Mrisho Mpoto - Njoo Uichukue (Official Video)

  Рет қаралды 720,314

MrishoMpoto

MrishoMpoto

Күн бұрын

Watch and share the brand new music video "Njoo Uichukue" by Tanzanian artist Mrisho Mpoto.
Like me on Facebook: / mrishompototz
Follow me on Twitter: / mrishompoto
Circle me on G+: plus.google.co...
Stream music free at our official Website: www.mziiki.com
Visit MziikiTube channel for unlimited entertainment: / mziikitube

Пікірлер: 174
@franc_penjoki
@franc_penjoki 2 жыл бұрын
Twakupenda sana hapa Kenya🇰🇪
@adamshamte9123
@adamshamte9123 2 жыл бұрын
CHUKI HUMCHOMA ANAE HIFADHI...#Ukiogopa kupotea uliza Babu msubaa Hahaha
@Dullaommy60
@Dullaommy60 20 күн бұрын
Na kwenye hela mkiweka picha zenu wekeni na zakwetu wakati mnatumia mtutumie na Sisi By MRISHO MPOTO 2025😂😂😂😂
@victorotieno8460
@victorotieno8460 3 жыл бұрын
Huu wimbo uwaendee wanasiasa wote kenya.inauma kuna bado baa la njaa bado ni donda sugu hasa kaskazini mashariki
@bjmbrose254
@bjmbrose254 2 жыл бұрын
Kabisa #iteya
@wilsonngumbuke4482
@wilsonngumbuke4482 Жыл бұрын
One of the best songs in Tanzania in 20s. Ni maisha halisi ya watanzania
@sarafiamakilika9975
@sarafiamakilika9975 3 жыл бұрын
Daah nyimbo za huyu jamaa sielewagi yaani km siyo kisw mafumbo duu,wimbo bombs ujumbe cjaelewa kidogo tu aliyeelewa msaada tafadhali
@jamesmponda6626
@jamesmponda6626 7 жыл бұрын
Mjomba mpoto ase we mkali nimekuelewa ujumbe umefika gonga like twende sawa .√√√√
@marwa2862
@marwa2862 2 жыл бұрын
I like your Africanisty 2022 Bado nimerudi kuyasikiza Maneno Yako🤔
@graceamran326
@graceamran326 Жыл бұрын
Kaka haya maneno uwa yanipa nguvu nikiona spo sawa uwa nakimbilia kwenye acaunt yako kupata japo kidogo cha wosia wako mwenyezi mungu azidi kukutuza kaka hakika upo nakutupa elimu kubwa na ujasili nakupenda sana kaka from tanzania ❤❤❤❤❤❤❤❤
@kevinguyo9139
@kevinguyo9139 10 жыл бұрын
kwa muda mrefu huu ndio wimbo wa kwanza ambao unaujumbe nimeuskia...#wapashe #254
@saidbarawa9096
@saidbarawa9096 5 ай бұрын
Mrisho mpoto,saluti kwako
@johnambrose7223
@johnambrose7223 Жыл бұрын
Zamani nilikupenda Sana toka ulivyomezwa na inzi wa kijano NYIMBO zako huzipita Kama waislam waagapo mwili wa mkristo
@saidbarawa9096
@saidbarawa9096 5 ай бұрын
Mrisho mpoto, shujaa shujaa shujaa
@olaislukumay3475
@olaislukumay3475 2 жыл бұрын
We mpoto uko vzr
@sadalaelias5882
@sadalaelias5882 9 жыл бұрын
Hongera Mrisho mpoto wewe ni msanii pekee katika wasanii wote nchini , unaye tunga tungo za Uzalendo toka ndani ya moyo wako.
@Unclemethos
@Unclemethos 5 жыл бұрын
Kwa nyimbo hii mkubwa umetujenga sana.nafikiria kutoa comedy yangu ikifwatana na maneno hizi kiukweli asante
@justinmwandoe913
@justinmwandoe913 3 жыл бұрын
Mimi na ukenya wangu bado ujumbe anao upitisha siuelewi aisee. Mtu anifafanulie eti. Lugha naishika ila ujembe unanikata chenga
@shabanhusein1416
@shabanhusein1416 3 жыл бұрын
Safi sana kaka
@Chebelyon4
@Chebelyon4 9 жыл бұрын
The poetry in Mrisho Mpoto's music is just amazing. He speaks to many, he speaks for many. I listen to his songs and I feel moved to do something about life. Keep going brother
@kibbzaddy5953
@kibbzaddy5953 9 жыл бұрын
thats Tanzanian musik bana,,tatizo media za TZ hazimpi promo jinsi inavotakiwa,apart from message,outfits,locations zinaonesha ho TZ is,but most of TZ muzik fans and media tumekalia ujinga..................Mpoto rocks
@mohamedghasia95
@mohamedghasia95 4 жыл бұрын
Rest in Peace DAS ... Mungu akurehem huko uendako
@ezekiamaluma6091
@ezekiamaluma6091 5 жыл бұрын
Maisha marefu mjomba. Inshallah
@mtamilanyambalo9261
@mtamilanyambalo9261 5 жыл бұрын
Kaka Mrisho, Nyie ndio SIMBA WA AFRICA kwa Sasa, Big up sana kazi ni Bomba Fireeee
@mfundishaji
@mfundishaji 8 жыл бұрын
LOO ... kazi hii kuntu kabisa haina dosari wala kasoro. Ahsante sana kwa kuthamini na kukuza utamaduni na mila za Kiafrika. Mimi mwenyewe ni Mmarekani mweusi, au kama wengi twasemavyo njeo hizi, Mwafrika wa Marekani. Shukran, umewafurahisha wahenga na wahenguzi wetu.
@jojogalleriaphotography7786
@jojogalleriaphotography7786 3 жыл бұрын
Kali Sana 2021!!!
@shamsally6277
@shamsally6277 3 жыл бұрын
Mungu akulinde popote ulipo baba Mrisho Mpoto
@jayvarnyoungkali7039
@jayvarnyoungkali7039 2 жыл бұрын
Sasa huyu ndiye mwalimu wa wasanii
@emmaculateatieno8823
@emmaculateatieno8823 5 жыл бұрын
A peculiar artist in Africa 👏👏👏
@sadalaelias5882
@sadalaelias5882 9 жыл бұрын
Naomba kaka Mrisho uachie kitu kutokana na ishu ya uchaguzi wa mwaka huu wa 2015 na wagombea wote
@luganomwambulutukutu5000
@luganomwambulutukutu5000 2 жыл бұрын
Still listening in 2022
@godfreymagoso5334
@godfreymagoso5334 5 жыл бұрын
Kuna nyimbo zitadumu sana; ungekuwa kule ungelikuwa billionaire. ,,, ila unga unga mwana........
@salumtindwa6232
@salumtindwa6232 8 жыл бұрын
NITUMIE NAFASI HII ADHIMU KUMPONGEZA (MRISHO MPOTO) aka MJOMBA KWA KAZI HII. SAFI SANA ENDELEZA MAPAMBANO YA KUKUZA KISWAHILI NA KUELIMISHA UMMA
@alimwamumbo9799
@alimwamumbo9799 3 жыл бұрын
Good video
@rashidramadhan4129
@rashidramadhan4129 4 жыл бұрын
Umetisha mpoto
@dorcasgitari8278
@dorcasgitari8278 8 жыл бұрын
Waaah! Nimekuwa wa kufuatilia zake Mrisho na kamwe haangushi I say. Big up ama ndo niseme Thumbs up Mpoto. Kazi nzuri hii mjomba.
@dishonmurula572
@dishonmurula572 Жыл бұрын
asante kwa shairi lenye utunzi bora
@emmanuelchetambe-sg4ur
@emmanuelchetambe-sg4ur Жыл бұрын
Moto unatosha Ngoma moto moto
@bethuelswema7543
@bethuelswema7543 10 жыл бұрын
Nimeipenda hii nyimboo ......tenah verse ya mwisho hongera
@magufulitz6847
@magufulitz6847 9 жыл бұрын
Mrisho Mpoto - Njoo Uichukue, Thumb up...
@kingmadu5621
@kingmadu5621 10 жыл бұрын
Wimbo mzur anastahil pongez km anaweza
@musamjata3586
@musamjata3586 7 жыл бұрын
wanamuziki wa kizazi kipya jifunzen kwa mjomba mpoto
@renathasiimamichael8985
@renathasiimamichael8985 4 жыл бұрын
Salute to u as a poetic person
@prudiesandyn332
@prudiesandyn332 10 жыл бұрын
I really dont even know what they are singing about but this song touched my heart,
@luhay598
@luhay598 8 жыл бұрын
Prudie SandyN
@kigwisimulindwaclemo8541
@kigwisimulindwaclemo8541 7 жыл бұрын
Prudie SandyN he's talking about politicians who come to our neighbourhood during campaign... then after they are no where to be seen
@seminimichael6680
@seminimichael6680 6 жыл бұрын
Mpoto yupo kiujumbe zaidi.asilimia 100
@wandibaitonge8832
@wandibaitonge8832 5 жыл бұрын
mjomba we ni moto
@herryminja7656
@herryminja7656 10 жыл бұрын
Unanifurahisha sana kuifanya akili yangu ipate ladha ya utamu wa mdundo wa wimbo wakati huohuo ninaitumia akili hiyo hiyo kutaka kujua hasa maana ya wimbo wenyewe ukiwianisha na hali na wakati niliopo
@moshikitambo6245
@moshikitambo6245 4 жыл бұрын
Nimekuelewa mjomba ubarikiwe sana
@stephenshayo8776
@stephenshayo8776 9 жыл бұрын
big up Mpoto…What a lovely song
@henryabuya
@henryabuya 9 жыл бұрын
Best song from Tanzania I have heard in 2015
@Nufaila442
@Nufaila442 10 жыл бұрын
Nimeshindwa Kuchukua Mjomba maana huko kwenu Duh
@rehemagreen4839
@rehemagreen4839 7 жыл бұрын
Sina Kipingamizi napenda sana majigambo haya yapo makini yamefumwa vizuri yana ufundi wa kisanaa
@khasiasalum5610
@khasiasalum5610 7 жыл бұрын
Rehema Green 100%
@rehemagreen4839
@rehemagreen4839 7 жыл бұрын
Asante mtanzania wa Kweli na mzalendo wa kweli unaekienzi Kiswahili na utamaduni wake me binafsi napenda kazi zako
@marrypatrick3276
@marrypatrick3276 6 жыл бұрын
Big up Mrisho always your number one
@afandetozy5235
@afandetozy5235 9 жыл бұрын
Ww ni alimas ya pekee ndani ya nchi yetu na dunia kwa ujumla tuna kukubali sana boy
@ramsonjoosh8109
@ramsonjoosh8109 7 жыл бұрын
zasaizi samaani naombanamba ya mlisho mpoto
@herneusndibalema4003
@herneusndibalema4003 8 жыл бұрын
always I like mlisho mpoto he have good songs and very crietive not only that he educate much society
@jumamichael4083
@jumamichael4083 7 жыл бұрын
Haa ndio yule mzee aliyechora nembo ya taifa
@annabeljohn401
@annabeljohn401 10 жыл бұрын
Hatariiiiiiiiiiiii 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇
@philipobusalu686
@philipobusalu686 5 жыл бұрын
Mambo
@wemamsele4669
@wemamsele4669 9 жыл бұрын
WEMA MSERE KAKA UPOJU NAPENDA SANA NYIMBO ZAKO TENA YA TUKUTANE OCTOBA SAFI SANA UPO JU
@lenganwasamwel3869
@lenganwasamwel3869 10 жыл бұрын
iko vzr kuanzia video na ujumbe kwa ujumla
@sadamohamedi1866
@sadamohamedi1866 6 жыл бұрын
jamani napenda sana maneno haya yamjoomba ananifulaisha sana mmi nipelaha bba
@yuzoyuzo4974
@yuzoyuzo4974 6 жыл бұрын
kweli njoo ichukue
@mahesenitunduma2438
@mahesenitunduma2438 9 жыл бұрын
nyimbo zako kaka MPOTO unapo zisikiliz unatakiwa uwe na akili ya ziada vinginevyo huwezi kuelewa chochote thanx ma bro
@kadijakk6384
@kadijakk6384 5 жыл бұрын
Joseph umenichekesha yaani unacho kiongea nikweli kabisa kama mimi hapa sina hizo akili za ziada bs cjaelewa kabisaa
@ROCTIVMEDIA
@ROCTIVMEDIA 2 жыл бұрын
😂😂😂😂🤰🤰🤰
@janetnjoroge450
@janetnjoroge450 9 жыл бұрын
kutoka kenya, kaka wakubalika kabisa. pongezi sana kwa mawaidhaa
@kibzz1
@kibzz1 9 жыл бұрын
Kaka Mrisho Shairi zako tamu sana ndugu. Ama kweli Kama hujui unakokwenda huwezi kupotea. Mistari imekolea kamwe hubahatishi ndugu yangu ila nipo na swali moja,natokea Kenya wapi naeza pata Album yako sehemu hii??
@jackymushira697
@jackymushira697 9 жыл бұрын
am comig to tz to see you officially. am coming to take it haha!
@zimbwemohammed2988
@zimbwemohammed2988 7 жыл бұрын
Big up Mrisho
@Oman-bi2ej
@Oman-bi2ej 5 жыл бұрын
nataman huyu ismail wa mjomba band atoe nyimbo yake anasauti nzuri
@hezronmollel7875
@hezronmollel7875 10 жыл бұрын
Video ipo powa
@barakamwangama8012
@barakamwangama8012 5 жыл бұрын
nyimbo za mpoto natokaga kapa labda hisia za mbaliiiii
@emmanuelmollel3008
@emmanuelmollel3008 5 жыл бұрын
Jamaa kwel an dah...mi naishiaga kutoka na kamsemo baraka mwangama
@laylasuliman5805
@laylasuliman5805 5 жыл бұрын
Upo kama mm😅
@mugemucheni6031
@mugemucheni6031 5 жыл бұрын
Wanashiasha ujumbe kwenu
@stephenonyango33
@stephenonyango33 10 жыл бұрын
Mjomba nimechukua mkoba hapo,mistari zimekamilika.
@jamalhussein3463
@jamalhussein3463 9 жыл бұрын
Salute...from keko
@ramadhanially7060
@ramadhanially7060 8 жыл бұрын
sawa mrisho mpoto
@fuadabubakar5126
@fuadabubakar5126 8 жыл бұрын
ehe mjomba napenda sana
@ROCTIVMEDIA
@ROCTIVMEDIA 2 жыл бұрын
2022 listening
@emmanueldotto9535
@emmanueldotto9535 3 жыл бұрын
Nimekukubal mjomb
@halizonihongoli4686
@halizonihongoli4686 3 жыл бұрын
2021 naizoom
@majasaimoni203
@majasaimoni203 6 жыл бұрын
shikamoo MJOMBA...
@frenkmlokacharles4626
@frenkmlokacharles4626 9 жыл бұрын
Nakukubali sana Mrisho mpotooooo Love u so much
@rorianmwakio1267
@rorianmwakio1267 6 жыл бұрын
Mjomba asanta.
@moseskimoses
@moseskimoses 5 жыл бұрын
Kenyan politicians. Karibieni
@rebeccampeta6650
@rebeccampeta6650 7 жыл бұрын
kumbe et babu nembo huyuu daah
@isaacwere3928
@isaacwere3928 9 жыл бұрын
sawa mtu wangu
@stephanomchenya6344
@stephanomchenya6344 6 жыл бұрын
Hkna Kama wewe brother
@stephenmuthokaitumo6770
@stephenmuthokaitumo6770 4 жыл бұрын
Akiamungu kiswahili mmeniacha nje😂😂😂
@michaelmseveni8264
@michaelmseveni8264 5 жыл бұрын
Like Kama unakubali ngoma
@geofreytelemka2178
@geofreytelemka2178 10 жыл бұрын
meseji yake nzuri kwa kipindi hiki cha uchaguzi ila sidhan kama watanzania wenzangu wataelewa
@cityhunter0739
@cityhunter0739 6 жыл бұрын
Kama ujui unako kwenda uwezi potea
@isacklissu847
@isacklissu847 5 жыл бұрын
Nimepita na comments nyingi mbona mnajidai mumeelewa ujumbee !nitafsirieni wanamashairi !
@marymeme2282
@marymeme2282 5 жыл бұрын
Isack Lissu kama ya kwangu itakusaidia kwenyeushindi wako chukua ila ufuate3 nyayo
@isacklissu847
@isacklissu847 5 жыл бұрын
@@marymeme2282 mbona sielewii
@badiali7845
@badiali7845 5 жыл бұрын
Una ubora naupeo mkubwa wakili mjomba
@gaspermlay6963
@gaspermlay6963 6 жыл бұрын
ama`kwelii kama hujui unapokwenda`kamwe huwezi kupotea
@vimbele1590
@vimbele1590 7 жыл бұрын
Huyu Mzee muuza bangi kumbe ndio aliochora nembo ya taifa (Adam & hawa) r.I.p Mzee ngosha
@archeadiousashiono1732
@archeadiousashiono1732 9 жыл бұрын
when r u coming to kenya i love all the song i love your message ,using reality im sure u massage is clear .i wish our leader all africa should listen to this.
@stewardsimonmsigwa6782
@stewardsimonmsigwa6782 6 жыл бұрын
archeadious ashiono
@edwinpepela1205
@edwinpepela1205 6 жыл бұрын
Ukitaka kujua mwendo was mjinga mpe kilemba.hehe.usiwe mjinga Happ.utakutana na reality
@mr.rogers9238
@mr.rogers9238 5 жыл бұрын
Mwambie Aje na kama ameshikwa na tumbo la kuhara apitie kituo cha afya cha kijiji chetu
@innocentkalija8521
@innocentkalija8521 10 жыл бұрын
Wimbo uko poa, japo kuwa sio wote wenye uwezo wa kuelewa maana yake.
@mfundishaji
@mfundishaji 8 жыл бұрын
Na nikiweza kuongeza, "WAITE" ni kiboko!!!!!!!!
@jaydees4025
@jaydees4025 9 жыл бұрын
i love this - but i really wish - there was a translation - so know what they singing about
@twahaibrahim2767
@twahaibrahim2767 5 жыл бұрын
which part you didn't understand
@deusramson8794
@deusramson8794 4 жыл бұрын
The song is full of idioms!!! But generally is about the politicians who ask for vote when getting chance end up betraying the voters!!!
@mangalejmxy8796
@mangalejmxy8796 5 жыл бұрын
Nipeni likes jameni
@shabankadu4670
@shabankadu4670 9 жыл бұрын
hakuna wa kufananishwa na wewe ulimwenguni ww mkali kaza kamba za viatu zaidi ila zisikubane safali iendelee kusonga
@khalidshabani7600
@khalidshabani7600 4 жыл бұрын
Early 2021
Mrisho Mpoto Ft Kassim Mganga  - Kitendawili (Official Video)
4:46
MrishoMpoto
Рет қаралды 481 М.
Mrisho Mpoto - Chocheeni Kuni (Official Song) - Waite
5:32
MrishoMpoto
Рет қаралды 81 М.
Last Person Hanging Wins $10,000
00:43
MrBeast
Рет қаралды 150 МЛН
Версия без цензуры в 🛒 МИРАКЛЯНДИЯ
00:47
Mrisho Mpoto - Waite ( Official Video HQ)
5:24
MrishoMpoto
Рет қаралды 821 М.
Sizonje - Mrisho Mpoto ft Banana Zorro (Official Video)
5:38
MrishoMpoto
Рет қаралды 1 МЛН
SAMAHANI WANANGU | MRISHO MPOTO FT MAUNDA ZORRO
7:07
MrishoMpoto
Рет қаралды 106 М.
Mrisho Mpoto Ft Harmonize -  Nimwage Radhi (Official Music Video)
4:23
Mrisho Mpoto - Nikipata Nauli (Official Song) - Waite
6:11
MrishoMpoto
Рет қаралды 156 М.
Last Person Hanging Wins $10,000
00:43
MrBeast
Рет қаралды 150 МЛН