Buy it from iTunes: geo.itunes.app... "Waite" Video by Mrisho Mpoto. SUBSCRIBE Mziiki For Best African Music | bit.ly/1uNJIXi #LISTEN | #LOVE | #SHARE
Пікірлер: 217
@filbertjiskaka477411 ай бұрын
Nani mwingine yupo anasikiliza kutoka mwanamuziki na mashuhuri Tz 25/2/2024
@sadadullah383011 ай бұрын
mimi trh4 leo mwenzi wa 3
@vallerianvevo2366 ай бұрын
Leo
@PaschalLucas-m5e11 күн бұрын
Mpoto nampenda ila huwa sielewi tungo zake zaidi ya title 😂😂😂
@nachaone59836 ай бұрын
Nan mwingine anasikiliza JUL 2024 gonga like
@QwinpinАй бұрын
Who is celebrating 2025 with me? 🎉🎉🎉🎉❤🎉🎉
@GeorgeSheka5 күн бұрын
me also
@Mwana-d1u6 ай бұрын
Wameitwa na magu wamemtoa roho. Wanaitwa na makonda sasa wanataka kumtoa pia
@sammkudy50167 жыл бұрын
Mrisho Mpoto wewe ni bingwa wetu!!! Watanzania na wote wale watupendao tumtangaze Mrisho Dunia nzima aweze fahamika na kuijua Tanzania na utamaduni wake!
@saharaemscollege4153 Жыл бұрын
Disemba 2023 bado tunasikiliza mawaidha ya MJOMBA.
@graceamran326 Жыл бұрын
Nimekuja kaka jamani nawengine nawaita njooni apa kuna elimu sana tena mafunzo makubwaa jamani njoooooooon uku kumekuchaaaaa ✊️✊️✊️✊️✊️✊️✊️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️🤳🤳🤳
@jaredwere81962 жыл бұрын
Listening from the lakeside city of kenya....mrisho has got alot of intelligence still wondering why ....he isn't appreciated to the level I want
Huu wimbo nlikua siuelewi nikiwa mtoto saa naelewa maana yake 😅😅 kumbe kuna watu walipiga kisha wakawa wanaitwa
@emmanueljoseph3812 Жыл бұрын
Ila mjomba anamaani kitu cha maana sana hasa kwa viongozi wanaotupiga ambao mpaka leo wana tusumbua na mikataba mibovu japo wamesoma lkn sasa matumbo yao ni shida kwa Nchi hii Jamani Mungu Tukomee Tz taifa lako Baba!
@ommyakili5524 жыл бұрын
Hii nga inamuhusu Magufuli kipindi anawania uraisi sasa hapo ndio nimekuelewa Moto
@mirajiabdallah13392 жыл бұрын
mjomba hakika wewe ni genius..leo 2022 naitazama..lakini nyimbo za ajabu ajabu zina viewers wengi, mpoto nipo nawewe popote pale
@herieldauson86812 жыл бұрын
Nakubal kaka mungu akulinde daima
@Mtrocktz10 ай бұрын
Leo hii nimm masikilizano mjomba hakika Waite
@clarismpakany5783 Жыл бұрын
this dude is a true poet,mad respect bigman mjomba
@jaredwere81962 жыл бұрын
Kwa mini huu wimbo hijfikisha 10 million views still wondering....much love from the lakeside city of kenya
@sirryhmes5277 Жыл бұрын
Nawaita pia wa Kenya wenzangu mjomba wetu wa Africa mashariki
@thereport1on16 ай бұрын
kama upo hapa 2025 nipee like🎉🎉
@marykisara66922 ай бұрын
Mauongo ayo
@PaulOrenge-eo4hb5 ай бұрын
2024 8.13 mko wapi tumpe likes ja comments Mjomba
@hildaminja5148 Жыл бұрын
Hii ni sanaa ya Hali ya juu sana. Taswira za kitosha kabisa na zenye UJUMBE mzito sana. Kongole sana
@BernardSimplis5 ай бұрын
Ukweli 🫶👏👏💪🎼🦅🇨🇩🫶
@sajilamwasabwite63099 жыл бұрын
mjomba ndo kila kitu anasimama yeye tu bongo wengine wanachutama daima long live viva mpoto
@azzahabdul51265 жыл бұрын
Ahhahahahha unajua mzeee
@liswabayege13354 жыл бұрын
Liswa Bayege kutoka Simiyu hongera,Waite.
@sirryhmes52774 ай бұрын
I have to sign this amazing buoy to my hood...this is pure talent