MREMA ASHINDWA KUJIZUIA, ACHEZA kwa MADOIDO AKIINGIA NYUMBANI KWAKE NA MKEWE, WANYWA MBEGE..

  Рет қаралды 50,527

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MREMA ASHINDWA KUJIZUIA, ACHEZA kwa MADOIDO AKIINGIA NYUMBANI KWAKE NA MKEWE, WANYWA MBEGE..
MWENYEKITI wa TLP, Agustino Mrema, leo Machi 24, amefunga ndoa na mrembo wake mweupe katika moja la kanisa lililopo mkoani Kilimanjaro.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 55
@josephmchila6467
@josephmchila6467 2 жыл бұрын
Hongera Sana Mzee mrema na Doreen, Dorini hiyo ni heshima kubwa sana uliyotengeneza,mvumilie na umlee vizuri Mzee mrema.
@aminahmusa3723
@aminahmusa3723 2 жыл бұрын
Maashallah na hongera kwao
@respickiusterentin702
@respickiusterentin702 2 жыл бұрын
Hongera mlema kwa kufunga ndoa
@upendoeliya7682
@upendoeliya7682 2 жыл бұрын
Safiii saana Dada Doreen Hongera Ninawatakia MAISHA MAZURIIII 💕💕💕💕👏👏👏👏
@enterenter1921
@enterenter1921 2 жыл бұрын
Hatareeeee💪💪
@hadijajohn7434
@hadijajohn7434 2 жыл бұрын
Saafiii..DORNI na MH Mrema kwa kufunga. Ndowaa
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 жыл бұрын
Huyo dada ni mzee vile vile sio bint,kwa hiyo ni sawa tu.Ongera mama Mrema mpya.
@jimj8285
@jimj8285 2 жыл бұрын
Amina omari hata wewe ni Mzee na Mimi ni Mzee naomba nikupe!
@karolinamasawe8978
@karolinamasawe8978 2 жыл бұрын
Hongereni
@matanoahmedmatano6926
@matanoahmedmatano6926 2 жыл бұрын
Dada Doreen umetomiza ndoto yako kiukweli ..tuliza Moyo wako hapo kulio hao vijana wanao penda umario mlee vyema mumeo ..nipo Kenya but nimependa hiyo clip ya harusi yenu Hongereni
@julianavigelo3983
@julianavigelo3983 2 жыл бұрын
mbona kwalesma wamefungaje?
@bonifacemlemeta2151
@bonifacemlemeta2151 2 жыл бұрын
M. Kazi ipo
@christaoman8890
@christaoman8890 2 жыл бұрын
Nimependa sana dada kujitolea kwenda kumlea mzee Mrema haongera sana natazama sherehe hiyo nikiwa Mascat Oman
@stephenithadei3367
@stephenithadei3367 2 жыл бұрын
Mambo mzima ludi dar
@jimj8285
@jimj8285 2 жыл бұрын
Christa nakutamani Ali! Vipi unitumie namba yako?
@puritygerald6692
@puritygerald6692 2 жыл бұрын
Waandishi hovyo sana. Eti kwa afya yake. Amwkuambia anashida gani
@emamkuyu4061
@emamkuyu4061 2 жыл бұрын
😂😂😂😂 Duniani Kuna mambo.😀😀😀😀
@annastaziafaustinmgimbaann412
@annastaziafaustinmgimbaann412 2 жыл бұрын
😘😘
@millicentatieno9631
@millicentatieno9631 2 жыл бұрын
Mrema mrema ndio Nani?
@everever2807
@everever2807 2 жыл бұрын
Huyu Dada ana ham ya ujane nainaonekana huyu ndo alikua mpenzi wake mda tu kwa ghafura huwezi jmn tu we wakweli
@kazkaz1943
@kazkaz1943 2 жыл бұрын
Mwana kulitafuta😀😀 ooh anigeuze kama mke wako alikuwa anakugeuza ulipata bahat n golden chance never come twice umeyakanyagaaaaa
@bonifacemlemeta2151
@bonifacemlemeta2151 2 жыл бұрын
Shida ilikua kanisani mbona alishindwa kumnyanyua kanisani
@johnmasanja1762
@johnmasanja1762 2 жыл бұрын
Mzee kagoma kunywa mbege 🤣🤣
@amockkalinga1520
@amockkalinga1520 2 жыл бұрын
😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@gilbercarlo325
@gilbercarlo325 2 жыл бұрын
Kama wazee hawajiheshimu mabinti muwachape vibao tu,tumechoka kuwachapa tu ee
@hajikais6776
@hajikais6776 2 жыл бұрын
Kwan uyu jamaa hakua na mke
@magrethelikana6627
@magrethelikana6627 2 жыл бұрын
Alifiwa na mkewe mwaka jana
@tuchezetz1715
@tuchezetz1715 2 жыл бұрын
Aina noma ata dead atakuachia ma asset umecheza kama pele
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 2 жыл бұрын
Kifo hakichagui mzee, kijana au mtoto hivyo usimtabirie mzee Mrema kutangulia kufa bali Mungu ndo anaejua zaidi.
@diananyangeta8175
@diananyangeta8175 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣SEMA Bibi harusi na bwana harusi siyo Bibi na babu
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 жыл бұрын
Maana ya kusema hivyo ninawakanusha watu wanaokubeza kuwa wewe ni mtoto,mtoto anaolewa?au wanakuambia kuwa kufuata pesa wakati wewe una mali zako.Mimi nimependa wewe kumulea mzee ongera sana.
@ipyanamwakapola2176
@ipyanamwakapola2176 2 жыл бұрын
Mrema hanywagi mbege
@lucasraymond506
@lucasraymond506 2 жыл бұрын
Hiyo atar Sana Babu kachoka huyo.
@gidionishengoma2693
@gidionishengoma2693 2 жыл бұрын
Uzee sio tatizo Bora machine ifanye kazi sawsawa.
@elikanakusaga4831
@elikanakusaga4831 2 жыл бұрын
Hongera maana mke mwema nani awezaekumwona maana kima chake chapita kima chamarijani tulia bint wewe nimtu jasiri fanya kazi ya mungu mtumishi
@saaderhassan446
@saaderhassan446 2 жыл бұрын
Mungu awatangulie mwaya dunian mengine mapito tu
@jimj8285
@jimj8285 2 жыл бұрын
@@saaderhassan446 saader Vipi weye mbona nakutafuta hupayikani? Tukikutana buchani siku Ile ulidondosha mkoba,Vipi naomba namba yako please!!!
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 2 жыл бұрын
WANAUME KWELI WA SHIDA TUHESHIMU NDOA TULIOOLEWA ETI DOREEN 39YRS KAPATA MUME MREMA 77YRS.HII NI CINEMA YA BURE
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@ambokileosward8850
@ambokileosward8850 2 жыл бұрын
😂😂😂
@jimj8285
@jimj8285 2 жыл бұрын
@@fatmakhanii1676 FATMA khaniith???
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 2 жыл бұрын
@@jimj8285 jiheshim uheshimiwe
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 2 жыл бұрын
@@jimj8285 heshima kitu cha bure usilazimishe watu kutukuna naomba ujiheshimu sio wakwanza wewe kuona nic name yangu kwaiyo ujue kua na heshima
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 31 МЛН
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 7 МЛН
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
African Village life #cooking  village food for Breakfast
19:52
Murangasia
Рет қаралды 2,4 МЛН
Mtoto Yohana Tumpongeze Rais Magufuli wimbo wake mpya akiimba Mito ya Baraka Church
8:31
Charles Hilary wa Ikulu Zanzibar afunguka Kuhusu kwao na makuzi yake
4:00
Zanzibar Kamili TV
Рет қаралды 83 М.
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 788 М.
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 31 МЛН