Mrisho Mpoto X Mbosso - Tausi (Official Audio)

  Рет қаралды 559,903

Mbosso

Mbosso

2 жыл бұрын

For Bookings: mbosso@wcbwasafi.com
Follow Mbosso On:
Instagram: / mbosso_
Twitter: / mbossokhan
Facebook: / mbossoofficial
#wasafi #mbosso #Tausi

Пікірлер: 903
@irakozemwajei2549
@irakozemwajei2549 2 жыл бұрын
Team mbosso tujuane👌👌👌
@Lawizoo
@Lawizoo 2 жыл бұрын
🙌
@Game_voice_play
@Game_voice_play 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hZaaY3ipdsx_bdk
@Kingtiger98
@Kingtiger98 2 жыл бұрын
Try. kzbin.info/www/bejne/ZpzIhpicf9Gsn7s
@swalehesaad1143
@swalehesaad1143 2 жыл бұрын
Tupoooooo
@hassanyare4232
@hassanyare4232 2 жыл бұрын
Mbosso khan
@MohammedAli-vi9ji
@MohammedAli-vi9ji 2 жыл бұрын
Fasihi imetumika sana kwa huu wimbo. Huyu tausi anayetajwa hapa, si tausi anayetaga mayai. Ni mrembo ambae haujui urembo wake anahadaiwa kwa mali (materialistic). Kunyofolewa nyoya ni sawa na kupeana kwa kila mrembo anayeona wenye magari na mali ndio wafaao. Nipeni likes zangu, nizidi kuwatafsiria.
@haggaijumwa2192
@haggaijumwa2192 2 жыл бұрын
Kindly listen to the song again and understand the message...this song is actually about their president and the current ongoing situation in the country
@idrisaameir2204
@idrisaameir2204 2 жыл бұрын
Hujaelewa maudhui kjn
@eddy4998
@eddy4998 2 жыл бұрын
tausi huyo anaeongelewa hapo ni mama Samia rais wako
@abdulconstatine9753
@abdulconstatine9753 2 жыл бұрын
Ndugai kachanwa na mpoto,like hapa kama umegundua
@adamomary1964
@adamomary1964 2 жыл бұрын
alie elew kama tausi wanamanisha mama samia agonge like
@paulmashauri967
@paulmashauri967 2 жыл бұрын
Ni mimi tu ndo Nimeelewa Tausi ni Mama Samia, au Fasihi ya Mpoto imenipita kushoto
@faizakassim5699
@faizakassim5699 2 жыл бұрын
You really thinking big🤝🤝
@nzigesalim5056
@nzigesalim5056 2 жыл бұрын
Ok
@nayl_1627
@nayl_1627 2 жыл бұрын
We ndo unaelewa sanaa sasa😂🤝🤝
@trendingnews4960
@trendingnews4960 2 жыл бұрын
Kabisaaa
@robertsshengena4875
@robertsshengena4875 2 жыл бұрын
Umepatia kaka. Tausi ni mama samia. Nyimbo inaongelea siasa za Tanzania.
@rajabujulius2880
@rajabujulius2880 2 жыл бұрын
Full Lyric and meaning Part 1 Karibu Tausi uipambe nyumba yetu(Karibu Rais uitengeneze nchi yetu) Chanua mbawa zako waione rangi yako, mpole sauti hyo ndio sifa yako (Nyanyua mdomo wako waone makali yako tena kwa sauti ya upole maan ndio sifa yako mama etu) Jichunge tausi, wasinyofoe nyoya lako (Kuwa makini Rais, wasikuingilie kweny kiti chako) Mchezo uliotukuta nao ni wa sadakalawe Amina mweny kupat apate mweny kukosa akose, kipapatio cha kuku, kuku gani mweusi analiaje kwiyo kwiyo (Mchezo uliotukuta nao ni wa siasa ambao ni mchezo mchafu, mweny nacho(rushwa) ndiye hupata na asiyenacho hukosa, utamu wa uongoz, uongoz gan giza weny nyng kelele za kupotosha). Mpak lin mweny kupat apate, mpak lin mweny kukosa akose ( Mpak lin mweny pessa apate na mpak lin asiyenayo akose? Asante Mh Rais). Umeukataa mlio kwiyo na rangi ya kuku kugawana (Umekemea kelele zake zinazopotosh jamii). Tausi harufu unayoiskia ni ya chakula walichokula, wameamua tu kujisaidia nyuma ya nyumba ili harufu irud ndani kumchefua mpishi, usishtuke ndivyo ilivyo kwa watu weny shibe (Rais uchafu unaouskia umetoka midomoni mwao wenyew yaan bila kueditiwa hata kdg, wamefany kusud kuzungumzia mbele ya watu ili tu wakuharbie na wao waonekane wazur, Ila usivunjike moyo ni kawaida kwa viongoz weny shbe). Tausi umbo lenye kukataa huleta tumawe mawe unapotak kututambulish watt wako kwa wagen tumia idadi yetu na sio majna maan baadh ya wanao wanatumia A.K.A siku hiz watakuzingua (Rais mtu asiyekupend huleta choko choko na unapotak kutuletea maendeleo kutok kwa nje usiweke hadharan maan wengne wana tafsir mbil mbil watakubeza tu).
@Game_voice_play
@Game_voice_play 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hZaaY3ipdsx_bdk
@Kingtiger98
@Kingtiger98 2 жыл бұрын
Dw. kzbin.info/www/bejne/ZpzIhpicf9Gsn7s
@itsafrikanah769
@itsafrikanah769 2 жыл бұрын
Wow 💯
@limajblessed7132
@limajblessed7132 2 жыл бұрын
Uko fiti bro coz u made me understand the true lyrics blessed tausiii wewee
@jasminetanga8062
@jasminetanga8062 2 жыл бұрын
Wow
@user-my9hc6uf9l
@user-my9hc6uf9l Ай бұрын
"....ukuta mweupe wasiufanye mweusi" Hapa bila shaka ukuta mweupe ni Ikulu
@asnatlayson3081
@asnatlayson3081 2 жыл бұрын
Dah asante mpoto kweli taifa la Tanzania lapotea mpaka ww umeamua kusema kwa mafumbo dah twatia huruma sana sijui ulifkilia nn mrisho mpoto kuimba hivyo l love you song
@itsafrikanah769
@itsafrikanah769 2 жыл бұрын
Huyu mzee akieka popote vocals zake inakuwa hit song 💯💯💯💯💯much love from Kenya
@Kingtiger98
@Kingtiger98 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/ZpzIhpicf9Gsn7s
@mchungajisimonmayala2272
@mchungajisimonmayala2272 2 жыл бұрын
Amin👊👊
@margaretmuthonimwangi1303
@margaretmuthonimwangi1303 2 жыл бұрын
I totally agree 🇰🇪🙌
@abubakarimsere
@abubakarimsere 2 жыл бұрын
MPAKA LINI MWENYE KUPATA APATE, MPAKA LINI MWENYE KUKOSA AKOSE!! CHANUA MBAWA ZAKO TAUSI WAIONE RANGI YAKO, WASINYOFOE MBAWA ZAKO DAAAH!! GOD BLESS MY COUNTRY... I LOVE U TANZANIA🙏🇹🇿😭😭😭😭🙌🙌
@brianjulius255
@brianjulius255 2 жыл бұрын
Kama unadhan Tausi ni Mama samia gonga like
@Steve.influencer
@Steve.influencer 2 жыл бұрын
Mbona nijistiri ilhali mi muafrika ata apo jadi mambo ya manguo hamnazo🥰💯tausi💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫🥳🥳🥳🥳kwioooo
@geoufo2858
@geoufo2858 2 жыл бұрын
Mafundi wa maraishir Tanzania .🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥
@Game_voice_play
@Game_voice_play 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hZaaY3ipdsx_bdk
@abdallahmohamed6915
@abdallahmohamed6915 2 жыл бұрын
Mbosso kwa kweli wewe fundi sio kwa mashairi tu bali unajua kucheza na sauti yako na pia producer mocco genius anakujulia kwenye tamba mambo yalikua bomba sana shabiki wako mkubwa kutoka +254 Malindi
@hashimlowela294
@hashimlowela294 2 жыл бұрын
TAUSI 🤔🙌🇹🇿🇹🇿💪 Mjomba umetisha ila mbosso we nifundi kaka 🔥🔥🔥
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 2 жыл бұрын
Kuanzia leo Hangaya ni tausi wa mrisho mpoto na mbosso!
@rajabujulius2880
@rajabujulius2880 2 жыл бұрын
Full Lyric and meaning. Part 2 Tausi mm mwanao baada ya kutok jandon, Nilizan mm ni mkubw sasa, Naambiw oooh icho kilichotolew kipande cha ngoz tu hakina uhusiano na kukua kwako, kwel inamaan kila anayeingiz kidole puani ana mashaka na alichonusa ( Rais mm mwenzio mara baada ya kupata uspika nilizan mm ni mkubwa sasa, Nikaambiw oooh hapo ulipo ni kipart tu cha serikali na hakina uhusiano wa kukua kwako, Kweli ina maan kila anayefany kaz nyumba moj nawe ana mashaka na ww?). Uliwahi kusema ww mwenyew, mnyonge hapigan kwa fedha na tulifany makosa kuchagua silaha, silaha tulioichagua inatutia unyonge na kuondoa unyonge kwa kutumia silaha za weny nguvu ambazo sisi hatuna tunazid kupoteza muda. Muda upi wa sisi kukua au nyakati ( Uliwah kusema ww mwenyew (Ndugai) mnyonge hashindan kwa pessa na tulifany makosa kuchagua silaha(mkopo), Mikopo tulioichagua inatutia umaskin na kuondoa umaskin kwa kutumia mikopo ya nje yeny riba kubwa ambazo sisi hatuna uwezo nazo zinatupotezea muda. Muda upi sasa kukua kiumri au kiuchumi?). Tausi nmeamin asiyeona anatumia tochi usiku sio kwa ajili yake, anawamulikia wanaoona ili wasimkanyage, Na ili iote tausi lazima ioze kila mweny zamu yake asiache kumwagilia (Rais nmeamin mikopo unayoikopa sio kwa ajil yako bali ni kwa ajili ya Watanzania na unapotak maendeleo lazma uumie kwanz(tozo+riba za mikopo) kila mweny dhaman ya uongoz hana budi kuwatumikia wanyonge. Viroboto, kupe huleta virusi Tausi, Ukuta mweupe wasiufaanye mweusi (Wanafik na wasalit huleta nuksi nchin Rais na White House(Ikulu) wasigeuze iwe Black House(Chaka). NB: Pongez nying kwa Mrisho Mpoto & Mbosso, Waoooooh what a song!!! That's Art.. Hyo ndio Sanaa. Mama Samia unaupiga mwingi sana sijakusahau( Strong Leader)
@Game_voice_play
@Game_voice_play 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hZaaY3ipdsx_bdk
@swalehesaad1143
@swalehesaad1143 2 жыл бұрын
Daaah afadhari nyie wenye sikii la tatu kutufumbulia gumbo hili
@ibrahimmkanda6358
@ibrahimmkanda6358 2 жыл бұрын
Goood
@azizaskitchen
@azizaskitchen 2 жыл бұрын
@doricemremi1590
@doricemremi1590 2 жыл бұрын
Nicely
@chisongmedia39
@chisongmedia39 2 жыл бұрын
Wimbo huu ni mkubwa sana, unamaana kubwa sana kwa Taifa langu. Nimemkumbuka sana #SIZONJE leo
@husseinnorman93
@husseinnorman93 2 жыл бұрын
Ila mbosso mungu akupe uhai mlefu unajua mpaka unaboa hujawahi halibu nyimbo unajua
@mauwam3627
@mauwam3627 2 жыл бұрын
Tausi alieongelewa hapana ni mama samia suluhu hassan😍 proudly fr u mama na mboso na mpoto
@mambotv5216
@mambotv5216 2 жыл бұрын
Mrisho mpoto nimekuelewa sana kwa ich kinachoendelea nchin kwetu🤝🤝🤝
@ugandanprince6384
@ugandanprince6384 2 жыл бұрын
Simba made a good decision to sign this talented king under WCB I love ur music
@mikko5194
@mikko5194 2 жыл бұрын
Tuliya
@Game_voice_play
@Game_voice_play 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hZaaY3ipdsx_bdk
@Kingtiger98
@Kingtiger98 2 жыл бұрын
F Ty. kzbin.info/www/bejne/ZpzIhpicf9Gsn7s
@ab3ab313
@ab3ab313 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥❤
@habbyhalawa5266
@habbyhalawa5266 2 жыл бұрын
@@mikko5194 🤣😂
@em_vee_josh
@em_vee_josh 7 ай бұрын
Kuna NYimbo sikuwai jua zinaexist na vile ni tamu. Kazi swafi sana Mbosso na Mrisho.
@romyjunior3598
@romyjunior3598 2 жыл бұрын
Mbosso wew ndio mkali ninae kukubali East Africa
@geoufo2858
@geoufo2858 2 жыл бұрын
Alielewa tausi ninani agonge like.🇹🇿🔥
@wasafimedia5399
@wasafimedia5399 2 жыл бұрын
Diamond
@husnaharoun9639
@husnaharoun9639 2 жыл бұрын
Mama samia suluhu...raisi
@joshuatully3637
@joshuatully3637 2 жыл бұрын
Yes Ni Mama
@mohamedmnjeja4733
@mohamedmnjeja4733 2 жыл бұрын
Mjomba kwa mashairi na mafumbo,,🙋
@mwalelivingstone9708
@mwalelivingstone9708 2 жыл бұрын
Mrisho mpoto and mbosso pale ushairi unapopata walimu wa fasihi ulingo wa ngoma kutamba💝💝💞
@samkamarah5897
@samkamarah5897 2 жыл бұрын
Mwage radhiiiiii....king konde Gang twapiga chabo huku
@achynyawale397
@achynyawale397 2 жыл бұрын
Aliielewa tausi n tafsida ya mam et samia 🔥
@basilsiali
@basilsiali 2 жыл бұрын
Kwenye Mbosso muziki huwa tamu tu... Mashairi kama. Yote 💯💯💯💯
@elimu-rab5917
@elimu-rab5917 2 жыл бұрын
Mbona mimi sijaelewa hata kimoja... Wataalamu wa fasihi mtusaidie🙌🙌🙌
@oxygen9603
@oxygen9603 2 жыл бұрын
ndan yake namwona Mama samia
@agneskapinga7737
@agneskapinga7737 2 жыл бұрын
Mbosso Khan mwenye chembechembe za kihindiiiii
@rehemaruhule3167
@rehemaruhule3167 2 жыл бұрын
Hujawah kufeli mbosso♥️♥️👌
@muzuni2547
@muzuni2547 2 жыл бұрын
Nishaipenda kwa kuskiza tu sekunde kadhaa, mbosso na mjomba mko on top
@ramadhanminani314
@ramadhanminani314 2 жыл бұрын
Mbosso khan mshedede yule yule na mzee wamashairi daah mmetisha
@kondinhotv7091
@kondinhotv7091 2 жыл бұрын
Ebwanaa ee kiswahili kitamu sana tumekuelewa mpoto na mama atakapoiskia hii atakuelewa sana
@tushylady3890
@tushylady3890 2 жыл бұрын
My country Tz is heavily talented, super proud 🇹🇿
@Game_voice_play
@Game_voice_play 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hZaaY3ipdsx_bdk
@Kingtiger98
@Kingtiger98 2 жыл бұрын
F ed. kzbin.info/www/bejne/ZpzIhpicf9Gsn7s
@hassanfadhil2932
@hassanfadhil2932 2 жыл бұрын
Mbosso is a Kenyan my lady🇰🇪
@OngatiTheeSaVaGeKing
@OngatiTheeSaVaGeKing 2 жыл бұрын
He is a Kenyan my Lady
@kithcfc7724
@kithcfc7724 2 жыл бұрын
Listening it now hits Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kent
@Anish_KE
@Anish_KE 2 жыл бұрын
Smile By Anish Ft Litty Elton 🇰🇪🇰🇪 Out now🇰🇪💯 kzbin.info/www/bejne/o3yQY6OmoJWEsLs
@Game_voice_play
@Game_voice_play 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hZaaY3ipdsx_bdk
@abdallaabedi2354
@abdallaabedi2354 2 жыл бұрын
Baba na mwana .mpoto hujawai niangusha aisee👊
@abdallaameir3153
@abdallaameir3153 2 жыл бұрын
Nimeskiza hii nyimbo mwanzo mwisho mara 10 ila naona ni special kwa samia ama mimi
@chiddi.chinos
@chiddi.chinos 2 жыл бұрын
All Kenyans in the house kujen hapa💥💥💥
@kenafriq
@kenafriq 2 жыл бұрын
Happy Belated birthday MBOSSO. The king of vocals, lyrics and good music. Gonga like ukipita
@whatif..6961
@whatif..6961 2 жыл бұрын
Mbosso kazaliwa October
@mbogazamajanicrew3326
@mbogazamajanicrew3326 2 жыл бұрын
Birthday ni wewe
@kenafriq
@kenafriq 2 жыл бұрын
@@whatif..6961 Alaaaah mi nkadhani ni January
@kenafriq
@kenafriq 2 жыл бұрын
@@mbogazamajanicrew3326 hahaha
@Game_voice_play
@Game_voice_play 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hZaaY3ipdsx_bdk
@rayan-slim-kenya9942
@rayan-slim-kenya9942 2 жыл бұрын
Mbosso brw pole nakukubali sana kakangu Ila sijui ni vipi au uliskiza Ngoma ya kwangu ndo ukafanya nayo Tausi....brw mbona sielewi lakini😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥
@yahyaahmad9600
@yahyaahmad9600 2 жыл бұрын
Mbosso ni msani pendwa kwangu coz anajua kuimba sanaaaaaaaa msanii bora kwangu kama na ww ni msanii bora kwako gonga like and comment
@recheljoel4142
@recheljoel4142 2 жыл бұрын
Mrisho mpoto nlimissi sana free style zako Asante sana kwa kutoa wimbo mpya 👏👏👏👏🤸🤸🤸
@Jeylatititan
@Jeylatititan 2 жыл бұрын
Mbosso once again 🔥🔥🔥🔥
@blandinaleonard405
@blandinaleonard405 2 жыл бұрын
Daa mboso umeua kinyama ushirikishwi aisee ni 🔥🔥🔥🔥🔥
@tungozamswahilijk4656
@tungozamswahilijk4656 2 жыл бұрын
Mwenye kupata apate ya mond na konde😃😃😃dongo nyumbani
@swabahaahmed276
@swabahaahmed276 2 жыл бұрын
Aaaah jamani tausi. Mbosso big app my brother
@255kl
@255kl 2 жыл бұрын
Mbosso Khan Mshedede,Muhindi wa Kusini ,mwalimu wa mapenziii♥️♥️
@omarihamadumetishasanalava4725
@omarihamadumetishasanalava4725 2 жыл бұрын
Nice song
@hamellykhubeibwariah6520
@hamellykhubeibwariah6520 2 жыл бұрын
Kama sio mbosso Khan acha ikae
@vincentvitalius9346
@vincentvitalius9346 2 жыл бұрын
Umekuwa mfupi wimbo kwa utamu ujumbe kwa ndani tumeufikia pia
@fadhilifarjala427
@fadhilifarjala427 2 жыл бұрын
Mwaka huu ni Mwaka wa fanaka kwa kila mpenzi wa WCB
@Game_voice_play
@Game_voice_play 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hZaaY3ipdsx_bdk
@isayakipingem5003
@isayakipingem5003 2 жыл бұрын
Ongera mrisho mpoto
@sarahmohu5620
@sarahmohu5620 2 жыл бұрын
Mbosso is always 🔥🔥🔥....his music just flows Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mwanaidkheri8805
@mwanaidkheri8805 2 жыл бұрын
kazi nzur mbosso umejuwa kutumia fasihi kwa umakini hongera zenu.✌✌
@noelkasian2247
@noelkasian2247 2 жыл бұрын
Tausii ww ## mbosso unajua sanaa & mjombaa mrishoo mpoto🙌🙌🙌
@tormson2544
@tormson2544 2 жыл бұрын
For real this one #Mbosso and #MrishoMpoto you real made it. Kibao shwari kabisa trending #Kenya 🇰🇪 , #Tanzania 🇹🇿 and #Africa #Tausi🔥🔥🔥
@Game_voice_play
@Game_voice_play 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hZaaY3ipdsx_bdk
@paulmwagago4874
@paulmwagago4874 2 жыл бұрын
Mbosso king of melodies what a hit listening 🎧 from Kenya 🇰🇪
@Game_voice_play
@Game_voice_play 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hZaaY3ipdsx_bdk
@Game_voice_play
@Game_voice_play 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hZaaY3ipdsx_bdk
@januarysabai7078
@januarysabai7078 2 жыл бұрын
Tausi nazan atakuwa amexikia🤣🤣, but is nice song big up🙏🙏🙏🙏🙏
@josephmayoka3899
@josephmayoka3899 2 жыл бұрын
Nzur ooh mjomba x mbosso show show mmewezaa aisee
@AlmaCisse
@AlmaCisse 2 жыл бұрын
Kazi safi sana Wapi Likes Hapa kama Unaamini hii kazi Nzuri #MrishoMpoto🍁
@jumandabirorere3737
@jumandabirorere3737 2 жыл бұрын
Nilitamanigi hawa jamaa kukutana ktk ligoma kama hili 🔥🔥
@ImoteJay
@ImoteJay 2 жыл бұрын
Tausi is a vybe 🔥🔥🔥💯
@Game_voice_play
@Game_voice_play 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hZaaY3ipdsx_bdk
@balozimedia4891
@balozimedia4891 2 жыл бұрын
Huu sio wimbo ni jimbo 🔥🔥
@danfordmwingira8512
@danfordmwingira8512 2 жыл бұрын
Mbn sijaelewaaaa mashair yanahusu nn... bado sijui kituuuu
@jocharlkeith4169
@jocharlkeith4169 2 жыл бұрын
1st to comment,😁😁😁likes jameni
@stanleymusyoka6038
@stanleymusyoka6038 2 жыл бұрын
Mbosso khan the genius♥️🔥🔥🔥
@Game_voice_play
@Game_voice_play 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hZaaY3ipdsx_bdk
@freddyugzofficial5598
@freddyugzofficial5598 2 жыл бұрын
Nice one,much love from Uganda 🇺🇬
@travixclay8990
@travixclay8990 2 жыл бұрын
Tulio soma comment ilitumjue tausi hebu gonga like hapa😂😂😂
@queenestherngrit6415
@queenestherngrit6415 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/mpKVaoqnp7uAiNU'
@masambabmx5097
@masambabmx5097 2 жыл бұрын
umefika iyo 🇺🇸 🔥 let go 🤘
@vckyjohnson1080
@vckyjohnson1080 2 жыл бұрын
I love ue mboso, your songs are very very nice
@Game_voice_play
@Game_voice_play 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hZaaY3ipdsx_bdk
@junioroloo5752
@junioroloo5752 2 жыл бұрын
Lovely 🩸❤️ Bro Kali Sana Strong #Tausi
@daimavlog
@daimavlog 2 жыл бұрын
Go mama go, chanua mbawa zako Tausi wetu
@oygenmbuligwe9143
@oygenmbuligwe9143 2 жыл бұрын
Mbosso,Mrisha poto wote mmeua wanangu
@Muziqreborn
@Muziqreborn 2 жыл бұрын
Mrisho bro..this guy is Legend 💯
@zclassicfashionz
@zclassicfashionz 2 жыл бұрын
MashaAllah... Jina la mtarajiwa wangu 💖
@TanzaniaTechnoloy
@TanzaniaTechnoloy 2 жыл бұрын
Siasa ndo inavyotaka hivi Tausi kaukataa mcheezo wakuku kugawana 🙏🏾🙏🏾🙋🏾‍♂️
@ibrahimmkwawa1009
@ibrahimmkwawa1009 Жыл бұрын
Tausi ni mama samia suluuu rais wa tz😍
@purityangle
@purityangle 2 жыл бұрын
💗💗💗💕💕❤️💯💯ur talented Mr Mboso
@officialdemand6358
@officialdemand6358 2 жыл бұрын
Origin of good music is Tanzania, who with me?
@wizzymaxayo4357
@wizzymaxayo4357 2 жыл бұрын
PEKUPEKU NA MUINDI WA KUSINI lit
@TristanKevin
@TristanKevin 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪 nomaaa Sana
@TobyGabone
@TobyGabone 2 жыл бұрын
I had to listen to this song 10x to get the meaning from it. This is not a love song from my point of view. This song has been dedicated to madam president.
@oxygen9603
@oxygen9603 2 жыл бұрын
kabis hata mim naona hii nyimb ni kwajil ya Madam president
@haggaijumwa2192
@haggaijumwa2192 2 жыл бұрын
Yes💥
@andrewmasetta6986
@andrewmasetta6986 2 жыл бұрын
Toby Gabone Very Correct
@dorinezawadi3521
@dorinezawadi3521 2 жыл бұрын
👑👑👑 Wafalme Wamekutana
@priscamussa4672
@priscamussa4672 2 жыл бұрын
#Tausiiiiii #wameamua kujisaidia nyuma ya nyumba ili harufu irudi ndn
@webotv7576
@webotv7576 2 жыл бұрын
Mpole sauti hiyo ndo sauti yako
@ashirievara8542
@ashirievara8542 2 жыл бұрын
Wow ngoma kali sana hii ukiisikiliza ni noma sana 🔥🔥🔥
@MashabikiwambossoOfficial
@MashabikiwambossoOfficial 2 жыл бұрын
Much Love to Mbosso Like za U.S.A ziko wapi
@Game_voice_play
@Game_voice_play 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hZaaY3ipdsx_bdk
@hassanmkotya8204
@hassanmkotya8204 2 жыл бұрын
Naona mzee anaendelea kujijengea wigo wa kula pesa za matamasha na shamlashamla za serikali hahaha hongera mjomba
@georgereuben3572
@georgereuben3572 2 жыл бұрын
Namkubali Sana mbosso
@neilkifano2504
@neilkifano2504 2 жыл бұрын
King of RNB 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤
@jumachamkongo8202
@jumachamkongo8202 2 жыл бұрын
mrisho nakukubari sana mjomba iliyote lasima iyoze asante mjomba
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 2 жыл бұрын
Mpoto na Mboso
@castoryndaghala6760
@castoryndaghala6760 2 жыл бұрын
Mjoba anatulia mwaka mzima but akitoa kitu ni ujumbe wa maisha,,#TAUSI NI NINI???
@wizzymaxayo4357
@wizzymaxayo4357 2 жыл бұрын
dah hili fumbo la MJOMBA nani kalielewa anieleweshe "kila mwenye zamu yake asiache kumwagilia"
@abudharmwasha2820
@abudharmwasha2820 2 жыл бұрын
Unyama xanaaaaa💪👏👏🙏
@mrcardano1203
@mrcardano1203 2 жыл бұрын
Huu ni wimbo wa kisiasa kama hujaelewa sikiliza tena
@generenchabidondo2222
@generenchabidondo2222 2 жыл бұрын
Nakubali sana bidondo
@tonymwanjile9866
@tonymwanjile9866 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥 kazi nzurii.... mjomba is back after 4 yrs
@Marry-arm
@Marry-arm 2 жыл бұрын
Two legent,very nice songs....I luv every part of this music😘🇰🇪🇰🇪
@mudyone
@mudyone 2 жыл бұрын
Raha sana kujua kiswahili
@Game_voice_play
@Game_voice_play 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hZaaY3ipdsx_bdk
Mrisho Mpoto Ft Harmonize -  Nimwage Radhi (Official Music Video)
4:23
100😭🎉 #thankyou
00:28
はじめしゃちょー(hajime)
Рет қаралды 40 МЛН
NANI AMESEMA HAUTAINUKA TENA? | MCH. ANTHONY MWAKIBETE
9:52
Limevuja
3:28
Mbosso
Рет қаралды 44 М.
Sizonje - Mrisho Mpoto ft Banana Zorro (Official Video)
5:38
MrishoMpoto
Рет қаралды 1 МЛН
Mbosso  Ft Diamond Platnumz - Karibu (Official Audio)
3:34
Mbosso
Рет қаралды 1 МЛН
Meja Kunta Feat D Voice - Madanga ya Mke Wangu (Official  Video)
6:04
Rayvanny Ft Macvoice - MWAMBIENI (Official Music Video)
5:32
Rayvanny
Рет қаралды 4,5 МЛН
Mrisho Mpoto Ft Kassim Mganga  - Kitendawili (Official Video)
4:46
MrishoMpoto
Рет қаралды 468 М.
Rayvanny - Nyamaza (Official Audio)
3:28
Rayvanny
Рет қаралды 2,1 МЛН
Diamond Platnumz ft Miri Ben-Ari - Baila (Official Music Video)
4:18
Diamond Platnumz
Рет қаралды 15 МЛН
Sadraddin & IL’HAN - Aman bolşy suigenim | Official Visualizer
3:09
Amre - Есіңде сақта [Album EMI]
2:16
Amre Official
Рет қаралды 150 М.
Asik - Body (Lyrics Video)
2:42
Rukh Music
Рет қаралды 721 М.
Adil - Серенада | Official Music Video
2:50
Adil
Рет қаралды 95 М.
Nursultan Nazirbaev - Gul Gul (премьера песни) 2024
2:37
Nursultan Nazirbaev
Рет қаралды 179 М.
Akimmmich - TÚSINBEDIŃ (Lyric Video)
3:10
akimmmich
Рет қаралды 192 М.