa upande upi sasa mkuu?
@OPERATORSGARDAWORLD2 жыл бұрын
SABAYA AFUNGWE NA ANYONGWE 30 AGE
@moreenmichaelmichael10792 жыл бұрын
Mhh hv ungekuwa ndo ww wanasema unyongwe ungejeskieje???kwamba ww umekamilika kila idara mpaka unasema mwenzio anyongwe,usihukumu kabla haujahukumiwa
@masturasudi73942 жыл бұрын
Kanyongwe mwenyewe kwani kauwa
@masturasudi73942 жыл бұрын
Roho yakishetani hiyo
@alphoncembasa5922 жыл бұрын
Duu
@MCNgakungaJunior2 жыл бұрын
NONGWA
@suleimankira91952 жыл бұрын
Namini wamemuwamulia kupoteza bila sababu yoyote
@alphoncembasa5922 жыл бұрын
Wewe wasema kwakuwa familia yako haijaguswa nae . Tuache haki utendeke .
@antonyvallerian17182 жыл бұрын
Mimi sielewi sheria ila nataka kujua ni kwann mstakiwa mmoja aondolewe kwenye shauri la rufaa ya Dpp